JAMANI WENGI MLITAKA NILUDISHE HII FILM LAKINI MAPOKEZI SIO MAZURI HIVYO NAACHA UVIVU NAANDIKA STORY NYENGINE TUSAMEHE KWA MAPUNGUFU YETU KAA TAYARI KWA STORY MPYA
Tulikuwa tunafuatilia sana hii kipindi na watoto na season One ilikuwa tamu but sijafurahia kurudisha hii film season Two. Baba Karobo kuwa kibofu tena haileti shangwe kabisa. Hii usembe wa hali ya juu. Come with new ideas and be creative
Mbn mnashindwa kumuelewa baba Joan,,kama mnakumbuka alitangaza kua wanahitaji watu wengi wenye wanaweza kuigiza wafanye kazi pamoja ndo maana baada ya kupata kina Victoria na wengineo maoni yakatolewa mbalimbali hd kukatokea hio haja ya kuendeleza hii movie lkn ata sio vibaya ju ina funzo zuri km mmeifatilia kwa makini mtaielewa huu sio uvivu
Na usisahau adui pia ni wengi wanaotaka uanguke. Hivo tia bidii. Kundi hili nzima la kina Kibanio, Loi, Fasheni, Rahasa, Nasra ma Zuu liko sawa kabisa Kaka.
@@HalimaKacheka Ile niliangalia episode kama mbili hivi kwasababu nilikuwa nimemmisi BAGA tu. Nilikuwa shabiki mkubwa wa BAGA enzi za mabanda ya TV. Lakini baada ya ep 2 nikaona wanajikuta wahuni sana na hakuna wanacho kiigiza nikaachana nayo. Mimi nazingatia ubunifu ktk kazi sio kuigiza igiza tu.
@@HalimaKacheka Niliangalia episode kama mbili hivi kwasababu nilikuwa nimemmisi BAGA Nilikuwa shabiki mkubwa wa BAGA enzi za mabanda ya TV. Lakini baada ya ep 2 nikaona hakuna wanachokifanya zaidi ya kujifanya wahuni sana. Mimi nazingatia ubunifu ktk kazi sio ngonjela
Mama kalobo feck ule wa zamani amugombanie au umugeukie baba kalobo kwa kumloga tena fashion na makosa yote alimfanyia. Amugombanie tena zujat apone mwa kindi hiki
JAMANI WENGI MLITAKA NILUDISHE HII FILM LAKINI MAPOKEZI SIO MAZURI HIVYO NAACHA UVIVU NAANDIKA STORY NYENGINE TUSAMEHE KWA MAPUNGUFU YETU KAA TAYARI KWA STORY MPYA
Hii story tunaipenda labda umeishiwa content
Eeeh hapo sawa tuleteeni vitu watu tufurahie bando zetu kupitia nyinyi
Mbona unataka kukwaza watu broo endelea please
Baba Joan aky tunataka movie ingine jamani juu ya kwanza ilibamba na ukaona Tena pona ulirudi kipofu hapo ndio uliaribu hii movie
Pole sana baba karobo tukopamoja nawewe
Hellow naitwa Manyanya Niko katika Tamthilia ya Dunia nawapenda sana Happy New year 🎊 naomba mnifollow wapendwa
Tuko nyumaako manyanya ayse happy new year manyanya
Nimekufollow tayari
Manyanya ❤
Tunakupend sana nakazi zako🥳
Kaka manyanya mimi ni fan wa dunia ❤
Kalobo kawa mlembo❤❤❤❤
Huyu mtoto karobo nilimpendaa buree jamani ❤❤❤❤❤❤anajua kuigizaa kweli😢😢😢kibanio kumbe alipata mume mgoviii hana msaada kwakakamtu jamani😢😢
Pole sana baba kalobo haya yote una ya pitiya ya taisha uwe tu n'a imani
Jaman baba Joan naomba msaada wako natamani nipate njia ya kuwa muigizaji naomba msaada wako jaman
Fashion, mwisho wako utaisha vibaya sana , sijue umesahau
Mimi wa kwanza kbs Siku ya Leo ni mebarikiwa ❤️🥳🙌🏽
Endeleya ni nzuri wanataka kukuharibiya inaeleweka tuko pamoja paka mwisho❤❤❤
