JOEL LWAGA - INALIPA (Official Lyric Video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 19 ม.ค. 2025
- Dive into the divine melodies of Tanzanian gospel sensation, Joel Lwaga, as he unveils his latest single, 'Inalipa.' In this soul-stirring anthem, Joel pours his heart out in praise, proclaiming the profound truth that serving God isn't a waste of time; it pays off in ways beyond measure.
'Inalipa,' a Swahili word meaning 'it pays off,' encapsulates the essence of devotion and the fruits of faithfulness. With his signature vocals and heartfelt lyrics, Joel Lwaga invites listeners on a spiritual journey, reminding us all of the eternal rewards that await those who walk in the path of righteousness.
I am a witness....kweli Inalipa.... Likes za Team Jesus
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 all Kenyans let's gather here, and witness testimony, imelipa kuwa na yesu , congratulations bro🙏🙏
❤❤
🇰🇪🇰🇪inalipa kua na yesu
Oooy yes imelipa sana kuwa na huyu Yesu🙌🙌🇰🇪
Huyu Yesu, hana deni ya mtu yeyote, ila mwenye uvumilivu hu jibiwa, from emirates na skiliza tenzi Hilo. Be blessed brother Lwanga
Testimony.....siku Mungu akijua ulimtegemea hadi nyakati ngumu utaimba nyimbo mpya. Tusichoke kupambana na kumtegemea Mungu
Amina🎉
Ni kweli Mr j. Lwaga yesu ndo jibu tosha kwani ukiwa na haraka za kibinadamu huwezi ambulance la maana kwakeeee hakika , yesu ndo jibu la mwisho na wala usidhanie na kung'ang'ania dhehebu yesu hayupo huko bali anaitafuta roho yako tuu. AMENIiiiiiiiiio
Psalms 40:1-3 NIV
[1] I waited patiently for the Lord; he turned to me and heard my cry. [2] He lifted me out of the slimy pit, out of the mud and mire; he set my feet on a rock and gave me a firm place to stand. [3] He put a new song in my mouth, a hymn of praise to our God. Many will see and fear the Lord and put their trust in him.
INALIPA🙏
Kwa kweli INALIPA kuwa Na YESU 😊
Huu wimbo ni mzuri sanaaaaaaaaaa❤❤❤❤
Without Jesus life will never make sense
Very true👍🏼Some of us, without Jesus coming to our rescue, we could not be who we are today. THANK YOU JESUS FOR YOUR MERCIES AND LOVE TOWARDS US🙏🏼🙏🏼
I have listened this song uncountable times
I don't know how to like this a million times. Serving God pays the unmatchable.
Woowooo Nice songs. Thanks brother Joel lwaga 🔥🔥🔥🔥nakuskiliza nikiwa Dubai 🇦🇪🇦🇪🙏🙏
Just coming from my interview and come accross this song! I asked God not to be asked certain kind of question and the same was done. Praise to The Almighty God🙏🏼🙏🏼🙏🏼
It really pays on having Jesus,be blessed broo!
I can't get enough of this song, it's on replay. Be blessed for this beautiful song Joel.
this song speaks my story for a long time i was asked why do you keep praying and believing jesus christ
What a testimony!My life summarized in one song!Hang in there,It’s never in vain !Inalipa kuwa na Yesu🙌🏼🙌🏼
Best gospel African artist
Fan from Congo 🇨🇩
Here full of testimonies...God has been graciously good to me...Inalipa❤
Barikiwe mtumishi ,nyimbo zako zinagusa mioyo yetu na kutupa tumaini la kusonga mbele katika Imani
Inalipa kuwa na Yesu
Imelipa Kuwa na Yesu.
Kitu Mungu kaweka sauti ya Wimbo kinywan na Moyon mwako,barikiwa kuvitumia kwa utukufu wake,hakika inalipa sana.
Amen.
Ni kweli inalipa kuwa na yesu.
Mungu ni mwema sana,trust the process.
🙏🙏🙏
Oooh Glory to God ...every work of yours, sends a message to my spirit
Kwa kweli inalipa kuwa na Yesu.... Barikiwa sana mtumishi Joel Lwaga kwa wimbo huu 😇
waow waow 🎉🎉inalipa kuwa na yesu💯👌👌👌👌from kenya
Nimeupenda wimbo maana nimekubali kumpa yesu maisha yangu
Glory to God
AMEN
😭😭😭😭 mwenzenu imelipa kuwa na yesu 🙏
Inalipa kuwa na yesu
Kenyan , nigerian and Tanzanian energy all in one song🎉🥳🥳🥳🥳
kwa hakika inalipa kuwa na Yesu❤❤
Hakika inalipa sanaaaaa kua na Yesu.
Mungu azidi kukuinua
Kuna namna Mungu anatubariki mbaka unaenjoy❤😊💖✨🙌
Akiii🎉😊
I agree
Awesome song. This song is ministering to my season at the moment. Being blessed from+254 Nairobi.
