Da vaileth nimefurahi sana kuona ukitimiza NDOTO yako ya kuwa mwimbaji bora kabisa, hongera sana dada, nakumbuka yukiya chuo kikuu ulikuwa ukisoma sana na kutuma nyimbo za kumsifu mungu, Hongera sana
Mungu akubariki sana Dada yangu, ni mambo mengi nayapitia kwa sasa, ila naona ushindi mbele yangu kwa kuwa ninayemwamini ni mshindi. Ubarikiwe sana Dada kwa ujumbe na Mungu wa mbinguni azid kukuinua kwa viwango vingine.
Nani bado anaangangalia hii video twenty twenty...(2020)...mtumishi wa Mungu Vaileth mwaisumo nakukubari saana .NA MUNGU AMEWABARIKI MNOO MNA KITU CHA PEKEE NA MME WAKO MCHUNGAJI AMANI KIWALE.MUNGU AWATANULIE MIPAKA YA HUDUMA YENU ZAIDI.ambao bado mnaanga hii video mwaka huu naomba niwaone like zenu.
Going through alot i have school fees to pay, uniform to buy have no money have no job, sometimes my sister see nothing from me Heavenly Father please you know desires of my heart we're almost ending the year without achieving my desires and i know for you its not lake please God for the sake of my kid and my parents do something heal my situation please my creator,,, restore everything back to me, i know its not too late😢😢😢😢😢
From TikTok to this platform....enyewe amebaki mwenyewe
Amen inatia nguvu sana wimbo huu❤❤
It's a Jamhuri day in Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️❤️ good song to our souls 🙂🙂 watching,,,, 12th December 2024
Who is here 2024.....umebaki mwenyewe
Am here
Hii🙏
Wakati kipindi cha maisha ni kigumu Huwa ni Mungu anabaki i katika maisha Yako
Amen
Who is here 10/2/2024 umebaki mwenyewe Tu baba❤
I'm here
Hii nyimbo ukiimba kwa kumaanisha huku unacheza utaona vifungo vinapofunguliwa
Sifa na utukufu kwa aliye juu😍😍
Ohooooo hallelujah
Daah wimbo mzuri na umenibariki mnoo Mungu azidi kukuinua katika viwango wa juu zaidi
Ongera my dear mungu akubariki sana
Who's with me this September 2024 again? Like my comment
Hakika amebak mwenyewe tu ma penda sanaa ww da vaileth kipenz Mungu azd kukuvisha vaz la sifa my love
@@vailethmwaisumo Jamni kumbe ndo wew Dada angu nakupenda sana
@@vailethmwaisumo sawa Upo poa sana
Ahsante sana, naupenda wimbo huu sana
Mungu Akuinue Zaidi Mtumishi 👍
hongera Mamy nyimbo nzur San imenigusa
Barikiwa saanaaa
What a soul Nourishing song.........whose here 2024
Barikiwa kwa ujumbe mzurii
Asante da mkubwa umenibariki my dada barikiwa
Nabarikiwa dada Mungu akupandishe viwango
Hongeraaa dada
Amen, hakika YESU pekee ndio kimbilio letu ,barikiwa sana
Hakika umebakia pekeyakoo baba unitoshae! Mungu akubariki dada
Wimbo mzur saana mpendwa barikiwa saana
Da vaileth nimefurahi sana kuona ukitimiza NDOTO yako ya kuwa mwimbaji bora kabisa, hongera sana dada, nakumbuka yukiya chuo kikuu ulikuwa ukisoma sana na kutuma nyimbo za kumsifu mungu, Hongera sana
Hallelujah barikiwaaaaaaa saaaanaaaaa Mtumishi
Kazi nzur ,barikiwa
Mungu akubariki sana Dada yangu, ni mambo mengi nayapitia kwa sasa, ila naona ushindi mbele yangu kwa kuwa ninayemwamini ni mshindi. Ubarikiwe sana Dada kwa ujumbe na Mungu wa mbinguni azid kukuinua kwa viwango vingine.
Kweli amebaki mwenyewe barikiwa sana
Barikiwa dada
God bless you my mother
Umebaki mwenyewe baba,,there is none like you Abba father..who is with me 3rd oct 2024
Kaz nzuri sana dada🤝🤝
Nyimbo nzuur my
Ujumbe mzuri Barikiwa sana Mtumishi
Barikiwa da vai Mungu akutunze
Hongeraaaa wimbo mzuri
Umebaki mwenyew ,,,,vizuli sana dada yangu nakupenda sana
Sawa nakutakia kazi njema
wimbo mzuri nimeupenda sana wimbo huuu.ubarikiwe
True umebaki mwenyewe baba🇰🇪🇰🇪
Hongera kwa wimbo mzuriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiu
Wimbo huu nausikilza kila saaa, unanibariki mnoo
Mungu akubariki kwa huu wimbo
@@mariamjuma1371O'Toole's I my friend good
Umenibariki Sana na huu wimbo. Mrs Mc Willehard
Amina🙏🙏umebaki mwenyewe Baba🙏🙏upon you we all surrender 🙏🙏
Hakika ni wimbo mzuri sana unatia nguvu Mungu akubariki na aendleee kukutumia
Mungu akubariki dada yangu ujumbe mzuri sana na hakika amebaki yesu pekee hasa katika dunia yetu hii
nice video!😃😃😃hongera sana nmeipenda na ujumbe mzuri
Nani bado anaangangalia hii video twenty twenty...(2020)...mtumishi wa Mungu Vaileth mwaisumo nakukubari saana .NA MUNGU AMEWABARIKI MNOO MNA KITU CHA PEKEE NA MME WAKO MCHUNGAJI AMANI KIWALE.MUNGU AWATANULIE MIPAKA YA HUDUMA YENU ZAIDI.ambao bado mnaanga hii video mwaka huu naomba niwaone like zenu.