Wakati Mungu alisema tumuabudu yeye pekeake alimanisha Wala sio masiara.😂😂😂😂😂😂 Ila ni mwingi wa rehema atakusamehe baba karobo usijali ❤
Hii movie umeharibu Mungu alibaki akim protect iweje arogwe tena😂😂, achana na hii movie kabla ujaharibu 2025 kazi zako, from Kenya
Kazi nzuri sana nawapenda bure babajoani
Wakwaza Léo mini kutoka Moçambique 🎉🎉
Leo namba 1 naomba like😢
Tulikuwa tunafuatilia sana hii kipindi na watoto na season One ilikuwa tamu but sijafurahia kurudisha hii film season Two. Baba Karobo kuwa kibofu tena haileti shangwe kabisa. Hii usembe wa hali ya juu. Come with new ideas and be creative
Mwambie Viktoria nampenda sana
Wa kwanza from Kenya Leo habari zenyu wanaotazama wakisoma comments
🇰🇪🇰🇪🇰🇪👌
Fasheni anapenda nyashi sana 😂😂😂😂😂
@ baba joani🎉 Napenda sana mchezo wako nikiwa kisii Kenya ❤❤ congratulations ❤
Wapi mama karobo yule wa kwanza😅😅 nawapenda sana babajoani salimia karobo
Umezingua kweli hp maan ndo ile ile szn 1
Badilisha nyingine hii inajiludia to
Great job guys ❤
Nawapenda sana Mungu awazindi shie❤❤
Kazi nzur sana team baba karobo ❤❤❤
Kazi nzuri tena nzuri mnoo ❤❤🎉🎉
Aaai huwa unamalizia hii movie mbali,aaai sijapenda
Endelea nayo ni nzuri sana baba karobo 🎉🎉🎉🎉🎉
🎉🎉🎉 Kazi kazi
Akiwewe feshen ukona na ujawi sana
Wakwanza from burundi 🇧🇮
Muombe mungu msamaha alafu ongeza dakika ni fupi sana
Kazi ni zuri sana 🎉🎉🎉
Kazi ni mbaya saaana
Jamany,dada yangu kipenzi loy hako wapi ??? 😢😮😅 nime miss
Kazi nzuri sana 🎉🎉❤❤
You Know What I Love you Karobo❤
Naona mko sawa kabisa
Bola uache hii move maana ukirud kipofu ainogi
Kazi nzuri from Kenya
Nlikua nawamiss sana ,😂😂movie nzuri sana
So kama unasema wewe wakwazda watakaje Yani,tukufanyeje,kuuimvavu😅😂😂
Usiache kufanya kazi nzuri sana mkuu endelea tuu kazi iendelee
Fashen saut yakk inakuwa chini sana,Mke wake fashen mwenye roho mbaya haonekan, mbona imekuwa kafup
Leteee tu movie nyingine mpyaaa hiii achana nayoo
Heri ungeleta mama karombo akitesema mbona wewe tena 😢 please leteni kitu ingine hii apana
Maliziakwanza afutunataka umaskini Wang iendelee
this was a great 1 aki
Huyu Bab Joan ktk uigizaj anatakiwa kubadilika sana, ongea yake , n.k pia movie imekosa ubunifu
Ubunufu upi unaouzungumzia wewe!! Kama unaona hakuna ubunifu ktk move yake, toa move yako ww tuone ubunifu wako. Kuponda Kaz za mwenzio tuu zako aaah😂😂😂😂😂
kwan ukiwa wa kwanza hua unapewa zawad maana naona kila mtu ni wa kwanza 😂😢😢
Mbn mnashindwa kumuelewa baba Joan,,kama mnakumbuka alitangaza kua wanahitaji watu wengi wenye wanaweza kuigiza wafanye kazi pamoja ndo maana baada ya kupata kina Victoria na wengineo maoni yakatolewa mbalimbali hd kukatokea hio haja ya kuendeleza hii movie lkn ata sio vibaya ju ina funzo zuri km mmeifatilia kwa makini mtaielewa huu sio uvivu
Jamani mbona mama karobo Roi haonekani ao alikata kurudi kwenye ukatili😂
Na usisahau adui pia ni wengi wanaotaka uanguke. Hivo tia bidii. Kundi hili nzima la kina Kibanio, Loi, Fasheni, Rahasa, Nasra ma Zuu liko sawa kabisa Kaka.
