Mchungaji ndacha azuia wakristo kusilimu kwa mkutano wake,ukristo sio dini asema mchungaji by Anwar

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 181

  • @ibruzah001
    @ibruzah001 ปีที่แล้ว +1

    Mashaa Allah mashekhe wetu waisilamu... Jazakumullah kheyral jazaa... Allah awalipe mema duniani na akhera... Allah atawalipa Jannatul Firdaus.❤❤❤

  • @zakiaanwar677
    @zakiaanwar677 ปีที่แล้ว +2

    MashaAllah mashekhe wetu

  • @jasminmohamed6145
    @jasminmohamed6145 3 ปีที่แล้ว +8

    MashaAllah
    Shukran Jazakallahu kheir

  • @UMMYYFATMA
    @UMMYYFATMA ปีที่แล้ว +2

    MashaAllah 🙏 🤲 🙏 tabarakallah ♥️ ❤️ 🙏 ❣️ much love you guys for the sake of ALLAH ❤️ ☝️

  • @thomasalchannel1135
    @thomasalchannel1135 3 ปีที่แล้ว +6

    YESU KRISTO NI MWANA WA MUNGU ABADANI!!! WOKOVU KWA WAAMINIO WOTE🔥🔥🔥☑️

    • @stoispapi2380
      @stoispapi2380 2 ปีที่แล้ว +2

      Open your eyes..know the meaning of the word "begotten" and seek for the truth and the truth shall free you..direct me where Mary said the father of jesus is 'God' I will be a Christian today.

    • @tawakalahmed3883
      @tawakalahmed3883 ปีที่แล้ว +1

      Alafu mariamu atakuwa bibi ya mungu? Fungua macho yako bana na ufikirie

  • @enockkibona7522
    @enockkibona7522 2 ปีที่แล้ว +1

    NDACHA u are so good in preaching.

  • @husnaodhiambo6848
    @husnaodhiambo6848 3 ปีที่แล้ว +6

    Mashallah Allahu Akhbar

  • @عبداللهباحميد-ن4ق
    @عبداللهباحميد-ن4ق 2 ปีที่แล้ว +2

    Ndacha Anatoa Ahadi Akipewa Hoja Atasilimu Na Ashapewa Hoja Mara Nyigi Cc Twafwatilia Yuotupe Nyigi Akipewa Hoja Wazi Wazi Na Hatimizi Ahadi Yke Ndacha Ww Ni Mrongo Sana

  • @husseinmwenja4398
    @husseinmwenja4398 3 ปีที่แล้ว +1

    ماشاءاللہ،،،،،جزاكم الله خيرا و احسن الجزء

  • @bigmanfish6346
    @bigmanfish6346 2 หลายเดือนก่อน +1

    MashaAllah ndugu waislam kiboko

  • @ndikumanainnnocent7796
    @ndikumanainnnocent7796 2 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah uyo mwenye kiti wa Ndacha nanjo jurge uyu ni musiba

  • @maimunafzaka880
    @maimunafzaka880 3 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah ma ustadh wetu, Allah awape subra, hikma awazidishie na ilmu ya kuwafunza wakristo dini ya uislam.

  • @Leo-xc1nh
    @Leo-xc1nh ปีที่แล้ว +2

    Mashallah ❤❤❤

  • @oopsm3574
    @oopsm3574 3 ปีที่แล้ว +6

    Maasha Allah keep up.

  • @عبداللهباحميد-ن4ق
    @عبداللهباحميد-ن4ق 2 ปีที่แล้ว +2

    Ushiiindweee Kwa Jina Ala ALLAH

  • @jamilshisia5929
    @jamilshisia5929 3 ปีที่แล้ว +5

    MashaAllah hakika uliwavuruka

  • @jamalathman6219
    @jamalathman6219 3 ปีที่แล้ว +11

    Wanataka kuizima nuru ya mwenyezimungu kwa vinya vyao na mwenyezimungu ataikamilisha ijapokua makafiri wanachukia,suratul saf verse ( 61:8)

