BABA WA FAMILIA ILIYOCHOMWA MOTO KWENYE GARI AFUNGUKA "MKE WANGU HAKUWA NA UGOMVI NA MTU"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 131

  • @toshackmadege5507
    @toshackmadege5507 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +18

    😭😭😭😭 Pole sana baba ,tunakuombea Mwenyezi Mungu akupe nguvu ya kuhimili jambo hili gumu na zito

  • @valentinemtei3588
    @valentinemtei3588 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +13

    Alikua mkaguzi wa ndani kazini kwake, uchunguzi uanzie huko kazini kwakeeee

  • @janedenisi7056
    @janedenisi7056 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +12

    Nilichogundua ni kwamba huyu baba ni mpole sana hawezi hata kuongea dah pole sana baba yangu Mungu akutie nguvu😢

  • @HuseniMsumba
    @HuseniMsumba 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +9

    DU! BORA KWENDA KUISHIA PORINI NA WANYAMA KULIKO KUISHIA NA BINAADAMU WANYAMA WANAHURUMA KULIKO BINAADAMU😭😭😭😭😭

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +8

    Hao wauaji ni wa kuvunjiwa chungu aisee siyo wa kuachwa kabisa

    • @dismaslalubare4196
      @dismaslalubare4196 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kaka.pole sana... mungu akutie nguvu kipindi hiki kigumu

    • @ادريسالبلوشي-ل9ي
      @ادريسالبلوشي-ل9ي 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Umesema kweli,tena huyo baba achukue nguo zao walizokutwa wamekufa nazo then akawashughulikie hao wauwaji watapukutika wote.

    • @verombwambo3703
      @verombwambo3703 25 นาทีที่ผ่านมา

      Kabisaaaaaaa

  • @mayahkim4390
    @mayahkim4390 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Yani uyo jamaa mbona maswali yake ya ajabu. Mungu amtie nguvu uyo baba

  • @mr.yahzadochuno7914
    @mr.yahzadochuno7914 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Mh huyu mzee ahojiwe vzr something is not ok here 😞

    • @judyngowi391
      @judyngowi391 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Acheni mambo ya hovyo, yaani nyie mpaka muone nini ndio muamini hajahusiki, kila mtu ana namna tofauti ya kuexpress feelings zake, acheni mdomo mrefu

  • @mariamali4252
    @mariamali4252 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +12

    Mbona huyo baba kama hana uchungu jmny

    • @ireneshao7950
      @ireneshao7950 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Anao na Amelia sana😢

    • @dikakimishawasumbwahalisit7596
      @dikakimishawasumbwahalisit7596 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

      Huyo ni mwanaume sio mwanamke

    • @barikiwa22
      @barikiwa22 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

      Huyo bado yuko katika mawenge, subiri watu warudi makwao ndio akili zina rudi. Watu wa karibu wasimwache, watu wa hv wana wehukaga kwa uchungu.

    • @rogersiddy
      @rogersiddy 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

      Unataka awe nauchungu gan wa uzazi au?

    • @judyngowi391
      @judyngowi391 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

      Unataka uchungu akuonyeshe wewe , acheni umbea

  • @abumuhammad9615
    @abumuhammad9615 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Je marehemu hakuwa mnoko huko kazini?
    Inawezekana kuna madudu aliyafichua huko kazini ambayo yameathiri ugali wa watu.
    Polisi waanze kufatilia Ofisini nini kimejiri miezi 6 kabla ya hili tukio.
    Je kuna watu walitumbuliwa? Au upigaji wao kufichuliwa?
    Pia namba ya simu yake ifuatiliwe kugundua nani aliwasiliana nao siku tatu kabla ya hili tukio.

    • @judyngowi391
      @judyngowi391 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Tena ikizingatia alikuwa internal auditor, waanze hapo kazini, mijitu imeshaiba huko, wakaona wammalize

    • @Maimunasimon
      @Maimunasimon ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@judyngowi391upew maua yako❤❤❤❤

  • @GraceAbraham-l9h
    @GraceAbraham-l9h ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Jamani mtoto,dada wa kazi ni kosa gani ambalo mnaweza mkamhukumu mtu kwa mauti ya mateso kiasi hicho km Mungu aishivyo asinyamaze km damu ya abili ilivyomlilia kaini ikawe pia kwa wauaji wote si kwa hii familia tu wauaji wote asiwepo mtoto wa kubeba laana ya mzazi wake wala mwenzie kila mtu abebe mzigo wake kwa kipimo anachowatendea wengine akatendewe mara dufu laana au baraka,,

  • @gabrielmchau8764
    @gabrielmchau8764 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Hata hivyo mzee ni jasiri sana, yuko normal kabisa, safi mzee Mungu akutie nguvu zaidi

  • @simonbundala6382
    @simonbundala6382 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Pole sana ndugu kwa msiba huu mkubwa na wa kusikitisha. Jipe moyo Mungu yupo pamoja nanyi.

