Mwanamke: Ndoa Ni Sanaa; Cheza Nafasi Yako Kikamilifu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
  • #nikah #ndoa #sheikh #bakwata

ความคิดเห็น • 108

  • @AbdiNdayishimiye
    @AbdiNdayishimiye 29 วันที่ผ่านมา +1

    Mafundisho mazuli scheikh wetu Allah akuhifadhi

  • @KhadijaKipua-dw7yz
    @KhadijaKipua-dw7yz 7 หลายเดือนก่อน +7

    Tunajitahidi sana kuwapenda waume zetu lakini mmh wanaume. wa sasa sio wote hawapendeki unajitahidi kwa Kila jambo lakini mmh tunashindwa sheikh wangu na uadilifu pia hawana hasa waliooa wake zaidi ya ya mmoja

    • @fatumahasani1255
      @fatumahasani1255 7 หลายเดือนก่อน

      ♥️♥️♥️kewli dada yan hawapendeki unajitahidi kila uwezavyo I lakin wapi

  • @user-qu8kp9lb6b
    @user-qu8kp9lb6b 7 หลายเดือนก่อน +6

    Masha'Allah ❤❤❤❤❤kheri sheikh wetu Allah atujaalie tue miongoni mwa wake wema kw waume zetu iwe kheri duniani na kesho akhera ❤❤❤❤❤❤

  • @zubedakibira6036
    @zubedakibira6036 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah

  • @MwajumaBakari-it7zh
    @MwajumaBakari-it7zh 6 หลายเดือนก่อน +2

    Jazakallah khaila

  • @user-mt8ve8ub2q
    @user-mt8ve8ub2q 6 หลายเดือนก่อน +2

    Amiina shekhe niwe mke mwema alaah anijaalie mume mwema

    • @al-aqsamediaonline1489
      @al-aqsamediaonline1489  6 หลายเดือนก่อน

      Allahumma Aamin 🤲🏾 In Shaa Allah utapata Mume mwema mwenye kheri nawe

  • @user-em4ei3iw6g
    @user-em4ei3iw6g 8 หลายเดือนก่อน +14

    Mwanaume mwingine kakerwa nje hasira zinakuja kuisha kwa mke wake anakuja kakunja sura hata kama twaambiwa kapu letu la mema limetoboka lkn mwanamke anajua kupenda sana pale na wewe unapojitolea kwake sio mume mke anaumwa habari nae hana siku yeye akiumwa afanywe kama mfalme hapo kweli mke atakuwa na furaha na mume wake

  • @hassanharuna1519
    @hassanharuna1519 8 หลายเดือนก่อน +5

    Masha Allah sheikh shukran sana kwana sahanzuri Allah atujaliye kuwa wake wema

  • @user-mb5jx6wp6v
    @user-mb5jx6wp6v 7 หลายเดือนก่อน +3

    Nice mashaallah Shukran sanaa tumefarijika tutajitahidi na kuelimika Allah atuwezeshe kuwakirimu

  • @user-jv1ch4tr8q
    @user-jv1ch4tr8q 7 หลายเดือนก่อน +3

    Shekh Wetu usiwatetee wanaume wenzio kwakifupi hawana Shukran unamthamini a naona Huna pakwenda kudekezwa nakupendwa tunahitaji sote tudekezane sote tupendane sote

    • @al-aqsamediaonline1489
      @al-aqsamediaonline1489  7 หลายเดือนก่อน

      Tazama video nyingine amezungumza na wanaume kuelezea haki za wanawake

  • @KhadijaKipua-dw7yz
    @KhadijaKipua-dw7yz 7 หลายเดือนก่อน +4

    Masheikh wetu mashallah mnatufundisha sana wanawake kuhusu kuwatihi waume zetu mashallah tunamshukuru lakini tunawaomba muwafundisha wanaume zetu wajibu na haki ya wake zao wasmbieni kuwa hatujaolewa kwaajili ya kufanya kazi za ndani maana tunaachika sababu ya kupika na kuosha vyombo muwafundisha kuwa wanawake tunawasaidia tuu natuwahurumia tuu

