HUEZI AMINI KILICHOMKUTA KIJANA ALIEPOTEA BAHARINI MASAA 98

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 447

  • @ktvtzonline
    @ktvtzonline  5 ปีที่แล้ว +46

    Hii ni Tukio la kweli lililomkuka kijana JUMA MAHMOUD.
    Aliekua anasumbuliwa na matatizo ya kifamilia, akiwa mgeni katika kazi yake ya uvuvi alikutana na hali ambayo hakuitegemea. Ili kukupa uhalisia, Picha zimetengenezwa kwa njia ya Maigizo ili kukupa wewe mtazamaji uelewa zaidi wa visa hivi.

    • @nyamwanzirukamba6982
      @nyamwanzirukamba6982 5 ปีที่แล้ว +3

      KTV TZ ONLINE tumshukuru
      mungu kila jambo nimuweza

    • @armadajnr.7988
      @armadajnr.7988 5 ปีที่แล้ว +3

      Haina haja ya nyinyi kueka clip zenu za video anatakiwa yeye mwenyewe asimulie mnapoteza mvuto wa simulizi iyo nenda tembelea channel ya KUTOKA UGHAIBUNI mjifunze kidogo kuiga kizuri sio vibaya

    • @omarbashir3261
      @omarbashir3261 5 ปีที่แล้ว +1

      Stop recreating the scenes, you're making the story loose its sense of originality.

    • @DjmubaTechServices
      @DjmubaTechServices 5 ปีที่แล้ว +1

      @@armadajnr.7988 haipotezi mvuto, ila sema wanaikatisha story, bora wangeweka story na clips ziende sambamba

    • @allyfaki452
      @allyfaki452 5 ปีที่แล้ว +2

      sasa mbona anavosimulia kama vile ni hadithi ya kutunga

  • @RahmaIddi-s2s
    @RahmaIddi-s2s 4 หลายเดือนก่อน

    Subhana Allah Subhana Allah,,,pole sana ,,, Jaman tunapo kosana sisi wanandowa. Tusameheyana kabla waume zetu kuenda ktk kutafuta Risk ni mitihan kwa kweli,,,mda mwengine sisi wanawake tunasababisha sis matatizo kwa waume zetu ,,, Allah atusamehe kwa sote Yarrab

  • @RahmaIddi-s2s
    @RahmaIddi-s2s 4 หลายเดือนก่อน

    Pole sana kaka ,,, Allah atuhifadhi kwa sote fii Duniya wal-akhera ,،,, amiiiiiin

  • @IreneCharles-t1m
    @IreneCharles-t1m 9 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana ndochangamoto hizo katika halakati zakutafuta maisha nakuombea kwamungu akufanyie wepesi

  • @ashulachristopher2575
    @ashulachristopher2575 4 ปีที่แล้ว +2

    Pole kaka kwa mitihani uliopitia Mungu hamtupi mja wake

  • @kakamkubwa9848
    @kakamkubwa9848 5 ปีที่แล้ว +1

    Sina zaidi ya kusema pole sana kaka amini wazi kuwa yote ni mitihani ya maisha na majaribio kutoka kwa Allah... Allah ndie ndo kila kitu kwetu sisi wanaadam na hata ivo hata Nabiii Yunus pia alijaaliwa mitihani kama iyoo... Pole sana kijana pole sana tena pole...

  • @lucymrena3701
    @lucymrena3701 5 ปีที่แล้ว +11

    mafunzo Mazur thanks from Kenya like it

  • @moodyjr126
    @moodyjr126 5 ปีที่แล้ว +2

    this is the kind of friend y'all need in your lives......yule mwenye ukipotea anaweza kutumia an extra mile kukutafta until akupate and not the fake ones

  • @paulomahona5291
    @paulomahona5291 5 ปีที่แล้ว +5

    Ndug pole sana kw hayo mungu akutawale daima ktk maisha yako

  • @is-haksaid295
    @is-haksaid295 5 ปีที่แล้ว +6

    Dah hii str kwa ukiisklz itakutoa choz pole sn ndugu yetu mwislm kwa mikasa iliyokukumba ila asiache kumcha mungu. Ila pia Ktv tz online nawakubali sn yaani mko juu kwa kuifunza na kuijuza jamii kwa matukio yanotokea hongereni sn kwa hilo

