Watanzania tunadestur moja ambayo sio njema sana Rais akiwa madarakani akiwa anafanya kaz huwa hutumpi saport hata kwa kumpongeza kwa kaz njema anayotenda ,akifa ndo unakuta watu wanamsifu,mama Samia nakukubar kwa utendaji wako mzur wa kazi hongera sanaaa.
vitu ambavyo tunaweza tengeneza wenyewe yeye anatoa ela huko china na wanawake tu sisis tunakuwa hatuna mtaji wakufanya mambo makubwa !!!! kuna mainjinia kibao wapo mtaani wenye uwezo mkubwa hawajaajiliwa baada awatumie hao yy anatumia wachina
Happy for our Tanzania neighbors,you have such a progressive president. Industrialization is the way to go. As Kenyans we follow your progressive keenly. All the best 🎉
There is a huge different between making and assembling car .Making a car involves taking raw materials and use them to craft parts or components that will be used to build a car while assembling is the the process of taking parts that are already manufactured by factory and put them together to create a car. This is a big step for Tanzania and this will contribute to the development of the country, in terms of creating more jobs. Once again congratulations to Mama Samia Hasan and to all beautiful people of Tanzania 🇹🇿
Asante sana mama samia sema utukumbuke na sisi wa magari ya kutemelea magari yetu tunanunua kwa gharama kubwa sana ukilinganisha na nchi zinazotuzunguka kunatatizo lipo sehem ndio maana watu wanaagiza ist,stalet,carina,d4d Za zamani,sio magari mengi mazito kama wenzetu tatizo kodi
Acha upumbavu kila anafanya samia et alianzisha pombe , kwa taarifa yako mama anafanya mambo makubwa kuliko Magu na akimaliza 2030 tunatengua katiba ili aongoze milele
Ni kiwanda cha kuunganisha material ili itokee gar bado hatujawa na uwezo wa kuunda sisi wenyewe bado tunachukua vifaa vyao na kuviunganisha, ni kweli ni hatua lakini hii inafanywa sana na kampuni nyingi kinachotakiwa sasa ni kwamba hayo materials yaundwe hapa kwetu
Mambo km hayo viwanda kwa wingi tuweze nasi maskini tuajiriwe tuendeshe maisha viwanda vya nguo mikoba viatu na kadhalik shukran sminiunge kwanilicho omb kwraisi wetu mma samia
kwenye hiyo nakala inavyoaza dakika ya 53:55 tunaona wameandika FIRST HOWO ASSEMBLY PLAN IN EAST AND CENTRAL AFRICA , kwamba kwa ukanda wa Africa mashariki na kati hii kampuni ya HOWO TRUCK LTD imeweka hapo kigamboni mahali pa kuunganishia kipande A na kipande B vilivotengenezwa CHINA hapa hatuna kiwanda ni mahali pa kuunganisha unganisha. Zungumzeni uhalisia
Hongereni, Kenya tulianza kuunda magari since 90's google Mobius car motors, Mobius is an off-road brand jeep invented in Kenya, we have Mobius one, two na three, i think four is on the way, secondly we have ship manufacturing yard at bandari, under the Kenya Navy
Kwa heshima na taadhima, mheshimiwa Raisi Dr. Samia Hasan, nakuomba sana sana tena sana, mheshimiwa ndugu Makonda mhamishie pia mkoa wa Lindi, chooonde mama mpeleke mheshimiwa Christian Makonda mkoani Lindi majibu ya ombi hili utayapata endapo Makonda ukimpeleka mkoa Lindi,tupe Makonda Lindi,mama nipo chini ya miguu yako,Lindi kuna shida za kila kitu
Msenge kweli ndugu yangu always underestimating your own capabilities ndo maana no development haya hats kama kinaunganisha what's the problem with that?
