Mazoezi ya kuongeza MAKALIO bila vifaa ukiwa nyumbani

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024
  • #howtogrowglutes #makalionahips #mazoezi

ความคิดเห็น • 302

  • @JoanfitnessTV
    @JoanfitnessTV  2 ปีที่แล้ว +6

    0683836293 WhatsApp kwa mahitaji ya mpangilio wa chakula na program kamili.

  • @debrahcherop1302
    @debrahcherop1302 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana dadangu naanza hayo mazoezi Sasa hivi nakupenda kutoka Kenya

  • @JOHNPHILIMONI
    @JOHNPHILIMONI 10 หลายเดือนก่อน

    Ahsante sana mpnz nitaanza mazoezi kesho❤ me nahitaji hipsi kidogo na tako kidogo cyo sana

  • @jonasdavid1228
    @jonasdavid1228 3 ปีที่แล้ว +3

    Mazoez n muhmu kwa afya boraaa

  • @asa3904
    @asa3904 3 ปีที่แล้ว +4

    Mazoezi ni Mazur nimeyapenda

  • @seifaziz5496
    @seifaziz5496 2 ปีที่แล้ว +1

    I like it

  • @joycezawadirose9897
    @joycezawadirose9897 2 ปีที่แล้ว

    Jamani asante mwalimu.nimetafuta suhuhu la kuimaliza tumbo sikunyingi.nisaidie

  • @dottosamson8080
    @dottosamson8080 2 ปีที่แล้ว

    Matako nmeyapata mama
    Ila bado hips
    Naona tako tyuu ndo linaongezaa
    Nisaidie best
    🥰🥰🥰🥰🥰🥰🍎

  • @AngeNdihokubwayo-vf1yo
    @AngeNdihokubwayo-vf1yo ปีที่แล้ว

    Nashukuru sana matokeo nayahona asant

  • @hopelema4726
    @hopelema4726 3 ปีที่แล้ว +10

    Mimi nimefanya nimepata matokeo asante nakupenda bure unatufundisha vizuri kikubwa kuamua kuchukua atua misikate Tama saivi mi naringa tu na shundu langu😂

  • @marydzidzi8448
    @marydzidzi8448 ปีที่แล้ว +1

    Napenda mazoezi yako

  • @mariajoni989
    @mariajoni989 ปีที่แล้ว

    Mazoez yako vzr naomba vyakula vya kula wakat unafanya hayo mazoez

  • @happinessonsongo3754
    @happinessonsongo3754 ปีที่แล้ว

    More love to you mum nakupenda sans nimetoka 48kg adi 57 nimeshukuru Sana umenipadirisha Sana🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @adivemasatu8614
    @adivemasatu8614 2 ปีที่แล้ว +1

    Naomba no, unielekeze vyakula navyotumia, na mazoezi ni asubuhi na jion au

  • @joycemollel7019
    @joycemollel7019 2 ปีที่แล้ว +5

    Kwa mtu alifanyiwa operation anatakiwa akae muda gani ndo afanye haya mazoezi pamoja na Yale ya kukata tumbo?

  • @marydzidzi8448
    @marydzidzi8448 ปีที่แล้ว

    Nahlshukuru dada nimebadilika sana

  • @bahatikahogo4014
    @bahatikahogo4014 ปีที่แล้ว

    Asant sana mdada nainjy sana na mafundish yako

  • @zamzamothman4599
    @zamzamothman4599 2 ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda bureee😘😘😘

