Team mziki mzuri ...Tujuane hapa....Jesh la mtu mmoja....dah...ngoma mmoja inakusanya nyimbo zao za mwaka mzima.....mistari simple.....sikio halikatai mziki mzuri hata siku moja
Yeah baba, viewers milion10 ndani ya mwezi 1 nani anabisha, hii ngoma kali kinoma ckunyingi ulikuwa ujanifurahisha ila leo umenipa burudani ya nguvuuuuu! yeah baba
@@dymarjunior9199 najua hujasikia habari za ngono humu ndo maana unaona hakuna nyimbo mzee. Pole. Never mind chibu anakuandalia dozi ya matusi kwenye ngoma ijayo boss.
Wale wote waliodislike hii video Team Mondi! Hata hivyo Kiba is the King! I listen to all the artist Mond +Kiba but I like utunzi wa Kiba....keep going bro♥️♥️♥️♥️
@@leticiachunga9118 Hahahahaaaaa!!nacheka kama uliyoniambia nimazr japo umeyatoa kama vile umekatwa kichwa #mchezo usiucheze wewe#maana hauamini unachokiona na leo nihuku kwetu mwanza ndani ya ccm kirumba@nyege...nyege..nyegezi #wasafi festival 2018
We lived in Dar from Feb ‘08 to May ‘11, my son was 3 y/o back then, now, he turned 16 and loves playing this song on the radio via tune in, it takes us back to the good times in Tanzania, we love the rythm, glad I found the video on TH-cam. Greetings from South Florida, USA
Chris Breezy karibu na huku utafrahi .cover ya Maher zain Arabic version nmefanya mwenyewe .its official th-cam.com/video/VEbezgrNzHw/w-d-xo.html. ukipenda usiache kusubscribe
Ukiwa na roho mbaya ukiusikiliza huu wimbo utajikuta ushadanja muda, huu wimbo waweza kubandika maharage jikoni bila kuwasha gas ukakuta yashaiva Mwenye kipaji chake karudi Wanyoooshe 👑 king #TeamKibaOyeeeee
@@mikemnyamwezi7856 hahahahahshahahaha Mike Mnyamwezi nakukubali, nilijua tu utakuwa huku kwa kuba, maana unamkubali sana 👑 kiba kama mimi nnavyomkubali....!
Alikiba will always be a king..even though TH-cam are stealing your views..as your Kenyan fun nakupenda alikiba #team kiba for life 🇰🇪🇰🇪 Teamkiba give me some likes
Hii nyimbo nairudillia zaidi ya mara mia hakuna hata likes moja acheni hizo nalala nayo namka nayo hebu tupeni support mafans kwa like#king kiba for life
Akaja bongo aah Akaja akaja bongo keroro Akidrink anayumba yumba keroro Nasikia an inlove sio kidogo Anaweza love anankoshasha Jamani kuna mngurumo hapo ndani yani duh nashindwa kuelezea wallahi patamu halloo.....kiba ww fundi sana Allah akupe umri mrefu insha Allah
kama umeikubali kadogo gonga like tuende sawa,,,nakupendaga bureeee Ali mwenye kiba zako mujini kama nawaona team mondi mnavyocheza kadogo aaaah yeeee baba
Mziki mtam hauchoshi masikioni unatamani kila dakika unaludia tu kila mala ,kiba waoooooooooooooooo.waonesheee kazi , na mofaya tunaitaka isambaae kila kona naitamani ila basi fanya chapu
+254 ucpite gonga like.. Bonge LA nyimbo🙌🙌🙌
Big up kiba
Ding wa bongo flava
Kingkiba for life first viewer likes zangu jamani +(254)kenyaaaaaaa.Kama unamkubali kiba Gonga like Kings Music👏👏👏
Try to be absent sometimes😂😂😂
Mwana uko na fayaa
@@kenyamoja961 😂😂😂😂😂spare my ribs bruvv😂😂👏
@@dennicmtn5269 👏👏👏💪
Aiseee
Keroro 😃😃😃 wee kenya imekumeza #king kiba unstoppable yaaaoo
Anayeiskiliza hii ngoma 2024 aungane na mm kwa ku gonga like 😅plzzz
Realy
Alikiba🔥🔥🔥...ngoma tamu dah..ungeeka pia kata maji...wapi likes za eastafrica kwa mpigo...
