Tunamshukuru Mungu kwa kutupa Joeli… Kwakweli Nyimbo zako zinatia moyo zinainua tunajivunia kua ulizaliwa tanzania Stay Blessed Man of God Hakika wewe ndiwe kike Kisima cha maji yaliyo hai aliyosema Bwana Yesu kua Tukimuamini kama maaandiko yanavyomsema mito ya Maji yaliyo hai itabubujika kutoka ndani yetu kweli wewe ni matokeo ya lile Neno Brother keep ut up Mungu akubariiiki na kukutendea mema mengi na kukulinda na Adui ili uzidi kuwainua wengi walio shuka moyo na kukata tamaa
"Kwa maana nina hakika kuwa, si kifo wala uzima, si malaika wala mashetani, si mambo ya sasa wala mambo yajayo au mamlaka nyingineyo yote, si mambo yaliyo juu wala yaliyo chi ni sana, wala hakuna kitu kingine cho chote kati ya vitu vyote alivyoumba Mungu kitakachoweza kututenga na upendo wa Mungu ulio ndani ya Kristo Yesu Bwana wetu."🙏
Ni nini kitanitenga na upendo wako? Hamna Baba! Wewe ni Mungu, wa hali zote na nyakati zote, u Mungu wangu, Wewe ni Mungu hatanikose U Baba yangu, Wewe ni Mungu nimebaki nawewe.
Your voice is powerful is like there is some mighty power behind it. When Joel starts singing it's different everything is heavenly. We thank God for blessed is he who comes in the name of the Lord.
I cant go a day without listening to your songs blessed son of God, you do inspire me alot may God keep you strong for us forever..be blessed joel, kenya tunakupenda sana pamoja na nyimbo zako zinazidi kutubariki na kutupa moja kila kuchao, barikiwa mtumishi wa Mungu
Hakika MUNGU ndie anaebakia kwetu nyakati zote jua hata mvua, mchana na usiku, tunapokosa na kupatia, tunapojishusha na kujiinua. Nawaza MUNGU angekua kama wanadamu tunavyowaza basi angesha angamiza kila mtu , ila MUNGU ni wa ajabu anatuwaziameme kila siku anaamini kakita kubadilika kwetu na kumrejea. Blessed song Kaka Lwaga GOD Bless you
This song has ministered to me so powerfully because indeed, in every season God has been the only constant person in my Life and i love HIM Deeply...In the face of adversity and in the time of happiness, my God has always been by my side, watching all that concerns me... Thank you Joel for this powerful song...God bless and increase your ministry to profound greatness 🙏🙏Ubarikiwe sana!
Wimbo Uhu una nikumbusha wakati Nilikuwa nimepitiya hali ngumu, nika jikuta mwemnyewe katika hali hilo lamachozi ila nime pata tu musahada wa Mungu pekee. Asante sana kwa wimbo Uhu. Mimi Piya Siwezi jitenga naupendo wa Mungu 😥
God is faithful in my life many things have come and left but God has stayed with me even when I did not believe him, God thank you for your faithfulness in my life. There is none like you
Amebaki MUNGU wa nyakati zote asant kwa neema yako ya pekee nikiwa nasikiliza nyimbo zako kaka iwe usiku wa manane iwe mchana nabarikiwa Sana moyo unakuwa safi
Maneno hayatoshi kuelezea namna wimbo huu umekuwa wa baraka kwangu. Mungu Akuzidishe Brother @Joel Lwaga. Humbly i am learning. Much Love to your Ministry.
