Sheikh mwaipopo masheikh wetu wa kiislamu wasikuvunje moyo, wao kazi kubishana na kutukanana wao kwa wao, wamewaacha ndugu zetu hawa wanapotea na tumeamrishwa kuwalingania ili waje kuokoka na moto, saivi watu imani imeshuka sana masheikh ndio wanaotakiwa kuongeza jitihada ili imani watu zirudi, wao ndo kwanza wanatukanana, mie nipo pamoja na wewe na ukikosea nitakwambia umekosea mkamilifu ni Allah peke yake ila nipo pamoja na wewe sheikh wangu..ingawa utachukiwa lkn usijali hata mitume wa Mungu walichukiw. Sheikh wallahi unajuwa..
@@swaleheally8134Ni wengi nyakati za Yesu waliongea kama were adi mpaka Yesu aliposulubiwa wakasema: "kweli, huyu alikuwa mwana wa Mungu" maneno ya biblia. Ndipo saa zingine unaambiwa, " do not judge the book by it's cover.
Assalam alaikum, Sheikh Mwalpopo uko Sawa,Mungu akupe afya na nguvu za kuendelea kuitangaza DINI ya Mungu na usichoke kuutetea uislamu na Allah atakulipa duniani na kesho Akhera.... Aaaamiiiin..!!
Mtume meshak Mungu akubariki tunaomcha Mungu hatujisifii usomi wala elimu maana neno la Mungu wakweli linatafsiriwa kwa Roho Mtakatifu,,mpokee YESU KRISTO mwipopo akuondolee majini
Ubarikiwe shehi wetu ishallah kwanza hajui kutamka neno la kuru Ani anasema kuruwani mpubavu yéyé lakina asuburi jibu la kuru Ani likimfikia machoni yake ataona.miujiza ya kuru Ani
Mungu awape macho ya rohoni...hamjajua kazi ya Roho Mtakatifu...1 Wakorintho 2:14 Basi mwanadamu wa tabia ya asili hayapokei mambo ya Roho wa Mungu; maana kwake huyo ni upuzi, wala hawezi kuyafahamu, kwa kuwa yatambulikana kwa jinsi ya rohoni.
Yesu Kristo ni njia kweli na uzima kama unataka kupona na jehanamu ndugu yangu Muislam mpokee Yesu Kristo leo.Pasipo Yesu Kristo mbingu kuiona haiwezekani
Wakristo mnafeli kwa sababu ya kusikiliza propaganda za wachungaji feki na manabii, someni ili mumjue mungu wa kweli aliyekuwa anaabudiwa na mitume wote.
Kwa Mungu hakuna usomi Wala theolojia-Mbinguni wanaoingia ni Waliosamehewa dhambi na anayekusamehe dhambi ya mwanadamu ni Yesu Kristo ambaye waislamu hamwamini bali mnamwamini mtume Muhammad AMBAYE ni binadamu tu na hana uwezo wa kusamehe dhambi ya mtu yeyote na pia ameshakufa Lakini YESU KRISTO alipouawa alifufuka na Kisha alipaa Mbinguni na YU HAI MILELE YOTE na ndiye atakayeuhukumu Ulimwengu wote-yohana 5:22-23
Uko sawa mtume meshaki mtume Mali ya bwana hakuna mtu atakae elewa unayo yafundisha ispokua wale wanao ongozwa na roho mtakatifu bwana yesu asifiwe Sana🙏🙏🙏🙏
Nakupenda sheik wangu apa nataka nikulushie ela kwenye namba Yako sasaivi tupe dawa maana waislam wenye elim wamelala wanakufa na elim bila kututangazia mambo ya kiislam Sasaivi wanaongele mpila
