Natamani tusiseme, Mungu akuinue, tyr kashainuliwa. Tubadilishe mitazamo, kama kweli tunabarikiwa na hawa watumishi ambao Mungu amewashusha kutuhudumia kwa nyimbo nzuri hivi basi tuwe wawezeshaji maana gharama wanazotumia ni kubwa mno. Natamani watu waombe namba warushe hata 5000, 100K n.k na hapo ndipo baraka zao pia zinapokufuata. Haya maneno makavu tuache. Binafsi naomba nipate namba za kiongozi, nitafanya jambo kwa ajili yao kwa wakati wa Bwana. I promise. I am fully blessed aise.
Huu wimbo utaleta maana kwako kama tu akili zilishawahi kufika mwisho na hukuwa na tumaini jingine - maana utendaji wake Bwana Mungu ni zaidi ya fahamu zetu, mawazo yetu, akili zetu na upeo wetu.
Inji swahili tu ishi upendo n'a umoja kweli MRUMA huu wimbo si wako ila ni ufunuo kutoka mbinguni kwetu Sisi wa congomani ingawa je shida za vita lakini tutaenda mbele tu hakuna kurudi nyuma , ubarikiwe mzee wangu 🇨🇩🇹🇿🇺🇬🇷🇼🇧🇮
C'mon man.. Henrick, ulikuwa wapi with all these sweet yet powerful worship songs🔥🔥.. Thank you so much for saying Yes to Jesus calling to this ministry, unatuhudumia bro, Mungu akuinue sana sana, #zaidiyafahamu #unafanyamwenyewe #ukomwenyewe
Kepha mndeme mungu abariki kazi ya mikono yako hakika tumetoka mbali mwalimu George sindano mungu amrehemu Mahali alipo kaweka alama kwenye kalama yako.
ata uvuvio wa wimbo ukae nami upo tayari mwingine umeanza . Kwa kweli Mungu ni wa ajabu anafanya maajabu zaidi ya fahamu ,mawazo,akili zaidi ya upeo wangu. Ahsante Yesu
O YES HALLELUJA MUNGU WEWE NI WA AJABU... NA PALE NINAPOSHINDWA UNAFANYA MWENYEWE.....NA YALE UNAFANYA KATIKA MAISHA YANGU NI ZAIDI YA UFAHAMU WANGU 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Ooh my good LORD!!!!!!……THIS SEED IS BEYOND EXPLAINATION….ITS HEAVENLY😢😢😢😢😢😢Kiukweli nimebarikiwa na kiiiilaaa kitu.MUNGU AWABARIKI NA KUWAONGEZA🎉🎉🎉🎉🎉🎉
I just heard the song this afternoon wen I went to see the Doctor... As I was there for medication... The doctor was playing it... And I cudnt help it but to interrupt him... Wats the name of the song???? In the end I came to realize that maybe the song was the part of the doze. Mbarikiwe Sana
I’m confused whit his Love…🙆🏽♂️ By nature I never regret having chosen this path that of following the Lord😭🙆🏽♂️🙌🏽 Kiukweli nime hudumiwa na huu wimbo! 🙌🏽🇨🇩 Mbarikiwe kwa huduma
Mithali 21:30 'Hapana hekima, wala ufahamu, Wala shauri, juu ya BWANA.' Asante sana @minister Henrick Mruma kwa ibada hii, Mungu akastawishe zaidi na zaidi huduma hii. 🙏
Kweli mungu anafanya zaidi ya fahamu zetu
Uko mwenyewe Yesu🙌🏾🙌🏾🙌🏾 Tanzania 🇹🇿 uko mwenyewe 🙌🏾🙌🏾
Ubarikiwe kaka yangu na team nzima hii ibada ni kubwa sana 🙌🏾
Mungu akubariki pia dada yangu rehema kwa nyimbo ya neema yako inanibless saana
Powerful song
Ubarikiwe sana Dada. Neema ya Kristo isipunguke kwako.
Amen you Guys have helped me through my salvation journey
Amen man of God
Nipo katika hali tatanishi. Lakini sitaishi katika hii hali. Najua nitatudi hapa kutao ushuhuda vile nimeenda mbele kwani Mungu wetu atanishindania
Amina. May God come through for you 🙏
Ayubu 23:8.tazama naend mbele wala hakuna,narudi nyuma tena lakn siwez kumwon kama wewe😭🙌💪
😢😢🎉😢😢😢😢😢🎉🎉😊
🙌🙌🙌😭😭 mbarikiwe mno vijana wa Yesu.
Tanzanian worshippers, you don't know how much love you have from we the Kenyans.