Lol! Saa ya kuinuliwa ikifika unashangaa Mungu anakuwa anakupa ujumbe unaogusa tu Watu hata kama ulifanya kwa ajili Yako. Nakushangilia Wewe na Neema yote iliyoko juu Yako mkuu🎉🎉🎉❤
Wow what an inspiring song frm gifted minister may tha almighty God continue using bestowing his blessings to this mighty man of God amen n amen 👏 👏 👏🙏🙏🙏
Kaka yangu😭😭😭🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾 huu wimbo ni wangu🙌🏾😭😭 Asante kwa kuitikia call
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
yan imenigusa san pia😭😭😭😭😭😭😭
Tunamshukuru Mungu kwa kutupa Joeli… Kwakweli Nyimbo zako zinatia moyo zinainua tunajivunia kua ulizaliwa tanzania Stay Blessed Man of God Hakika wewe ndiwe kike Kisima cha maji yaliyo hai aliyosema Bwana Yesu kua Tukimuamini kama maaandiko yanavyomsema mito ya Maji yaliyo hai itabubujika kutoka ndani yetu kweli wewe ni matokeo ya lile Neno Brother keep ut up Mungu akubariiiki na kukutendea mema mengi na kukulinda na Adui ili uzidi kuwainua wengi walio shuka moyo na kukata tamaa
Kwel kabisa tan daah❤❤
Kenya pia tunakusherekea ila Bora jina la yesu liinuliwe amen!
@@mildreddiera2984Amina Jina la Yesu lituke milele daima
❤ameeeen
Sana Yaan
kwanza iyo intro na interlude ni fire🔥, pili izo beat zinapop vile inafaa, vocals na message pia ni timam. love from the +254
"Kwa maana nina hakika kuwa, si kifo wala uzima, si malaika wala mashetani, si mambo ya sasa wala mambo yajayo au mamlaka nyingineyo yote, si mambo yaliyo juu wala yaliyo chi ni sana, wala hakuna kitu kingine cho chote kati ya vitu vyote alivyoumba Mungu kitakachoweza kututenga na upendo wa Mungu ulio ndani ya Kristo Yesu Bwana wetu."🙏
Ameeeeeeen
Amena 🙏🏾🙏🏾🔥
Here again December 2024🤗,, lord am so so Greatfull 🙏
I celebtate every day..because the whole of this year Nmebaki na Mungu
Wewe ni MUNGU wa hali zote na nyakati zote u baba yangu🙏🔥
🙏
Ni nini kitanitenga na upendo wako? Hamna Baba! Wewe ni Mungu, wa hali zote na nyakati zote, u Mungu wangu, Wewe ni Mungu hatanikose U Baba yangu, Wewe ni Mungu nimebaki nawewe.
Much love from Uganda..🇺🇬🇺🇬tumebarikiwa kupitia nyimbo zako Joel..more Grace
Mungu wa nyakati zote na katika Kila hali anabaki kuwa Mungu❤❤❤❤❤am left smiling🙏🙏🙏
Wewe ni Mungu na utabaki kuwa Mungu! 😢nimebaki na wewe!🙏🙏🙏😭😭
Nyimbo nzuri sana, asante Servant of God to answer to your Call ❤❤❤❤❤
The whistles are just perfect
Right!?
Its the way the producer is enjoying the song.
Knowing very well this is a banger
Your voice is powerful is like there is some mighty power behind it. When Joel starts singing it's different everything is heavenly. We thank God for blessed is he who comes in the name of the Lord.
I feel soo encouraged whenever this man sings....I can truly say you've been a blessing to many...keep the spirit 🇰🇪
Yes u r brother keep the anointing,,am so blessed n encouraged whenever i here u r songs,stay blessed.
I'm in love with this song, thanks joel for this it is indeed my testimony 🙌🏾
Me too servant...😊
Anointing +skills and pure talent
I'm blessed 🔥🔥🔥
Ive heard this song today and am in love with this song😢😢❤
The verse I used in highschool 🎉
Love you Joel Lwaga ❤
I don't understand the language but I love it❤❤❤❤❤❤❤
Wooow❤ i cant stop replay this song guys, bro u are blessed and talented
This is my best song of you Joel🔥
Mungu akubariki sana kwa kipawa ulichopewa cha kumtukuza na kumsifu
This guy never disapont me ❤❤❤ one day Collabo KELLY Ft JOEL
I cant go a day without listening to your songs blessed son of God, you do inspire me alot may God keep you strong for us forever..be blessed joel, kenya tunakupenda sana pamoja na nyimbo zako zinazidi kutubariki na kutupa moja kila kuchao, barikiwa mtumishi wa Mungu
Mungu akubariki sana brother Lwaga unanibariki sana kwa nyimbo zako ...Mungu aongeze mafuta
Big up man of God, Joël lwaga am proud of u. May God bless you more. You are my favourite gospel artist.