Aseeh ni zaid ya hatari
Yani ataa like kumi tu dah bonge ya wimbooooo #Alikiba 😁😁😁
Twaa nakupa pongezi
254 keroro... King kiba usisahau kukata maji
🔥🔥 ngoma tamu
Jessy Jessica toto 😘😘
Team mziki mzuri ...Tujuane hapa....Jesh la mtu mmoja....dah...ngoma mmoja inakusanya nyimbo zao za mwaka mzima.....mistari simple.....sikio halikatai mziki mzuri hata siku moja
kabisa, hatari na nusu...
001...Mombasa Kenya...Thankyou kiba
Hata Mimi nastahili like aiseee...+254 ...present..
kadogo kadogo kananimalizaaa aya yaaaa #kadogo ni🌏🔥🔥🔥🎷🎹🎻🎼🎶🎵🎸🎺🎤🎧 daaaah hii kitu nzuri sana gonga like twendeelee kuitazama kadogo
Yeah baba, viewers milion10 ndani ya mwezi 1 nani anabisha, hii ngoma kali kinoma ckunyingi ulikuwa ujanifurahisha ila leo umenipa burudani ya nguvuuuuu! yeah baba
Only Kenyans 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 and ALIKIBA know what MZINGA and KERORO is 😂😂 The rest are just vibing 😂 Idumu jumuiya yetu Afrika Mashariki KE/TZ 💪
,🤣🤣🤣 funny!
Tell us oh!
Wdymmm
Ooh really ,we know what mzinga is
@@ffi1001keroro and mzinga are alcohol in our hood language
simba aacha pori yuko town anasumbua mji kiba fireee💥💥💥💥kiba forever✌✌✌team kiba piga kelelee woyooooo oi oi Tz tunawakilisha
Hakuna nyimboo humooo lbdaa sautiii tuuu hhhhhh
Kenya 2naongoza simba amekua shabiki wa prima hair ya hamisa kutwa kuzibadili
Dymar Junior polee mzee baba utakufa na kisiran ila kiba forever
@@dymarjunior9199 sauti inakutoboa skio mutapata tabu sana kiba yebabaa
@@dymarjunior9199 najua hujasikia habari za ngono humu ndo maana unaona hakuna nyimbo mzee. Pole. Never mind chibu anakuandalia dozi ya matusi kwenye ngoma ijayo boss.
Jamani tuseme ukweli.. Hili goma kiba kaua sana... Tia like ku support kiba 👑
Sanaa
wambie wenzako huku kumechafuka 🌱👍✨✨✨
🎉😊👏😁👏😃🎉
Congratulations!
humu ndani bado mpo kweli team King gonga like Leo.
Hata mukigandisha vpii sisi tuta support KINNNGGGGG
kweliii kabisaa
Alikiba siku hiz unatuweza kwel huk rockstar na huk king's music record. nishida. like kwa wing teamkiba. msininyime please like.
Thanks
Poa
Ally Kiba ni more than more FIRE💯💯
hi kopo ni noma!!! team kiba ucKOSe kugonga LIKE!!
Hiko tu juuu sana
Bado Toto la Mama kiba wewe Mungu akulinde 🎉🎉
001 kadogo kanapenda keroro katoto kadogo kadogo kananikosha roho ,,,appreciating yu king kibaaaaa!!