    • @zakiamtiti4039
      @zakiamtiti4039 4 ปีที่แล้ว

      Wanaadamu wasiokuwa nauelewa BC wanazungumza upuuzi mtupu kwakutoelewa story hali yakuwa bongo movie zinawaliza na c zakweli

  • @rozeeroz2515
    @rozeeroz2515 5 ปีที่แล้ว +2

    Pole san kaka mwnyezi mungu ni mwema kwa waja wake siku zote za maisha yetu

  • @hassanjumaamtenda9504
    @hassanjumaamtenda9504 4 ปีที่แล้ว

    Mungu Ni mwema pole Sana broo

  • @bintabdallahjuma3331
    @bintabdallahjuma3331 5 ปีที่แล้ว +15

    usimuliaji huu wa hadithi ni wa nchi za nje nimefurahi na sisi tz tumeweza kufikia huko...hongereni
    KTV online

  • @chimamicute316
    @chimamicute316 5 ปีที่แล้ว

    Pole sana Juma umeniliza aki mungu akupe umri naafya njema akuepushe na kila shari love u big Bro nkwa inchi jirani kanya

  • @zawadikalugira2676
    @zawadikalugira2676 6 หลายเดือนก่อน

    pole sana Juma.Mungu yupo.

  • @nelsondeguzman8438
    @nelsondeguzman8438 5 ปีที่แล้ว +1

    Pole Kaka angu kweli na mungu hawezi akakuacha pabaya

  • @suleimanhamdan6434
    @suleimanhamdan6434 5 ปีที่แล้ว +6

    Hii hbr nzur Ila ufikishaj wake kwetu tunalipokea kma mchezo wa kuigiza .

  • @Mwaingya
    @Mwaingya 7 หลายเดือนก่อน

    Pole Dana kaka yangu

  • @ashazaharan1750
    @ashazaharan1750 5 ปีที่แล้ว +4

    Pole saana kaka mungu akupe subra daima

    • @lucykanuti6138
      @lucykanuti6138 5 ปีที่แล้ว

      Pole sana kaka angu Hata ivyo Mungu alikuwa upande wako.
      Ila jamani wanawake wezangu tujitahidi kuwatii waume zetu Mmeo ata akiamka saa 8 au saa 9 kujiandaa kwenda kazini ni wajibu wako nawe kuamka kuandaria Mme wako vitu vya kazini kama unavyomwuandaa mtoto kwenda shule

  • @asyanas7382
    @asyanas7382 5 ปีที่แล้ว +18

    Very sad....inahuzunisha kiukweli...
    Nna ombi moja kw kijana juma..
    Allah kakuvuwa salama ktk mtihani sema alhamdulillah...
    Katika kipindi chote ulichokuwa ktk maji sikuona hata mara moja ukiswali....maybe kutokana na uzaifu wako wakiafya... maybe hukuweza kujuwa nyakati za sala.....Juma Allah kakuvuwa salama...unastahiki kizilipa swala zote ambazo zimekupita...isabu siku ulizokaa ktk maji kisha hisabu vipindi ulivovikosa vilipe...lipa swala ndugu yangu umetoka pazito...Pole sn kw mitihani..

  • @FaridaNerima
    @FaridaNerima 6 หลายเดือนก่อน

    Pole Sana kaka inahuzunisha Sana mpaka chozi limenitoka😭

  • @shammoha5297
    @shammoha5297 5 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah. Story ya yakusikitisha pia tumejifunza vitu kadhaa. Shukran KTV TZ ONLINE

  • @keyakeya8911
    @keyakeya8911 5 ปีที่แล้ว +6

    Hakika mwenyezi mungu ni muweza

  • @mwajumajumamwajumajuma593
    @mwajumajumamwajumajuma593 4 ปีที่แล้ว

    Pole san kaka ila mwenyez mungu ndo kila kitu mungu kwanza

  • @hbabywaukwee3024
    @hbabywaukwee3024 5 ปีที่แล้ว +7

    Duhhhh Allah akuvue hilo na jengine... Ama kwel mungu mkubwa na akufaae kwa dhiki ndio wako rafiki...!!!!