    • @JoanfitnessTV
      @JoanfitnessTV  2 ปีที่แล้ว +2

      Lipia bana 🥰😂

    • @Lightness0Martin
      @Lightness0Martin ปีที่แล้ว

      Naanz💛💚🌹🏃‍♀️
      sasa hv my dear

  • @walaaakonaay7205
    @walaaakonaay7205 ปีที่แล้ว

    Woooh your so cute

  • @anitadecson8811
    @anitadecson8811 2 ปีที่แล้ว

    Naomba unitumie wasshp mazoez

    • @JoanfitnessTV
      @JoanfitnessTV  2 ปีที่แล้ว

      Samahani sitaweza tunaweka TH-cam kisha tunafuta katika vifaa vyetu

  • @sweetibabyemanuel3291
    @sweetibabyemanuel3291 3 ปีที่แล้ว +3

    🥰🥰🥰😀inauma

  • @SeraAvelie
    @SeraAvelie 10 หลายเดือนก่อน

    Asante sana 😘😘

  • @BekaahBakari-jz6qu
    @BekaahBakari-jz6qu ปีที่แล้ว

    Ni kwa mdaa gani dada anguu shape unawezaa ikawaa tayarii imeshatokaa

  • @milkerathuman3493
    @milkerathuman3493 3 ปีที่แล้ว +7

    Hello dada,nahitaji kuanza hii hivyo nahitaji kujua mpangilio kamili na vyakula pia

  • @rayamasoud3772
    @rayamasoud3772 3 ปีที่แล้ว +1

    My dear very nice maxoezi yp simple napat majib

  • @ruthmmary6189
    @ruthmmary6189 2 ปีที่แล้ว

    Kwa kweli mazoez n mazury

  • @Emmymajula5838
    @Emmymajula5838 2 ปีที่แล้ว

    Hii nzuri Sana mi mwenyew saivi Alhamdulillah

    • @JoanfitnessTV
      @JoanfitnessTV  2 ปีที่แล้ว

      😍😍

    • @joelchizumi4946
      @joelchizumi4946 2 ปีที่แล้ว

      Kumbe ni kwel my dear

    • @Emmymajula5838
      @Emmymajula5838 2 ปีที่แล้ว

      @@joelchizumi4946 kweli wiki tu tumbo limenyea na nnacho Cha kuvalia nguo

  • @everfredrick4979
    @everfredrick4979 2 ปีที่แล้ว

    Napenda sanaa zoez hili

  • @fatmasaidally4352
    @fatmasaidally4352 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah jamani

  • @clarahassan6466
    @clarahassan6466 3 ปีที่แล้ว +2

    Ndo naanza uck wa leo 🙏💞

  • @happymassera1547
    @happymassera1547 2 ปีที่แล้ว

    Shukrani sana my dear

  • @princessrobin703
    @princessrobin703 ปีที่แล้ว

    So nice

  • @leahnzali5317
    @leahnzali5317 2 ปีที่แล้ว +2

    Naweza kupata mazoezi yakupunguza tumbo na kuongeza hips

  • @glorymbwambo6650
    @glorymbwambo6650 3 ปีที่แล้ว

    Aisee haya mazoezi kiboko siku 4 mambo poa lkn mwanzoni utaumia makalio yanauma miguu inauma sana

  • @user-sp7jp2to9m
    @user-sp7jp2to9m 2 หลายเดือนก่อน

    Dada naomba mpangilio wa chakula nimeanza mazoez na wk 2 matokeo nimeyapata

  • @vanigidenise18
    @vanigidenise18 4 หลายเดือนก่อน

    mambo ,mauliza, kama makaliyo kunashimo ,zama tundo lashindano utafaje ili zileshimo zifungane?

  • @HildaKamtamban
    @HildaKamtamban ปีที่แล้ว

    Naomba no yako Dada nimependq haya mazoez

  • @floralyimo6977
    @floralyimo6977 2 ปีที่แล้ว

    Vyakula gan xaxa

    • @JoanfitnessTV
      @JoanfitnessTV  2 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/xBVrv8u1Ufw/w-d-xo.html

  • @jamilaalmarzooqi4845
    @jamilaalmarzooqi4845 2 ปีที่แล้ว +3

    Dada mambo mimi naonba mazoezi ya hps na makalio

  • @maedamustafa5103
    @maedamustafa5103 2 ปีที่แล้ว

    Asante dada

  • @fatumasaidy698
    @fatumasaidy698 3 ปีที่แล้ว +1

    Waaooo

    • @fatumasaidy698
      @fatumasaidy698 3 ปีที่แล้ว

      Nahitaji kujua mpangilio wa chakula unanisaidiaje??