Team 254 tumetii. Ngoma mia fil mia imetulia kinoma
Kadogo from 254...…King kiba kazi nzuri.....like Kama ww ni from 254
Wale wote waliodislike hii video Team Mondi! Hata hivyo Kiba is the King! I listen to all the artist Mond +Kiba but I like utunzi wa Kiba....keep going bro♥️♥️♥️♥️
Kama unakubali king kiba is the African king angusha like.....mahaters kado...#alikiba the African king
Alikiba ana taste ya song
like yngu kwa upzuri gani
Babo angusha jiwe juu ya jiwe
This is what called goodmusic jaman team kiba msipo nipa likes nakufa hata kam nimechelewa
😂😂😂usife jmn
Innovator TZ
😀😀😀😀😀😀👈👈
@@zahararajabu4169 😂😂ckufi tena
@@railamypresidentrailamypre629 😂😂
likes unapata usifeee
Aww team kiba ikowap vile 😂😂😂😂💛💛💜💜💪
Napenda sana iyi nyimbo nakumbuka kwetu Congo nilikuwaga Na rafiki yangu alikuwaga naipendaga iyi nyimbo lala Salama rafiki yangu takukumbuka daima 😭😭
Nimeacha ubishi sasa kiba namkubali Jomon 😝😝😋😘
nimeangalia nikiwa na wazazi wng wote yani wamefrahi mno video ya heshima sana hongera King
umeona e hii ndo sanaa sio ngoma video ambazo huwez angalia ukiwa na wazazi
Diva Diva sanaaaaa
Diva Diva ata mama mkwe anaangalia tu
kbsa aseee
Kusema kweli ALI yuko sawa sana. beat pia ni👌.
Kadago ❤
Kwel hana mpingamizi maana ngoma zake ni level za chini sana,hawez pata mpingamizi kabisa
@@ibrahimclement4528 utakuwa mchawi wewe, elements za uchawi zote unazo na umetuoneshea
@@leticiachunga9118 Hahahahaaaaa!!nacheka kama uliyoniambia nimazr japo umeyatoa kama vile umekatwa kichwa #mchezo usiucheze wewe#maana hauamini unachokiona na leo nihuku kwetu mwanza ndani ya ccm kirumba@nyege...nyege..nyegezi #wasafi festival 2018
@@ibrahimclement4528 wew level yako ya juu ipo wap tuoneshe, roho mbaya ya nn lakn? Aiseeeeee
Great 🔥🔥 Kako Tu kadogo ..Amina wa alikiba kutoka 254 ..Amina hananga mengi kujitulia Tu,Raha za mitadaoni kadogo hapedi
Naona East Africa nzima kwa muziki, Wasanii wa Tanzania wanaongoza kwa ngoma kali. Tanzania oyeeeeee
hatareee faya paka uku marekani wale raia wa nigeria cameroon yani wanan heeshimu atal
Yeebaba watu wangu wa +254 leteni likes zenyu msinibwage kisha tushushie na Mo🔥🔥🔥🔥🔥
Jamani huyu king kiba noma goma tam inaisha bila kujuwa
We lived in Dar from Feb ‘08 to May ‘11, my son was 3 y/o back then, now, he turned 16 and loves playing this song on the radio via tune in, it takes us back to the good times in Tanzania, we love the rythm, glad I found the video on TH-cam. Greetings from South Florida, USA
Hongera king kiba kwa kazi yako nzuri huku kwetu zanzibar ndo wimbo wa taifa
Muongo😬
@@abdulkheiry3397 yni utaki asifiwe king kama ni domo amebaki kubadili nywele ashindana na zari nyooo king uko juu
🔥🔥🔥
Kama unairudia rudia Hii ngoma Gonga Like 🤗🤗🤗
Real tanzanian music
Mfalme wa bongo flevar mzee wa 001 Hatari sana, pole sana Ally Kiba kwa kuondokewa na baba mzazi allah amfanyie wepesi ktk safar yake ...
Timu yeee baaba👑👑nani ako hapa June 2020🙋♀️🙋♀️
Hello
@@saalaxtech6222 Hellow
@@patiencenimmoh3956 how are you
Adi september tuko apa 😍😍
Duh huu wimbo inatibu kansa na busha Bila uperesheni
#yebaba
Jay Mp kabisa
Duh...tuwapelekee wagonjwa basi
Mfalme ni mfalme tu Kiba hiii ni hiioooohit 2018 waaah Kadogo.