@@TALLUBOY wewe ndio umesema KRISTO ni dini,lakini maandiko hayasemi unachosema umedanganywa, KRISTO ni Mungu na pia mtoto wa mariam alirithi na kupewa Hilo jina kama alivyopewa jina YESU,na maana ya neno KRISTO ni mpakwa mafuta yaani alikubaliwa aliyepata kibali na MUNGU aliyechaguliwa hii ndio maana ya KRISTO.sasa Basi Mkristo NI nani?, NI mtu anayemuamini KRISTO ambaye ni mtoto wa mariamu sasa anayeamini na kufata mafundisho yake ambalo ni neno la Mungu huyo anaitwa MKRISTO,MWAMINI,WANAFUNZI,THENASHARA WALIOOKAKA, WATAKATIFU,WATEULE.kwenye maandiko kuna maneno ya MUNGU hakuna dini,Dini inaanzishwa na wanadamu lakini maneno ya KRISTO yanaletwa na Mungu mwenyewe
@@TALLUBOY umedanganywa, mwapotea Kwa sababu hamjui maandiko wala uweza wake, dini haimpeleki mbinguni mtu, Mungu ameleta Yesu ili kila amwaminiye asipotee(KUZIMU),Bali awe na uzima wa milele,na YESU anasema Mimi ndimi njia ,kweli na uzima mtu haji Kwa Baba ila Kwa mimi.sasa hapo kuna dini hapo,ili umuone Mungu unamuhitaji YESU
Soma bibilia Yesu hakutumwa kwako usipotee soma utoe ujinga.Wakristo shule mnasoma lakini dini hamtaki kusoma munaaminishwa mijambo haipo mutakuja kujuta siku ya mwisho ,hamuna Mungu wala nabii wala kitabu nahiyo biblia si yenu wazungu wamewapoteza sana
Yesu hajatuma kwako soma biblia kwanza uelimike japokua i kitabu chako wakristo poleni sana Hamumjui Mungu wala nabii wala kitabu niwazungu wamewaletea biblia kila karne wanatoa hili wakiongeza lile.
Kufanya huduma sio shida,shida ni ww bado utamfata huyo Nabi chizi ambao kwenye bibilia mafundisho hayaeleweki??si kuna Aya hizo zatolewa kwenye bibilia????si wajiona kama ww ni chizi ndugu,😊😅😊😅😊muhimu hapa ni ww uelewe ukweli uko wapi,,na sio kukomeshana,
@@criminalminds7723 huyo ni chizi sawa ila Mungu mwema wewe mwenye akili timam Mungu akubariki, yote wa yote tunamuachia Mungu ndio mwenye kutoa hukum
😢 waisilamu ni kweli nyinyi kweliwa bibilia amuwezi elewa ata bibilia emeshinda wakirsto kutafisirii but remember musema kweli ni yesu mwokozi wetu na muhumba baba yetu wabinguni Kwa ufunuo wa ROHO mutakatifu yesu ana sema wakirsto na waisilamu na watu weginee awataki kuja😢 kwa muhumba baba yetu wabinguni na mwokozi wetu yohana 5:39_
Mwaipopo hoja zako ni nyepesi sana,shida ya nyie waislamu mnamuwekea Mungu mipaka yaani Mungu hafanyi hiki afanyi hii. Mnashindwa kuelewa Mungu ni roho na roho uchukua mwili.Kashindana na Mungu akiwa Kama mwanadamu.
Sheikh mwaipopo masheikh wetu wa kiislamu wasikuvunje moyo, wao kazi kubishana na kutukanana wao kwa wao, wamewaacha ndugu zetu hawa wanapotea na tumeamrishwa kuwalingania ili waje kuokoka na moto, saivi watu imani imeshuka sana masheikh ndio wanaotakiwa kuongeza jitihada ili imani watu zirudi, wao ndo kwanza wanatukanana, mie nipo pamoja na wewe na ukikosea nitakwambia umekosea mkamilifu ni Allah peke yake ila nipo pamoja na wewe sheikh wangu..ingawa utachukiwa lkn usijali hata mitume wa Mungu walichukiw. Sheikh wallahi unajuwa..
Daa umeongeza ukweli
Nilivo ona picha ya muchungaji tu sikuona umuhimu wa kusikiliza mana yemwenyewe yopo kama dishi lime yumba
@@swaleheally8134Ni wengi nyakati za Yesu waliongea kama were adi mpaka Yesu aliposulubiwa wakasema: "kweli, huyu alikuwa mwana wa Mungu" maneno ya biblia.