I swear🙌
Too much love! Team KE
@@sharonatieno6880You also adore their worship songs
Much much love 💯
KWANI WATANZANIA MLIMPA NINI MUNGU !MBONA MNAJUA KU ABUDU NA KUIMBIA MUNGU VIZURI HIVI JAMENI!? ❤
Ni kwa Neema tu
Natafakari asili ya wimbo wakati unapewa, chaguzi ya maneno na kila kitu... Wimbo unanipa kumtafakari Mungu kwa upekee. Ubarikiwe mtumishi wa Bwana.
Umebarikiwa sana kaka
😊
Yani this is one of the sounds zinazoimba kwenye moyo wangu mara kwa mara, Mungu aendelee kumtumia tu mtumishi wake kwakweli 🙌🏾
2:22 unafanya mwenyewe😢😢😢 powerful 🎉 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪tuko Wapi tubarikiwe
🙏 🙏
Glory to God Almighty.
That part 🙏
Uko mwenyewe bwana Wangu Yesu hakuna wamfano wako wala wa nafasi yako ndani yangu....Ninayo furaha sana moyoni kukujua Yesu....👐👐👐👐👐
Amen. 🙌🙌🙌
This song is a blessing in my life. Indeed there's no one that can be compared with our Lord Jesus ,,He is the great I am,,be blessed 🙏🙏
Who's here 30th December 2024🙌💗💗
Natamani tusiseme, Mungu akuinue, tyr kashainuliwa.
Tubadilishe mitazamo, kama kweli tunabarikiwa na hawa watumishi ambao Mungu amewashusha kutuhudumia kwa nyimbo nzuri hivi basi tuwe wawezeshaji maana gharama wanazotumia ni kubwa mno.
Natamani watu waombe namba warushe hata 5000, 100K n.k na hapo ndipo baraka zao pia zinapokufuata.
Haya maneno makavu tuache.
Binafsi naomba nipate namba za kiongozi, nitafanya jambo kwa ajili yao kwa wakati wa Bwana. I promise.
I am fully blessed aise.
0744417141
Mungu Akubariki
I used to listen to secular,but when I listen to this worship song it gives me more reasons as to why we should listen to worship more.
Ni thahiri hamna Kama Yeye... Na iwapo Yuko!! Sio Kama yeye ni yeye tu! Mungu wa Miungu yote
Uko Mwenyewe Yesu hakika Mbarikiwe Sn
Mafuta zaidi kwenu
Amen
Tazama naenda mbele wala hakuna, narudi nyuma tena lakini swezi kumwona kama wewe 😢🥹🥹🥹
Huu wimbo utaleta maana kwako kama tu akili zilishawahi kufika mwisho na hukuwa na tumaini jingine - maana utendaji wake Bwana Mungu ni zaidi ya fahamu zetu, mawazo yetu, akili zetu na upeo wetu.
IBADA IZAAYO MATUNDA #IBADA #SWEETSOUND NDIO NDIO NDIO
Amen Amen
😭😭😭 huu wimbo umenihudumia kwa ubinafsi🙌🙌🙌🙌.
Mungu awazidishie Neema
Inji swahili tu ishi upendo n'a umoja kweli MRUMA huu wimbo si wako ila ni ufunuo kutoka mbinguni kwetu Sisi wa congomani ingawa je shida za vita lakini tutaenda mbele tu hakuna kurudi nyuma , ubarikiwe mzee wangu 🇨🇩🇹🇿🇺🇬🇷🇼🇧🇮
Bass Guitar 🎸 ametenda haki kwenye huu wimbo. Much respect😊
Uko mwenyewe MUNGU 😭😭🙌🙌🙏🙏
Mbarikiwe sana dada na kaka yangu
Uko mwenyewe YESU, MUNGU WANGU
Kuna namna Mungu anaabudiwa katika Roho na kweli 🙇♂️🙇♂️
Mbalikiwe sana watumishi wa bwana nyimbo nizuri zinanipa raha najiona wa thamani zaidi amen amen.
This song calm me . uchungu , hasira na maumivu vinapotea kila ninapousikia.
I just came across this channel today and I can't leave..wapi likes za new subscriber??
Mungu Akubariki sana.
@Henrick Mruma kwa kweli kazi zako Zina nibariki mtumishi, Mungu azidi kukuinuwa
Mungu awasaidie kutunza hiki kitu kikubwa hivi ni maombi yangu Mungu awape kunyenyekea yeye Bwana azidi saana ninyi mpungue
Hakuna kama MUNGU 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Siku zote hakuna
Mungu wa ajabu fanya na kwangu kupitia wimbo huu,,
Ameni. Mungu awabariki sana 🙏🙏.
