ETI YESU NI MUISLAM?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ต.ค. 2024
  • Je ni kweli manabii wote walikua waislam pamoja na Yesu

ความคิดเห็น • 94

  • @daniellourencojaime
    @daniellourencojaime 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli kabissa, Mungu Akutunze

  • @YoaneMwepeli
    @YoaneMwepeli 3 หลายเดือนก่อน

    Mchungji..ndacha..mungu .akusaidie..sana...wew..uko.. vizuri...🏦⛪

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 3 หลายเดือนก่อน +5

    Mada ya Sabato na utatu Mwalimu Daniel Mwankemwa alikufundisha vizuri kwenye mdahalo mliofanya hapo Bunju.

    • @moshantoj
      @moshantoj 3 หลายเดือนก่อน +1

      Wewe unakaa mwanafunzi wa Mwankemwa ambaye anaongea vitu hata hakuna kwa maandiko. Ati Alifunza Dasha😂😂😂
      Hakuna kitu mwalimu wa jumapili anaweza funza mtu

    • @ServantofGod-tg8hn
      @ServantofGod-tg8hn 3 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@moshantojKweli kabs Mtumishi.

    • @petromachanga5538
      @petromachanga5538 3 หลายเดือนก่อน +1

      Huyu si msabato ni mwislam b

  • @YoaneMwepeli
    @YoaneMwepeli 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mchungji..ndacha..uko..vizuri..sana.

  • @ShukuruSeremba
    @ShukuruSeremba 3 หลายเดือนก่อน +1

    Jambo pasta ,
    Nilisikia andiko ya quoran : inasema je? Nimufanye Mola wangu asikuwa mwenyezi mungu.
    Kwahiyo Mola wa Muhammad si mungu .
    Kwa sababu Mola wangu asikuwa mwenyezi mungu.

  • @JamesMoses-jd1yq
    @JamesMoses-jd1yq 3 หลายเดือนก่อน +3

    Ndacha hana mpinzani

  • @BonfaceWawire-k6p
    @BonfaceWawire-k6p 3 หลายเดือนก่อน

    Ndacha hapo pa Mungubaba, Mungumwana, Mungurohomtakatifu nasiku yakuabudu hapo hueleweki hapo enda kalakala, hapo skubaliani nawewe

    • @Mtumisi
      @Mtumisi 3 หลายเดือนก่อน

      Hatuna mungu mwana ila tuna mwana wa mungu ...na mungu baba na roho wake

    • @Shomariamuri1
      @Shomariamuri1 3 หลายเดือนก่อน +1

      Wewe ndo husikii mafundisho ya Ndacha.
      Hakuna siku Ndacha amehubiri Mungu baba Mungu mwana Mungu roho.
      Kwa nini kushuhudia uongo ndugu yangu?😮

    • @michaelthobias9967
      @michaelthobias9967 3 หลายเดือนก่อน

      Hulazimishwi ndugu mana sisi tunadili na mandiko

    • @BonfaceWawire-k6p
      @BonfaceWawire-k6p 3 หลายเดือนก่อน

      @@michaelthobias9967 simpingi ila cku ipo utafumbuliwa macho Kuna mambo engine Yuko sawa mengine apana aja kukubaliana nayeyr kwa kila ki2 , anasoma maandiko lakini kuelewa kwake aaha na asidhani yeye ndiye anajua sanaa apana simpinngi ajunguze ukweli ndipo arushie myandao, pengine umeanza kumckiza majuzi ndio maama unapingana nami

  • @RestutaLucas-p7e
    @RestutaLucas-p7e 3 หลายเดือนก่อน

    Hallelujah

  • @HARMONITZ
    @HARMONITZ 3 หลายเดือนก่อน +2

    𝑯𝒂𝒉𝒂𝒉𝒂 𝒘𝒂𝒌𝒂𝒕𝒊 𝒖𝒊𝒔𝒍𝒂𝒎 𝒖𝒎𝒆𝒌𝒖𝒋𝒂 𝒋𝒖𝒛𝒊.........

  • @YoaneMwepeli
    @YoaneMwepeli 3 หลายเดือนก่อน

    Mimi..Niko..Zambia..

  • @Kanisalasaa11
    @Kanisalasaa11 3 หลายเดือนก่อน

    ukweli kabsa

  • @JozzyKisela
    @JozzyKisela 3 หลายเดือนก่อน

    Kila pastar anaogea ki vyake nyinyi mko wapi

  • @RAMATHANI-eu5dk
    @RAMATHANI-eu5dk 3 หลายเดือนก่อน

    Aca kukuwa na challenge uislamu, haezi ziba nuru ya uislamu, haezi puliza nuru ya Jua.