Ndipo saa zingine unaambiwa, " do not judge the book by it's cover.
Mungu aendelee kukubariki shekhe wetu mwaipopo tuwasaport mashekhe wetu na tusikubali dini yetu ichafuliwe na wahuni wa kanisan
Sema shetani aendelee kumbariki sio MUNGU aliyeumba mbingu na nch.
@@wilisonmikate1652 Bangi izo!!!!.
Jazakallahu lkheir Shekh. ALLAH akulipe kila la kheir
Assalam alaikum, Sheikh Mwalpopo uko Sawa,Mungu akupe afya na nguvu za kuendelea kuitangaza DINI ya Mungu na usichoke kuutetea uislamu na Allah atakulipa duniani na kesho Akhera.... Aaaamiiiin..!!
Ameen.inshaallah.
Shukran jazaka llahu khaira Allah akupe umri mrefu wenye manufaa ya shekhe
Barakah ALLAHU fiiqum hbbi mwaipopo Allah swt akulinde na kila aina husda na balaa na akupe mwisho mwema aaamiin ahsatum xnaa hbbi
Nikweli hatuabudu mungu wa izraheli ila tunabudu mungu waulimwengu mzima bila kuchagua inchi Allah akuifazi sheikh mwaipopo ❤❤🎉🎉🎉😊😊
Komaa Sana Sheikh Mwaipopo!
Kazi njema Kazi nzuri kabisaa Hii!
Mpe huyooo!!
Upo sahihi shekhe wetu allah akulinde
Allah akuongoz shekh kwenye kheri
Mtume meshak Mungu akubariki tunaomcha Mungu hatujisifii usomi wala elimu maana neno la Mungu wakweli linatafsiriwa kwa Roho Mtakatifu,,mpokee YESU KRISTO mwipopo akuondolee majini
Wajinga ni wengi huyo unaemwita mtume anaonekana kabisa anatabia za wanawake
Soma vizuri kijana yesu nabii ISSA a.s alikuwa anatabiri mtume MUHAMMAD S.A.W
Yesu na ISSA ni watu wawili tofaut kabisa kwa ushahidi wa Quran na Biblia
@@heritier5119 Yesu ni Issa wacha masiara ww
@@heritier5119mh pole sana yesu mmembatiza nyinyi kanisani katka Quran tukufu anaitwa issa ibni Mariam
Mashallah, sheikh Mwaipopo Allah akujaze kheri
Brother Mwaipopo your true.
Allah akuzidishiye kheri juu ya Kheri zote za duniyani na Akhera
شكرن شيخنا الفاضل مويبوبوا
MashaAllah shekhe wetu nikiwa kenya nafatilia sna nakuskiz mawahidha
Ostaz mwaipopo nakukubal
Sana shekhe wangu
Allah akulinde shekh wetu
Ubarikiwe shehi wetu ishallah kwanza hajui kutamka neno la kuru Ani anasema kuruwani mpubavu yéyé lakina asuburi jibu la kuru Ani likimfikia machoni yake ataona.miujiza ya kuru Ani
Mashaa Allah sheikh Allah akulipe kila lakher
Asalaam aleikum ,,, Masha Allah mwaipopo your doing great job
Masha Allah sheikh mwaipopo pasua majipu hayo usiache hata kipele huyo pastor emechoka hata nywele zinavumbi
Nywele zake kama mavuzi ya Punda huyu anaejita paster
@@hamadeddymaclayz hahahahaha
@@hamadeddymaclayz uishi miaka mingi 😂😂
Halafu mbona huyu mchungaji anaonekana Kama mpiga debe kwenye madaladala
@@chikuiddy9946 umeona eeh!! Mi nilikutana nae mwembe yanga alikua anagombana na konda kisa 100 alimzulumu alitakiwa ampe 500 akampa 400
Mungu awape macho ya rohoni...hamjajua kazi ya Roho Mtakatifu...1 Wakorintho 2:14
Basi mwanadamu wa tabia ya asili hayapokei mambo ya Roho wa Mungu; maana kwake huyo ni upuzi, wala hawezi kuyafahamu, kwa kuwa yatambulikana kwa jinsi ya rohoni.