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  3 ปีที่แล้ว +3

      Kabisa waliweka huo mkutano wao wenyewe tulipo kuja wamesilimu watu watatu

    • @fatmamohd2444
      @fatmamohd2444 3 ปีที่แล้ว +3

      @@salimdaawah123 mashaAllah ,allah azidi kutupa nguvu waislaam juu ya dini yetu amin

  • @abasmohamud1348
    @abasmohamud1348 3 ปีที่แล้ว +5

    Allahu akbar Allahu akbar
    Allahu akbar Allahu akbar
    Masha Allah mashaa Allah
    Wallahi I couldn't stop crying
    May Allah swt bless our beloved brother in Islam
    Wallahi the great job that they're doing for umatul Islam is the biggest and best job to do ever
    And as muslims we are saying jazaakumullahu kheiran
    May Allah swt reward you with goodness
    And bless all of you and your families in this life and hereafter

  • @alimatambwe3402
    @alimatambwe3402 3 ปีที่แล้ว +1

    Jazakhallahu kheiri Sheikh

  • @anwarsadatas01
    @anwarsadatas01 3 ปีที่แล้ว +5

    Mashallah , na hapo ni wapi

  • @faisalwaafrica7478
    @faisalwaafrica7478 3 ปีที่แล้ว +6

    Mashallah

  • @makenakendi9014
    @makenakendi9014 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah ALLAH BARIIK always my brothers

  • @kijanahodari2080
    @kijanahodari2080 3 ปีที่แล้ว +8

    Maa Shaa Allah Masheikh kazi nzuri ila ndacha machozi yamtoka ataendelea kuwa kafiri

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  3 ปีที่แล้ว +2

      Allah amuongoze

    • @akeem1221
      @akeem1221 3 ปีที่แล้ว

      Ndacha wametiwa ma goli ma nne kwa home ground yao. hehehehe

  • @harbisulub
    @harbisulub 3 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah tabaraka Allah brothers may Allahbreward you inndunya and akhira

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  3 ปีที่แล้ว

      Amiin amiin amiin all of us

    • @w4058
      @w4058 3 ปีที่แล้ว +1

      Allah akuongozeni kwenye njia ya ilonyooka ya Uislam Aamiin

    • @w4058
      @w4058 3 ปีที่แล้ว +1

      @@salimdaawah123 Allah awazidishie Waislam wenzetu

    • @harbisulub
      @harbisulub 3 ปีที่แล้ว +1

      @@w4058 allahuma amin

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  3 ปีที่แล้ว

      @@w4058 amiin amiin amiin

  • @mahdiyusuf3431
    @mahdiyusuf3431 3 ปีที่แล้ว +2

    Mansha Allah

  • @hassanimouigni6648
    @hassanimouigni6648 3 ปีที่แล้ว +2

    Lewo ndasha kapagawa hataki wantu wasilim pole sana

  • @abasmohamud1348
    @abasmohamud1348 3 ปีที่แล้ว +1

    Jazaakumullahu kheiran wadugu zangu waislamu

  • @hassanimouigni6648
    @hassanimouigni6648 3 ปีที่แล้ว +2

    Inamana ndasha kasema wawo dini yawo ni yesu innallilah wa innallilh ra jiun

  • @josemu870
    @josemu870 9 หลายเดือนก่อน +1

    Allahamdulillah

  • @ibruzah001
    @ibruzah001 ปีที่แล้ว +1

    Kwanza hakuna wakristo zama hizi. Hawa ni mushrikeen. Wakristo halisi walikuwa zama za Yesu, na walikuwa wanamuabudu mungu mmoja na kufuata mafundisho ya Yesu.
    Hawa wa zama hizi ni washirikina kwa sababu wanamuabudu Yesu badala ya Mwenyezi Mungu. Allah awaongoze kwa sababu wengi wao hawana elimu. Wanapotezwa na wachungaji waongo kama Ndacha.