  • @PhilipobonifacSado
    @PhilipobonifacSado 3 หลายเดือนก่อน +1

    Isilm kiswahil ni unyenyekevu kwaio waislam mnaposema manabii wote ni waislam mtufafanulie vizul

  • @zuberkasim7150
    @zuberkasim7150 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ndacha uelewa wako upochini ambacho huelewi nini wakristo wanasubiri uoneshe andiko yesu anasema ni mkrist
    Huwezipata sababu kristo ni cheo diniyake ni ipi?

    • @GodblessKihupi
      @GodblessKihupi 3 หลายเดือนก่อน

      Ukisema wakristo maana yake ni wafuasi wa yesu kristo watu wanao mfuata yesu din haimpeleki mtu peponi yesu anasema ajidhaniae anayo dini anajidanganya

    • @henrychiriba9354
      @henrychiriba9354 3 หลายเดือนก่อน

      Kunya ulale

    • @0badiaMwasongwe-rt1wr
      @0badiaMwasongwe-rt1wr 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@GodblessKihupina Dini maana yake ni njia na YESU ANASEMA MIMI NDIMI NJIA YA KWELII NA UZIMA. SHIDAA WENZETU MAMBO YA ROHONI HAWAELEWII HATA UONGEE MIAKA ELF

    • @GodblessKihupi
      @GodblessKihupi 3 หลายเดือนก่อน

      @@henrychiriba9354 kuma wewe kafie mbele

    • @GodblessKihupi
      @GodblessKihupi 3 หลายเดือนก่อน

      @@0badiaMwasongwe-rt1wr din ni mpango wa mwanadamu kumtafuta mungu sio mpango wa Mungu kumtafuta mwanadamu ila mpango wa Mungu kumtafuta mwanadamu kwa njia ya yesu tuuu wala sio dini yesu anasema mimi ndimi njia ya kweli na uzima mtu haji kwa baba bila kupitia njia yangu

  • @FridayMwassa
    @FridayMwassa 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mud mtume wa waislam aliye eneza dini yake kwa upanga na kuoa katoto kadogo na kama maandiko yasemavyo mshahara wa dhambi ni mauti mwisho wa siku alikufa kifo kibaya sana kwa kulishwa sumu na mdada wa kiyahudi

  • @EmmanuelChif
    @EmmanuelChif 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kwan nani aliye waambia waislamu ninyi kuwa kanisa ni jengo kanisa si jengo bali ni watu au wafuasi

  • @HABIBHASSAN-wf5mr
    @HABIBHASSAN-wf5mr 3 หลายเดือนก่อน

    UISLAMU NI MATENDO KWA MFANO BW. YESU ANASEMA WAKUJUE WEWE MUNGU WA PEKEE NA YESU ULIYEMTUMA...HUO NDIO UISLAMU..KUAMINI KWAMBA BW YESU ALITUMWA NA MUNGU..NA KUAMINI MUNGU NI WA PEKEE... KINYUME CHAKE WAKRISTO AWAAMINI HAYO MANENO YA YESU KWAMBA ALITUMWA NA MUNGU BALI WAKRISTO WANAAMINI KWAMBA NA BW YESU NAYE NI SEHEMU YA UUNGU WA MUNGU

  • @RAMATHANI-eu5dk
    @RAMATHANI-eu5dk 3 หลายเดือนก่อน

    Hauwezi ulizwa kwa sababu hauna majibu, biako ni bia bongo.

  • @zuberkasim7150
    @zuberkasim7150 3 หลายเดือนก่อน

    Unaposema muhammad amesilim kwa kiswahili amenyenyekea kwa mungu wake

    • @daudimichael7338
      @daudimichael7338 3 หลายเดือนก่อน

      Muhammad alisilimu kwa shahada gani?