  • @fatmaahmed8637
    @fatmaahmed8637 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Pole saaana Kaka..ugomvi wa sina yoyote huwezi kufabya hayaa😂 HAKUNA KIUMBE KISIO JULIKANA HATA DARUBINI INAONA VISIVYO ONEKANA

  • @LAZAROBOMANI-ex6bj
    @LAZAROBOMANI-ex6bj 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Poleni xana

  • @EmmanuelNyinyigwa-m1o
    @EmmanuelNyinyigwa-m1o 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Unataka uchungu ufananeje na sisi tuone

    • @MonadiNadi-j6s
      @MonadiNadi-j6s 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Watu wengine wanayaona yawenzao simpo subir yamkute 😭

    • @SamsonMathayo-u6w
      @SamsonMathayo-u6w 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hilo neno mwaya mpaka yakukute

  • @barikiwa22
    @barikiwa22 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Dah uchungu anao usikia huyu baba acha kabisa

  • @NnalaNsangalufuMwangati
    @NnalaNsangalufuMwangati 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Pole kwa msiba huu mzito 😢

  • @givenessdavid3743
    @givenessdavid3743 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Kazini kuna Kazi.,.......

  • @ZenaUsangi
    @ZenaUsangi 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    ILA BINADAMU TUMEKUTWA NA NN?MBONA TUMEKOSA HOFU YA MUNGU KWELI UNAONA RAHA GANI KUCHOMA FAMILIA YOTE BILA WOGA JE WW UTAKUWA NA IMANI KWA HAYO ULOFANYA

  • @FridaManga-i8q
    @FridaManga-i8q ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Watangazaji wetu jamani, Hivi mtu anawezaja kuuwawa?

  • @neemayatosha1618
    @neemayatosha1618 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Mh mimi ndio kichwa changu kizito au? Yaani jirani asimkute mkeo na yeyote ndani ya nyumba hapo hapo umwambie yeye akatoe taarifa polisi au ni intuition yako kali. Hakuna hata dada wa mkeo,maana ingekua mimi ningehangaika na watu wetu wa karibu kabla ya polisi,hata ile panick tu ningeanza na ndugu na watu wetu wa karibu kabla ya kumwambia jirani yeye ndio aende polisi,umeshaambiwa hawapo kwanini uaisubiri ufike ndio uripoti,ni nini unachokijua ambacho wengine hawakijui?
    Alafu mkaguzi ndio waue familia yote? Something is missing,anyways, mda utaongea.

    • @Vees12
      @Vees12 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Sasa uliitaka afanyeje wakati mtu yupo mbali?

    • @neemayatosha1618
      @neemayatosha1618 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      @Vees12 umesoma kuelewa nilichoandika au umeamua tu kubaka comment? Was I suggesting what he should have done,did I say what he did was wrong,or I just raised my concern? Hebu nitokee na maswali ya kipuuzi,ungenielewa usingeuliza swali la hovyo.

    • @Vees12
      @Vees12 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@neemayatosha1618 so if you think you're right, why are you catching feelings? This shows how stupid you are. Eti embu nitokee na maswali ya kipuuzi....who are you not to be questioned?

    • @ashafelix8332
      @ashafelix8332 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      @@neemayatosha1618Kwa mujibu wa maelezo hawa watu hawaishi Tanga ni kwamba wana nyumba Tanga ndio aliposhukia mke akielekea Moshi kwenye mazishi. Inawezekana huko Tanga hakuna ndugu. Tumuombee haya maumivu ni makali ni vile tu ni mwanaume.