  • @iddyjuma8036
    @iddyjuma8036 2 ปีที่แล้ว

    Hyo nimeipenda aseee n kasheshe

  • @عبداللهباحميد-ن4ق
    @عبداللهباحميد-ن4ق 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamaa Ndacha Amefilisika Ni Makelele Tuu Ushindwee Ndacha IN SHA ALLAH ALLAH AKBAAR

  • @ahmedmohamedshaksy9471
    @ahmedmohamedshaksy9471 3 ปีที่แล้ว +10

    Hata yeye huyo ndacha atasilimu siku moja tumewaona walimu wake waliemfunza walikuwa kichwa ngumu kuliko yeye na wamesilimu huyo anajuwa ukweli ila anachelewa apate kuchota pesa kwanza maana anajua dini ya Kislamu ni ya ukweli hakuna kuchota pesa.

  • @muradahmad849
    @muradahmad849 3 ปีที่แล้ว +10

    Masha Allah. Hapo ni wapi? Nikuje

  • @amirshora4884
    @amirshora4884 3 ปีที่แล้ว +1

    Naona Ndacha ashindwa kuamini roho yamtoka

  • @jaleabdi3136
    @jaleabdi3136 3 ปีที่แล้ว +2

    Masha Allah

  • @bigfish291
    @bigfish291 3 ปีที่แล้ว +5

    يُرِيدُونَ لِيُطْفِـُٔوا۟ نُورَ ٱللَّهِ بِأَفْوَٰهِهِمْ وَٱللَّهُ مُتِمُّ نُورِهِۦ وَلَوْ كَرِهَ ٱلْكَٰفِرُونَ
    "They want to extinguish the light of Allah with their mouths, but Allah will perfect His light, although the disbelievers dislike it."
    [As-Saf 61:8]

  • @JumaMnyonge-js7db
    @JumaMnyonge-js7db ปีที่แล้ว +2

    Jibu tena mambo ya mtume wenu mwanamke hellen

  • @hassanimouigni6648
    @hassanimouigni6648 3 ปีที่แล้ว +2

    Halaf we ndasha porojo lako unawapa kazi jama zako kuwa poteza

  • @JamilaJumanne-u7q
    @JamilaJumanne-u7q 2 หลายเดือนก่อน +1

    Taqbiriiiiiiiii

  • @saumusanjiama6991
    @saumusanjiama6991 3 ปีที่แล้ว +1

    Allahu akbar

  • @munirashughuli7224
    @munirashughuli7224 3 ปีที่แล้ว +1

    Taqbeer

  • @akeem1221
    @akeem1221 3 ปีที่แล้ว +5

    1:07 ukiristo uliletwa na wazungu na mabunduki, na sasa wao wazungu hawaamini tena Mungu, na ndio mana makanisa marekani na UK zina geuzwa kuwa miskiti. Ukiristo una sambaratika vibaya sana.

    • @muhammadID569
      @muhammadID569 2 ปีที่แล้ว +1

      Ni kweli makanisa matupu hayana watu UK
      . Imedidi yageuzwa masjid ..ukristo walipelekewa wafrica...

  • @husha6372
    @husha6372 3 ปีที่แล้ว +1

    Ndacha analia kuona Wakiristo wakimuwacha

  • @jamilaomariomari8328
    @jamilaomariomari8328 3 ปีที่แล้ว +6

    Ndacha wivu itawaua!

    • @saradubai6974
      @saradubai6974 3 ปีที่แล้ว +1

      Wana wivu hawa wachungaji wa S.D.A...mtu akiona ukweli akisilimu wanamuua. Waligalagaza tu sheikh wetu Paul Nduthi aliposilimu...hata hivyo wataua tu mwislamu ila Uislamu hawatauua wala kuumaliza kabisa

  • @dulividuli5237
    @dulividuli5237 ปีที่แล้ว +1

    Wakristo hawawezi kuthibitisha kuwa Ukristo ni Dini ya M/Mungu kwnye mijadala km hii mpk dunia itaisha kubwa wakipewa nafasi km ivo ni kuuponda Uislamu badala ya kuthibitisha ukweli juu ya dini yao.