    • @silvesterrichardhelenya1319
      @silvesterrichardhelenya1319 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@daudimichael7338 Si ndiyo sasa akwa wa kwanza katika hao wenye kunyenyekea

  • @zuberkasim7150
    @zuberkasim7150 3 หลายเดือนก่อน

    Yesu ni muislam sefania 2-3 matayo 11-29 yesu anafundisha unyenyekevu kwa kiarabu (uislam) unaposema muhammadi amesilim maanayake amenyenyekea kwa mungu

    • @JamesMoses-jd1yq
      @JamesMoses-jd1yq 3 หลายเดือนก่อน

      sasa inawezekanake aje yesu kawa mwislamu na Mohamed mwenyewe ndio kaanzisha dini la kiislam

    • @michaelthobias9967
      @michaelthobias9967 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂

    • @henrychiriba9354
      @henrychiriba9354 3 หลายเดือนก่อน

      Kwaiyo mtu akiongea tu kiarabu yeye huwa ni Muislamu basi kama ni hivyo dini ya kiislamu niya waarabu

    • @0badiaMwasongwe-rt1wr
      @0badiaMwasongwe-rt1wr 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@henrychiriba9354yaan hawa akili hata ya kawaida ya kufikilia hawana kitabu cha Quran kinasema kabisaa uislamu umekuja nyuma miaka hiyo ya elfu 4 haikuwepo lkn hawaelewiii hata kidogo😂😂😂

  • @Khalidmwangwai4651
    @Khalidmwangwai4651 3 หลายเดือนก่อน

    Hakuna bibilia ya kweli hio ndio hujui

    • @programminglanguagestutori9118
      @programminglanguagestutori9118 3 หลายเดือนก่อน

      kwani ukafilia kitabu cha muhamed ni cha kweli? Tangu lini

    • @0badiaMwasongwe-rt1wr
      @0badiaMwasongwe-rt1wr 3 หลายเดือนก่อน

      Quran ambayo unaikuta hata kwa wagangaa wa kienyejii wakilogea ndicho kitabu cha kwelii?????😂😂

  • @bustedislam3578
    @bustedislam3578 3 หลายเดือนก่อน +4

    Hii dini ya marehemu Muhammad ni balaa kabisa. Majini na shetani walisilimu. Kwahiyo Islam ni dini ya majini na shetani na Quran ni kitabu ya shetani na majini.

    • @BonfaceWawire-k6p
      @BonfaceWawire-k6p 3 หลายเดือนก่อน

      @@bustedislam3578 unaona nini kaka maji Kwa waisilamu nikaa roho mtakatifu kwa wakristo

    • @bustedislam3578
      @bustedislam3578 3 หลายเดือนก่อน

      @@BonfaceWawire-k6p Mbona unapinga uislamu wenu? Nyinyi mnasema malaika Jibril ni roho mtakatifu... Ebu Nipe andiko ndani ya Quran inayosema maji ni roho mtakatifu. Sitaki maneno ya mdomo wako

    • @MwijakaSwalehe-dg4hw
      @MwijakaSwalehe-dg4hw 3 หลายเดือนก่อน

      Acha upumbavu ,fala ww

    • @MwijakaSwalehe-dg4hw
      @MwijakaSwalehe-dg4hw 3 หลายเดือนก่อน

      We ndacha kama hujielewi kupotosha watu

    • @bustedislam3578
      @bustedislam3578 3 หลายเดือนก่อน

      @@MwijakaSwalehe-dg4hw Kwa hoja gani?

  • @MohamedMohamed-u3t1n
    @MohamedMohamed-u3t1n 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu ni wangapi ndacha anajibu mmoja baba
    Ukimuuliza yesu ni mungu anasema ndio
    Je mungu wangapi anasema mmoja
    Yesu ndio baba ? anasema ni tofauti sasa mgongano kama huo hlf mnasema mna dini nyie

  • @kassimkipande1858
    @kassimkipande1858 3 หลายเดือนก่อน

    Ndacha hauna elimu mbona unafanya pekeyako hujatualika WAISRAMU unafanya mdaalo nanani