  • @elizagabrel3222
    @elizagabrel3222 ปีที่แล้ว

    kipenz mambo Mimi nakufatilia Sana mazoez Yako Sema nakachaga Huwa nafanya Kila jioni Kuna tatizo au nifanye mda Gani ndo sahihi

    • @JoanfitnessTV
      @JoanfitnessTV  ปีที่แล้ว

      Ni sawa, fanya tu unapopata nafasi na ukumbuke kuongeza kiasi cha chakula kama lengo nikuongezeka

  • @peterorage1349
    @peterorage1349 3 ปีที่แล้ว +2

    Nilikuwa naomba nayako ili tuchat wasp na uniambie jinsi yakupangilia chakula na maezo zaidi

  • @محح-و6ش
    @محح-و6ش 3 ปีที่แล้ว +2

    Mbona mm tako 1 n kubwa moja dogo

  • @user-yp8gt5uz6c
    @user-yp8gt5uz6c ปีที่แล้ว

    ❤a Santa San dad

  • @jackedward6463
    @jackedward6463 3 ปีที่แล้ว

    Je vipi kwa habar ya umri

  • @abdalaomari2889
    @abdalaomari2889 2 หลายเดือนก่อน

    Mambo natk niwe na matk makubwa ya saiz nå niwe namb nane je vyakula gn natkiwa nile nå hayo mazoez nifanye muda gn na gn

  • @elizabethjuma1548
    @elizabethjuma1548 2 ปีที่แล้ว +1

    Naomba unisaidie huo mpangilio wa chakula dada

  • @alicecharles9209
    @alicecharles9209 2 ปีที่แล้ว

    "Naomba mazoezi ya kunenepesha miguu

  • @cosmasfitness
    @cosmasfitness 3 ปีที่แล้ว +1

    Vizuri sana

  • @irhadiddi94
    @irhadiddi94 ปีที่แล้ว +2

    dada ikiwa unatakakiwa ufanye mara mbili kwa siku yaani asubuhi na jion wiki mara 3 sasa mimi nafanya jioni tu jee nikifanya kila cku iyo jioni itakuwa nakosea au ata iyo jioni pia nifanye wiki mara 3

  • @DeborahCute-gx4op
    @DeborahCute-gx4op 11 หลายเดือนก่อน

    😅😅

  • @samsonimazemle-qf7yw
    @samsonimazemle-qf7yw ปีที่แล้ว

    Habari nahitaji mpangilio wa vyakula kwaajili yakupunguza uzito

  • @reymatelela8500
    @reymatelela8500 2 ปีที่แล้ว

    Naitaji kuanza mazoezi na pia kufaham program yote na mpangilio wa chakula

  • @happymassera1547
    @happymassera1547 2 ปีที่แล้ว +1

    My samahani naomba kuuliza mbona kwenye haya Mazoezi uliotuelekeza ninapo fanya kwenye nyonga (joint)zinalia hilo ni tatizo au la

    • @nancybaraka9072
      @nancybaraka9072 2 ปีที่แล้ว

      Zitakuwa hazina Ute pendelea kula bamia kwa wing

  • @grashfordmwilondo9089
    @grashfordmwilondo9089 ปีที่แล้ว

    Jamn hapo nayataka yaongezeke na shepu nzuli jaman mungu wangu ee

  • @janetroyroad5104
    @janetroyroad5104 2 ปีที่แล้ว

    Ok

  • @rizikladyherson8451
    @rizikladyherson8451 2 ปีที่แล้ว +1

    Dadaa natak kuondoa heep deep kwenye makalio

  • @faidarashid3474
    @faidarashid3474 3 ปีที่แล้ว

    Vzr

    • @jenithandyetabula3805
      @jenithandyetabula3805 2 ปีที่แล้ว

      Naomba kuuliza Mdogo wangu, mbona wakati wa kufanya zoez hili mguu unaokuwa chini ndo unauma? Nikahisi labda nakosea