  • @yabdul1782
    @yabdul1782 2 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂Truth prevails

  • @salimesmail470
    @salimesmail470 3 ปีที่แล้ว +2

    Asc sheikh salim daawah isili itarudi lini maana tumemiss sana

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  3 ปีที่แล้ว

      Walykum msalam ishaa Allah mambo yakifunguliwa

  • @JumaMnyonge-js7db
    @JumaMnyonge-js7db ปีที่แล้ว +1

    Jibu swali ukristo wapi ni dini kwa bible simambo na Muhammad ooooh shetan

  • @farhiaaliabdillahi3276
    @farhiaaliabdillahi3276 2 ปีที่แล้ว

    Ok

  • @hiimbinaimmuslim3041
    @hiimbinaimmuslim3041 3 ปีที่แล้ว +2

    Wakiristo mapadri wenu wanakupotezeni someni mjuwe ukweli hao pesa ndo inowafanza ikupotezeni hawamfat mungu

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  3 ปีที่แล้ว

      Yeah inabidi wakristo wajisomee sio kufuata kila kitu kiongozi anasema

  • @allyabdallah4357
    @allyabdallah4357 2 ปีที่แล้ว +2

    Yani wakiristo kumbe ndio maana kibwetele aliwauwa kwa ujinga wao lakini hawaelewi

  • @bigfish291
    @bigfish291 3 ปีที่แล้ว +6

    Hapo in wapi? Western Kenya?

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  3 ปีที่แล้ว +1

      Hapa ni country bus Nairobi stage

  • @rashkaahmed1746
    @rashkaahmed1746 3 ปีที่แล้ว +2

    Hakuna kitu nimeelewa kutoka mchungaji isipokuwa kelele.

  • @nooor1120
    @nooor1120 3 ปีที่แล้ว +2

    Ndacha utajuta mbele ya Allah kwa kuficha ukweli na kuwapoteza wakristo waliokua hawana fikra

  • @anwarsadatas01
    @anwarsadatas01 3 ปีที่แล้ว +3

    HUYU JAMA SIALIRUDI KWA UISLAMU, AKO VIDEO AT 14:47

  • @ibruzah001
    @ibruzah001 ปีที่แล้ว +1

    Ndacha ni mwongo... anasoma ayah za Qur'an nusu nusu... anawapoteza watu hali ya kujua ukweli. Uisilamu ndio dini ya ukweli.

  • @JumaMnyonge-js7db
    @JumaMnyonge-js7db ปีที่แล้ว +1

    Kwani wanafunzi kumi na wawili kulikuwa mwanamke

  • @RajabSianzoo-lx7jh
    @RajabSianzoo-lx7jh 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ndacha rudi shule usome kwanza kiswahili na kingereza sababu nimegundua kua tatizo lako kubwa ni kuelewa lugha na kama huelewi lugha ni ngumu kuelewa neno na ile siku utaweza kusoma utakuja kusilimu bila fujo

  • @ndikumanainnnocent7796
    @ndikumanainnnocent7796 2 ปีที่แล้ว +1

    muchungaji ndacha anacukiya watu mu silimu mushahara utashimama kanisani

  • @JumaMnyonge-js7db
    @JumaMnyonge-js7db ปีที่แล้ว +1

    Wakristo wana msikiza dacha juu kuwachekesha tu si kufunza ukweli

  • @SamSam-mx9hx
    @SamSam-mx9hx 3 ปีที่แล้ว +5

    Ndacha wacha chuki uisilamu dini ya aki

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  3 ปีที่แล้ว +1

      Anachuki sana Allah amuongoze

    • @saradubai6974
      @saradubai6974 3 ปีที่แล้ว +1

      @@salimdaawah123 Huyu Ndacha hajui lolote mm narudia,anawaumiza kichwa bure na hayo mambo yake ya kusoma vibaya Quran,na kubadilisha maana yake,namuudhi tu kwa hilo,astaghfirullah

  • @saradubai6974
    @saradubai6974 3 ปีที่แล้ว +10

    Simpendi Ndacha kwa uwongo wake mwingi. Mtu Kama huyo hafai kuwa mchungaji maana anawaficha watu ukweli...msiwe mkileta wachungaji Kama Ndacha,hakuna elimu wakristo watapata ndio watapotea kabisa,Ndacha ni pepo sugu