  • @faizabaishe5172
    @faizabaishe5172 5 ปีที่แล้ว +2

    Alhamdulilah mungu akunusu kwe ngine InshAllah heri

  • @فجرالروشدي
    @فجرالروشدي 5 ปีที่แล้ว +12

    Pole sana Mpendwa majarb nsehem ya maisha

  • @cnt1centredesnouvellestech935
    @cnt1centredesnouvellestech935 4 ปีที่แล้ว

    pole sana kabisa

  • @ahmadilikukwa3071
    @ahmadilikukwa3071 4 ปีที่แล้ว

    Pole sana kwa mtihani

  • @bintiiddy7043
    @bintiiddy7043 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu wangu kama move vile pole sana kijana

  • @suhailauwesu8896
    @suhailauwesu8896 4 ปีที่แล้ว

    Ila muandish mungu anakuona

  • @shadrackdamiani8248
    @shadrackdamiani8248 5 ปีที่แล้ว +3

    pole sana nyota tena

  • @kassimsaid6695
    @kassimsaid6695 5 ปีที่แล้ว +6

    hongereni mnajua kuigiza

  • @shufaaayoub2230
    @shufaaayoub2230 5 ปีที่แล้ว +1

    Sasa kama ni kweli pole sana Mungu ashkuriwe

  • @fatmajumaa1069
    @fatmajumaa1069 5 ปีที่แล้ว +11

    Muamini mungu kilajambo ni vizuri sana

    • @dorotiakwoba3728
      @dorotiakwoba3728 4 ปีที่แล้ว

      @Penina Haruna mbona sura ya mvuvi n tofauti na yko iyo,Ana mwanya nawe huna mwanya,eeeeeeh

  • @halimaali4246
    @halimaali4246 4 ปีที่แล้ว

    Duuu heee mtihani kweli pole

  • @EStyle-xf1cb
    @EStyle-xf1cb 5 ปีที่แล้ว +6

    That a true friend.

  • @tundaclassic2704
    @tundaclassic2704 5 ปีที่แล้ว +2

    Jamani pole Sana kaka Allah zaidi

  • @salummkubwa
    @salummkubwa 5 ปีที่แล้ว +7

    Ktv muko vizuri kiufundi wa kutoa hadithi, kama filamu vile😃

  • @nuraydasworld4431
    @nuraydasworld4431 5 ปีที่แล้ว +7

    Story nzuri sana mashallah, na nyie wengine acheni ujinga lazima waeke uhalisia kwenye story

  • @ahmeidyoung2410
    @ahmeidyoung2410 5 ปีที่แล้ว +13

    Pole sana kijana mwenzetu

    • @halinishmachache2515
      @halinishmachache2515 4 ปีที่แล้ว

      Pole sana na Mola atakuvusha na penginepo penye dhiki 😥😢

    • @dorotiakwoba3728
      @dorotiakwoba3728 4 ปีที่แล้ว

      @@halinishmachache2515 mungu akunusuru kwa yte.asate Sana ee mwenye enzi

  • @mwagentedy9402
    @mwagentedy9402 4 ปีที่แล้ว

    Haya mambo yapo na bora yanawekwa humu tujifunze na tuamini Mungu yupo

  • @aliarkam1413
    @aliarkam1413 5 ปีที่แล้ว +2

    Allah akuzidishie akulinde namitihani

  • @sidratybinkhamis2837
    @sidratybinkhamis2837 4 ปีที่แล้ว

    Hatar sana dunia na mitihan

  • @jellysmaarifa1172
    @jellysmaarifa1172 5 ปีที่แล้ว

    Pole sna mungu ni mwma

  • @blacksonismael2501
    @blacksonismael2501 5 ปีที่แล้ว +3

    That is good idea

  • @agnesyusufu9969
    @agnesyusufu9969 5 ปีที่แล้ว +3

    Pole kaka yangu

  • @faridajuma6645
    @faridajuma6645 5 ปีที่แล้ว +2

    Jaman story zenu nzuri ila hii imezidi matangazo mpaka ina boa sasa

  • @FaridaNerima
    @FaridaNerima 6 หลายเดือนก่อน

    Ajaribu kwenda kanisani huyo mtoto alitupiwa pepo anahitaji maombi mungu amsaidie