  • @HijaMunisi-w8h
    @HijaMunisi-w8h ปีที่แล้ว

    Dad nataka kutengeneza shep vp vyakula vyakula n vip

  • @afenonetv2574
    @afenonetv2574 ปีที่แล้ว

    🎉❤

  • @magrethadam9467
    @magrethadam9467 11 หลายเดือนก่อน

    Ast nimependa na nko kweny zoez nikukua fresh ntakuj kutoa result

    • @magrethadam9467
      @magrethadam9467 11 หลายเดือนก่อน

      Nimeanza zoez jana dear but mbona kalio la kulia linauma mno wakat wa zoez km kwenye ule msuli wa kati ulisema

    • @JoanfitnessTV
      @JoanfitnessTV  11 หลายเดือนก่อน

      Hongera sana kwa kuanza mazoezi Magreth, hakikisha maumivu unahisi Sawa kwa kila kalio yaani kila upande uwe unafanya kwa nguvu ile ile kuepuka kukuza upande mmoja zaidi ya mwingine

    • @magrethadam9467
      @magrethadam9467 11 หลายเดือนก่อน

      Ooh shukran my dear i will si nafanya kila sku mara moja? Au twice asubuh na jion

  • @polinemoche410
    @polinemoche410 2 ปีที่แล้ว +1

    Hello ntaka kuanza so plz nsadie nkua n makalio

    • @JoanfitnessTV
      @JoanfitnessTV  2 ปีที่แล้ว

      Mazoezi ni muhimu katika kutengeneza mwonekano wa mwili wako, na Mazoezi pekee bila virutubisho sahihi ni sawa na kuuchosha mwili😞, kutengenezewa mpangilio maalumu pamoja na kutumiwa Mazoezi kulingana na vipimo vyako, aina ya mwili wako pamoja na lengo lako ni kwa watu waliojiunga na program tu, Kwa kuanza tunashauri vifuatavyo
      a).Kula vyakula vyenye protein nyingi kwa siku, mfano nyama, samaki, mayai, maziwa n.k
      b).kula vyakula vyenye nishati lishe kubwa kwa siku kutoka katika makundi yote ya vyakula mfn karanga mbichi, parachichi, korosho, viazi mbatata, ndizi mbivu , peanut butter n.k
      c). Pumzika si chini ya masaa 7 usiku na kunywa maji si chini ya lita 2 na nusu usiku
      d).Fanya Mazoezi ya sehemu unazotaka ziongezeke mara 3 hadi 4 kwa wiki, siku zisifuatane walau iwe kila baada ya siku moja na ni mara moja kwa siku ili zipate muda wa kujijenga na kukua maana ukifanya kila siku utazikomaza tu sio kukua, siku zingine fanya Mazoezi sehemu zingine za mwili.
      ANGALİZO: ukila kidogo utapungua - kula sana, smoothie ya ndizi, maziwa na parachichi itakusaidia.
      Nakutakia mwanzo mzuri
      By Joan 😘
      Instagram:@joanfitness_
      0683836293 whatsApp program

  • @nisalilemwakamele5694
    @nisalilemwakamele5694 3 ปีที่แล้ว

    Wasap nmba tafazali

  • @evamohamed1663
    @evamohamed1663 ปีที่แล้ว

    Nitumie program ya chakula

  • @annageofrey3800
    @annageofrey3800 2 ปีที่แล้ว

    Mamb Mimi natakuwa nashepu yakuvutiya

  • @martnemichael3095
    @martnemichael3095 2 ปีที่แล้ว

    🤞💪💪dada

  • @happnesswalyes7326
    @happnesswalyes7326 2 ปีที่แล้ว

    Nahitaji kupungua tumbo tumbo lng ni la oprestion je nifny zoezi gani ili nipungue hili tumbo?

  • @dukedml2616
    @dukedml2616 2 ปีที่แล้ว

    Samahan dad Joan me napenda mazoez lakn nipo shule na vyakul vya protin havipo nifanyaje??

