#LIVE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 61

  • @mathewnjuguna4231
    @mathewnjuguna4231 4 ปีที่แล้ว +3

    Asante sana Baba Askofu kwa tafakari nzuri juu ya Ekaristi Takatifu. Hebu Kristo atulishe na atunyweshe.

  • @AryanaMary
    @AryanaMary 4 หลายเดือนก่อน

    Asante mungu kwa umbali huu ulionifikisha , jina lako liimidiwe siku Zote, Amina, najiungaa na Misa hii nikiwa kazini Mombasa

  • @sofiaoman5901
    @sofiaoman5901 2 ปีที่แล้ว

    Namshukuru sana MUNGU Kwa kuhudhulia misa ya Ekaristi Takatifu nikiwa Oman 🙏🙏🙏🙏

  • @alainjustin2755
    @alainjustin2755 2 ปีที่แล้ว

    Amina mimi Jane Rogers Nkata nipo oman nawafutilia mda huu Askofu mkuu Mungu akubariki kwa kuongoza misa Takatifu ya Ekaristi

    • @alainjustin2755
      @alainjustin2755 2 ปีที่แล้ว

      Naomba maombi sana nipate bosi mzuri na afya njema niwatakie jumapili njema

  • @froladavid4778
    @froladavid4778 2 ปีที่แล้ว

    Amina tuko pamoja najiungamanisha na misa takatifu

  • @Kristu556
    @Kristu556 4 ปีที่แล้ว +2

    Ahsanteni watumishi wote WA mungu, mungu awabarikini sana kwakutupa chakula cha uzima WA milele

  • @thobiasalikad796
    @thobiasalikad796 2 ปีที่แล้ว

    Asante Sana kwa tafakari nzuli

  • @sofiaoman5901
    @sofiaoman5901 2 ปีที่แล้ว

    Namshukuru saana MUNGU Kwa kuwa Mkrito amina

  • @Oliver_philemoni
    @Oliver_philemoni 2 หลายเดือนก่อน

    Asante mungu baba kwaneema hii yakua mkatholiki ❤

  • @benardkwemboi
    @benardkwemboi 4 ปีที่แล้ว +3

    Asanteni sana mungu awabariki

  • @joycegeorge8924
    @joycegeorge8924 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana kwa kushiriki missa ya leo nikiwa dubai mungu anibariki niweze kurudi salama nchin kwetu nikashiriki pamoja na familia yangu ameen

  • @Kalajeremaya
    @Kalajeremaya ปีที่แล้ว

    Mm Nemesi Assey namshukuru mungu kwa kujiunga maisha 'na ibada ya misa takatifu namwomba mungu awape uponyaji wagonjwa wote,Amina

  • @jacintakemunto4706
    @jacintakemunto4706 ปีที่แล้ว

    Nabarikiwa nikitazama kutoka Kenya Asante Baba Askofu kwa tafakari hiyo

  • @frankleonard9630
    @frankleonard9630 3 ปีที่แล้ว +2

    Najivunia kuwa mkatoroki 🥰🙏

  • @kelvinkimath4987
    @kelvinkimath4987 2 ปีที่แล้ว

    Asante mungu kwa uhai nilinde Tena mungu

  • @danielkimario8311
    @danielkimario8311 4 ปีที่แล้ว +3

    Amina

  • @EdwardSanane-l1c
    @EdwardSanane-l1c ปีที่แล้ว

    Nakushkuru baba askofu,,kwa kutupa neno la mungu naisikia ibaada hii Nikiwa 🇿🇲 🇿🇲 🇿🇲 🇿🇲 asanteni sana mungu awabaliki

  • @JennyMerry-m4b
    @JennyMerry-m4b ปีที่แล้ว

    Asante Mungu kwa kunilinda Tena na kunipa Afya njema

  • @gaudencenyatboy9306
    @gaudencenyatboy9306 2 ปีที่แล้ว

    mwenyezi mungu nayakabidhi maisha yangu kwako naomba uniongoze njia ya kufika kwako mbinguni Amina

  • @edsonsalvatory5674
    @edsonsalvatory5674 ปีที่แล้ว

    Namshukulu mungu kwa kunipa ibada la leo Asante mungu 🙏👏👏🤲🤲

  • @AloyceHilali
    @AloyceHilali ปีที่แล้ว

    Asante mungu kwa baraka unazonipa

  • @janenkata6290
    @janenkata6290 2 ปีที่แล้ว

    Amina nimepokea kwa imani

  • @josephnyanda8987
    @josephnyanda8987 3 ปีที่แล้ว

    Asante sana baba askofu kwa ujumbe mzur

  • @MarthaMwitalu
    @MarthaMwitalu 3 หลายเดือนก่อน

    Ahxant mungu kwakunijalia afya njema katika siku ya Leo🙏

  • @thobiasalikad796
    @thobiasalikad796 2 ปีที่แล้ว

    Ibada nzuli Sana askof hongera Sana,,,, kwa kutulisha tafakari ya yesu mwokoz wa dunia kwa kupitia mwili wako na dam yako,,,🙏🙏🏘️🏥🏰⛪🎚️🎹

  • @sumbujumanne7496
    @sumbujumanne7496 3 ปีที่แล้ว

    Ameni

  • @paschalezekiel9752
    @paschalezekiel9752 2 ปีที่แล้ว

    Amen sana.