  • @ibrahimabdullah1887
    @ibrahimabdullah1887 6 หลายเดือนก่อน

    Hii kweli au hadithi

  • @ndayikengurukiyejeanmarie9195
    @ndayikengurukiyejeanmarie9195 5 ปีที่แล้ว

    Movie ni nzuli mnajua kuigiza kweli

  • @hawayusupph7745
    @hawayusupph7745 5 ปีที่แล้ว

    Pole sana kijana

  • @phineruge3480
    @phineruge3480 5 ปีที่แล้ว +16

    Wallah Machozi yamenitoka km yote, Pole sn Juma Mungu hamtupi mja wake

  • @samsungjsevenprime5717
    @samsungjsevenprime5717 5 ปีที่แล้ว +4

    Pole sana kijana juma mungu akujaalie uwe na subra kwa changa moto zinazo kupata

  • @WaridawaridaWarida
    @WaridawaridaWarida 4 ปีที่แล้ว

    Mungu yumwema

  • @nuhadam4417
    @nuhadam4417 4 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana kakangu

  • @rukiandota3697
    @rukiandota3697 5 ปีที่แล้ว

    Inasikitisha sana

  • @valentineamani291
    @valentineamani291 4 ปีที่แล้ว

    mmmmh papa bahari ya India so kwwll

  • @mohdabdi4157
    @mohdabdi4157 5 ปีที่แล้ว +4

    dah! pole brooo kwenye kazi yako ndo kwenye mauti yako lkn kuna mambo cvizur mtu kufanya akiwa peke yaku kwenda kuvua kulala peke yako vyote ivo sio vzr Allah utulinde inshallah

    • @shammoha5297
      @shammoha5297 5 ปีที่แล้ว

      Ameen yaa Rabbil allamiin

  • @benjoliga1136
    @benjoliga1136 5 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana kwa kijana huyo ila najiuliza mbona video imechukuliwa kama vile ni movie?? Naomba nieleweshwe vizuri

    • @Tam_media2548
      @Tam_media2548 5 ปีที่แล้ว

      Hii inaitwa documentary...
      Mtu hueleza hadithi ya maisha yake au tukio fulani lililowahi kumpata. Kisha linaandikiwa scripts... Na kuchukua shot zote ndani ya tukio lake ili ilete uhalisia....
      This is documentary....
      Search hapa TH-cam neno documentary utaletewa hata za nje ya Tanzania ndio utaletewa vye ma

  • @hailatyhamissi3114
    @hailatyhamissi3114 4 ปีที่แล้ว +1

    mimi sijaelewa hapo jamani hii ni movie au maana naona anaelezea na picha tunaonyeshwa kama movie

  • @halimafazeli52
    @halimafazeli52 3 ปีที่แล้ว

    Polemy

  • @bijumakassim3697
    @bijumakassim3697 5 ปีที่แล้ว +9

    Pole kaka kwakweli kisa chako kimenitoa machozi na nimejifunza kitu flani

  • @alifarah9459
    @alifarah9459 5 ปีที่แล้ว +3

    Hakika hiii ni fahari yetuuu

  • @eastlondonor4881
    @eastlondonor4881 5 ปีที่แล้ว

    Ktv Taireni!!!