    • @JoanfitnessTV
      @JoanfitnessTV  2 ปีที่แล้ว

      Mazoezi ni muhimu katika kutengeneza mwonekano wa mwili wako, na Mazoezi pekee bila virutubisho sahihi ni sawa na kuuchosha mwili😞, kutengenezewa mpangilio maalumu pamoja na kutumiwa Mazoezi kulingana na vipimo vyako, aina ya mwili wako pamoja na lengo lako ni kwa watu waliojiunga na program tu, Kwa kuanza tunashauri vifuatavyo
      a).Kula vyakula vyenye protein nyingi kwa siku, mfano nyama, samaki, mayai, maziwa n.k
      b).kula vyakula vyenye nishati lishe kubwa kwa siku kutoka katika makundi yote ya vyakula mfn karanga mbichi, parachichi, korosho, viazi mbatata, ndizi mbivu , peanut butter n.k
      c). Pumzika si chini ya masaa 7 usiku na kunywa maji si chini ya lita 2 na nusu usiku
      d).Fanya Mazoezi ya sehemu unazotaka ziongezeke mara 3 hadi 4 kwa wiki, siku zisifuatane walau iwe kila baada ya siku moja na ni mara moja kwa siku ili zipate muda wa kujijenga na kukua maana ukifanya kila siku utazikomaza tu sio kukua, siku zingine fanya Mazoezi sehemu zingine za mwili.
      ANGALİZO: ukila kidogo utapungua - kula sana, smoothie ya ndizi, maziwa na parachichi itakusaidia.
      Nakutakia mwanzo mzuri
      By Joan 😘
      Instagram:@joanfitness_
      0683836293 whatsApp program

  • @shekhasuleman5326
    @shekhasuleman5326 2 ปีที่แล้ว

    Joan unaweza kutft mazoezi ya kuzuia uke kujamba nasikia inatokana na misuli kulegea ya uke .au kubadili wanaume .or kufany na matunda kama matango kufany na matango au ukisex na mwanaume mweny umbile kubw alf ukaja ukafany na mwngn tena mweny umbile dogo na n.k lakn ww kwakuw nimwanamazoez bc tft mazoez ya hivo wanawake weng wanalalamika kuw na ttz hilo kwhy jalib kutft mazoez hayo ya kuban misul ya uken ili usilegee nakuw na ttz hilo hakika utazidisha umaaruf na ujuzi mwng san my dear

  • @ShanelyJohn
    @ShanelyJohn 7 หลายเดือนก่อน

    Dada nisaidi mm naitaji kario naips kisi kidg

  • @estinatahhan5017
    @estinatahhan5017 2 ปีที่แล้ว

    Mazoezi no kwa mdagan asubuh au usiku lakin Aina ya vyakula dadang nahitaj kujua

  • @magretmichael4929
    @magretmichael4929 3 ปีที่แล้ว +3

    Asnte sana Mamy kwa mafunzo naanza hilo zoez haraka sana nakupenda bure but niunge WhatsApp unifunze zaidi

    • @ZainaIsmail-tl8hg
      @ZainaIsmail-tl8hg ปีที่แล้ว

      Dada napenda Sana mazoezi yako ila naomba uniunge watssap kwa kujifunza zaidi

  • @DokiaRenatus
    @DokiaRenatus 6 หลายเดือนก่อน

    Samahani dada kwani nilazima kufanya mazoezi asubuhi na jioni?

  • @saumumwaka6931
    @saumumwaka6931 2 ปีที่แล้ว

    Dada

  • @mishikikoti2948
    @mishikikoti2948 2 ปีที่แล้ว +3

    Dada kwaiyo njia zote izo nafanya kwa mara moja au nachagua tu moja apo ndo nafanya🙏?

    • @JoanfitnessTV
      @JoanfitnessTV  2 ปีที่แล้ว

      Unafanya mazoezi yote

    • @mishikikoti2948
      @mishikikoti2948 2 ปีที่แล้ว

      @@JoanfitnessTV asante kipnzi, sa naomba mpangilio wa mlo na vinywaj nikianza niwe makini🙏