  • @PeninaKinaza
    @PeninaKinaza ปีที่แล้ว

    Namshukuru Mungu Kwa umbali alionitoa

  • @tinamartin5556
    @tinamartin5556 4 ปีที่แล้ว +2

    Hakika nimebalikiwa🙏

  • @VeronicaLucas-f1h
    @VeronicaLucas-f1h ปีที่แล้ว

    Mungu niongoze katka mwez huu wa 9🙏

  • @williamjonh8114
    @williamjonh8114 4 ปีที่แล้ว +4

    Safi sana ndugu zangu

  • @kayslodge6832
    @kayslodge6832 2 ปีที่แล้ว

    Nafulahi kwa kweli nipo zangu kazini naenjoy to ibaada ya le

  • @rekiusjackson3300
    @rekiusjackson3300 2 ปีที่แล้ว

    🙏

  • @titusnjenje556
    @titusnjenje556 3 ปีที่แล้ว +1

    ukiwa na kristo moyon ni raha sana!

  • @ماسترداما
    @ماسترداما 3 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @camilyjohn7395
    @camilyjohn7395 4 ปีที่แล้ว +7

    Wapendwa taifa teuli, tuombe neema ya MUNGU tuweze kuishi kadri ya mpango wake, niwatakie jumapili njema

  • @joyceorio3457
    @joyceorio3457 2 ปีที่แล้ว

    Saut haisikiki vzr

  • @janenkata6290
    @janenkata6290 2 ปีที่แล้ว

    Nipo Oman nawapata

  • @RevocatusChuwa-o8h
    @RevocatusChuwa-o8h ปีที่แล้ว

    Jaman Jesus wa ekaristi ananguvu sijapata kuona kwa miujiza aloo nionyesha sintokaa nimsahau

  • @joycegeorge8924
    @joycegeorge8924 2 ปีที่แล้ว

    Mbona nikitaka kuchart live haitaki au mmeweka chating ya ndani ya nchi tu?

  • @rubensimfukwe2548
    @rubensimfukwe2548 2 ปีที่แล้ว

    Sauti pls

  • @RevocatusChuwa-o8h
    @RevocatusChuwa-o8h ปีที่แล้ว

    Najivunia kuzaliwa katika ufalme wawakristo hakika napata amani ndan ya moyowangu mbarikiwe kanisa katolik

  • @winnimartin7799
    @winnimartin7799 2 ปีที่แล้ว

    Kristu tamaini letu tumaini letu

  • @peterclement9507
    @peterclement9507 4 ปีที่แล้ว +1

    Tafakari za pengo zilikua za ukwel sana

  • @mariebennet5335
    @mariebennet5335 2 ปีที่แล้ว

    Pongezi nyingi

  • @salmahoperi9783
    @salmahoperi9783 ปีที่แล้ว

    Nipo Pakistani ibada ya leo initia nguvu mbalikiwe sana

  • @winnimartin7799
    @winnimartin7799 2 ปีที่แล้ว

    kristof tumaini letu

  • @HappyDickson-d2g
    @HappyDickson-d2g 8 หลายเดือนก่อน

    Kirsitu

  • @ZakariaZack-rr1yt
    @ZakariaZack-rr1yt 3 หลายเดือนก่อน

    Asante sana mungu awabariki sana

  • @anethmbonabucha222
    @anethmbonabucha222 4 ปีที่แล้ว +2

    Amina

  • @andrewanold170
    @andrewanold170 3 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @georgejohn4731
    @georgejohn4731 4 ปีที่แล้ว +1

    Amina

  • @glorymrina4913
    @glorymrina4913 2 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @rosemanyilizu963
    @rosemanyilizu963 4 ปีที่แล้ว +1

    Amina

  • @benadethaclement7596
    @benadethaclement7596 3 ปีที่แล้ว +1

    Amina

  • @zawadiwambura2080
    @zawadiwambura2080 3 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @AloyceHilali
    @AloyceHilali ปีที่แล้ว

    Amina