    • @neemayatosha1618
      @neemayatosha1618 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      @ashafelix8332 we Asha jamani,sasa kama hawaishi hapo ,hao majirani wanamuongelea jirani yao yupi,mke anaishi na kufanya kazi hapo,ila mume anaishi Dar. Mimi nawaza tu uchunguzi ufanyike,sijahukumu. Moyo wa mtu ni kichaka,huyo baba wamchunguze pia si kwa ubaya.

  • @denisipaulo7785
    @denisipaulo7785 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Watu ni makatili sana ila Mungu yupo

  • @nyabahailani3169
    @nyabahailani3169 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mungu mungu jamani jamani tuhurumie jamani

  • @yugemasanza1008
    @yugemasanza1008 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hilo gari ni la nani?

  • @Tg.7_7
    @Tg.7_7 41 นาทีที่ผ่านมา

    Pole Sana Ndugu Yangu. Usiogope Mbingu zimeona na zimenukulu jambo hili!!😭🙏

  • @happinessmosala2217
    @happinessmosala2217 46 นาทีที่ผ่านมา

    Kaka poleni sana.Its so sad😭😭😭Mungu awape Faraja kipindi hiki kigumu.

  • @GodJuma-r8i
    @GodJuma-r8i ชั่วโมงที่ผ่านมา

    godfrey peter shirima wa kisaleni kaka poleni sana mungu ndie mweza wayote

  • @angelmashauri6961
    @angelmashauri6961 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Poleni sana ndugu, jamaa na marafiki kwa msiba hu mzito…Mwenyezi Mungu awape pumziko la milele marehemu🙏🏻

  • @EmmanuelNyinyigwa-m1o
    @EmmanuelNyinyigwa-m1o 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mkaguzi

  • @Hakuzwe
    @Hakuzwe 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sasa mbona Tanzania itakuwa kama DRC...Watu wanauwaws sana.Pole Kwa jama.

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mtangazaji hauko makini kwenye kuhoji kuhusisu siku umemkuta mume Yuko makini

  • @happinessmosala2217
    @happinessmosala2217 44 นาทีที่ผ่านมา

    Kuna mahali amegusa huko kazini.uchunguzi uanzie hapo

  • @azzaalhabsi1505
    @azzaalhabsi1505 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Pole sana kaka..mungu akupe subira na faraja.najua kwa kipindi hiki hakuna atakae vaa kiatu chako .pole sana

  • @jasmintarimo9007
    @jasmintarimo9007 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Pole sana familia kwa msiba huu mzito mbele ya yake nyuma yetu

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu awalaze mahali pema peponi kwelimtu unawachoma moto watu wasio na makosa watu watu wamekuwa hawana hata hofu ya Mungu kabisa jamani

  • @HawaRuchaga-d2x
    @HawaRuchaga-d2x 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Pole sana kaka lameck mungu akutie nguvu kipindi hiki kigumu

  • @AshaMwamba-i7g
    @AshaMwamba-i7g 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Pole baba mungu akutie nguvu jamani dunia tunaelekea wapii

  • @JuliethLema-n8e
    @JuliethLema-n8e 13 นาทีที่ผ่านมา

    Pole sana kaka lamec mungu akutie nguv kaka

  • @fatmaahmed8637
    @fatmaahmed8637 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hio ni gari gani na hakuna na sehemu gani huko? Mjini au nue ya mji

  • @ZulekhaBaksh-ii4fk
    @ZulekhaBaksh-ii4fk 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ila jamani na mtoto ana kosa gani mbona vifo vingine mtihani

  • @JokhaJokhaabla
    @JokhaJokhaabla 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Mlitaka ajielezee vp mpaka muwe mnaona kua hahusiki mm naona kajibu kutokana na maswali alioulizwa na jinsi ilivokua .pia kashafanya ganzihajui alie au asilie unapatea na tatizo unalia mpaka mwisho wa siku machozi unakosa na pia sizani kama mwanaume na mbaba kama huyo ahojiwe huku analia.anaweza kua na machungu kuliko yule anaelia.pia mtu anaweza akafanya kosa yy na akawa muiwaji yy lkn mbele ya camera akalia kwa uchungu ili asionekane kama kama yy anahusika ili kutuzubaisha sisi.lkn baba wawatu maskin anamachungu ndani kwa ndani analia ndani kwa ndani msimuhukumu wakati hamjui ukweli

    • @judyngowi391
      @judyngowi391 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kweli kabisa

