MAGUFULI ALIPOMUONA ALIYEMTUMBUA IKULU "WEWE UMEKOMAA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 มิ.ย. 2019

ความคิดเห็น • 56

  • @cpabonnychris6315
    @cpabonnychris6315 5 ปีที่แล้ว +11

    Excellent mh nothing is permanent....

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 5 ปีที่แล้ว +30

    SIFA KWA MUNGU ALIYERUHUSU UZALIWE TANZANIA JPM MUNGU AKUPE NGUVU YAKULITAKASA TAIFA KILA KUKICHA AMINA

    • @Bayoz7
      @Bayoz7 5 ปีที่แล้ว

      jeny yusuph Mungu aendelee kumuongoza na kumbariki

  • @josetwi6470
    @josetwi6470 5 ปีที่แล้ว +9

    Congz Pombe i like ur policy Allah bless u a lot

  • @makalasaigoni2275
    @makalasaigoni2275 5 ปีที่แล้ว +8

    mm kura yangu ya 2020 natoa leo leo kwa magu

  • @scayroad8500
    @scayroad8500 5 ปีที่แล้ว +11

    NATAMANI UONGOZE NCHI MILELE MUNGU AKUPE ULINZI WANAOKUCHUKIA WOTE NI MAFISADI WALIZOEA KUKOMBA PESA ZA SERIKALI.

  • @Dm-yq9wn
    @Dm-yq9wn 5 ปีที่แล้ว +11

    Hii nchi walifanya shamba labibi kweli🤣🤣

  • @nachatvonline2996
    @nachatvonline2996 5 ปีที่แล้ว +9

    Mungu akutangulie my president nakuelelewa sana

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 5 ปีที่แล้ว +2

    NOT EVERY EDUCATED CAN BE ABLE TO A LEADER OR TO LEAD . TO BE A LEADER IS SOMETHING THAT SOMEBODY BORN WITH , IN OTHER WORD YOU CAN CALL IT A TALENT. SOMETHING YOU DON'T NEED TO HAVE A UNIVERSITY DIPLOMA FOR.

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 5 ปีที่แล้ว +6

    Walizoea hao kukaa ofcn tuu utumbuaji uendelee tuu

  • @womenmuungano881
    @womenmuungano881 5 ปีที่แล้ว +2

    Muungano women groug kinatoa mafunzo yote ya ujasiriamali,karbuni sana wanawake tunaweza

  • @hisanmwakijungu10
    @hisanmwakijungu10 5 ปีที่แล้ว +8

    wow,, this is my country

  • @mr.erickmwacha8575
    @mr.erickmwacha8575 5 ปีที่แล้ว +3

    Big up mzee baba

  • @saidiyusuph5577
    @saidiyusuph5577 5 ปีที่แล้ว +3

    Ukweli mawaziri wengi wanawadharau wananchi, ila wanawaheshimu wananchi wakiw kwenye majimbo yao

  • @chumizola1847
    @chumizola1847 5 ปีที่แล้ว +4

    Halafu kuna "Mburundi" mmoja wa Kigoma anathubutu kumshambulia Rais wetu JPM kwa hoja zisizo na maana!

    • @policeayoub8355
      @policeayoub8355 5 ปีที่แล้ว

      Nani huyo

    • @chumizola1847
      @chumizola1847 5 ปีที่แล้ว

      @@policeayoub8355 aahahha wewe ni Police lazima utakuwa umeshajua ni nani anaongelewa

  • @ramadimbegu7996
    @ramadimbegu7996 5 ปีที่แล้ว +7

    KanyAgakanyagaTzTwende mbele

  • @babanjuru8738
    @babanjuru8738 5 ปีที่แล้ว +3

    Uko vizuri magu

  • @alexandersonmbembela5328
    @alexandersonmbembela5328 5 ปีที่แล้ว +5

    vunja mpaka ikulu wakikuletea upuuzi

  • @mr.erickmwacha8575
    @mr.erickmwacha8575 5 ปีที่แล้ว +3

    Wewe unamchana mtu live. Sema wanaokuangusha mzee ni watu wako ndio wenywe. Rushwa tu

  • @rahimaaaaa8699
    @rahimaaaaa8699 5 ปีที่แล้ว +2

    MH. HAUNAGA LIKIZO?

  • @cathberthenjewele2533
    @cathberthenjewele2533 5 ปีที่แล้ว +2

    naelewa kazi

  • @benjamineliastz8130
    @benjamineliastz8130 5 ปีที่แล้ว +2

    Be blessed my president

  • @pmpmediatz9752
    @pmpmediatz9752 5 ปีที่แล้ว +8

    Millard ayo satute i appreciate u bro, never lose

  • @malale4580
    @malale4580 5 ปีที่แล้ว +5

    2020 tujiandae

  • @fedrckjacobo5129
    @fedrckjacobo5129 5 ปีที่แล้ว +1

    Najivunia kuwa mtanzania🇹🇿👈👉🇹🇿👊

  • @user-qf6zv9zq3v
    @user-qf6zv9zq3v 4 หลายเดือนก่อน

    ❤ hakuna raisi karika inchi za africa tuna weza fananisha na magufuli alikwa mtu anaye penda inchi yake alafu ni ANTI corruption
    R.I.P😢

  • @franciskavyega280
    @franciskavyega280 5 ปีที่แล้ว +2

    Nothing is permanent

    • @karimmkejina980
      @karimmkejina980 4 ปีที่แล้ว

      Katiba ibadilishwe jpm aongoze miaka20

  • @philemoncharles3181
    @philemoncharles3181 5 ปีที่แล้ว +2

    #Tarakea

  • @mwamvuaulled7755
    @mwamvuaulled7755 5 ปีที่แล้ว

    kura yangu haijapotea bure

  • @MrKhatibu
    @MrKhatibu 5 ปีที่แล้ว +3

    Katika kila watanzania 260 wanaomuangalia Mh Magufuli kupitia TH-cam, kuna watanzania 28 tu ndio hawakubaliani na uwadilifu wake.

    • @richardmaliwanga4565
      @richardmaliwanga4565 5 ปีที่แล้ว

      Takwimu za lini?

    • @richardmaliwanga4565
      @richardmaliwanga4565 5 ปีที่แล้ว

      Umetoa wapi takwimu hizi?

    • @MrKhatibu
      @MrKhatibu 5 ปีที่แล้ว

      @@richardmaliwanga4565 angalia thumb up and thumb down. Hebu jumlisha zote ukisha gawanya utapata jibu lako. Hio ni hesabu ya chumba chapili haitaji uwe na degree ya hesabu ndugu yangu

    • @MrKhatibu
      @MrKhatibu 5 ปีที่แล้ว

      @@richardmaliwanga4565 mgeni wa youtube inaonekana

    • @salehemkomwa4400
      @salehemkomwa4400 5 ปีที่แล้ว

      anko magu oyeeeeeee

  • @gabrielmalecela3701
    @gabrielmalecela3701 5 ปีที่แล้ว +3

    Hiii ni 2020 ishafikaaa lazma kauli nzuri ziwepoooo.....let's wait to see .......time will tell

    • @hassanmirambo564
      @hassanmirambo564 5 ปีที่แล้ว +2

      Gabriel Malecela acha ushoga wewe kwani leo ndio anaanza kuongea katika hali hiyo tatizo ni malezi ya kulelewa kijinga ndani ya nyumba mwenye sauti anakuwa mke kuliko mume nyie watoto ndio zao hilo,eti 2020 kauli nzuri,bila shaka utakuwa unaishi Dar maana vijana wa Dar 85% akili zenu kama mashoga wanaojielewa ni wachache sana

    • @gabrielmalecela3701
      @gabrielmalecela3701 5 ปีที่แล้ว

      @@hassanmirambo564 nashangaa saana kuona mwanaume kama wew unasumbuliwa na hisia negative na kumtafsili baba akho kua shoga ....pengine kibuli na jeuli kulelewa na baba wa kambo ndy inakuchanganya we hata baba akho amekukataa mama akho c alibakwa kisimani ukazaliwaa # kama shujaa na mwenye akili yakufikilia unge comment wew kwa akili yakoooo brother # nishagundua wew una matatzo ya akili maana sio kila chiz lazma aokote makopo!...

    • @abrahamkibona7038
      @abrahamkibona7038 5 ปีที่แล้ว

      @@hassanmirambo564 Umemjibu vizuri huyu jamaa ila ungemjibu yeye kama yeye maana namimi nipo Dar lakini namuelewa rais tangu aingie madarakani

    • @hassanmirambo564
      @hassanmirambo564 5 ปีที่แล้ว

      Abraham Kibona nilitumia neno baadhi nikijua wenye AKILI TIMAMU mpo

    • @jcconfleakkid8328
      @jcconfleakkid8328 5 ปีที่แล้ว +3

      uyu jamaaa kuma kweli anaekwambia ata asipoomba kura apati uongozi ni nani wwe mwenyewe umezaliwa kwenye utawala wa ccm sasa inakuwaje unaandka umama jpm ni bonge la President wwe tena usirudie tena

  • @thomasmadaraka4853
    @thomasmadaraka4853 4 ปีที่แล้ว

    Piga msumali baba

  • @robertlinuma6051
    @robertlinuma6051 5 ปีที่แล้ว +1

    Ukiwa nyumbn ukaongea mchanganyiko na kiingereeza ukitoka nje uongei kiingerrza shda nn ? Au akipand

    • @alphonceshirima4186
      @alphonceshirima4186 5 ปีที่แล้ว

      Unaweza kungatwa na mbu na kiingereza chako...

    • @reachthegoal7624
      @reachthegoal7624 5 ปีที่แล้ว

      Wewe unataka kingereza au Kiswahili au maendeleo halisi yenye mabadiliko. Ulishasikia kingereza Cha rais wa Uganda. Huyu ni mwlmu by profession. Anajua kuchagua Nini Cha kusema ili kutimiza kusudi la watu kuelewa pia kuwafanya kutamani kujifunza KISWAHILI. Huyu watamwelewa wachache wenye akili. Wenye zilizooza wataendelea kuoza. Sisi tuamwelewa na tunachojua anatupeleka tuliootaka kwa muda mrefu. Mzee JPM piga kazi tuelekea kuvuka. Mungu asikuache hata nukta moja mihasidi ikarudi kutuumiza na ubinafsi wao.

    • @godfreylyimo4177
      @godfreylyimo4177 5 ปีที่แล้ว

      English inatusaidia nini Watz? Sisi tunataka kuona Rais anafanya kazi tu. English awaachie walimu wa lugha na wanaolipwa kwa kusoma habari za hicho kizungu