Chris Breezy karibu na huku utafrahi .cover ya Maher zain Arabic version nmefanya mwenyewe .its official th-cam.com/video/VEbezgrNzHw/w-d-xo.html. ukipenda usiache kusubscribe
O
Mustapha Zain Official Sawa mkubwa watoka wapiii
danford gombania Unasemajeee yoooo
Listening thiz... it's almost 2023 and iam in love with this song....salute AlikibaYeah baba...number one
Same
Team 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 walevi Sacco gonga like tukilewa
Issa weekend affair 😂😂😂😂😂😂
🤕🤕🤕🤕kamzinga ndio nataka sasa
Somali bt niko group wa ali kipa
nelly orenja mwendo ni wa keroro na mzinga 😅😅🔥
Mashallah bonge la ngoma.... ..... 💕💕💕 weka like 001 represent... kidogo Dogo
Nimeikubali sana bonge la ngoma
Meg C ...001 here means Mombasa County where King Kiba got his wife.
Been searching for you Nasra 😍. So glad to find you here.
@Meg C hata #Habeeby ni bonge la ngoma...big up sis
Huyu ni Meg C yule mwimbaji wa kitambo kile?
Dah Yani huyu jamaa fundi mziki ni wa taratibu Kama yeye mwenyewe
Ambae Yuko. Pamoja na king kiba gonga like yako hapa
Few but quality ya hali juu.... Timeless hongera Kiba... ❤
Alikiba supa heroooooh yebaba mpaka mwaka uishe hiyo ngoma ibaki hapo hapo one trending one
hii nyimbo kila cku ndo faraja yangu,..nairudia mara 5 ndo moyo walizika,..#king kibaaa.,.bigup,.naombeni likes jmn,..nijue tuko wote na king kibA
Kumbe tuko wengi
Hi ngoma nikali
Ali Kiba hana presha, anajua ubora wa uwezo wake wa kuimba... like kama unamkubal KIBA Gonga LIKE
🙄🙄🙄
Just thought of kibengbeng wa mine, kadogo na kanapenda keroro. Sio siri. Hit noma
😋😋😋😋💞💝...Wallaih hii song inafaa kuombea mkopo..🤣🤣..team kiba like hapa plz ili tujuane.😍😍
Jamaa anajuw xna
Hahahha
sisi mashabiki zako tunamis mitusi yako😂😂mana kule nyimbo bila ya mitusi inakua sio nyimbo ngoma🔥🔥🔥🔥shikamoo kiba
😂😂😂
Hapa ni full raha
Ali wambie Kamanda ni Ali Kiba
Ali Mwagelo yaani acha tu tupe music ndio huu
Jinga😀
Its so hit song 2018 , usijisahau tena broh team matusi hawakosi cha kuongea , Changamkia kombe baba la baba
Alikiba king of bongo . My favorite artist love you from Migorian massive💪
Mtu wa 4 ku comment kama unamkubali kiba gonga like hapa
Ukiwa na roho mbaya ukiusikiliza huu wimbo utajikuta ushadanja muda, huu wimbo waweza kubandika maharage jikoni bila kuwasha gas ukakuta yashaiva Mwenye kipaji chake karudi Wanyoooshe 👑 king #TeamKibaOyeeeee
Jimmy Jay oyeeeeee
Kabisa hahaaaahaaaa 😁 👍
@@alfaksadjubeck3780 Mofayaaaaa sana kaka
@@hadija846 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 💪 King ndo kila kitu
😁😁😁😁😁
Finally Ali Kiba unleashes his full potential. Diamond Platnumz has nothing on you. 🔥 #watajua_hawajui
Watajua hawajui
Can’t they all be good, why must be either or? Fucking morons thrive on useless rivalries
Alikiba always be the king everything.....l celebrate you my legend
Hata ukasifia chupi bado twakushangilia tu. Kiba more fire
nassoro hamadi ivooooooooo
nassoro hamadi yebaba
Sana sana tu
001 msa kitaka kura za Ugavana pia atapata
yani nime play Mara za kutosha congrts you made it sound more firee
Mashabiki wa Ali kiba wapi like
From 🇺🇸 and loving the african beats yeee baba 😅😅🎉🎉🎉
Mombasa is my mother home am proud of it kwa mombasa kwa watoto wazuri mashallah
# 1 Trending imethibitisha maana ya neno KING KiBA....! Gonga like kama unakubaliana nami ....! 001 ni sheeeeedah...!
Nakubali, mkali wa wakaleeeeeeeeeee....!