Nasemaje huu wimbo unamafuta mazito ya ibada yakikumwagikia lazima upigwe na ubaridii🔥🔥
Ooooh Amen bro
C'mon man.. Henrick, ulikuwa wapi with all these sweet yet powerful worship songs🔥🔥.. Thank you so much for saying Yes to Jesus calling to this ministry, unatuhudumia bro, Mungu akuinue sana sana, #zaidiyafahamu #unafanyamwenyewe #ukomwenyewe
Wakati wa Bwana ni wakati sahihi Sir..ndio wakati ulioamriwa SASA na Roho WA Mungu Amen
Ooooh my brother. God’s time is the best time. Please keep on praying for me. 🌱💚
I asked myself the same thing the last two weeks.
His songs are just something else!
Honestly, God's timing is the best.
Bwana unafanya mwenyewe zaidi ya Akili zangu🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Zaidi ya upeo wangu
Mungu azidi kukupa mafunuo ya nyimbo zenye kutuinua watumishi wake, Kaka😭😭😭😭nimebarikiwa nabaki kulia tuu huu mwimbo
Kepha mndeme mungu abariki kazi ya mikono yako hakika tumetoka mbali mwalimu George sindano mungu amrehemu Mahali alipo kaweka alama kwenye kalama yako.
Nchini Kenya 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪 uko mwenyewe bwana...mbarikiwe na Bwana watumishi
Amen. Ubarikiwe sana
@@henrickmruma Amen Amen 🙏🏾
Hakuna wa mfano wako Bwana,upo mwenyewe😭😭🙌
ata uvuvio wa wimbo ukae nami upo tayari mwingine umeanza .
Kwa kweli Mungu ni wa ajabu anafanya maajabu zaidi ya fahamu ,mawazo,akili zaidi ya upeo wangu.
Ahsante Yesu
Ubarikiwe sana
O YES HALLELUJA MUNGU WEWE NI WA AJABU... NA PALE NINAPOSHINDWA UNAFANYA MWENYEWE.....NA YALE UNAFANYA KATIKA MAISHA YANGU NI ZAIDI YA UFAHAMU WANGU 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Ooh my good LORD!!!!!!……THIS SEED IS BEYOND EXPLAINATION….ITS HEAVENLY😢😢😢😢😢😢Kiukweli nimebarikiwa na kiiiilaaa kitu.MUNGU AWABARIKI NA KUWAONGEZA🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Utukufu una Mungu. Zidi kubarikiwa
UBarikiwe sana mwimbaji wa kimataifa Mungu azidi kukuinua viwango vya juu
Hakika 𝐮𝐤𝐨 𝐦𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞𝐰𝐞 𝐛𝐰𝐚𝐧𝐚🙌, tazama naenda mbele🙌🙌
Hakuna kama yeye
Mungu akubariki sana ndugu unafanya ibada nzuri Mungu awabariki sana
Hakuna wa mfano wakooo😭😭😭🙏🙏nyimbo hii jmn bubujiko la nguvuuuu😭
Ubarikiwe sana
Blessed much servant of God, Jesus may keep you forever.
"Pale ninaposhindwa mungu anafanya mwenyewe", I can't get tired of this song, barikiwa sana Henrick with your team
Same here, I've played more than a 100 times and still playing it again and again
UKO MWENYEWE HAKUNA WA MFANO WAKO BWANA🧎🧎😭😭😭
Ubarikiwe mno
MUNGU anazidi kuwa waajabu katika kila hatua ninayo mshirikisha mbarikiwe sana na nyimbo nzuri
Wimbo wa baraka saana ,,anafanya zaidi ya fahamu yetu ,,natamani saana nitembee Kwa neema yako mtumishi ,, ubarikiwe
Mungu awazidishie wimbo huu unabariki moyo wangu
Uuuuuuuuuuuw!! Unafanya mwenyewe YESU, hakika kazi yenu ni njema MUNGU wa mbinguni azidi kuwapa maarifa zaidi ndani yenu.
Hakuna kama wewe Messiah ❤❤❤❤
Tazama naende, narudi nyuma tena bado sijaona kama wewe aaaaah jamani yesu huyu nimzuri sana, mbarikiwe sana watumishi wa MUNGU
Ubarikiwee sana kaka i appreciate you kwa kitu cha thaman ulichobeba ndan yako
Watching from Kenya mruma you have become my favorite minister i love your songs ukae nami then zaidi ya fahamu zangu mungu akubariki sana MOG
Oooh Glory to God. Be bless you so much.
Please pray for me.
💥💥💥💥 pale tunaposhindwaa unafanyaa mwenyewee😊
Unafanya mwenyewe
Uko mwenyewe YESU KRISTO. Nakupenda sana.
Ninaposhindwa unafanya mwenyewe
Kaka unajua,umebarikiwa, mtumikie Mungu
Bwana azidi kukuinua kaka...wewe ni baraka sanaa🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙇🏾♂️🙇🏾♂️🙇🏾♂️
Amen
From,🇰🇪🇰🇪
I'm always blessed..