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 3 ปีที่แล้ว +3

      Wewe Sara utaendelea kuwa kafiri kwa ujinga wako. Unaacha Uislamu wenye hoja madhubuti unakimbilia motoni. Wewe kuni ya moto

    • @saradubai6974
      @saradubai6974 3 ปีที่แล้ว +2

      @@hilalkhalfan1452 Audhubillahi minal sheithani rajiim! Astaghfirullah! Ww ndio labda ni kafiri! Vipi utamuita mwislamu mwenzio kafiri? Allah akusamehe kwa mwezi huu mtukufu wa Ramadan. Inna lillahi wa inna illaihi rajiun! Lipi nimesema ndipo uniite kafiri? Ndacha ndiye kafiri hapa kwa sababu ndiye anayemwabudu asiye Allah! Hakuna siku nitauacha uislamu hata kwa dawa...Hilal Khalfan stop accusing people falsely,soma na uelewe vizuri comment yangu! Do not judge others before confirming it,judgement is for Allah alone!

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 3 ปีที่แล้ว +1

      @@saradubai6974 🙏🙏🙏🙏. Yupo Sara mmoja alikuwa katoka Uislamu nilifkiri huyo. I'm sorry nice girl. Lakini hakuna atautetea hapo sababu hawa wanalipwa kuficha ukweli

    • @shabbymakapaneshabby5000
      @shabbymakapaneshabby5000 3 ปีที่แล้ว

      @@saradubai6974 100%

    • @shabbymakapaneshabby5000
      @shabbymakapaneshabby5000 3 ปีที่แล้ว

      @@hilalkhalfan1452 Hata mi nilitaka kushangaa
      Pole sana

  • @anwarambar6141
    @anwarambar6141 3 ปีที่แล้ว +3

    ndacha anajua dini ya haki na ukweli uislamu, yeye ajifanya mchungaji, kumbe yuko biasharani, analipwa pesa nyingi, akishashiba na hizo pesa, atatoka katika ukiristo,

    • @nuswemwaipopo9558
      @nuswemwaipopo9558 3 ปีที่แล้ว

      Ndacha alikuwa mwislam au?

    • @maimunafzaka880
      @maimunafzaka880 3 ปีที่แล้ว

      Huyu ndacha ukweli ni huo anajua dini ya ukweli... ila kuna vile anafaidi sana... qm sure analipwa pesa nyingi

    • @hajrafarid8942
      @hajrafarid8942 2 ปีที่แล้ว

      Na hawezi kushiba mpaka aongoke, na mpaka Allah aridhie kumwongoa bila hivo atazidi kupotea namhurumia sana

  • @allyabdallah4357
    @allyabdallah4357 2 ปีที่แล้ว +1

    Yani ndacha atawaingiza wakiristo motoni

  • @JumaMnyonge-js7db
    @JumaMnyonge-js7db ปีที่แล้ว +1

    Ndacha ni Freemasons ukweli yuko juu ya kupoteza watu wasimjuwe Mungu

  • @jamesdavid4977
    @jamesdavid4977 3 ปีที่แล้ว +2

    Yaani kwa msilam ni porojo tu yaani uongo tu Hakuna kweli kwa iyo dini ya majini dah

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  3 ปีที่แล้ว +1

      Ungesema uongo aliosema mwisilamu ndio tuone hoja yako but hayo mengine yako ni porojo za ukristo

    • @jamesdavid4977
      @jamesdavid4977 3 ปีที่แล้ว

      @@salimdaawah123 hahahaha yaani hata vitabu vyenu vinakubali kundakanya sow sioni jipya maana nyie waongoo wakuu

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  3 ปีที่แล้ว +1

      @@jamesdavid4977 ndio huwa mnadanganywa kanisani na kama ni ukweli leta hicho kitabu

    • @jamesdavid4977
      @jamesdavid4977 3 ปีที่แล้ว

      @@salimdaawah123 kanisa haina uongo bali usilam una uongo eti yesu alikwa Muslim uongo number moja wa pili sinagogi ni msikiti uongo wa pili

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  3 ปีที่แล้ว +1

      @@jamesdavid4977 sinagogi ni msikiti bibilia ndio inasema katika maelezo ya maneno magumu so bibilia ndio inasema uongo na kama sinagogi sio msikiti ni nini basi kama wewe mkweli????