    • @JokhaJokhaabla
      @JokhaJokhaabla 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@judyngowi391 shuqran sana kwa saport

    • @SubiraMohammed-ks6qg
      @SubiraMohammed-ks6qg 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Watu wanaongea tu jambo zito kama ili lisikie tu kwa mwenzio lakini likikukuta wewe ndo utajua kama maumivu yapoje alafu yeye ndo baba kila mtu anamwangalia yeye alie mda wote atafanyaje maamuzi

    • @JokhaJokhaabla
      @JokhaJokhaabla ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@SubiraMohammed-ks6qg mashaallah nashkuru sana maneno yakweli kabisa hawajui kum please mtu bali nikumkandamiza

  • @alexmwalingo5020
    @alexmwalingo5020 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mwee pole sana mkuu Mungu akufunge mkanda

  • @magrethmollel1078
    @magrethmollel1078 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu mwandishi ana maswali magumu yasiyo na tija

  • @mercykagaruki
    @mercykagaruki 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nyie jamani watoto watoto na alikiwa anaenda wapi??

  • @abdallahmmary8591
    @abdallahmmary8591 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kulia ndio kuwa amehuska au msali yakichawa

  • @nicebatare2737
    @nicebatare2737 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Siyo kwamba gari liliwaka moto lenyewe

  • @mercykagaruki
    @mercykagaruki 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Nina mashaka na pale anaposema alimuaga kuwa anakula na pia. Nyumba ilibaki. Wazi?? Jamani mungu tunusuru

    • @mariachuhila9518
      @mariachuhila9518 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Umeonaee hata mimi sijaelewa hapo

    • @mridanyadunia8540
      @mridanyadunia8540 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      alisema ametoka kula, ndo wahuni walimtumia sms

    • @faustinaurio3703
      @faustinaurio3703 11 นาทีที่ผ่านมา

      Umeongea kitu😢

  • @HonorataMafala
    @HonorataMafala 54 นาทีที่ผ่านมา

    Uchunguzi uanzie kazini.

  • @mariakisinda-pe7us
    @mariakisinda-pe7us 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu tusaidie

  • @Alexismadimo
    @Alexismadimo นาทีที่ผ่านมา

    Pole sana faza

  • @NeemaTowo
    @NeemaTowo 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Pumzika kwa aman

  • @maligeltabatholomeo8128
    @maligeltabatholomeo8128 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Pole shayo

  • @rehemaathhmani357
    @rehemaathhmani357 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Poleni sana

  • @kelvisonchristian7799
    @kelvisonchristian7799 58 นาทีที่ผ่านมา

    A

  • @mbajawagome936
    @mbajawagome936 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Pole sana

  • @mathewungani9724
    @mathewungani9724 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Pole Bro.....

  • @LeeCaramel-u3q
    @LeeCaramel-u3q 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Lakini na mfiwa si afanyiwe uchunguzi…!!
    Sio kwa ubaya
    Na hakuna kilichoibiwaa mmmmmnh……..!!!!mmmmmnh

    • @AnnaFelix-p1z
      @AnnaFelix-p1z 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Acha uchawa

    • @mr.yahzadochuno7914
      @mr.yahzadochuno7914 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Uko sawa anahusika

    • @josephineokama2200
      @josephineokama2200 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      labda maswala ya kazini mybe anlilia anavimbia wenzie au maugomvi kazini

    • @LeeCaramel-u3q
      @LeeCaramel-u3q 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@josephineokama2200 whatever the case babe…chochote kinawezekana

    • @judyngowi391
      @judyngowi391 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@mr.yahzadochuno7914ulikuwepo, binadamu acheni roho mbaya, unahukumu watu hata huwajui, sio mijitu mingine ikoje

  • @HassanSaid-e1w
    @HassanSaid-e1w 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Polee

  • @Rebecca-u5m
    @Rebecca-u5m 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    🎉🎉🎉😂😂😂😊

  • @Rebecca-u5m
    @Rebecca-u5m 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    123

  • @malila4582
    @malila4582 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😭😭😭😭

  • @AmedeusMbanda-gh4rj
    @AmedeusMbanda-gh4rj 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😭😭😭🙆🙆

  • @franciscarligubi9210
    @franciscarligubi9210 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Si kwa ubaya ila nna mashaka na baba