  • @nyotaben8224
    @nyotaben8224 5 ปีที่แล้ว

    Mungu apewe sifa

  • @SKILLS360TV
    @SKILLS360TV 5 ปีที่แล้ว +1

    Poleee sana

  • @فجرالروشدي
    @فجرالروشدي 5 ปีที่แล้ว +8

    Nawafatilia sana hkuna vdeo zenu zinazo npita

  • @hidayarrashidi3939
    @hidayarrashidi3939 5 ปีที่แล้ว

    Ktv tz online 😘

  • @sadakhamis1261
    @sadakhamis1261 5 ปีที่แล้ว +1

    Pole saana

  • @فجرالروشدي
    @فجرالروشدي 5 ปีที่แล้ว +55

    Ndugu zangu hata kama niwewe unataka kutoa hstry ya k2 fulan lazma utoe vdeo hata kama za m2. Mwngne ili stry yako iende vzr mm na wawlewa sana kwenye hiii chanenl nawakubali sana

    • @hudhud2022
      @hudhud2022 5 ปีที่แล้ว +3

      Ee e ndio unamuasha mkeo Subhanallah

  • @masoudkhan7755
    @masoudkhan7755 5 ปีที่แล้ว +2

    Is me masoudkhan nime penda hii pia nawakubali sana na hizi story zenu cz nikisharudi home kutoka kazini Zina nifariji na kunifunza na kunijenga kama mwenaadam ambae naishi hongereni

  • @mwanahawamohamed7265
    @mwanahawamohamed7265 4 ปีที่แล้ว

    Maskiniii pole kakangu

  • @kennedymwangala8385
    @kennedymwangala8385 5 ปีที่แล้ว +4

    Ona Mungu anavyo mpeleka kwa miujiza

  • @kennedymwangala8385
    @kennedymwangala8385 5 ปีที่แล้ว +2

    God is able, usipite bila comment

  • @naomigathoni299
    @naomigathoni299 5 ปีที่แล้ว

    Speechless 😭😭😭😭, pole kaka.

  • @aishaaaa6987
    @aishaaaa6987 5 ปีที่แล้ว +11

    Amakweli kuna baadhi ya wanandoa hawana upendo na ndoa zao daah, et wamuamsha mkeo eeeh eeehe mke hajamuamsha kuswali na wala mke hana mapenzi na mumewe. Jamani tujitahidi kupendana wanandoa kwa hali yoyote ya kimaisha , shukrani

    • @villa5025
      @villa5025 5 ปีที่แล้ว

      Pengine yupo kwenye siku zake

    • @aishaaaa6987
      @aishaaaa6987 5 ปีที่แล้ว +1

      @@villa5025 Nilijua tu kama mtapata cha kusingizia, ila hata kama ndio usimuhudumie mumeo pindi ajiandaapo kwenda kazini?

    • @shamimasalim6912
      @shamimasalim6912 5 ปีที่แล้ว

      AISHA Aaa wengine wakiwa kwenye siku zao huwa na kibri sana habbty yani ukiongea nae hakuachi salama

    • @belgieboys9867
      @belgieboys9867 5 ปีที่แล้ว

      inanyoonesha mume ndio mwenye makosa

    • @harounali9057
      @harounali9057 5 ปีที่แล้ว

      Maoni yangu na yako naona tuko sawa

  • @donardmwamaso2538
    @donardmwamaso2538 4 ปีที่แล้ว

    Ila mmekwama kwenye kuhadithia

  • @fadhilistanford9806
    @fadhilistanford9806 4 ปีที่แล้ว

    Pole

  • @shukururamadhani8810
    @shukururamadhani8810 4 ปีที่แล้ว

    Mko vizuli ktv

  • @mossikhafidh8004
    @mossikhafidh8004 5 ปีที่แล้ว

    Pole sn Allah azidi kukufanyia wepes

  • @ombenkallenge1924
    @ombenkallenge1924 4 ปีที่แล้ว +2

    Kama mtu ajasoma fasihii simulizi kamwe kamwe awezi kuinjoi hii simulizi .kama uelewi left mapema.