Album Kali sana nimebahatika kuisikiliza, Mungu azidi kukutumia Kwa viwango vikubwa ☄️☄️☄️🙏
Hallelujah,,nabaki NAYE This Year and Forever
Hakika MUNGU ndie anaebakia kwetu nyakati zote jua hata mvua, mchana na usiku, tunapokosa na kupatia, tunapojishusha na kujiinua. Nawaza MUNGU angekua kama wanadamu tunavyowaza basi angesha angamiza kila mtu , ila MUNGU ni wa ajabu anatuwaziameme kila siku anaamini kakita kubadilika kwetu na kumrejea. Blessed song Kaka Lwaga GOD Bless you
Wewe ni Mungu nimebaki na Wewe😢
This song has ministered to me so powerfully because indeed, in every season God has been the only constant person in my Life and i love HIM Deeply...In the face of adversity and in the time of happiness, my God has always been by my side, watching all that concerns me... Thank you Joel for this powerful song...God bless and increase your ministry to profound greatness 🙏🙏Ubarikiwe sana!
A man after God's heart is a major turn onn❤❤❤
Nabarikiwa sana nikisikiriza nyimbo zako 🎉
Congratulations to you broo what god has put in you is unique
Mungu akubariki sana kwa kutii wito ulio ndani yako na kukuinua zaidi Mtumishi Wake
Wimbo Uhu una nikumbusha wakati Nilikuwa nimepitiya hali ngumu, nika jikuta mwemnyewe katika hali hilo lamachozi ila nime pata tu musahada wa Mungu pekee.
Asante sana kwa wimbo Uhu. Mimi Piya Siwezi jitenga naupendo wa Mungu 😥
Alooo hii nyimbo naiskiliza simalizi your talented Joel haipingiki
Amen Bwana uwe nasi katika nyakati zote
This is my song....YES this is literally mine!
Ubarikiwe Joely unaimba vizur Sana mung akuinue zaid
Kaka barikiwa nauzidishiwe pamoja nasi❤ are you good work
Kaka samahani sana mtumishi wa Mungu nahitaji unisaidie katikahuduma yakuimba namimi nimuimbaji naomba usipite ombihili bilakunijibu
🙌wewe ni Mungu😢
Be blessed man of God
God is faithful in my life many things have come and left but God has stayed with me even when I did not believe him, God thank you for your faithfulness in my life. There is none like you
Kwa kweli nimebaki na Mungu tuu
Hakika Mungu ni wa Milele, nyakati hazibadili hatima ya Mungu ktk mtu Bali kutambulisha uku na uweza wa Mungu Hai
🙌🙌🙌
Jehova wewe ni Mungu nimebaki na wewe. Powerfull
Amebaki MUNGU wa nyakati zote asant kwa neema yako ya pekee nikiwa nasikiliza nyimbo zako kaka iwe usiku wa manane iwe mchana nabarikiwa Sana moyo unakuwa safi
Maneno hayatoshi kuelezea namna wimbo huu umekuwa wa baraka kwangu. Mungu Akuzidishe Brother @Joel Lwaga. Humbly i am learning. Much Love to your Ministry.
Waooooow glory to God 🙌🙌#what a beautiful song stay blessed man of God 🙌 Joel Lwaga
Hii nyimbo ni yangu nimekataliwa juu ya mm ni yatima naangalia ndugu nilioachiwa..nimebaki nawe
This was beautiful to watch!!!❤️
A perfect match indeed😍🥰
Glory to God for this glorious song and ministry.
I am deeply blessed.
Thank you.
Lol! Saa ya kuinuliwa ikifika unashangaa Mungu anakuwa anakupa ujumbe unaogusa tu Watu hata kama ulifanya kwa ajili Yako.