  • @andallaathman3856
    @andallaathman3856 3 ปีที่แล้ว +1

    Sasa huyu ndacha mjinga Sana mada ni dini yy amempata mtume Mohammad SAW tuu hua simpendi Sana mm wallah mungu atakuongoza

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  3 ปีที่แล้ว

      Huyu ndacha huwa anachunga mshahara kanisani

  • @allanmogusu3654
    @allanmogusu3654 3 ปีที่แล้ว +1

    Yaani waalimu waislamu waongo kweli kweli. Eti Ellen White Kasema Kwa kitabu Tumaini Kuu eti ukristo Dini ya uongo.

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  3 ปีที่แล้ว +1

      Soma vitabu wacha kusubili kusomewa unaona mpya because hutaki kujisomea

    • @allanmogusu3654
      @allanmogusu3654 3 ปีที่แล้ว

      @@salimdaawah123 weka reference tuwaone wakweli...waongo nyie

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  3 ปีที่แล้ว

      Wewe inaonekana hata ukristo wenyewe hujui because hawa walimu wakikristo tunaofanya nao debate hawakusema ni uongo because wanajua iko but wewe mfuasi asiyejua chochote unasema ni uongo tunakuelewa hujasoma chochote

    • @allanmogusu3654
      @allanmogusu3654 3 ปีที่แล้ว

      @@salimdaawah123 Mimi nimekuomba reference. Kama wewe mwalimu kaitoe?

    • @allanmogusu3654
      @allanmogusu3654 3 ปีที่แล้ว

      Unajipiga jazba kwamba wewe mwalimu, toa reference ikiwa wewe mkweli.

  • @otiliahaule6867
    @otiliahaule6867 3 ปีที่แล้ว +1

    Hao wamepangwa wameambiwa watapewa hela😂😂😂😂

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  3 ปีที่แล้ว

      Hela ziko kwa ukristo usidanganye watu nani hajui kanisani ni biashara kila siku panda mbegu

    • @imash04tv20
      @imash04tv20 3 ปีที่แล้ว

      katika uislamu hakuna hayo mambo yakutafuta mtu apewe hela asema kwamba anataka kuslimu takwimu zinaonyesha nchi za magharibi na ulaya kwa mwaka wanasimu zaidi kuliko kuingia dini nyengine kila watu 100 watakaosilimu watapatikana wawili kuingia dini zilobaki hizi ni takwimu za magharibi na ulaya na huku afrika ndio tunaona kila siku watu wanasilimu tu sasa ww sema wanapewa hela

  • @hasahm1995
    @hasahm1995 3 ปีที่แล้ว +1

    Aiii anawaambia watu wskohowe na kuna corona

    • @saradubai6974
      @saradubai6974 3 ปีที่แล้ว +1

      Hahahahaaa aki ww haaaa

  • @FrançoisKipepo
    @FrançoisKipepo 4 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 Musa Na Ibrahim wakuwe waisilam😂😂😂, wapi kitabu Cha Musa (taurati)katika Qur'an

  • @abubakarmpole4000
    @abubakarmpole4000 3 ปีที่แล้ว +4

    Ndacha bado kafiri tu?Na anajua ukweli.Usiposilimu ndacha uzima wa milele utackia tu kwa waislamu

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  3 ปีที่แล้ว

      Anachunga unga ya kanisa

    • @abubakarmpole4000
      @abubakarmpole4000 3 ปีที่แล้ว +1

      @@salimdaawah123 Basi atachomwa akifa kikafiri

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  3 ปีที่แล้ว +1

      @@abubakarmpole4000 Allah amuongoze awe muisilamu

  • @JumaMnyonge-js7db
    @JumaMnyonge-js7db ปีที่แล้ว +1

    Angejibu mambo ya mtume wake Hellen J white tulikuwa tunangoja hapo ila ameleta tu propaganda juu watu wachukiye uslamu

  • @silverndunku1960
    @silverndunku1960 3 ปีที่แล้ว

    Nyinyi mapastor hamuelewi mnachokifanya...hamjui kuna jini waislam wanaloliabudu..na unaenda kujiingiza kwa majini

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  3 ปีที่แล้ว

      Imeandikwa wapi?

