Kwa ukali na weledi wa Askofu Amani hauna tofauti sana na Rais wetu mpendwa Magufuli, wote wanapenda kusimamia maamuzi na ukamilifu wa shughuli zilizokusudiwa. Kwa wale wa Kaskazini na wa katoliki wanajua habari yake. Asante Askofu kwa kuinyoosha Moshi na sasa weka sawa Arusha pia.
Mungu haachi kutuletea watenda kazi wake upendo wake kwetu hauna kikomo asante mungu kwaajiri ya kiongoz wetu mpenguvu naupeo mkuu akutumikie wew kupitia ss mungu wetu
Mungu Awape maishamarefu namdum katika Enjili kwa wongofu wa Taifa la Mungu.
Kwa ukali na weledi wa Askofu Amani hauna tofauti sana na Rais wetu mpendwa Magufuli, wote wanapenda kusimamia maamuzi na ukamilifu wa shughuli zilizokusudiwa. Kwa wale wa Kaskazini na wa katoliki wanajua habari yake. Asante Askofu kwa kuinyoosha Moshi na sasa weka sawa Arusha pia.
Mungu haachi kutuletea watenda kazi wake upendo wake kwetu hauna kikomo asante mungu kwaajiri ya kiongoz wetu mpenguvu naupeo mkuu akutumikie wew kupitia ss mungu wetu
Hiyo wimbo ya kwanza inaitwa aje..iko juu ti sana
Hongera sana TEC mungu awabariki sana
Hongera
Mungu akulinde askofu wetu Isaak Amani
Amina
Amen, it was very wonderful
Mungu akulinde Baba
Hongera sana Mhashamu Askofu Mkuu Isaac Aman
Mungu akutangulie kuitangaza injil yake
hongera sana
Amen baba kardinal
amina
Mungu ni mwema