Allah akulipe pepo Sheikh wangu🤲
Allah akubariki pastor nakukubaliii sanaaa
Mashallah
Yesu Kristo ni njia kweli na uzima kama unataka kupona na jehanamu ndugu yangu Muislam mpokee Yesu Kristo leo.Pasipo Yesu Kristo mbingu kuiona haiwezekani
Tatizo Yesu si Mungu😂
N sawa what is the key to heaven ukipata basi mm nawe leo hii mkristo😂😂😂
Wakristo mnafeli kwa sababu ya kusikiliza propaganda za wachungaji feki na manabii, someni ili mumjue mungu wa kweli aliyekuwa anaabudiwa na mitume wote.
Wewe utatumia njia gani ili uende peponi??
@@RastaSuma waambie ukweli
Mashallah nakupenda shekhe Wang kwa ajili ya mwenyez mungu
Nakupenda sheikh mwaipopo kwaajili ya Allah
❤❤❤tuongoze mnoo kwa idhin ya Allah
Nakupenda saan kwa Ajili ya Allah ALLAH aukuongoze sahihi zaidi
Huyo mchungaji alivuta sana bangi
Alivuta sana tena alipitiliza siku hiyo pole sana
😅😅😅😅😅😅
Allah ukuzidishie Askari wamtume muhammad ( saw)
Ma Shaa Allah Allah Akuhifadhi amin
Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuhu sheikhuna Mwaipopo. Safi sana.
MashaAllah shekhe uko sawa ALLAH akulinde
Assalaam alaykum
Jazaaka llah khair sheikh mwaipopo.
Waislamu kweli haya makundi yanatukosesha umoja nguvu kuutangaza uislamu kwa wakristo.
Shekh Allah akuhifadhi na uendelee kutuelimisha
Huyu mchungaji mwenyez mungu atamuhukumu wallahi
Umesema kweli sheikh,
Kwa Mungu hakuna usomi Wala theolojia-Mbinguni wanaoingia ni Waliosamehewa dhambi na anayekusamehe dhambi ya mwanadamu ni Yesu Kristo ambaye waislamu hamwamini bali mnamwamini mtume Muhammad AMBAYE ni binadamu tu na hana uwezo wa kusamehe dhambi ya mtu yeyote na pia ameshakufa Lakini YESU KRISTO alipouawa alifufuka na Kisha alipaa Mbinguni na YU HAI MILELE YOTE na ndiye atakayeuhukumu Ulimwengu wote-yohana 5:22-23
Hasbiyallahu waneema lwakiil uyu MJINGA sana
Allah akuzidishie umr
Good
mwenyezimungu akujaliye umri mrefu sheikh wetu😋🙏🙏
Allah Akupe uhai mrefu shekhe wngu n
Mwaipopo hongera
Nakuamini sana shekhe mwaipopo
Shekh allah akupeshifa usidi kuwaeleza ukweli ,asalamu aleykum
Uko sawa mtume meshaki mtume Mali ya bwana hakuna mtu atakae elewa unayo yafundisha ispokua wale wanao ongozwa na roho mtakatifu bwana yesu asifiwe Sana🙏🙏🙏🙏
Amen
Mashallah Allah
Ubarikiwe meshaki
Inshaallah mwenyezi Mungu akupe kheri
Nakupenda sheik wangu apa nataka nikulushie ela kwenye namba Yako sasaivi tupe dawa maana waislam wenye elim wamelala wanakufa na elim bila kututangazia mambo ya kiislam Sasaivi wanaongele mpila
Masha'allah
Huyu mtume Meshach NI mtume wa YESU KRISTO
Nitafutie mstari uliyo
Andikwa kristo ni dini
Kwenye bibilia zote
Agano jipya na agano la kale
Alafu niambie mstari fulan
@@TALLUBOY wewe ndio umesema KRISTO ni dini,lakini maandiko hayasemi unachosema umedanganywa, KRISTO ni Mungu na pia mtoto wa mariam alirithi na kupewa Hilo jina kama alivyopewa jina YESU,na maana ya neno KRISTO ni mpakwa mafuta yaani alikubaliwa aliyepata kibali na MUNGU aliyechaguliwa hii ndio maana ya KRISTO.sasa Basi Mkristo NI nani?, NI mtu anayemuamini KRISTO ambaye ni mtoto wa mariamu sasa anayeamini na kufata mafundisho yake ambalo ni neno la Mungu huyo anaitwa MKRISTO,MWAMINI,WANAFUNZI,THENASHARA WALIOOKAKA, WATAKATIFU,WATEULE.kwenye maandiko kuna maneno ya MUNGU hakuna dini,Dini inaanzishwa na wanadamu lakini maneno ya KRISTO yanaletwa na Mungu mwenyewe
Bibilia kitabu cha nani?