    • @al-aqsamediaonline1489
      @al-aqsamediaonline1489  7 หลายเดือนก่อน

      Zipo clip ambazo Sheikh Shams amezungumzia umuhimu wa wanaume kuwajibika kwa wake zao. Fuatilia videos zipo humu. Shukraan

  • @user-uz6lc9re2m
    @user-uz6lc9re2m 7 หลายเดือนก่อน +4

    Allah kuzidixhee elimu yenye maufaa duniani naakhera

  • @ashaidd2912
    @ashaidd2912 7 หลายเดือนก่อน +3

    Mashaalah Allah anijaalie na mie nipate wa kufanana inshaallah

    • @al-aqsamediaonline1489
      @al-aqsamediaonline1489  7 หลายเดือนก่อน

      Allahumma Aamin 🤲🏾 In Shaa Allah utampata zidisha Dua hususan Al Istighara

  • @abcmnbb2610
    @abcmnbb2610 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mashaallah tabarakaah kiss Kiss
    Shukran Sheikh wetu mawaiza mazuri
    Mungu akupe afya njema Naumri mrefu inshaallah 😂😂😂

  • @user-yq9yn1dr6x
    @user-yq9yn1dr6x 7 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana dada malipo ni duniani ipo cku watakukumbuka

  • @aminayusufu1918
    @aminayusufu1918 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaaa allah tabarakallahu...awa wanaume ukishazaaa tu anakwambia mambo yamebadilika yuko ubize na kazin mpakaa mwisho na sis tunakuwa bize na kulea baadae unaskia anakwambia mapenzi yamehamia kwa mtoto heheheheh

  • @judithkuziwa2924
    @judithkuziwa2924 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wanaume wasasa ni changamoto shekh shukuran hawana 😢 mtu unajitahid ila dah

  • @mariamsefu825
    @mariamsefu825 8 หลายเดือนก่อน +4

    Wapo wanaume ukiwashukuru ukuambia huna haja ya kunishukuru ni wajibu wangu ,lkn tupo tunao shukuru

  • @harunaathumani1672
    @harunaathumani1672 8 หลายเดือนก่อน +2

    Kazi nzurii

  • @user-ti7pm4xk5e
    @user-ti7pm4xk5e 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah Mashallah

  • @user-uk4tx6hi2s
    @user-uk4tx6hi2s 6 หลายเดือนก่อน +1

    😢mawaidha mazuri shekhe

  • @user-im8pr5cj3n
    @user-im8pr5cj3n 6 หลายเดือนก่อน +1

    Asante shehe

  • @sagboison6297
    @sagboison6297 6 หลายเดือนก่อน +1

    Aisee mimi bpnavyoona huyu mwanaume nilienae ananidharau sana imefika hatua hata sipati hamu ya mapenzi kwakwe kabisaa😢 aiseee basi tu

    • @al-aqsamediaonline1489
      @al-aqsamediaonline1489  6 หลายเดือนก่อน

      Pole Sana. Kama mmefunga ndoa waone Viongozi wako wa dini wakusaidieni kutatua tofauti zenu

  • @ashaidd2912
    @ashaidd2912 7 หลายเดือนก่อน +2

    Lkn shekhe awe anakuletea jmn wengine hawanunui sasaxhuko kupenda na nn

  • @user-md6vl2vq6g
    @user-md6vl2vq6g 7 หลายเดือนก่อน +2

    Sheikh mim yote niliyafnya ila mwisho aliniona kama sina thamni kwake mwisho kusema sitaki kupendwa sana

    • @al-aqsamediaonline1489
      @al-aqsamediaonline1489  7 หลายเดือนก่อน

      Allah akujaalie upate mwingine mwenye kheri na wewe. Usikate Tamaa, maisha yana mafunzo makubwa mno.

  • @user-gj4lw8rh3h
    @user-gj4lw8rh3h 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mm ckuzote naambiwa sin shukuran koz nikitakacho ccho anipacho koz zawadi zitoke kwangu ziende kwa kimada lkn akija kwangu ana chochote sasa nashidwa ata akifafa nn kiekweli shukuran yangu yuapata kwenye penz tu bc akimaliza atasubur sana

  • @user-jv1ch4tr8q
    @user-jv1ch4tr8q 7 หลายเดือนก่อน +1

    Shekh km ww upo hivo unaona wema wamkeo sio wote wengine ukijishusha ndo amepata njia yakukukandamiza kilasiku atakwambia hn mwisho subrah inakutoka waambie nawao watufanyie hivo waone tutavopendana

  • @asyasaid5012
    @asyasaid5012 8 หลายเดือนก่อน +3

    Asalam Aleikum Mm hata kidongo natua asate shukran lkn wao hawasubutu?