@@ramlabaraka1045 Hahahahaahahah nawewe kumbe upogo huku ...!
@@mikemnyamwezi7856 hahahahahshahahaha Mike Mnyamwezi nakukubali, nilijua tu utakuwa huku kwa kuba, maana unamkubali sana 👑 kiba kama mimi nnavyomkubali....!
@@ramlabaraka1045 hahahahahahahh
Moja kubwa
Kenyaaaaaaa in the building baby🙌🙌🙌🙌🙌🙌+(254)Mofayaaaaaa👏👏👏👏king kibaaaaaaaaa yoooooooo
Uko juuu
Kawapendelea wakenya 😂😂😂
@@pendolinapendo2657 Thanks👏
@@samirymickdady8131 😂😂😂kama kawaida
ikooo kizaz king kauaa
Alikiba courage munyezimungu ukupe balacka asanten sana
Alikiba will always be a king..even though TH-cam are stealing your views..as your Kenyan fun nakupenda alikiba #team kiba for life 🇰🇪🇰🇪
Teamkiba give me some likes
🇰🇪 Kenya
Safiii!!!! Nakupenda brother sio matuc
Huyu ni mwanamziki xio mxanii
Ume gonga ndipo!!!team KIBA for life
😂😂😂 mtaibiwa hadi wake zenu mamamaeeeee. Mnashindana na simba, mtabaki mifupa
Alaa kumbee number one on trend😂😂😂like kama unapenda kibaaaaaa
yebaba
Nice
Ameena Ally thanks sister we ni master pass
Nice
dream league Gangsters oky thanks 👍
Genge + Bongo = 🔥
Kevin Bosco Jnr.. Directed it
proudly Kenyan
Genge?What is that
😀😀😀😀😀uyu jamaa hafai sanaaa, , anajua hadi anakela, , , 2020 nasikiliza huu wimbo , , , mm kadogo pia😍😍😍
*Kama umeuelewa msiki mzuri kutoka kwa king ALIKIBA like twende pamoja*
B12 Chomolla n
.
We love thy boy Alikiba like 001
Da sina usem jaman
B12 Chomolla twendwe pamoja
Kam we unapenda #Ali kwa dhati Acha like hata hata #10000
Nampend kiba ile mbaya
Kiba uko juu
Hii nyimbo nairudillia zaidi ya mara mia hakuna hata likes moja acheni hizo nalala nayo namka nayo hebu tupeni support mafans kwa like#king kiba for life
yeebabaaa
Likes ushapata nakuelewa ww ni kiba daaaaaaamu pamoja swthat
safi
Alikiba is like Messi of football, natural talent with uniqueness in it.the g.o.a.t
Wimbo huu kwa Siku naangalia mara mbili🔥🔥🔥🔥🗿
Haha mm mara mia
@@munirajibril6048 usiseme wacha tu MY
Hakuna kama Kiba jomon just kis 4u mmwaaaaaah
Kabisa
🔥🔥 ..... Twende Nalo 🎵🎵🎵🎵🎶🎶🎶💃🏽💃🏽💃🏽 🕺🏻🕺🏻🕺🏻🇰🇪 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tumewakilishwa vilivyo 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Yebabaaa
mabo💖💖💖💖
@@kakikanambo1627 poa
001
Kujia keroro
Ali kiba my favorite Artist. Love from India🇮🇳🇮🇳🇮🇳
Thanks Bhai
Salute 🇲🇿
Jimjam
Ggjusjusjxljñ have haven't KOMO Koo Koo Koo family rash by gt to fr ikKaksksjshdd
Wow you understand swahili🙌
@@faithnjambi62 ndio
Jaman team kibaaaaa mko wap nipen like zang
noms
Nalike hiyo
Hatimaye Naweza kusikia #kenyan fleva Kupitia 255 #k👑ng ni 🔥 #maandamano yanaruhusiwa...
