HATIMAE YULE USALAMA WA TAIFA "FEKI" ZANZIBAR AKAMATWA NA POLISI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ส.ค. 2024
  • Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.
    Follow Ktv Tz Online
    Facebook | KTV TZ ONLINE
    INSTAGRAM |@ktv_tz_online
    Wasiliana nasi kupitia number
    +255 625 323 932
    Ktv Tz Online Journalists
    cc: Sadia Rashid
    cc: Juma Maulid
    cc: Masoud Maganga
    cc: Sauti Byego
    cc: Maryam Busara
    Camera Department"
    Dadi Ali
    Mwarabu Mmadi
    Nassor Shaibu
    Abdallah Dula
    Editors:
    Juma Maulid
    Video Zingine:
    Angalia hapa - Diamond Platnumz Alivyolisha watoto yatima
    - Ali Kiba akiwa Oman
    • ALICHOKIFANYA DIAMOND ...
    • NI KWELI ALI KIBA AMNU...

ความคิดเห็น • 46

  • @Awatee
    @Awatee 4 ปีที่แล้ว +2

    Subhana allah allah atufihadh sik hiz binaadam wameharibika asilimia kubwa kudhulum wenziwao wamefanya Biashara ila jaman tuwe makin kwa pes alioitaja afande za wote 2 una uwezo wa kujiajir mwenyeo na ukaendesha maisha vzr na wap wengine wanawadanganya kuna nafas za kaz za nje na wamejaa tele saiv matapel mungu anakuonen muache mutafute kaz za jasho len nufanye

  • @mrfix6596
    @mrfix6596 4 ปีที่แล้ว +3

    Nna wasiwasi anashirikiana na watu maalumu, ila kwa vile serikali inafikia ukingoni bila shaka wamechomeana hawa.😂😂🏃🏃🏃🏃🏃

  • @samsungjsevenprime5717
    @samsungjsevenprime5717 4 ปีที่แล้ว +1

    Allah atunusuru na atuhifadhi nakitapeliwa mtihani njaaa hiii ikisha mtu akutapeli

  • @allykutenga2862
    @allykutenga2862 4 ปีที่แล้ว +1

    Njaa bwana..

  • @danielhumble4292
    @danielhumble4292 4 ปีที่แล้ว +3

    Nikusahihishe kamanda
    Hao wote unaosema wametapeliwa hawajatapeliwa bali wametoa rushwa ikiwa walikua wanataka kazi kwanini watumie mtu mmoja?? Ni miongoni mwa rushwa na wao waende ndani kwa mashtaka yakutoa rushwa na huyo usalama feki apelekwe ndani kwa kulichafua jeshi na wizi wa njia ya uaminifu

  • @Waytozanzibar
    @Waytozanzibar 4 ปีที่แล้ว

    Bado mnamficha ili tuelewe hio mada basi mngemuonesha hapa !

  • @talibsaid8081
    @talibsaid8081 4 ปีที่แล้ว

    Hongera hakuna maskhara

  • @chulbulturky
    @chulbulturky 4 ปีที่แล้ว +3

    Tuonesheni huyo tapeli tumjue

  • @truthspeaker2062
    @truthspeaker2062 4 ปีที่แล้ว

    Wanajuana awo .

  • @khamisame5382
    @khamisame5382 4 ปีที่แล้ว

    heee shidaaaa tup hii etii

  • @zanzibarcosmetics6416
    @zanzibarcosmetics6416 4 ปีที่แล้ว +3

    Haifungukiiii

  • @znz9083
    @znz9083 4 ปีที่แล้ว

    Vzr tukomesha ukahaba

  • @moodyman7588
    @moodyman7588 4 ปีที่แล้ว

    Asalama aleykum Zanzibar bili yakuwa na ulinzi independiente hatoendelea maisha

  • @simonzakaria4770
    @simonzakaria4770 4 ปีที่แล้ว +1

    Ingekuwa vizuri mngemuonyesha huyo mtuhumiwa tumuone. Maana hao hawafungwagi.kesho na keshokutwa atahama huko atahamia Dodoma. Kama sura tunaijua.hatatusumbua

  • @AhmedAli-xw6xf
    @AhmedAli-xw6xf 4 ปีที่แล้ว

    Kwa nini hamtuoneshi Kwa pic huy m2

  • @asiakhamisi469
    @asiakhamisi469 4 ปีที่แล้ว +1

    Tuijue sure yake sasa vipi tuwe makini tuiyone sura ili tuizingatiye

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 3 ปีที่แล้ว

    NYOTE WABARA MNALETA UHUNI LAKINI KUNA MWISHO WAKE IN SHAA ALLAH

  • @mahadaziz5793
    @mahadaziz5793 4 ปีที่แล้ว

    Mtu wao huyo police

  • @suleimansadalla5606
    @suleimansadalla5606 3 ปีที่แล้ว

    Mnatakiwa mumuoyeshe hazarani ili watu wamuone

  • @samsungjsevenprime5717
    @samsungjsevenprime5717 4 ปีที่แล้ว

    Alie tapeliwa laptop na camera atavipata ndio hivo hapo lkn Huyo Asha Alietapeliwa milioni 5 atazipata vipi pesa si kidogo hizo