  • @SWEETIEMgeni
    @SWEETIEMgeni 7 หลายเดือนก่อน +2

    WANAUME WA SIKU HIZI HATA UMMBEMBELEZE NI BURE SHEKH MANA WENYEWE TU HAWATUBEMBELEZI

    • @al-aqsamediaonline1489
      @al-aqsamediaonline1489  7 หลายเดือนก่อน +1

      Timiza wajibu wako mengine yatafuata In Shaa Allah

  • @WenyaYohana
    @WenyaYohana 6 หลายเดือนก่อน +1

    Shkh wanaume wa cku hizi wanamsemo wanawake ni wengi ukipenda unapita hivi

  • @Judith892
    @Judith892 6 หลายเดือนก่อน +1

    Wanaume wenyewe hawana muda wa kubembeleza mke. Wako bize na yasoyostahili

  • @aminasaid6555
    @aminasaid6555 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ni kweli ila ni wabinafsi maana hutaka yasemwe yao tu ila ya upande wao kwa wanawake hawataki yasemwe na yakisemwa huyapinga

    • @al-aqsamediaonline1489
      @al-aqsamediaonline1489  7 หลายเดือนก่อน

      Zipo clip zilizozungumzia ya wanaume pia. Fuatilia videos zetu unufaike

  • @user-hx7iz2ig9w
    @user-hx7iz2ig9w 7 หลายเดือนก่อน +2

    Kwanini nasi twapenda tudekezwe mtu anaujauzito miezi 7 ama 9 utaskia nataka chapati😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂ukisema no vweeeeee kinawaka

  • @user-lh8zr2nx9e
    @user-lh8zr2nx9e 7 หลายเดือนก่อน

    Shekh Mimi wanaume ninaokutana nao hawajui wajibu wao kwangu Moja Kila kitu nanunua mwenyew chakula mavazi ugongwa kod na wajibu wangu namtimizia bila shaka Sasa huyu nimfanyaje

  • @rahmasaeed6860
    @rahmasaeed6860 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mwanamme mwengine atakuletea chakula lkn maisha ya ndani maudhi aliyo nayo ,dharau zote anakufanyia hajui kutengeneza furaha ndani kwa mke wala watoto, na hata ukimfanyia nini kwake ni baya je mume huyu unakaa nae vp?

    • @al-aqsamediaonline1489
      @al-aqsamediaonline1489  7 หลายเดือนก่อน

      Kuwa na subira, wasiliana na Sheikh aliye karibu amwite lakini kubwa kaa naye kwa upendo uongee naye; In Shaa Allah atabadilika.

    • @NusraHozza-qp8yy
      @NusraHozza-qp8yy 6 หลายเดือนก่อน +1

      Na hao ndo wengi katika hii dunia kiukwel wanakatisha tamaa

    • @al-aqsamediaonline1489
      @al-aqsamediaonline1489  6 หลายเดือนก่อน

      @@NusraHozza-qp8yy Kikubwa ni kuwa na subira na kuchukua hatua za kutafuta suluhusho la tatizo.

    • @NusraHozza-qp8yy
      @NusraHozza-qp8yy 6 หลายเดือนก่อน +1

      @@al-aqsamediaonline1489 inshaALLAH ila ni mtihani unakuta ulishamuitia watu mara kadhaa inabidi kuacha

    • @al-aqsamediaonline1489
      @al-aqsamediaonline1489  6 หลายเดือนก่อน

      @@NusraHozza-qp8yy Unaishi Mkoa gani?

  • @TikTokwin-xi8cd
    @TikTokwin-xi8cd 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi nimesema mpaka nikachoka yeye hajawayisema Asante kwangu hata nifanyenini

  • @user-hx7iz2ig9w
    @user-hx7iz2ig9w 7 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂eti tabia zakikiume wallah

  • @husnamohamed9245
    @husnamohamed9245 7 หลายเดือนก่อน +1

    Sheikh hayo yote mie ninayo alhamdulillahi.