    • @mishikikoti2948
      @mishikikoti2948 2 ปีที่แล้ว

      @@JoanfitnessTV dada namba uliyotoa kapokea mtu sio mbona

    • @sofiyasofiya3003
      @sofiyasofiya3003 2 ปีที่แล้ว

      @@JoanfitnessTV naomba namba zako

    • @yunisiselemani3239
      @yunisiselemani3239 2 ปีที่แล้ว

      Ukimaliza unaoga

  • @Princesszuh5005
    @Princesszuh5005 2 ปีที่แล้ว

    Mimi hapa ntakupata vp watsap

  • @SadaKimanila
    @SadaKimanila 10 หลายเดือนก่อน

    Axante kwamazoezi yako mimi matokeo nimeyaona ila nilikuwa nauliza niasubuhi najioni , au

  • @user-rl9li8ju6p
    @user-rl9li8ju6p 6 หลายเดือนก่อน

    Vakula ngani

  • @hellenngakuka4922
    @hellenngakuka4922 2 ปีที่แล้ว

    Nimependa sasa

  • @lillydavid1654
    @lillydavid1654 3 ปีที่แล้ว

    Mm ndio naanza mazoez vyakula gani ni sahihi jmn joan

  • @MathaKaputo
    @MathaKaputo ปีที่แล้ว

    Nataka kujuwa ualatibu wachakula nanichakula gani au matunda gani

  • @JennyJe-w4h
    @JennyJe-w4h 8 หลายเดือนก่อน

    Tupenamba zako zawasape

  • @Aneth-z9z
    @Aneth-z9z 10 หลายเดือนก่อน

    Naombanamba yako yaWasapu

  • @anitadecson8811
    @anitadecson8811 2 ปีที่แล้ว

    Namba dada unitumie mazoez haya kwa wasph

  • @nureennayra44
    @nureennayra44 ปีที่แล้ว

    Hello mm naomba kupunguza manyama uzembe pembeni

  • @salomepetro6371
    @salomepetro6371 2 ปีที่แล้ว +1

    Dada me nanyonyesha inawezekana kufanya mazoez ya makalio

  • @winifridaedward6220
    @winifridaedward6220 2 ปีที่แล้ว

    Kama nikiacha baada ya kupata matokeo hakutakuwa nashida

  • @rhodamoses1879
    @rhodamoses1879 2 ปีที่แล้ว

    Nahitaj moangilio Wa chakula

  • @Kittunni01-oq8kd
    @Kittunni01-oq8kd 11 หลายเดือนก่อน

    Dada nipe ratiba ndonaona leo natak niaz kufanya na mim hay mazoez

  • @Kittunni01-oq8kd
    @Kittunni01-oq8kd 11 หลายเดือนก่อน

    Nahitaji mazoez ya matako

  • @gulassagande3335
    @gulassagande3335 ปีที่แล้ว

    Hello dada nahitaji kujua mpangilio wa vyakula

  • @magrethmbilinyi2963
    @magrethmbilinyi2963 3 ปีที่แล้ว

    Mtu akijifungua anaanza mazoez baada ya mda gan

  • @angeljohn6961
    @angeljohn6961 ปีที่แล้ว

    Hello dada nilikuwa naulz kwa ck unatkiwa kufanya mara ngp na ukae ck ngp ndo ufany Tena mazoezi ya makalio

  • @nuruemmymkayula861
    @nuruemmymkayula861 2 ปีที่แล้ว

    Mama mjamzito anaruhusiwa kufanya haya mpaka mwisho wa miezi mingapi??

  • @silahmabala9773
    @silahmabala9773 2 ปีที่แล้ว

    Kwa mru and anza mazoezi haya kama Mimi natakiwa kufanya marangai kwa siku,

  • @user-lc2zj4fb2z
    @user-lc2zj4fb2z 6 หลายเดือนก่อน

    Nkuulize hili zoezi walifanya kila siku ama

  • @antutusa5829
    @antutusa5829 2 ปีที่แล้ว

    Hlw dad naomba uniunge wsp nijifunze zaidi

  • @georgejohn1747
    @georgejohn1747 2 ปีที่แล้ว

    Leo ninaanza

    • @JoanfitnessTV
      @JoanfitnessTV  2 ปีที่แล้ว

      Natumaini utafanya kwa juhudi na kuzingatia vyakula

  • @Evangelist-Joseph-sikanyika
    @Evangelist-Joseph-sikanyika ปีที่แล้ว

    Nimpangirio gani wa vyakura dada