Ila mwafrika bado sana eti kiwanda hivyo vifaa vimeyeyushwa wapi na mitambo ya kuyeyusha na kuunda hivyo vyuma iko wapi semeni gereji ya kuunganisha vyuma vya magari tunajisifu kuunganisha vyuma
Raisi wetu anafanya kazi nzuri kufungua kiwanda Cha magari, Je vijana wetu Wana technolojia kutngeneza magari?Ili wasiwe watazamaji tu, waajiriwe ya sifa zao za hiyo technolojia.Hatujachelewa, tuwafundishe vijana wetu technolojia ya kutengeneza magari na ndege tusiwaze tu kuajiza nje.
From mexico, am kenyan but tanzania naipenda kwa kila kitu
Congratulation ms president of tanzania this is revolution from africa from mozambique
This so amazing and great job for Tanzania government we so proud this stages
Watanzania tunadestur moja ambayo sio njema sana Rais akiwa madarakani akiwa anafanya kaz huwa hutumpi saport hata kwa kumpongeza kwa kaz njema anayotenda ,akifa ndo unakuta watu wanamsifu,mama Samia nakukubar kwa utendaji wako mzur wa kazi hongera sanaaa.
inatakiwa tuwe tunatengeneza sisi wenyewe watanzania. Mbonanikama wakowenyewe hapo?
suport gani ..misifa yote ya kila kitu tunasema rais....au unataka alambwe miguu
vitu ambavyo tunaweza tengeneza wenyewe yeye anatoa ela huko china na wanawake tu sisis tunakuwa hatuna mtaji wakufanya mambo makubwa !!!! kuna mainjinia kibao wapo mtaani wenye uwezo mkubwa hawajaajiliwa baada awatumie hao yy anatumia wachina
Hii safi sana kwa china pamoja na afrika
Congratulations to Tanzania and the EA with profound regional positively meaningful implications!!
Hongera Rais wetu
Happy for our Tanzania neighbors,you have such a progressive president.
Industrialization is the way to go.
As Kenyans we follow your progressive keenly.
All the best 🎉
It’s not car manufacturers but car assembly company, Tanzania have not nuclear plant
There is a huge different between making and assembling car .Making a car involves taking raw materials and use them to craft parts or components that will be used to build a car while assembling is the the process of taking parts that are already manufactured by factory and put them together to create a car. This is a big step for Tanzania and this will contribute to the development of the country, in terms of creating more jobs. Once again congratulations to Mama Samia Hasan and to all beautiful people of Tanzania 🇹🇿
Unajua pia kuna tofauti kubwa kati kufanya kilicho kwenye uwezo wako na kuacha kufanya kabisa?
Asante sana mama samia sema utukumbuke na sisi wa magari ya kutemelea magari yetu tunanunua kwa gharama kubwa sana ukilinganisha na nchi zinazotuzunguka kunatatizo lipo sehem ndio maana watu wanaagiza ist,stalet,carina,d4d
Za zamani,sio magari mengi mazito kama wenzetu tatizo kodi
Mwendazake magufuli alitengeneza njia
Mwendazake alikua ana maono mpaka alikuwa ana kera mpaka ma member wa ccm waliokuwa hawampendi wakazidi kumchukia r.l.p jpm wetu mzalendo
Acha upumbavu kila anafanya samia et alianzisha pombe , kwa taarifa yako mama anafanya mambo makubwa kuliko Magu na akimaliza 2030 tunatengua katiba ili aongoze milele
@@BonnyMwajombe-iu7hb manake tutaondoa democracy sindio??
Mungu akulinde mama samia
Hongera rais wangu . Historia imeandikwa tangu uhuru sasa tunajivunia
historia gn? hpo hmb tafaut lbd kweny kupt ajira tu lkn hatuwez kujivunia tunatakiwa tuwe na kampuni yetu yenyw inayozalisha magar yetu wenyw
@@AhmedAslam-ip8mujifunze kuhusudu basi🙂
Umeona wapi mbuyu ulioanza kama mbuyu😏
Unaanzaje kuwa na chako mzeee kabla ya kujifunza kwa wengine na kupata sapoti@@AhmedAslam-ip8mu
Hongereni watz kazi iendele
Wow form Kenya 🇰🇪 ❤🎉
Hongera sana mama samia kwa kazi njema Mungu akulinde uwe na afya njema
Ni kiwanda cha kuunganisha material ili itokee gar bado hatujawa na uwezo wa kuunda sisi wenyewe bado tunachukua vifaa vyao na kuviunganisha, ni kweli ni hatua lakini hii inafanywa sana na kampuni nyingi kinachotakiwa sasa ni kwamba hayo materials yaundwe hapa kwetu
Hahahahaa hamkosekani wajuaji
Good start. Thank you for MAMA SAMIA
Hongera mama. Show them how to govern.