  • @فجرالروشدي
    @فجرالروشدي 5 ปีที่แล้ว +1

    KTV NAWAKUBALI SANA

  • @ramadhanhaji7607
    @ramadhanhaji7607 5 ปีที่แล้ว

    Pole sana bro

  • @zuuraadinani8292
    @zuuraadinani8292 5 ปีที่แล้ว

    Pole kwa mtian juma

  • @luckyndinisa3920
    @luckyndinisa3920 5 ปีที่แล้ว +1

    Yaani story zenu hazina mpango mnatumalizi bando

  • @jambofilm3019
    @jambofilm3019 5 ปีที่แล้ว +12

    Wakti mwengine pls ndugu mtangazaji elezea kisa wewe kwani janaa hanamvuto wa kuelezea anaboa sana igawa kisa ni kizuri hilo ni wazo wangu

    • @رياالزنجباري
      @رياالزنجباري 5 ปีที่แล้ว +2

      Km ulikua unaumia wenge elezea ww

    • @jaliakamote5485
      @jaliakamote5485 5 ปีที่แล้ว

      Angeeleza mtangazaji tungesema uongo lkn hapa tumeamini

    • @hamidabdalla1814
      @hamidabdalla1814 5 ปีที่แล้ว

      Tatizo anaelezea kama ni hadisi ya kupangwa ivii

    • @habibtyjojo4291
      @habibtyjojo4291 4 ปีที่แล้ว +1

      Kila mtu na alivo jaliwa na upewe wa sura yake at ivo amejitahidi

    • @habibtyjojo4291
      @habibtyjojo4291 4 ปีที่แล้ว +1

      Hashwa🤝

  • @saidsaabdu4555
    @saidsaabdu4555 5 ปีที่แล้ว

    Ik maashallah

  • @rashdhamdun
    @rashdhamdun 5 ปีที่แล้ว

    Juma kwanza mshukuru Mungu pia rafik ulionae ni rafik wa kweli ata mkeo ye pia anakupena pole sana juma ila Mungu anakupenda

  • @nasranassor6796
    @nasranassor6796 4 ปีที่แล้ว

    C ungemsabbih mwenyezimungu

  • @ibrahimnadir4490
    @ibrahimnadir4490 5 ปีที่แล้ว

    Ile kofia kumbe ilikua haina maana ya yoyotr kwenye hii stori ni kama mchezo tu wa kibongo ukamilie muda basi
    Nadhani ingeweza kua ya dakika 15 ingependeza. By the way story nzuri sana
    Ila mbali na kurudi kwa mungu waafrika tubadilike ni kosa kubwa kufanya kazi peke yako na ni kosa kubwa kujaribu kumuokoa mtu ukiwa peke yako mnaweza kufa nyote

  • @cynthyazubery5986
    @cynthyazubery5986 5 ปีที่แล้ว +2

    Mungu ni mkubwa

  • @rehemahramadhani3428
    @rehemahramadhani3428 5 ปีที่แล้ว +4

    pole sana kaka sik nyengine beba maj ya kunywa hat na kipol kilichobak usiku au mikate

  • @victorybelongtoojesus9816
    @victorybelongtoojesus9816 5 ปีที่แล้ว

    It's movie or?

  • @zinbormdan9813
    @zinbormdan9813 5 ปีที่แล้ว +6

    Wanaume mkiwa mnatok majumban muwe mnaagan vizur na wake zenu huwend akakuombea hata dua

  • @alonmarcopolo3249
    @alonmarcopolo3249 4 ปีที่แล้ว

    ktv kwanin visa vimesitisha n tunavipenda

  • @juliasmtobesya5031
    @juliasmtobesya5031 5 ปีที่แล้ว

    Stori imejaa uwalakini. Stori inasimuliwa kwa kuchekacheka na kusitasita! Nafikiri kuna mengine mengi yasiyo ya kweli yameongezwa ili kutaka kufurahisha watu. Hii ni sawa na hadithi zile za "Hapo zamani, Paka na Panya walikuwa marafiki. Paka akumuambia Panya, rafiki yangu tu .........." Uhauri wangu: Tumieni vizuri nafasi na vyombo kama hivi katika kutoa elimu na mafundisho ya kweli kwa wanannchi na si kupiga soga za kitoto zisizo na msingi.

  • @ayshaayshaabdulrahman6143
    @ayshaayshaabdulrahman6143 4 ปีที่แล้ว

    Ama kweli Allah hamtupi mja wake

  • @asiaasia918
    @asiaasia918 4 ปีที่แล้ว +1

    Ya Allah yarabiii

  • @aysha12al10
    @aysha12al10 5 ปีที่แล้ว

    Ni move au