Ameeeen huyu mwalimu wangu amenifundisha mafundisho ya kweli ya Mungu ukimskiza vizuri haki unamjua Mungu wanguli nawe utapona ubarikiwe mno na Mungu awalinde wote ndacha na mwenzako Mungu aeke ukigo wa Moto hadui asiwaguse kwa jina la Yesu
Wajua mtumishi unasema vzuri sana wakina ndacha wanaturegesha Katika misingi ya zamani Kwa Ivo general conference imeanguka usisaport tena Rudi Katika misingi ya kweli
Ameen kubali Neema hio ujuwe ukweli na ukafanya Wamuzi wa Pekee..usirudi nyuma maana shetani ataanza kupiga vita hujai pata ukiwa kule Gcsda mthw10:34 songa Mbele Mungu yu nawe hadi kufa
Kitabu Cha mwanzo kinajieleza. Turiumbwa kwa mfano wa MUNGU. Hata adamu na Hawa. Warikua wanaongea na mungu ila walipoasi ndo mwili tukabadirishwa.kwa hiyo mungu nimmoja na mwanae
Hii injili inasitahili kuubiriwa kwote dunian ,waaah moto kabisa huyu mjungaji mungu akuongoze miaka mingi ya kuhubiri neno la bwana hakika nina barikiwa na haya mafundisho ya kweli
Trinity ni halali... Mungu kwa lugha ya kwanza ya biblia ya kiaramu, kigiriki, na kiibrania ndio jina ambalo limetumika na baba na mwana. Kumuelewa mungu sio as complicated as you put it. Ikiwa unadhani utamuelewa mungu, basi mbona akue na mwana na roho yake? unadhani majukumu ya hao yesu na roho alilemewa kuifanya baba peke yake?? In as far as we cannot fully proof God in nature having three personalities, we cannot either fully disproof it..

Amina sana barikiwa sana
Amen 🙏 🙏
The only remaining God's gospeler. Mungu azidi kukulinda sana. 🇰🇪
Mie ni mwadiventsta nimemuelewa sana kuhushu utatu na mie leo nimeamini mungu mmoja
Na Mimi nimefurahi sana kwa mafundisho take amina🙏🙏
Amen
Wajua mtumishi unasema vzuri sana wakina ndacha wanaturegesha Katika misingi ya zamani Kwa Ivo general conference imeanguka usisaport tena Rudi Katika misingi ya kweli
Huku ndiko kuushindaako Ulimwengu kuamini Kuna Mungu mmoja na Mwanae 1JHN5:4-5 Hii ndio Imani ya Mkristo wa Kweli Mthw16:16
Ameen kubali Neema hio ujuwe ukweli na ukafanya Wamuzi wa Pekee..usirudi nyuma maana shetani ataanza kupiga vita hujai pata ukiwa kule Gcsda mthw10:34 songa Mbele Mungu yu nawe hadi kufa
Napenda kuwashukuru kwa kuzidi kutufundisha ukweli, Mungu azidi kuwabariki
Waambie kabisa ndacha.be blessed
Mwalimu ndacha Mungu akulinde pamoja na msomaji Paul ....hivi karibun tufike nyumban
Hata huku Hawana shida Ndugu
@@georgekimasaofficial1629 wajuwa Nyumbani anako manisha 😢?
Wakristo wengine kuelewa ni shida kama waislamu tu
Be blessed our teacher 🙏
Ujumbe mzito huu watanzani mshike
Mungu akubariki sana mwalimu Ndacha
Kitabu Cha mwanzo kinajieleza. Turiumbwa kwa mfano wa MUNGU. Hata adamu na Hawa. Warikua wanaongea na mungu ila walipoasi ndo mwili tukabadirishwa.kwa hiyo mungu nimmoja na mwanae
Pastor Ndacha ☀☀☀
Ndancha mungu akuweke kiukweli unakiti kikubwa sana nakuombea uzidi kuwepo ili elimu yako ya dini ytu waipate wengi
Hii injili inasitahili kuubiriwa kwote dunian ,waaah moto kabisa huyu mjungaji mungu akuongoze miaka mingi ya kuhubiri neno la bwana hakika nina barikiwa na haya mafundisho ya kweli
Kwani Tanzania hamna uhuru wa kujieleza bila serikali kuwa na usumbuvu
Kwani Leo tar 19 hakuna mkutano, ?
Ninawasubiri sana kwa hamu au mvua , au hali ya hewa?
Siku MBILI ZA Ibada.
NDACHA MI NAKUELEWA,ILA SWALA LA SABATO LIACHE KWANZA JIFUNZE, KUNA SEHEMU KIDOGO MUNGU AKUSAIDIE UPAELEWE.
Amri ya Mungu ya Nne Exod20:8 ipo hata mbinguni wezi ruka hio ukiwa mkristo kaka1Jhn3
Ila mwalimu hii maada ya trinity ungefundisha kwanza afu ndo uwape watu mda waulize maswali sio kuanza tu na kukatibisha maswali 🙏🙏🙏
Sizani kama Kuna mtumishi ambae anaweza kuongea ukwel kama mwalimu wetu ndacha
Ayupo
Amém
Ndacha mambo mengine usiongee hadharani watakuja wakufanyie jambo baya mana shetani anafanya kazi yake
Washuja wa Yesu hawana uoga kwa Shetani Prov28:1 Isiah58:1
Trinity ni halali... Mungu kwa lugha ya kwanza ya biblia ya kiaramu, kigiriki, na kiibrania ndio jina ambalo limetumika na baba na mwana. Kumuelewa mungu sio as complicated as you put it. Ikiwa unadhani utamuelewa mungu, basi mbona akue na mwana na roho yake? unadhani majukumu ya hao yesu na roho alilemewa kuifanya baba peke yake?? In as far as we cannot fully proof God in nature having three personalities, we cannot either fully disproof it..
Achana na mambo ya Lugha,lete andiko.
We can prove or disproof through scriptures, 1 corinthians 8:6 has the God nature
@@BarakaZabron-py2fz
Matayo 28:19 mkiwabatiza kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu.
Kwa JINA sio MAJINA
Utatu ni kuseama baba mwana na roho ni Mungu mmoja yani hawa watatu wanatengeneza Mungu mmoja
@@KEVIN-SAINA utatu uko wapi kwa hilo andiko?.