Mambo km hayo viwanda kwa wingi tuweze nasi maskini tuajiriwe tuendeshe maisha viwanda vya nguo mikoba viatu na kadhalik shukran sminiunge kwanilicho omb kwraisi wetu mma samia
Hongera mama Samia
kwenye hiyo nakala inavyoaza dakika ya 53:55 tunaona wameandika FIRST HOWO ASSEMBLY PLAN IN EAST AND CENTRAL AFRICA , kwamba kwa ukanda wa Africa mashariki na kati hii kampuni ya HOWO TRUCK LTD imeweka hapo kigamboni mahali pa kuunganishia kipande A na kipande B vilivotengenezwa CHINA hapa hatuna kiwanda ni mahali pa kuunganisha unganisha. Zungumzeni uhalisia
Kwa hivyo mahali pa kuunganishia paitwe JALALA??
Hiki ni kiwanda cha kuunganisha gari na sio kuanza utengenezaji😂😂😂 don't be fooled
Ni sahihi. That's one step. Huwezi kukimbia kama hujaanza kutembea
Hongereni, Kenya tulianza kuunda magari since 90's google Mobius car motors, Mobius is an off-road brand jeep invented in Kenya, we have Mobius one, two na three, i think four is on the way, secondly we have ship manufacturing yard at bandari, under the Kenya Navy
Kwa heshima na taadhima, mheshimiwa Raisi Dr. Samia Hasan, nakuomba sana sana tena sana, mheshimiwa ndugu Makonda mhamishie pia mkoa wa Lindi, chooonde mama mpeleke mheshimiwa Christian Makonda mkoani Lindi majibu ya ombi hili utayapata endapo Makonda ukimpeleka mkoa Lindi,tupe Makonda Lindi,mama nipo chini ya miguu yako,Lindi kuna shida za kila kitu
Kutengeneza gari sio kitu rahisi Kwa Bongo. Kuunganisha magari hapo sawa
😂😂😂
Msenge kweli ndugu yangu always underestimating your own capabilities ndo maana no development haya hats kama kinaunganisha what's the problem with that?
@@UKALONG-iu4lp shida bado wanatumika wachina wakati wabongo wenye uwezo wapo
media kubwa kama hii niaibu kusema kinachofunguliwa ni kiwanda cha kutengneza magari na sio kiwanda cha kuunganisha garii
Mbona kama hawatengenezi apo vinaunganishwa tu vipuri kutoka nje
Asante sana Kampuni ya Saturn Corporation Ltd kutupa nafasi hii ya heshima kwa nchi yetu kutengeneza/kuunganisha malori nchini
Watu mmejaa wivu na roho mbaya mnakosoa kila kitu mnajifanya mnajua kila kitu we unaye kosoa hapo tuonyeshe ulishafanya kipi cha maana kikaonekana
Safi sana mama yetu raisi kwa kuzindua kiwanda cha magari nina uhakika itakua ni fursa kwa watanzani bigup mama
Mama yetu shikamoo
Nchi jilani tutakua tutanunua gari pafupi na kwa beyi chini..sawa kbsa
Ila mwafrika bado sana eti kiwanda hivyo vifaa vimeyeyushwa wapi na mitambo ya kuyeyusha na kuunda hivyo vyuma iko wapi semeni gereji ya kuunganisha vyuma vya magari
tunajisifu kuunganisha vyuma
ASANTE SANA MAMA KWA MAENDELEO YA NCHI YETU🇹🇿
Hongereni
Raisi wetu anafanya kazi nzuri kufungua kiwanda Cha magari, Je vijana wetu Wana technolojia kutngeneza magari?Ili wasiwe watazamaji tu, waajiriwe ya sifa zao za hiyo technolojia.Hatujachelewa, tuwafundishe vijana wetu technolojia ya kutengeneza magari na ndege tusiwaze tu kuajiza nje.