  • @gcgjghh6989
    @gcgjghh6989 6 หลายเดือนก่อน

    Wanaume wengine visirani hata ukimfanyia nini hakuoni na hata sisi wanawake tunapenda kudekezwa na kupendwa nyege kunyegezana

    • @al-aqsamediaonline1489
      @al-aqsamediaonline1489  6 หลายเดือนก่อน

      Hakika. Hata hivyo kama ni mumeo wa ndoa usichoke kutimiza wajibu wako.

    • @gcgjghh6989
      @gcgjghh6989 6 หลายเดือนก่อน

      @@al-aqsamediaonline1489 in shaa Allah

  • @user-cj6pw8zd4e
    @user-cj6pw8zd4e 8 หลายเดือนก่อน +15

    Lakini sheikh wanaume niliokutana nao mimi nikiwaheshimu kuwathamini wanayoyafanya mwisho naambulia kudharaulika na kuonekana huna pa kwenda mpaka sasa sielewi

    • @zainabuali9915
      @zainabuali9915 8 หลายเดือนก่อน +4

      Pole sana dada. Fanya wajibu wako malipo utayapat t wema hauozi

    • @user-yu5wj4wu7r
      @user-yu5wj4wu7r 7 หลายเดือนก่อน +1

      Sheikh mums akihamaki kuhusu mkewe mwengine anaempenda zaidi kwangu anahama,kila akioa ananifanyia hivo,nam I simwitI anarudi mwenyewe.

    • @hamisisalmah8764
      @hamisisalmah8764 7 หลายเดือนก่อน +2

      Pole Mwenyezi Mungu atakulipa fil dunya walakhera in Sha Allah

    • @zuhuraakida5932
      @zuhuraakida5932 7 หลายเดือนก่อน

      I have the same problems!😢😢

    • @KhananiGharib
      @KhananiGharib 7 หลายเดือนก่อน

      Dah pole sana

  • @irenekanini9431
    @irenekanini9431 7 หลายเดือนก่อน +1

    Heheeeee😂

  • @user-ps7mz9yl5w
    @user-ps7mz9yl5w 7 หลายเดือนก่อน +1

    Shkh mm napambana nafanya mengi lakini bado mwanaume haoni na zinaa pia anaenda kufanya

  • @hubbahmukhtar6052
    @hubbahmukhtar6052 7 หลายเดือนก่อน

    Jamani wengine wanafanya yooote haya na bado wanaonekana wabaya tena na kusingiziwa maneno ya karaha mpaka unajutia kuaga kwenu.

  • @zabrongermanus-co1jj
    @zabrongermanus-co1jj 7 หลายเดือนก่อน +2

    Ahsante sana kwa kipindi kizur

  • @user-we2qy5ow1o
    @user-we2qy5ow1o 7 หลายเดือนก่อน

    Shehe mm mumewangu anapenda wanawake amani kwenyendoa sina nampenda natupo wakewawili ila wanawake kilasiku SMS zamapenzi kwenyesimuyake

  • @lilyshamis3396
    @lilyshamis3396 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hawabebeki kama mzigo wamawe

  • @user-hw2ri4ft6t
    @user-hw2ri4ft6t 7 หลายเดือนก่อน

    Tunayapokea haya mafunzo
    Ila pia tunaomba yawepo na ya wanaume

    • @al-aqsamediaonline1489
      @al-aqsamediaonline1489  7 หลายเดือนก่อน

      Shukraan. In Shaa Allah Hivi karibuni tutaandaa mafunzo ya Wake Kwa Waume

  • @aishabarua6857
    @aishabarua6857 7 หลายเดือนก่อน +2

    Hizo cream shekeh, sio haramu😮

  • @roseatienoogutu7641
    @roseatienoogutu7641 7 หลายเดือนก่อน

    mashallah

  • @user-yq9yn1dr6x
    @user-yq9yn1dr6x 7 หลายเดือนก่อน +2

    Pole sana dada malipo ni duniani ipo cku watakukumbuka