WILSON ORUMA AMMWAGIA MAUA KOCHA SIMBA, WATAKABA SANA, AMTAJA MOHAMED HUSSEIN.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
  • WILSON ORUMA AMPA MAUA FADLU, SIMBA WATAKABA SANA, AMTAJA MOHAMED HUSSEIN.
    Mchambuzi kutokea EFM Tanzania, Wilson Oruma amemmwagia sifa nyingi Kocha Mkuu wa Simba SC, Fadlu Davids
    #yanga #yangasc #yangatv #yangaleo #yangalive #caf #cafcl #azamfc #jkupdates #simbasc #simba #simbaleo #simbalive #simbaliveleo #simbatanzania #simbatanzania #nguvumoja #daimambelenyumamwiko

ความคิดเห็น • 15

  • @user-gz2or2ui9n
    @user-gz2or2ui9n หลายเดือนก่อน +2

    Oruma nakuelewa sana unajua sana kuchambua mpira

  • @braytonsebastian1952
    @braytonsebastian1952 หลายเดือนก่อน +2

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @hafidhnzota2142
    @hafidhnzota2142 หลายเดือนก่อน +1

    COACH marehemu MOHAMMED Msomali alifanya demo MWENYEWE

  • @Economically-Growth-Musicians
    @Economically-Growth-Musicians หลายเดือนก่อน

    From #EconomicallyGrowthMusicians Congratulations 🎉🎉🎉🎉

  • @mrliverpoolynwa7641
    @mrliverpoolynwa7641 หลายเดือนก่อน

    Hii habar inanifanya nianze week kifua mbele😂😂😂,mzee wa jambia upo sahihi mtaalam wang/wetu.SIMBA tumesajili damu changa sasa kuna timu imesajili wastaafu😅😅😅#SIMBA nguvu moja

  • @mohammedalifa7945
    @mohammedalifa7945 หลายเดือนก่อน

    Mtangazaji umependeza. Mauwayako nakupa

  • @dicksonmtandi8806
    @dicksonmtandi8806 หลายเดือนก่อน +2

    Kwahiyo na mwaka huu mkifungwa nje ndani na yangu mtakuwa mmehujumiwa na nani? Maana wote mnaowatuhumu walikuw wanahujumu simba wameondoka na kina chama wapo yanga,,,simba acheni maneno sana mpira ni uwekezaji kiukweli yanga wamewekeza kuzidi nyinyi,,,kingine simba msiweke matarajio makubwa sana kwenye timu yenu msimu huu zaidi mjikite kujenga timu vinginevyo mtamfukuza kocha, kujenga timu kunahitaji uvumilivu

    • @kamandamlimaog3430
      @kamandamlimaog3430 หลายเดือนก่อน

      wale woote walioletaa hujumaa wametolewaa....
      chama
      mkudee
      inonga
      balekee
      pamojaa na viongozii waliopandkzwaa
      mangunguu ......kajuraa....
      tumesafishaa hakunaa Teena ujumaa sublienii maumivuu

    • @ethansapili5038
      @ethansapili5038 หลายเดือนก่อน

      Usiwe na haraka utajua mkishatufunga

  • @ElibarikiMollel-y4k
    @ElibarikiMollel-y4k หลายเดือนก่อน

    Simba wanacheza saa ngapi na vp inaoneshwa live

  • @mohammedalifa7945
    @mohammedalifa7945 หลายเดือนก่อน

    Myamgazaji pendeza saana