🤫😄INALIPA SI UWONGO!💯💯💯💯💯
Mia kwa mia inalipa kuwa na Yesu Kristo🎉🎉🎉
I count life outside Jesus as loss
Thanks man of GOD,all your songs are a blessing to my soul 🇺🇬 🇺🇬 🇺🇬
kiukweli mimi ni matokeo ya kuwa na Yesu inalipa kweli kaka Mungu akubariki sana
Imenipa kuwa na yesu😊😊
Inalipa kuwa na yesu...you are such a blessing
Inalipa kuwa na Yesu 🎉
Yes....inalipa ...imelipa 🎉🎉🎉🎉 kuwa na yesu.
Ukiwa ndani ya Yesu Kila kitu ni Shwari🎉🎉
Inalipa na chenji inabaki🙌...... Glory to God.Barikwa Sana Joel🎉🎉
Ni wimbo uliojaa ushindi uliotukuka. Ubarikiwe sana mtumishi, nyimbo zako zimejaa mafundisho na matumaini
Amina🙏kweli inalipa Sana kuwa na Yesu, Yesu ni Mzuri🙏
Indeed inalipa kuwa na Yesu.
Inalipa😢🎉🎉yesu ni mwema.Thank you God for good performance in my national exam
Inalipa HASWAA 💯💯💯💯💯 SEMA WENGI MAISHA YETU YANAKINZANA NA INJIRI TUNAYOISEMA ,KUUIMBA NA KUITANGAZA KWA WATU ,TUJITAHIDI SANA MAISHA YETU KUMUAKSI YESU ILI ATUKUZWE KTK KILA KITU TUNACHOFANYA
I wish this be my testmony one day 🎉❤
Brother may God bless you ❤❤
This is true, kuwa na Yesu inalipa Kila kitu🙏
Real bro...❤❤ inalipa kwelii..❤❤
❤mtoi anakufanana pia ❤
Mi husema take everything and leave me with my Jesus....he gives us what we don't even deserve
Kuwa na Yesu hakika inalipa 🔥🔥🔥🔥🔥🙏🙏
I can conquer inalipa...😊😊
Mimi focus ni huyo mtoi tuuuu....I JUST LOVE KIDS❤
Kwli inalipa kuwa na YESU
Be blessed more , nyimbo zako zinagusa maisha yetu na kutupa Imani Zaid ya kumwamini Mungu na KUSUBIRI Toka Kwa Mungu ,inalipa kuwa na Yesu
Amen 🎉🎉🎉 wimbo mzuri .... that was my testimony in 2022
Kuwa na Yesu ndio habari ya mjini” hawajuagi tu😂😊
Big up sana kaka Joel🙏
Its a masterpiece✴Inalipa hakika💯God bless you sir
Yesu nimwenye upendo❤❤❤❤❤❤❤
Inalipa kweli, yesu anatosha, this song is a blessing
Inalipa kuwa na mungu❤❤❤❤❤❤❤❤ Halleluyah. I confess
Umekaa kimya muda mrefu,kumbe ulikuwa unambo lako broo ,hakika inalipa kweli ,ubalikiwee🤚🤚
I cant stop listening to this song. It just blesses my heart
Am here,patiently waiting to be ministered too,baraka mtumishi Joel Lwaga
Yes inalipa, I can Testify ❤.
Kweli inalipa kua na Mungu...such a blessing...beautiful song
Am on loop kwa hii song fell in love with it🔥🔥🔥 been going through some stuff but all will be well
Aaaaw, what a blessing.❤..the struggles of a baby shoot❤. I was here rooting for you, we need to see a few successful pics😂😂
Jameni Inalipa, our labor in the Lord is not in vain.
❤❤❤Kumpenda Yesu inalipa
Hakika inalipa kuwa na yesu groly to Jesus
Never I will loose hope to GOD
Oneni inalipa kuwa na YESU... MUNGU abariki huduma yako.... fanya yote kwaajili ya utukufu wa MUNGU
JL AGAIN ON THIS!🙌🔥🔥🔥
Yesu nji jibu. Inalipa ❤Amina Amina ❤🎉
Kwakweli inalipa kua na Yesu, haijalishi upo kweny hali gan ila kuna siku wataelewa
Bila Yesu maisha ni bure kwa kweli inalipa🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️
Umekaa kimya muda mrefu,kumbe ulikuwa unambo lako broo ,hakika inalipa kweli ,ubalikiwee
It is not in vain O God thank you
#Aminaa sana broo
Yesu akubaliki sana mtumishi wa Mungu 🔥 🔥
Asant san Mungu wangu🎉🎉
Amen Babayagu Mungu akubariki sana JOEL lwaga❤❤❤
Inalipa sana kuwa nayesu amen amen 😍😍😍😍
Hongera mtumishi 🙏🏾👏🏾❤️🔥
❤❤❤inalipa kuwa na yesu
❤❤❤❤ inalipa kuwa na yesu
Kweli yalipa kumtumikia☝️
Varse 1!!!!!! Duh!!!!
Oneni imelipa kuwa na yesu
Wow, sifa na utukufu zimrudie Bwana!
Kwa Yesu Kuna faida tele
Kwa Yesu inalipa jaman
Yes inalipa kua na yesu!!
To the world 🌍🌍🌍🌍 never in vain ✌️