Bas mjitaidi kuwa mnatoa movie kwa wakat😮
Nice movie 🎥❤❤
Kwani hakupona macho😳
😂😂😂😂😂😂😂 Hii ndio Dunia Bwana, Oo Oo Oo Oo Ooo. Yaliyopita, kwenye Dakika Nge-Nge!
😂😂bado ya mission impossible waleteee
@HalimaKacheka hiyo nayo ni yanani?
@@DonMooFILMES_Express ya Chado master nzur Sana halafu acheleweshi km Dunia
@@HalimaKacheka Ile niliangalia episode kama mbili hivi kwasababu nilikuwa nimemmisi BAGA tu. Nilikuwa shabiki mkubwa wa BAGA enzi za mabanda ya TV. Lakini baada ya ep 2 nikaona wanajikuta wahuni sana na hakuna wanacho kiigiza nikaachana nayo. Mimi nazingatia ubunifu ktk kazi sio kuigiza igiza tu.
@@HalimaKacheka Niliangalia episode kama mbili hivi kwasababu nilikuwa nimemmisi BAGA Nilikuwa shabiki mkubwa wa BAGA enzi za mabanda ya TV. Lakini baada ya ep 2 nikaona hakuna wanachokifanya zaidi ya kujifanya wahuni sana. Mimi nazingatia ubunifu ktk kazi sio ngonjela
Mmeharibu bora Ingeisha
Very great babajoan ❤❤❤❤❤❤
Super 🔥🔥🔥🔥
Yeah vizuri sana
Kazi tamu
Baba karobo endelea kama utatoa muvi mpya naiyo iendelee
Tunataka umasikini wangu eps 5🎉🎉🎉🎉ban
Movie n tamu lkn mbona ukarudi kipofu tena😢😢Victoria umetokea wapi nilikuwa nimekumis😅😅😅alfu munda n mchache bana leta nyingine
Kwa kweli ii ailete furah ili pasha kuma lizikaka mu Season one ila usha anza lazima umalize ila isiwe mlefu tunapenda umasikini wangu sio hii
Imeanza kunoga
Filamu ninzuri ila asikosi kuendelea umaskini wangu
Good❤
Safi sana
Tuko pamoja mpaka mwisho
❤❤🎉🎉🎉
Karoboo ❤❤❤❤
kipofu again
Fashion ulikumbuka mara ya kwanza haikutosha bado nao round hii utaumbuka zaidi
Mumeharibo ainda nvuto tumeni Massikini wangu tuenjoy apa
Pole sana baba karobo
Zujat😂😂😂 ati chizi atoke 😊
Mbona fupi jamani
Hii move haibambi kabisaa yani
Fashien unataka nn kwa baba caroboo tuambie tukupee alikuajia loy vip sasa
Endelea na hii wataielewa tu 😂😂😂😂
😂😂😂
Fasheni punguza umalaya
Jamani baba kalombo una zingua vip umaskini wangu sio fresh iyo unatatuludisha nyuma
Miguu ya fashion ina nitisha mimi 😮😮😮
Wapi umasikini wangu mbona umalizi movie zako unajia njiani
4🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Endelea nayo tuu jamanii
Fasheni achalohombaya
Nakubalii kaka
Ni nzuri
Kwa sasa hii muvie imeharibikaa kabisaaaaa haina mvuto tena siitaki ndio mwisho wangu wa kukomment na kulike nitakuwa napita tyuu
Kalobo umependeza sn
Mama kalobo feck ule wa zamani amugombanie au umugeukie baba kalobo kwa kumloga tena fashion na makosa yote alimfanyia. Amugombanie tena zujat apone mwa kindi hiki
Wa kwanja Léo nipeni liake zangu
Fashen huchoki kumfuatilia baba karobo jamani mwisho sasa ni wewe ufe tu
Twende nalo
Ukiacha hii move mimi binafsi nitashukuru kwasababu imejiludia hivyo tunamaliza tu bure bando letu
Nipeeni likes leo 😅
Hiki kpande Cha fashioni jamani sikipendi MN anaongea kama ñgonjera na unajua kbsa kabsa hapa anaigiza
Nice
Gonga like kutoka Kenya