Aya kama kristo umekili
Siyo din asiye kuwa na dini
Ni nani kama siyo kafiri badilia
Njoo kwenye din ya haki ambayo
Itasimamishiwa kiama siku yamwisho
@@TALLUBOY umedanganywa, mwapotea Kwa sababu hamjui maandiko wala uweza wake, dini haimpeleki mbinguni mtu, Mungu ameleta Yesu ili kila amwaminiye asipotee(KUZIMU),Bali awe na uzima wa milele,na YESU anasema Mimi ndimi njia ,kweli na uzima mtu haji Kwa Baba ila Kwa mimi.sasa hapo kuna dini hapo,ili umuone Mungu unamuhitaji YESU
Shekh mungu akupe pepon ya firadaus
Shekh Mwaipopo uko sahihi sana tu
Mungu akutangulie uko sawa
Shekha wetu mweipopo Allah akuifanzi inshallah
Acheni hayo mambo bhanaaa Tanzania tuna amani hatuna udini nchini kwetu kwahy acheni hayo mambo hayampendezi mungu
safi ustadh
Mungu wenu waislam sio mungu wenu mwenye nguvu kwajina la yesu matatizo Keisha nyinyi mnatumia majini wap nawap
Dah mungu tuepushe
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇲🇿🇲🇿🙏🙏🙏
Shekhe mwache huyo ni muhubiri shoga.
Shekh mwaipopo nakupend kw ajili ya allah
Mamoja na yote haya
Miye namshukuru sana yesu kwakunipa wokovu👏
Kasome Biblia kwa makini wewe:- (KINGI JAMES VERS. 1952)SOMA 15:7 MATHAYO na 7:24 MATHAYO
Allah atakulipa cku y kiyama endelea kueneza dini ustadh usikufe moyo
Masamehe hajui atendalo
Sheikh wangu mueleze ukweli uyo mpumbavu qur an hauna Shaka ndani yake Allah anaupenda uislam
mashallah sheikh mwaipopo
Duu!! Nimecheka sana mungu amekula kichapo
Wokovu ni mpango wa Mungu kumtafuta mwanadamu
Shekh fanya kaz ya ALLA achana na wababaishaji na sku ya mwisho utalipwa ujira wako inshaala
Manshallah
Uyu chizi sana siyo bule
Mashallah Ukitaka kufanikiwa kwenye dini ya MwenyeziMungu unatakiwa kuwa na Subira hutakiwi kuonyesha hasira
Asallaàm. Mwaipopo. Na BABU mazingee. Toweni mahadhara.msiache na hata kuwenawengine mashekh toweni mihadharani mizuri
Wote Hawa kiboko Yao Mwalimu Ndacha wa Kenya anayo majibu Yote ya shaka ya maswali Yote kwa waislamu
@@heritier5119yule mbabaifu
@@heritier5119anabishana hadi na wakristo wenzie
Jmn yesu krìsto ni njia ya kweli na uzma,,mungu awàsaidie,,Queen sio kitabu cha mungu
Huoni iabu kupita hapa wewe pinga kwa hoja au tujibu yessu ndio dini Nani si mnasema yessu ni Mungu Sasa mungu Tena njia ya kwenda kwa Mungu gani Tena
WEWE DINI YENU INARUHUSU KUSAGWA NA MWANAMKE MWENZAKO VP USHAMPATA BASHA WA KIKE?? FURSA HIYO 😂😂😂😂
Soma bibilia Yesu hakutumwa kwako usipotee soma utoe ujinga.Wakristo shule mnasoma lakini dini hamtaki kusoma munaaminishwa mijambo haipo mutakuja kujuta siku ya mwisho ,hamuna Mungu wala nabii wala kitabu nahiyo biblia si yenu wazungu wamewapoteza sana
Yesu hajatuma kwako soma biblia kwanza uelimike japokua i kitabu chako wakristo poleni sana Hamumjui Mungu wala nabii wala kitabu niwazungu wamewaletea biblia kila karne wanatoa hili wakiongeza lile.