Wimbo wa maombi 😭😭 na unanipa nguvu Mpya tena Ooh😭😭😭😭😭😭
Amen
Pekee yako Ni Mungu ufanyaye hakuna mwingine awezaye
Hakuna wala hatatokea
Ameen
Maishani mwangu hakuna kama wewe 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hakuna mwingine.
Dada uko vizuri sana Mungu azidi kukupa upako chini ya huyu mtumishi wa Mungu Henrick my favourite humble guy
Huu ni wimbo wangu wa kupata mguso wa kiMungu na majibu kutoka kwa Yesu. Mungu ambariki sana mtumishi huyu
Lakini siwezi kumuona kama wewe 🙌 JESUS!!!!!
Mungu wa mbinguni awabariki sana sana kwa kazi njema ya Mungu
Amen Amen.
Uko mwenyewe Bwana😢 hakuna wa mfano wako Bwana 🙌🙏🙌🙌
Zaidi yote na wote. Yesu Kristo, Mungu Asiyeshindwa
Amen
Hakika huwa unafanya mwenyewe Yesu, maana uko mwenyewe Yesu hakuna wa mfano wako
Mungu awatunze waitikiaji so amazing 😍
Amen
Naguswaa sana Mungu awahifadhi waimbaj na kuwaimarisha
Tazama naenda mbelee 😭😭
Wala hakuna
Hakuna wa mfano wako Bwana, uko mwenyewe 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Hayupo wa mfano wake
Nabarikiwa sana na huu wimbo,kwa siku huwa na play hata mara saba,sichoki chaji tu labda inanibana,❤❤❤❤
Oh tazama naebda mbele wala hakuna, narudi nyuma siwezi kumwona kama wewe ...ninakirii
Hakuna kama Mungu
❤❤❤❤❤❤❤❤upo YESU unafanya mwenyewe
EeMungu waajabu nimeshinda nifanyie mwenyewe am depressed 😭😭😭
Mungu anainua watumishi jamn toka nimeanza kusikiliza ukae nami dah nabarikiwa Sana Kaka mungu awainue zaid
Ubarikiwe sana
💥💥💥#SeedOfFaith #ZaidiYaFahamu #UkoMwenyewe #ASeasonOfHarvest barikiwa Dada Clara na Ndugu Henrick ibada imebarikiwa kwa wimbo uliojawa uwepo
🙏🙏🤝
VERY POWERFUL.
ASANTENI KWA KUMWABUDU BWANA. ASANTENI KWAKUTOWEKA MADOWIDO MINGI KWA HII VIDEO
I just heard the song this afternoon wen I went to see the Doctor...
As I was there for medication... The doctor was playing it... And I cudnt help it but to interrupt him... Wats the name of the song???? In the end I came to realize that maybe the song was the part of the doze.
Mbarikiwe Sana
Ooooh… All the glory to Almighty God. 🌱💚
Kweli Mungu wa ajabu 🙏
mbarikiwe sana seedofaith family 🙌
Zidi kutuombea
I’m confused whit his Love…🙆🏽♂️ By nature I never regret having chosen this path that of following the Lord😭🙆🏽♂️🙌🏽 Kiukweli nime hudumiwa na huu wimbo! 🙌🏽🇨🇩 Mbarikiwe kwa huduma
Ooooh my brother. God bless you so much
Amen! 🔥🙌🏽
Indeed. Mbele tuendapo na hata tukirudi nyuma bado hakuna kama Mungu wetu. Powerful powerful powerful MOG Mruma and sister Minja.
Kweli kabisa kaka
amen huu wimbo bas tu dada kafanya ibada
Napenda hapo mnaimbba ( uko Mwenyewe hakuna wa mfano wako Bwana😘
Huu wimbo kila nikiuimba MUNGU anashuka ubarikiwe sana mtumishi
Uko mwenyewe Yesu kwenye maisha yangu......
Ubarikiwe mno
Mithali 21:30 'Hapana hekima, wala ufahamu, Wala shauri, juu ya BWANA.' Asante sana @minister Henrick Mruma kwa ibada hii, Mungu akastawishe zaidi na zaidi huduma hii. 🙏
Amen. Napokea
wew mungu waajabu unafanya maajabu pale ninaposhindwa unafanya mwenyewe🙌
YESU upo mwenyewe moyoni mwangu
Nakuona mbali Sana mtumishi,tunza mafuta uliyonayo,hicho ndicho kibali cha safari yako
Yeye peke yake; Yesu Kristo. Mtenda maajabu... Huu wimbo unanibariki Sana hasa kipindi nataka kuutafakari wema na uaminifu wa Mungu
Baraka tele watumishi... Nimebarikiwa sana na huu wimbo
Uko peke ako mung wang❤❤ ubarikiwe Sana mtumish wa mung😊😊
Huu wimbo ulinihudumia katika practice..
Nimeregesha shukrani..
Utukufu kwa Mungu
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