Barikiwa sana
Umebaki mweyewe Baba kwa daima naakungoja Baba nakuhitaji
Ongera sana
Hongera sana mtumishi wa Mungu
Amen...barikiwa mumie
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu kwa ujumbe wako.
Baba Baki mwenyewe kwenye maisha yangu
Daaa nimebarikiwa Sana kwa wimbo huu,Ukawe kichwa nas mkiaa ktk uimbaj wako,
Nabarikiwa sna na hii nyimbo Mtumishi Mungu mwema azidi kukutumia na kukuinua zaidi. Nakupenda unajua mama
safi sister kazi nzuri Mwenyez MUNGU akusisamie vyema kaka utendaji kaz wako mzuri
Barikiwa sana mu sister
Wow! wimbo mzuri sana umenibariki
Hakika Mungu nishike mkono Baba maana sina mwingine pasipo wewe.....nahitaji mwongozo wako katika kila hatua ninayopiga🙏🙏🙏🙏🙏🙏
🎶Kazi nzuri sana Dada yang
Kazi Nzuri saaana my dear
2024 September watching this song mara kathaa kwa siku
Ata na mimi naumia sana nimeotea nyimbo yako kali sana. et umebaki mwenyew umebaki mwenyewe
Naaamini kwa yote napitia sahii,,,,kupitia kwa huu wimbo kila jambo litafunguliwa😢😢
Hata Kama life n ngumu mungu hawezi kukuwacha Kwa sababu yeye n mweza yote,,, mungu akubariki sana mum❤❤🙏
Lovely 🌹🌹🌹🌹 and blessed 😇 direct from TikTok 🙏
Mtumishi mwema umebaki mwenyewe hakisha mungu akupambane maisha kwako
Amina Dada mungu wambinguni akubaliki
nyimbo nzuri barikiwa sana
Ubarikiwe Dada
Balikiwa San dada kwel amebaki mwenyewe to hakuna kama yeye
Dada Vaileth Mungu akuinue zaidi, kazi nzuri imenitia moyo sana
Amos Msambila shukrani sana kaka Amos
Aminaaa ni nyimbo nzur sana
Kaz nzur barikiw Amin
Hongera sana my dear
Wimbo mzuri sana. Ubarikiwe sana
Umebaki mwenyewe baba🙏🙏🙏👏👏
Kazi nzuri hii
amen..umebaki mwenyewe baba yangu
Amina
Hakika ni yeye mwenyewe tu ndie kimbilio la kweli,MUNGU azidi kuibariki huduma yako dada
Going through alot i have school fees to pay, uniform to buy have no money have no job, sometimes my sister see nothing from me Heavenly Father please you know desires of my heart we're almost ending the year without achieving my desires and i know for you its not lake please God for the sake of my kid and my parents do something heal my situation please my creator,,, restore everything back to me, i know its not too late😢😢😢😢😢
Nice song I love it 💃💃👏🙏
Ameen,,n wewe 2 baba umebaki kwa maisha yangu.asante mum
Amina
Use na bidii zaidi
My song Mungu akubariki
Hongera kwa wimbo mzuri, una ujumbe mzr mungu akubariki sana
Munguuu azidii kukuinuaa juuu zaidii kwakwer ubarikiwe nimependaa wimbo mzur xana
Ubarikiwe kwa nyimbo zako mungu umebaki mwenyewe kwenye maisha yangu
Barikiwa sana sister yetu🙏
Umebaki mwenyeweee
Umebaki mwenyewe baba🙏😭😭😭
❤
amen,umebaki mwenyewe mungu,Sina munginenwa kunisahidiya mungu
I am inspired and for sure, God The Almighty is the Only one who knows us
Kaz nzur
Ubarikiwe katka bwana
Amina
Ubarikiwe sanaa
Umebaki Mwenye baba
Amen
Hakika wanadamu wanaweza kukuacha lakini Mungu anabaki na wewe daima. Asante na barikiwa pia katika huduma yako Dada.
Woow.
Umenibariki. Na. Kunisogeza kwa wimbo huu mpendwa.
HAKIKA AMEBAKI MWENYEWE. HAKUNA ZAIDI YAKE🙏🙏💜
Tumaini Godchance shukrani sana mpendwa wangu
vaileth mwaisumo tuko Pamoja Sister Wang
Barikiwaaaaaaa
Nipoa
flora Tanzania misayo video nzuri pia ကashairi mazuri