    • @michaelthobias9967
      @michaelthobias9967 3 หลายเดือนก่อน

      Sio Kila siku ni midahalo Kuna mafundisho na midahalo

  • @TiergieEmir
    @TiergieEmir 3 หลายเดือนก่อน +1

    ℕ𝕚𝕟𝕒 𝕨𝕒𝕗𝕒𝕥𝕒 𝕥𝕠𝕜𝕒𝕚𝕟𝕔𝕙𝕚𝕟𝕚 𝕞𝕨𝕒 𝕔𝕠𝕟𝕘𝕠 𝕞𝕚𝕞𝕚 𝕟𝕚 𝕒𝕝𝕖𝕩 𝕟𝕒 𝕨𝕒𝕡𝕖𝕟𝕕𝕒 𝕤𝕒𝕟𝕒

    • @gospelcorner1885
      @gospelcorner1885  3 หลายเดือนก่อน

      @@TiergieEmir karibu sana mtu wa Mungu

  • @CHARLESMARETE-q3w
    @CHARLESMARETE-q3w 3 หลายเดือนก่อน

    Asate kwamada iyo 10:00

  • @aliabdallah8456
    @aliabdallah8456 3 หลายเดือนก่อน

    Hiyo taurati unayo ilete uone letu injili ya yesu uona kama siyo muislamu

    • @MarthaMasha-e6q
      @MarthaMasha-e6q 3 หลายเดือนก่อน

      Sasa kama wewe una injili ya Yesu lete andiko alishahadia. Hamna injili ya Yesu waislamu na ninani aliyewaambia nyie waislam Yesu ni muislam na injili yake hamna? Mlijuaje na hamna injili yake kama hamdanganywi?

  • @MidoMidomore
    @MidoMidomore 3 หลายเดือนก่อน

    Ndacha hauna hoja,kwa mfano ndacha ni wamwanzo kua msabato kenya,kwa hiyo ww utakua umeanzisha huo usabato,mbona haitaki kutumia nguvu

    • @leonceuwandameno6378
      @leonceuwandameno6378 3 หลายเดือนก่อน

      Hujui hata unachoandika. Waislamu mwende shule! Kwani uislamu ulianzishwa wapi? Mohamad aliiishi wapi? Kuna nchi nyingind duniani ulikoanzishwa uislamu?

    • @MidoMidomore
      @MidoMidomore 3 หลายเดือนก่อน

      @@leonceuwandameno6378 kwa vile haujui mandiko ya Quran ikutoshe kua uislamu alikujanao nabii Adam sawa

  • @Khalidmwangwai4651
    @Khalidmwangwai4651 3 หลายเดือนก่อน

    Watuambie ni kanisa lipi hawa manabii washawai ingia Kama kweli walikua wakristo

    • @MarthaMasha-e6q
      @MarthaMasha-e6q 3 หลายเดือนก่อน

      Walikuwa wanaaabudu siku ya sabato

    • @henrychiriba9354
      @henrychiriba9354 3 หลายเดือนก่อน

      Wachana na uislamu tu maana sio dini maana imejaa majini

    • @AyubuIkaku
      @AyubuIkaku 3 หลายเดือนก่อน

      Akili yako ni ndogo​@@henrychiriba9354

    • @martinmkoba361
      @martinmkoba361 หลายเดือนก่อน

      Huna hoja😂😂

  • @mbukumagiubukumagu406
    @mbukumagiubukumagu406 3 หลายเดือนก่อน

    Uislamu ulikuwepo kabla ya mtume Adam kama Ndacha unataka mdahalo mie nipo tayari

  • @JozzyKisela
    @JozzyKisela 3 หลายเดือนก่อน

    Wewe uko upande gani

  • @RAMATHANI-eu5dk
    @RAMATHANI-eu5dk 3 หลายเดือนก่อน

    Wapi yesu kajenga kabisa?

    • @RAMATHANI-eu5dk
      @RAMATHANI-eu5dk 3 หลายเดือนก่อน

      Ukristo sio dini ya Mungu, akuna nabii wa Mungu aliekuwa mukristo. Sababu ha muna ata ushaidi.

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 3 หลายเดือนก่อน

      Hakuna nabii aliyetoka kwa waarabu ​@@RAMATHANI-eu5dk

  • @RAMATHANI-eu5dk
    @RAMATHANI-eu5dk 3 หลายเดือนก่อน

    Ogopa moto wa jeenamu, kuwa mcaMungu.

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 3 หลายเดือนก่อน

      Jibu maswali hayo

    • @Joycejerad
      @Joycejerad 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@FridayMwassawaislamu ni mapimbi mwanangu 😂😂😂😂😂 we acha tu

  • @Joycejerad
    @Joycejerad 2 หลายเดือนก่อน

    Waislamu bana.....nawaonea huruma sana.....ubishi wao ni kijinga sana .....nyie endeleeni kujifanya wabishi kuelewa.....Yesu anasema ukinikana mbele za watu.....na mimi nitakukana mbele ya baba angu......take it or leave it

  • @JozzyKisela
    @JozzyKisela 3 หลายเดือนก่อน

    Kila pastar anaogea ki vyake nyinyi mko wapi

  • @JozzyKisela
    @JozzyKisela 3 หลายเดือนก่อน

    Kila pastar anaogea ki vyake nyinyi mko wapi