UBAYA WA HUSDA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ย. 2024
  • Khutba hii ilitolewa na Sheikh Nurdeen Kishk Masjid Ihsaan Maarufu Veternary Temeke Mwaka 2010, mada inayagusa maisha yetu ya kila siku katika kazi zetu biashara pamoja na neema mbalimbali Mola alizowajaliya waja wake, Husda ni nini fatilia mada hii hadi mwisho upate kuelimika, pia tunaomba msambaze kwa wingi ujumbe huu na Allah atawalipeni InshaAllah.

ความคิดเห็น • 40

  • @jasminjuma6390
    @jasminjuma6390 3 ปีที่แล้ว +1

    Masha allah nurdin kishki allah akuhifadhi

  • @odiliamathias5424
    @odiliamathias5424 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU atulinde na watu wenye Usda na chuki, inshallah

  • @mootelahamongus633
    @mootelahamongus633 2 ปีที่แล้ว +1

    Jazaaka Allaahu Khyra.

  • @juxjemc5768
    @juxjemc5768 3 ปีที่แล้ว +1

    Kuna cr moja mbaya sana ila allah atuhifadhi hii ndio dunia

  • @sakinat2527
    @sakinat2527 3 ปีที่แล้ว +3

    Shukran jazakallah kheyr sheikh Nurdin kishki Allah akutangulie kwa kila hatua

  • @aishakinia4957
    @aishakinia4957 3 ปีที่แล้ว +3

    Shukran sheikh kwa kutuletea mambo za awali ili tupate kuzisikiliza kwa wale walio pitwa na vipindi ivi ikiwemo mm

  • @sadahussein8055
    @sadahussein8055 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah mungu azidi kukuweka

  • @asiakinia9344
    @asiakinia9344 3 ปีที่แล้ว

    Shukran jazila shekhe wetu kishki Allah atuhifadhi na husda yaarabby Allah akupe maisha marefu uzidi kutuelimisha inshaallah Allah atupe mwisho mwema kwa sote

  • @josephtsui9015
    @josephtsui9015 3 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah Allah atupeshe na gonjwa la husdah

  • @khayraatsaidi3801
    @khayraatsaidi3801 3 ปีที่แล้ว

    Subhaana Allah
    Ewe Mola wetu tuepushe na husda
    Shukran kwa Darsa Shaykh wetu
    ALLAH Akulipe khayr

  • @mariammuscat4300
    @mariammuscat4300 3 ปีที่แล้ว +1

    Subhannalllah

  • @bellbell9294
    @bellbell9294 3 ปีที่แล้ว

    Shukraan Sana sheikh wetu kwa ujumbe wa kutuzindua Allah atuepushe na hasad jazaka kher sheikh

  • @user-ws9ek8dj5n
    @user-ws9ek8dj5n 3 ปีที่แล้ว +1

    Maasha Allah ilmu ya juu kabisa Mwenyezi Mgu atuongoze atuepushe na hasad za kila aina....shukraan jazzakah Allahu kheir sheikh

  • @aishakinia4957
    @aishakinia4957 3 ปีที่แล้ว

    Sheikh wetu ninakuombea kila la heri usiache kuilingania umma ingawaje unapigwa vita Allah ndie hakim.... Tukumbuke pia zama za mtume s.a.w alipigwa vita sembuse ww... Nafatilia sana mihadhara yako hakika unailingania dini

  • @ubeidhassan7665
    @ubeidhassan7665 3 ปีที่แล้ว +1

    Allah atuepushe na hasad na chuki amin yarab

  • @a.856
    @a.856 3 ปีที่แล้ว +1

    Jazakallah khayran

  • @lailachaka5334
    @lailachaka5334 3 ปีที่แล้ว

    Masha Allah mawaidha mazuri Allah akuzidishie kila laheri..Ya Rabbi tuepushe na husdah coz husdah ndio imeenea sana

  • @rehemasalim4590
    @rehemasalim4590 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah uzur wa elimu haichoshi kujifunza nakumbuka hii mada akasha dawaa alikua akipenda kupost mada zako

  • @habibatajallah3914
    @habibatajallah3914 3 ปีที่แล้ว

    Mashaallah jazakallahu kheri

  • @ubeidhassan7665
    @ubeidhassan7665 3 ปีที่แล้ว

    Mashaallah jazaka llahu kher

  • @raiyaaaraiyaa6054
    @raiyaaaraiyaa6054 3 ปีที่แล้ว

    Shukran Sana sheikh

  • @aishasaid6749
    @aishasaid6749 3 ปีที่แล้ว

    Allah atuepushe na husda

  • @kawtharsaleh9229
    @kawtharsaleh9229 3 ปีที่แล้ว

    Shokraan

  • @mamakerayanmurisho2097
    @mamakerayanmurisho2097 3 ปีที่แล้ว

    Shukran

  • @bintiannar6845
    @bintiannar6845 3 ปีที่แล้ว

    Dawa yake ni nini shekh wetu mpendwa mungu akupe jazaa yake inshallah naombeni munijibu waisilamu dawa ya husuda ni ni

  • @sakinat2527
    @sakinat2527 3 ปีที่แล้ว

    Allah atuepushe na hasad na atuhifadhi

  • @aishakinia4957
    @aishakinia4957 3 ปีที่แล้ว +1

    Asalam aleykum warramathullah wabarakathu

    • @sakinat2527
      @sakinat2527 3 ปีที่แล้ว

      Wa alaykum salaam warahmatullah wabarakatuh

    • @aishakinia4957
      @aishakinia4957 3 ปีที่แล้ว

      Vp habibthy kwema

    • @aishakinia4957
      @aishakinia4957 3 ปีที่แล้ว

      My sister also name sakina

    • @sakinat2527
      @sakinat2527 3 ปีที่แล้ว

      @@aishakinia4957 Alhamdulilahi kwema hofu nawe,

    • @sakinat2527
      @sakinat2527 3 ปีที่แล้ว

      @@aishakinia4957 ok nice, I'm also your sis too