mbn Amna machine mpya mnajuwa maana yaktengeneza kwel ama mtoa taarfa akuelewa
Tunawataka Toyota jaman hawa ndio mwisho WA matatzo wakija hao tutakuwa na soko kubwa kwa nchi jirani watu wanatak Gari mpya sasa
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉 i 👍👍👍👍👍👍
👍💪
Rais tunaomba mchango wako selection za kujiunga kidato Cha Tano Ziandike upya maana Kuna wanafunzi tumeonewa tumechagua sayansi afu tumetumwa ATI!
Jaman ilitakiwa tuwetunatengeneza wenyewe wa Tanzania. yaan sisi bado tunasoma panzi anamiguu mingap. Da!
Apo ndokweli tunafeli aki😂😂
Nyumbani kumenogaaaaaaaaah🎉🎉🎉🎉
Hakika tunatakiwa tuishi katika fikra kama hizi,tusiishie hapo tu bali ndege inawezekana
Asante mama Kwa hatua kama hizi
Huyu mtangazaji hafai anaitisha watu WOTE Kwa kupiga picha na kuhatarisha MAISHA ya Rais
Huyu mama apewe mingine 5
👁
Mofumo ya zamani sana ya kujenga magari. Magari yanajegwa na maroboti now days. Hicho Sio kiwanda ni garage 😂😂😂
🤣🤣
Kiwanda cha ist toyota
Sasa muheshimiwa Rais izo gari za kichina zitapita Barbara gani kwa kuwa izo Uzito wake ni mkubwa na nchi yetu tunataka gari zenye Uzito mdogo sasa
Iv nauliza bei itaweza kupunguza au ndio ileile
Safisan Raisiwetu. ila nasisi tuanze kusomea hivyo.
Siyo kiwanda cha kutengeneza magari . Vinaletwa vipuri au parts na kuunganishwa hapa.
Sisi tutafaidi nini kama nchi?
Tatizo lenu wabongo huwa mna waza hapa tu na si kule. Hamna future manina. Huwezi Anza kuwa boss bila ya kuwa mtumwa
Kiwanda chamagari? Au chavipuri
Je, wazawa wamefungua kitu Gani kikubwa ? Tusiwaachie wawekezaji, tuwe pamoja Kwa usalama wa kiuchumi wa nchi yetu.
Safii
Dukuduku langu ni kuwa sijasikia wala kiona kiongozi wa imani yangu japo napongeza kazi inayoendelea kufanywa na serikali yangu
UMEME NDIO MUHIMU KWWNZA UMEME WA UHAKIKA WA NUCLEAR HALAFU MAMBO MENGINE YOTE YATAFUATILIA ENERGY NDIO MUHIMU
Kiwanda chá magari au chá kufungia mgari
je vipuli tunatengeneza wenyewr au
Du magari yatakua lak tano tu sasa
Wakosoaji na wajuaji hawakoekani
Mngetengeneza magari madogo ya abiria wananchi tueze kujikwamua kiuchumi
hi ni assembling tu cio kiwandn cha kutentengz kabis wanaunga2 na hio kampuni cio ya tz mjue tu
@@AhmedAslam-ip8mu kampuni iwe ya Tz isiwe ya Tz tunafurahia imezinduliwa hapa
Haya yawe na viwango
Bom hayo hayo magari kishina ni mabovu
❤❤🇹🇿🇹🇿
Assemblingg
kiwanda cha magari umeme shida kupatikana🤣
Mama ataleta maroboti yafanyekazi
Mi natk kaz
Bei ya umeme ishuke
Maji ya kwako,misitu yakwako❓ 🤣🤣
Kuunganisha
MI
Mungu akulinde mama samia