    • @anwarambar6141
      @anwarambar6141 3 ปีที่แล้ว +1

      toa andiko katika biblia ama Quran , kama ushahidi wa maneno yako, usiongee tu kwa kuwa unataka kuongea

  • @FrançoisKipepo
    @FrançoisKipepo 4 หลายเดือนก่อน

    Sasa kama uisilam ulikuwako kabla ya Muhammad , walitumia kitabu Gani? Na walikuwa wakisilimiswa kwajina la Muhammad oa kwajina la Nani?

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  4 หลายเดือนก่อน

      Elimu tatizo kwako kabla ya Qur'an kulikua Taurati,Zaburi na injili so walitumia hizo soma kwanza kabla kuleta hoja dhaifu

  • @eunicebukokhe6805
    @eunicebukokhe6805 3 ปีที่แล้ว

    Wakristo wale wana silimishwa tutawamlimka macho hatutaki wakristo kuslimishwa , Kama waislamu hawataki waokoke hakuna kuslimishwa torch hapakwa hapa

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  3 ปีที่แล้ว

      Waisilamu hawakuwi wakristo because hakuna mahali panasema ukristo ni dini ya Mungu

    • @hajrafarid8942
      @hajrafarid8942 2 ปีที่แล้ว

      Wewe nini inakuwasha lakini
      Mbona unaongea sana!? Si uende ukapige kelele kanisani kama ambae Mungu ni kiziwi huwa haskii upumbavu ndio inakusumbua sikulaumu

    • @shamimnassor6192
      @shamimnassor6192 2 ปีที่แล้ว

      @@hajrafarid8942 nimecheka😆😆😆😆ati kama MUNGU ni kiziwi

  • @hatbadman2235
    @hatbadman2235 3 ปีที่แล้ว +1

    Kwani huyo paulo si alisilimu kupitia kwa sheikh yahya.kwani alirudi kwa ukafiri tena?

  • @eunicebukokhe6805
    @eunicebukokhe6805 3 ปีที่แล้ว

    Uislamu uliletwa na waarabu

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  3 ปีที่แล้ว +1

      Ushahidi uko wapi? au ni propaganda tu

    • @hajrafarid8942
      @hajrafarid8942 2 ปีที่แล้ว

      Halafu ukiwa hujielewi afadhali ufunge mdomo au kama unawashwa sana enda kanisa ukapige makelele huko vile mmezoea. Bogas!

    • @khadijayusuf7968
      @khadijayusuf7968 2 ปีที่แล้ว

      Na mbon ukristo umeletwa na wazungu tena wanawake

  • @eunicebukokhe6805
    @eunicebukokhe6805 3 ปีที่แล้ว

    Katika midahalo ambazo mnaudhuria wakristo tafadhali msiwaruhusu wakristo kusilimu,atakaeslim mhakikishe mme wekea yeye Maombi ya kumkana yesu apate shida huko

    • @stoispapi2380
      @stoispapi2380 2 ปีที่แล้ว

      We muslims are more Christians than the Christians themselves...we follow every teachings of Jesus (pbuh) than you do ..so sad

  • @zachariahgwaro7680
    @zachariahgwaro7680 3 ปีที่แล้ว

    Hapa waislamu wafunza dini ama uongofu? Wamepotea hakika.

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  3 ปีที่แล้ว

      Wewe inaonekana ni mpya katika haya hii ni debate na inategemea mada ni gani mumeweka

  • @ramadhanmahongole5663
    @ramadhanmahongole5663 3 ปีที่แล้ว

    Sasa nyinyi wakristo mbona mnakuwa mnaburuzwa hivyo kila siku mnalazimishwa kuanzishwa maada nyie tu kwanini hamuwagomei? au mmezidiwa akili na hao mashetani

    • @huseinshedrack6180
      @huseinshedrack6180 2 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂😂hao lzm waburuzwe sababu din yao haina kwel

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah

  • @naheelamohamed9970
    @naheelamohamed9970 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah