Asante Mungu Kwa huruma zako nafadhili zako kwani unanilinda nakuniifdhi katika mikono yako iliyoslama natami nami ningekuwepo ila sipo karibu BWANA wajua kiu yangu napende niwe katika njia zako nitende yaliyomema kama unavyonitendea mimi vyema Amina
And we are asking who brought war in the Vocations when it is not Man that calls but Christ himself. He said: If they loved me they will also love you, if they persecuted me also you too will be persecuted tremenedously. The vocation of Vhrist is growth in his Spirit. It is not growth into just things of this world.
Mungu asante kunijalia Imani ya Kanisa Moja, Takatifu, Katoliki, la Mitume. Naomba Neema ya Kifo chema, nikafurahi milele mbinguni.
Beautiful mass.
Beautiful church ⛪
Beautiful people
Greetings from Toronto.
Thnks gratitude
Beautiful mass ever I love it God bless
Asante Mungu Kwa huruma zako nafadhili zako kwani unanilinda nakuniifdhi katika mikono yako iliyoslama natami nami ningekuwepo ila sipo karibu BWANA wajua kiu yangu napende niwe katika njia zako nitende yaliyomema kama unavyonitendea mimi vyema Amina
tumsifu yesu kritu waumini nafurai sana naninakubukasana tanzania mungu awabari na awapenguvu
amina mungu awatangulie ktk yote
Akikika mungu mkubwa ibada nimuham kuliko chochote chini yahili jua tumkumbuke mungu daima amen🙏⛪⛪
Askofu Rwahichi nabarikwa na ibada yako sana
Baba askofu uko vizuri, Mungu akujalie Maisha marefu.
amen
mmh sure..he awesome ..good message on eucarist celebration
How I miss Tanzanian liturgy especially the choir! Archbishop Thaddeus God bless you! By then of Mwanza Archdiocese.
Baba askofu umehubili vizuri mungu akubariki
Yes very nice
Ninafurahi na kupata amani na Miami yangu uongezeka zaidi na zaidi mungu anapozidi kutukuzwa.asanteni sana
Primetiva Kokuganyirwa u
Nimefurahi sana Kwa ibada ya misa takatifu
miaka mitatu minne sijaonaga misa leo nmebarikiwa sana❤👏👏👏
nilikuwepo hongeren baraza
hongereni sana endeleeni kutulisha neno la mungu kupitia online hii
Mungu atubariki
Mungu akubariki Askofu🙏🙏
hongereni kwa ibada nzuri
mbarikiwe sana katika maadhimisho hayo ya misa takatifu Mungu aendelee kuwatia nguvu
mc jabby events xo hdg
mc jabby events
Mungu awabariki nyote wakatoliki wenzangu
mungu awabari sana walim wotewadini
Mungu ninakuomba unipe nguvu ya kukutumikia vyema, hongera catholic
Ni siku ya kumbukumbu nzuri nilipenda siku hii Tubarikiwe wote
GORETTI MTUNGWE Kristo
so nice
Eeewe mamawa mungu utuombe sisi wakosefu.
Namshukuru Mungu kwadhawadi ya mababa wetu wa kiroho
Ee Mungu utuhurumie sisi wakosefu
nimepata uwepo wa roho mtakatifu kupitia ibada hii takatifu ya misa mungu atubariki
Akuna furaha kubwa kama kwa jilan na MUNGU ( Allah )
Kwa misa hii mmetisha Mungu awabariki daima
Haleluya
Great mass
@Ave. Maria. Sei. Pina. De. Grazie. Sinior. Se. Con. Te. Tu. Sei. Benedetto. Trale. Donne. Benedetto la. Tuoa. Fede. Aleluia
@Aleluia. Santii. Padri. Prega. Per. Noi. Pecatori. Adeso. Riva. Ora. Per. La. Nostra. Fede. Aleluia. Aleluia.
@Aanta. Maria. Madre. Se. Dio. Prega. Per. Noi. Pecatori. Adeso. Riva. Ora per la. Nostra. Fede. Aleluia.
Namkubalisana yuda askof wangu karibu tena parokiaya Ovada usandaweni
bwana nimwema
Asanteni wote mliohudhulia misa takatifu ya EKARISTI TAKATIFU, MWENYEZI MUNGU AWABARIKI.
En unions des prières
Waliofumbwa macho ,,,,,,,wasifu ibaada ya kifree mason ,,,,,,,polen Mungu awasaidie mpate kujua yaliyo mema na mapenzi ya Mungu warumi 12:1-2
Boss Boss pumbavu wewe
Boss Boss dah Mungu akusamehe bure
boss boss mungu akusamehe Sana maana ujui usemavyo fumbua macho wacha fikira potovu mungu azidi kukuhurumia Sana
Tuache na u frremanson wetu ila yeye unaehukumu wenzio kwakujifanya unalijua neno
butu your senses
hakika nitabaki kuwa mkatolikitu ctabadili din yangu
Jinalamwana libalikiwe
mungu awabariki
Mungu awabariki!
ibaada hii imeacha ujumbe mzito kwawakristo
naomba bas mtume misa ya matawi tec studio
Mathew Singeu ndugu mpaka kesho misa imerekodiwa bagamoyo so kesho ndo iwawekwa
Mathew Singeu h
🏠💪♥️🕯️
And we are asking who brought war in the Vocations when it is not Man that calls but Christ himself. He said: If they loved me they will also love you, if they persecuted me also you too will be persecuted tremenedously. The vocation of Vhrist is growth in his Spirit. It is not growth into just things of this world.
mungu awatie nguvu zaidi
Mitha mugiku vol 1
jina la bwana liinuliwe daima.
asante yesu wa ekarist
Ishengoma James
ubarkiwe
Ishengoma James amina
Ishengoma James asante yeu waekarist
nabarikiwa sn na homilia za Baba Mkubwa Ruwaichi, namwelewa mno
hongereni kwa ibada nzuri