Hata aibu wala uwoga unaongea
Asante shekhe kwa kumleta huyu mtumishi ili mupokee injili ya Yesu Kristo , mumfuate ili muingie mbinguni
Ndugu mwaipopo sema usemavyo ukubuli au ukatae lakini nikuambie tu YESU KRISTO NDIYE MWAKOZI WA ULIMWENGU,Nkushauri tu mwamini YESU UTAOKOKA
ASANTE
Allah s.w. azidi kukubariki. ❤❤❤
Huyu pastor naona anatafuta kick tu laana za Allah zimshukie kafiri mkubwa
Usomi ndo kenda mbinguni
Yamkuta wapi mbona bado anaendelea kufanya huduma,Acha uongo
Kufanya huduma sio shida,shida ni ww bado utamfata huyo Nabi chizi ambao kwenye bibilia mafundisho hayaeleweki??si kuna Aya hizo zatolewa kwenye bibilia????si wajiona kama ww ni chizi ndugu,😊😅😊😅😊muhimu hapa ni ww uelewe ukweli uko wapi,,na sio kukomeshana,
Kwa sababu unakula unashiba soma kitabu chenu vizuri uwelewe vizuri
@@mengirashidy-ld3lm kinaeleweka vizur Kwa wale waliomuamini Yesu Kuwa Mwana wa Mungu
@@criminalminds7723 huyo ni chizi sawa ila Mungu mwema wewe mwenye akili timam Mungu akubariki, yote wa yote tunamuachia Mungu ndio mwenye kutoa hukum
Njukubari sana mwaipopo
Waislam mpokeeni Bwana Yesu maana ndiye Mungu wa kweli na Haki mtayajua mambo ya Rohoni
Mungu wakwel kivip acha ujiga unamkubali bina dam kama wewe alika tumbon kwa mama yake mwez 9 nakanyonya kama wew leo unasema ndio mungu uko lofa sana
@@IssaMbaru-qw6ug hauwez kuelewa mambo ya rohoni kama upo mwilin mpendwa
YESU ndie Mungu wa kweli! na yeye Mungu mwenyezi tumite nani?
😢 waisilamu ni kweli nyinyi kweliwa bibilia amuwezi elewa ata bibilia emeshinda wakirsto kutafisirii but remember musema kweli ni yesu mwokozi wetu na muhumba baba yetu wabinguni Kwa ufunuo wa ROHO mutakatifu yesu ana sema wakirsto na waisilamu na watu weginee awataki kuja😢 kwa muhumba baba yetu wabinguni na mwokozi wetu yohana 5:39_
Mwaipopo hoja zako ni nyepesi sana,shida ya nyie waislamu mnamuwekea Mungu mipaka yaani Mungu hafanyi hiki afanyi hii.
Mnashindwa kuelewa Mungu ni roho na roho uchukua mwili.Kashindana na Mungu akiwa Kama mwanadamu.
Wakongo watatuibia sana Tz
Kweli wahislam wanahangaika sana kazi yao kuponda tu na kufuatilia waklisto,endelehen kumwabudu muhamand na ss yesu kristo
sw mbichwa
Hahahaaaa uchi wa babayao jaman
shehk upo sawa sana
Nabii kachokaa hahahaaa
Ongela
Aa!! Mtu mwenyewe muhuni tu kumbe bangi Iko kichwani.
LaaRaibafii 🎉❤❤
Imalilah wainalilah rajiun
Innalillah. Walnnalillah. Rajiun 9:03