Nakushangilia Wewe na Neema yote iliyoko juu Yako mkuu🎉🎉🎉❤
Daah broo I don't get weary when I listen to this song what I can say to you is that"may god of heaven increase you"
Wewe ni MUNGU wangu wa nyakati zote wewe ni MUNGU hallelujah hallelujah 🙌
At the end of it all, nimebaki na wewe Yesu ❤
My Favorite song from my Favorite Minister ❤
Mababa wapo wengi sana je nibaba yupi ameimbwa humu ndani mbona YESU hakutajwa humu au sikuizi YESU anajina jipya redumarwe
❤to God is directly expressed by us through Joel. Lwaga .
My God bless you in everything most in your talent
Ooh Haleluya Nimebaki na Wewe Mungu tu Ubarikiwe kwa Wimbo Mzuri
Amina,Mungu nasema asnate kwa uzima na kwa kuendelea kulinda watoto wangu,familia yangu (Baba ,Mama,Wadogo Zangu ,)pamoja ndugu ,rafiki na jamaa
Amazing
Wewe ni Mungu, wa wanyakati zoteee, Ninikitanitenga na upendo wako?
❤❤❤❤❤❤
kwenye maisha kuna mda unapitia kipindi kigumu lakini mungu wetu huwa anatushika mkono 🙏🙏🙏🙏
Am feeling blessed.. Thanks joel
Powerful..Siamini ooh ni mimi… Nimaombi sio Dumba
Ubarikiwe mtumishi na barikiwa na huduma yako
Asante mungu kwakumaliza mwaka Salam ❤🎉🎉🎉🎉😢 asante mungu wangu
Sisi tunaona fahari kubwa kiulimwengu na mbele Za MUNGU mtoa Talanta kutupa Ndg Joel
Mungu azidi kukutumia katika viwango vya juu zaid.....nimebarikiwa sana na huu wimbo
Song from heaven ❤🎉🎉
Such A blessed soul ❤ Amen Amen
Napenda sana nyimbo zako Joel kwasababu ni sautulivu na zinafaa kutafakari slow songs
You are a Dr. Of Tz gospel monsieur Joel Lwaga
Amen Ee Mungu Wangu Mimi nibaki Nawe Family yangu ibaki Nawe Kwa nyakati Zote
This is my song...wimbo wa Imani,Asante Joel
Huu ni wimbo wangu kwa 2023 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Hamuna jambo lakututenga na God Loves . Good song my Joël Lwanga
Asante kwakunipa Anthem ta funga mwala #AMEN 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Akuna kitakae nitenga nawupendo wak mungu kaka joel mungu azid kukufunulia
Barikiwa mtumishi wa Mungu aliye hai… huu wimbo umenibariki na kunipa moyo wa kuzidi kusonga mbele… you are more than talented. Be blessed .
Kweliii Amebaki Mungu wa nyakati zote ❤❤❤❤
Mungu akubariki mtumichi wa Mungu
Wewe ni Mungu nyakati zote🙌🙌🙏🇰🇪🇰🇪
Wow what an inspiring song frm gifted minister may tha almighty God continue using bestowing his blessings to this mighty man of God amen n amen 👏 👏 👏🙏🙏🙏
Wimbo huu Sina la kusema aisee hadi choice huwa linanitoka Mungu akubariki sana kaka
Nivipate vyote hata nikose u Baba yangu 💯❤
love the song..
Huu mungu ni mungu wa kila siku na kila nyakati
Asante kwa kukubali kutumiwa na Mungu ...... Nakupenda sana Joel
WOW I am loving this song.
God bless you and your work
Nice song I like it 🙏🙏
Nime falijika sana na hii nyimbo balikiwa sana joel
Wewe ni Mungu wa wakati zote🥲🙏
Mungu azidi kukubariki kaka Joel alichokutuma unafanya vyema
Bro mimi nko kenya. Ila na zikubali kazi zoko nzuri sana. Mungu akubariki sanaa
Umeki Mungu wa Nyakati zote 🙏🏻🙏🏻
He is a blessing to many
More grace Bro
Aaahhh but Your GOD Joel!! 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🔥🔥🔥🫶🏽🫶🏽🫶🏽