  • @assleeali2302
    @assleeali2302 4 ปีที่แล้ว

    Inaoneka huko maofisini huwez kupata kazi bila ya kuyoa rushwa na ndio maana huyo jamaa akatumia njia hiyo hiyo ya kuwadsnganya raia kuwa anayoa kazi kwa kuwez kumpatia fedha.kwahy serekal mnatakiwa kuchunguza sana ktk itowaji wa ajira kyk seketa tofauti

  • @mahadaziz5793
    @mahadaziz5793 4 ปีที่แล้ว

    MASLAHI ya Ubunge Tanzania:
    1.Mshahara 3.8M kwa mwezi
    2.Posho mwezi 8M
    3.Posho kikao 240k
    4.Kujikimu siku 120k
    5.Pensheni 240M baada ya 5yrs
    6.Bima ya afya daraja la kwanza wewe&familia.
    7.Safari za nje
    8.Mshahara bila makato ya Bima ya afya wala mifuko ya hifadhi za jamii.
    Chukueni fomu ndugu Zangu Ubunge unalipa 😜😜

    • @AhmedAli-gh1lm
      @AhmedAli-gh1lm 4 ปีที่แล้ว

      Duuuh! Ubunge dili mwanangu. Kiasi watu warogane

  • @othmankhamis5915
    @othmankhamis5915 4 ปีที่แล้ว

    Wote awo hakuna mzanzibar halisi jamani kutawaliwa kubaya

  • @alizahranmohd4095
    @alizahranmohd4095 4 ปีที่แล้ว

    dah zanzbar ,mliwaleta hao kuja kupiga kura , CCM oyeeeee

  • @msetikebwasi6895
    @msetikebwasi6895 4 ปีที่แล้ว

    Hii nchi watu wasio jielewa ni wengi sana.Haswa hawa wanao jiita wasomi.

  • @hawamaricca4003
    @hawamaricca4003 3 ปีที่แล้ว

    Hizi njaa mbaya sana, hivi hawaogopi serikali? Wakati wenzenu wanasoma nyie mlikua wapi? Mnataka vyeo vya bandia

  • @msetikebwasi6895
    @msetikebwasi6895 4 ปีที่แล้ว

    watapeliwa nao ni craziest tu.

  • @salimharrasy7047
    @salimharrasy7047 4 ปีที่แล้ว

    Za mwizi 40.

  • @fifo262
    @fifo262 4 ปีที่แล้ว +1

    Nchi imezidiwa ni wasomi serikali ijipange

    • @salamasaid4720
      @salamasaid4720 4 ปีที่แล้ว

      Tucho omba muchulie hatua sio tena tuambiwe hakuna ushahid manaa tumezowea kusikia hakuna ushahid

  • @khamisjuma1990
    @khamisjuma1990 4 ปีที่แล้ว

    Wacha kwanza niende nikameze panadol kisha nije kuendelea kutazama na kuckiliza huu utapeli.

  • @suleimansaid769
    @suleimansaid769 4 ปีที่แล้ว

    Zanzbr ni njema atakae na aje

  • @haarunsaidabdillahi5267
    @haarunsaidabdillahi5267 4 ปีที่แล้ว

    Waliotapeliwa wote washtakiwe kwa kosa la kutoa rushwa.Uajiri haununuliwi.Vipi mtu atoe Sh.mil.5 kununua kazi!

  • @iddyally4439
    @iddyally4439 4 ปีที่แล้ว

    Ss huyo ndio muhalifu kweli na mchafua amani na sio wale mashekh hawana hatia yoyote waliofanya

  • @binsultan6981
    @binsultan6981 4 ปีที่แล้ว

    Kumbe nkichogo!!!

    • @jumamohamed3168
      @jumamohamed3168 4 ปีที่แล้ว

      Acha izooo zimeshapitwa na wakati.

    • @jakayamati3510
      @jakayamati3510 4 ปีที่แล้ว

      @@jumamohamed3168 tena za kizaamani alizo nazo yy kaka

  • @hassanmahmoue3034
    @hassanmahmoue3034 4 ปีที่แล้ว +1

    Ukimfuatilia huyo atakua ni mzaliwa wa kisiwa cha Pemba huyo mtuhumiwa

    • @RashidAli-vb3zi
      @RashidAli-vb3zi 4 ปีที่แล้ว +4

      Hata km ni mzaliwa wa pemba lkn acli yke polic wamesema ni msambaa sasa twende pemba ukanionshe kijiji cha wasambaa, mbna unachuki za kipumbavu umekaa km una mimba changa ya wapemba. Dume zima unacoment pumba

    • @teddyoscar6876
      @teddyoscar6876 4 ปีที่แล้ว

      Hassan uko sawa 😆

    • @jumamohamed3168
      @jumamohamed3168 4 ปีที่แล้ว

      Mbona mimi naona akina Hassan sio watu wajinga wajinga wewe inakuwaje unakuwa mjinga mjinga wewe ni Hassan wa wapi unatia aibu sana .

    • @mahamoudduchi3318
      @mahamoudduchi3318 4 ปีที่แล้ว +1

      @@teddyoscar6876 yupo sawa kwa kuandika uwo ujinga wake hlf mnakaa ooo sjui tumalize chuki za upemba na uunguja ukasikazini na ukusini wakati kuna wajinga wanayo ujinga bado kwenye nafsi zao .

    • @mabrouksaleh2472
      @mabrouksaleh2472 4 ปีที่แล้ว +1

      Sasa umeshaambiwa ni msambaa kweli unguja kuna msambaa tuwachilie Pemba?Wacha chuki zako na wapemba