Mch Moses Magembe - JINSI YA KUMRUDIA MUNGU
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
- Ibada ya Jumapili Asubuhi katika kanisa la Gospel Campaign Centre-TAG Majumba sita Ukonga - Dar es Salaam chini ya Mch Moses Magembe.
Ujumbe: JINSI YA KUMRUDIA MUNGU
Andiko: Zekaria 1:1-6
Mnenaji: MCH MOSES MAGEMBE
Tarehe: 21.08.2022
Aminaaa baba tangia nimekutana na mikono ya mchungaji magembe sijawahi ku give up hata siku moja Mungu akutunze babaangu.
nielekeze kanisa lake nikaabudu pale plez
Majumba sita Kama unaenda Gongo la mboto, unashukia njia panda segerea ukiuliza kwanisani kwa mchungaji Magembe unaelekezwa tuu sio mbali.
Nilikuwa na shida ya muguu nimepona jina la mungu liinuliwe
Tumurudi Bwana wetu Yesu Kristo
toka afrika kusini
Mungu akubariki baba sema ukweli tupone nabarikiwa xana na mahubiri yako
Amen 🙏
Mchungaji Yohana Mungu akubariki kwa kazi yako njema.Tafadhal ikikupendeza moyo wako ninaomba ibada ya jumatano iliyopita kuhusu kufunga na kuomba.Amen
I am really blessed and impressed pastor. God bless you so much. Ninapenda sana mafundisho kama haya
UBARIKIWE SANA BABA KWA MAFUNDISHO YAKO MAZURI
Ubarikiwe mtumishi Wa mungu 🇰🇪
Mungu akubariki mzee, akutunze na kuzidi kukutumia.
Amena sana Mtumishi.
Ninaomba kitabu hicho Sijui nakipataje
YESU NI MFALME WA WAFALME❤❤
Karibu sana Kilimanjaro revival tample baba tunakusubiri tu huku Moshi usitusahau kwa mch Ron swai
Ubarikiwe sana baba Mungu akupe maisha marefu na yenye baraka na nguvu
BABA NAOMBA MUNGU ANISAIDIE SIKU MOJA NIKUONE MACHO KWA MACHO NA MUNGU WETU AKUPE MAISHA MAREFU YA HUDUMA
Baba Mimi binafsi nakupenda sana nashukuru Yesu sana kuanza kukufwatilia mapema maana nilikuwa hata sielewi namna ya Kusimamia ninachokiamini Yesu akutunze sana wewe mama na Family nzima
Asante muchungaji nasisi wale tunakuona tupanye nini
KIZITO Alex tuko Kampala uganda tunabalikiwa sana mchungaji nasisi wa kampala Uganda ututumie salamu
Ubarikiwe Sanaa baba ila mitambo Leo imekaa vibaya.
Meshack Ntoga ,nipo hapa Nkuhungu ya Dodoma ,Ni Kweli kabisa Mtumishi Mungu azidishe UAMSHOO.
Amina mtumishi wa BWANA
Be blessed man of God,
Napenda kukufuatilia sana.
Ni mimi fikiri Simon sanane
Ubarikiwe 🙌🙌🙌🙏
Barikiwa sana Baba🙏
jamani nawezaje kuongea na huyu mchungaji japo mkali ila anisaidie maswali nikiyonayo hata namba ya simu au ya mke wake jamani
Pole kama uko dsm. Nenda TAG Majumba Sita. Utampata
Nimtu wa watu hana shida yupo Kwa ajili ya watu mtafute atakusaidia sana Mimi amenisaidia sana
Baba nakupenda Sana sana
AMINA
Mnapatikana kwny television ipi
🙏
Zura apokee mapaja kwa jina la yesu
Tunakupata vizur huku lindi
Aseh 😭
Halleluyah
Nipo kigoma,vitabu vyako vinapatikana wapi?
Unaniubiri nikiwa ASia nashukuru mungu
nataka kujua kanisa lake liko wapi nataka nikasali pale
TAG majumba sita DSM
nikifika apo pande zipi
@@leahpaulo6543 mm namfaham kupitia youtube sijafika kanisa lake ila ninauhakika ni mchungaj wa TAG Majumba 6. Naomba ukienda huko peleleza hta kwa bodaboda utapaona hapo majumba 6. Nikifanikiwa kupat mawasiliano nitakujibu hapa
saw nimekuelewa
Mitambo
Hata nami nahitaji identical twins girs