Nice
nyimbo tam yakufunga mwaka
LOLEZA TV vp babu
haya kumekucha tunamuangalia boss wetu king kiba nakagua kazi zake zote apa napitia masozy
LOLEZA TV you crazy
Nawaza tu ;Wasanii wote bongo wangekua kama Kiba sizani kama kungekua na haja yakua na Basata.
😂😂😂😂kbx hilo umsemaaa
😀😀😀😝😝😘 acha tyu
Umewaza sana
Kweli
Mariam Abdallah hahahaha basata ya nn
King himself kitu bdo ina bang 2020🔥🔥🔥🔥🔥
Kama umeona KBQ 137J...thumbs up🇰🇪🇰🇪🇰🇪
ke.
Jaman team wasafi tulio kuja kusapot mzki mzur npe like apa tujuane
Ipo motooo
Bigilimana Kasase91 daaaaah mmetishaa assy apo majiran mme tuuuaa kabxa
Yap hatupend ujinga
Sanaaaa
Hatari sana
Hukosei kk mungu akuongoze ss wapenda burudan
Ali my nameshake is always the bongo master👏👏👏👍👍
249 Khartoum sudan hiki kichupa unaweza katia tickert buuuuuureeeee ok naomba like zakutoshaaa team mziki mzurii tm kiba mofaya 4 life yoooooo
King pambana 👑👑👑
vipi Khartoum king wanapenda nyimbo zake
Akaja bongo aah
Akaja akaja bongo keroro
Akidrink anayumba yumba keroro
Nasikia an inlove sio kidogo
Anaweza love anankoshasha
Jamani kuna mngurumo hapo ndani yani duh nashindwa kuelezea wallahi patamu halloo.....kiba ww fundi sana Allah akupe umri mrefu insha Allah
ilo beat apo ndani usiongee kabisa lina mzuka mmoja wa wajabu kabisa
duuh guud xANa bro...c wale wanyegez ndo nn ...tuko pamoj team kibaah
Yan apo kwenye naskia im in looove huwa natamani kujitumbukiza kwenye sufuria nichanganyike na matembele
Ipo poa sana
@@gwynethsm4309 hahahaaaa
jaman mbna wimbo hauongezek nawakat me niko natazama kila wakat
Joho has partially marketed this song in kenya after his moves many came to search this video keep up alikiba
Big shout out to king Kiba from Kenya.. 🔥🔥
Alikiba anefanya tafauti kubwa sana kwa humu wimbo....#kingkiba
kama umeangalia hii ngoma ukatabasam kwa kuona kaz nzul like apo chin twende xaw @0fficiaallykiba@kadogo🔥🔥🔥
kiba umeuwaaaaaaaa
anaga mpinzan na kasharud 1 trending
dadec Ww mwe
Nakubali sana my brother King kiba 🤴
Kama unamkubali king wetu naombaa like tu leoo teamkiba4real😢😢😢
I like this guy he's very mature in tz music and east africa at large#Teamalikiba from 254
Kiba u are de rockstar of bongo music umehit haki
kadogo
From bongo 🇹🇿 we believe in king
what does mature mature mean to you? by the way a person dress?
@@jp1780 🥰🥰🥰🥰
kama umeikubali kadogo gonga like tuende sawa,,,nakupendaga bureeee Ali mwenye kiba zako mujini kama nawaona team mondi mnavyocheza kadogo aaaah yeeee baba
Bonge la ngoma Respect Ali Kiba
Nice
Mariam Chikoko
Ukiwa unajitambua sikiliza ngoma za kiba lakini kama hujielewi nenda wasafi wataka sifa
Mziki mtam hauchoshi masikioni unatamani kila dakika unaludia tu kila mala ,kiba waoooooooooooooooo.waonesheee kazi , na mofaya tunaitaka isambaae kila kona naitamani ila basi fanya chapu
King kiba akuna zaidi yako kabis
Dah Leo hii talee 10 / 3 / 2022 nakumbuka mbali sana hii ngoma❤️❤️🌷
Eee kadogo🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ninoma