    • @AshaMwamba-i7g
      @AshaMwamba-i7g 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mmmmmm

    • @SharifaOmary-ui8vs
      @SharifaOmary-ui8vs 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kwenda zako

    • @AshaMwamba-i7g
      @AshaMwamba-i7g 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@SharifaOmary-ui8vs hisia mbaya mnataka mtu ajigaragaze Kama mwijaku

    • @judyngowi391
      @judyngowi391 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ulitaka ajigaragaze chini chini kama Mwijaku ndio usiwe na mashaka nae, kuna mtu anaweza kulia kujigaragaza na ndio kahusika, msipende kuhukumu mambo msiyoyajua

    • @TheresiafaustineMeela
      @TheresiafaustineMeela 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mmm sidhn yan had kwa mwanae ili nn

  • @franciscarligubi9210
    @franciscarligubi9210 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Y achomwe na mtt na binti? Iyo ni kufuta ushahidi

  • @mercykagaruki
    @mercykagaruki 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Na alikuwa nyumbani sasa ilikiwaje akatoka kula? Hakumwambia mwanaume kuwa anatoka nje ya nyumba kwenda kula? Maswali magumu

    • @josephineokama2200
      @josephineokama2200 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      si kula hoteleini.kwan lazima ale nyumbani

    • @mariachuhila9518
      @mariachuhila9518 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Kinachonishangaza ilikuwaje wakatoka bila kufunga milango yote hali ya kuwa hakuna mtu

    • @bimumaulid1171
      @bimumaulid1171 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Look like something wrong ​@mariachuhila9518

    • @judyngowi391
      @judyngowi391 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kuna kitu kimetokea, labda walitekwa

    • @suleimansalym7537
      @suleimansalym7537 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hapo sasa aanza kujiuliza inakuwaje mtu anaondoka bila kufunga milango ya nyumba yake inawezekana ikawa tatzo lilianzia hapo nyumbani cha msingi vyombo vya uchunguzi vifanye kazi yake vzur tu ili haki itendeke

  • @dorismkongwe4140
    @dorismkongwe4140 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Huyu baba anajichanganya kunakitu anajua

  • @uniquefactsmediaufm6735
    @uniquefactsmediaufm6735 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Pole sana ! Mungu akupe faraja !

  • @khadijathani9064
    @khadijathani9064 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Pole sana

  • @sophiemsuya6507
    @sophiemsuya6507 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nilitamani kama intelegensia ya polisi ingeweZa kubaini na kuzuia unyamakama huu. Huyu mtoto amekufa bila kuonja ndoto ya maisha yake. Mungu nakuomba uingilie Kati wauaji wapatikane haraka.

  • @MwanahamisiBwanga
    @MwanahamisiBwanga 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hawex kuonges jamsnii😮😢😢😢

  • @daudymlauletv8489
    @daudymlauletv8489 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mmmh huyu baba mfuatilieni vizuri mbn kama anamashaka mashqka
    Police anzeni na huyu baba

    • @judyngowi391
      @judyngowi391 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Tuanze na wewe! Kazi kuwaza mabaya tu mtu wala humjui

  • @annajoseph9955
    @annajoseph9955 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nilijua anaehoji ni mwanamke kumbe ni boi mmmh

  • @dotnatajoseph2620
    @dotnatajoseph2620 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Polen sana jamaniiiiii 😭😭😭💔

  • @franciscarligubi9210
    @franciscarligubi9210 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwann akale chakula na nyumba aache wazi .?

  • @PaschalNgodilo
    @PaschalNgodilo 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyo dada alisomeshwa na mtu akamkimbia kwahyo alikuwa anawindwa.

    • @barikiwa22
      @barikiwa22 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mmmh walimwengu mmeanza!! Mtu ana mtoto mkubwa katika ndoa ndio aje kuchomwa leo 🙄

    • @MarthaMgaya-zo4bi
      @MarthaMgaya-zo4bi 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mmmmmmh😢

    • @yugemasanza1008
      @yugemasanza1008 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Unaweza kutujuza Huyo mtu aliyemsomesha anaitwa Nani na anakaa wapi anajishughulisha na nini?

    • @judyngowi391
      @judyngowi391 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mawazo mgando

    • @MathayoMagavilo
      @MathayoMagavilo 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ok, tutakutafta utasaidie kumpata huyo mtu