HII NI YA MWISHO NAWALETEA KAZI NYENGINE AMBAYO ITAKUA MPYA MAANA WENGI WENU NIKAMA HAMJAPENDA MIMI KURUDIA HII,MNISAMEHE SANA WATU WANGU KAA TAYARI KWA MOVIE MPYA
KAKA NDO MIE NAE OMBA NAFAS KWAKO KAKA NIPO KAHAMA KAKA NAITWA BENJAMINY ILA HUKU KAHAMA NIMSANII PIA WA ASILI KO NILIKUA NAOMBA KWAKO KAMA NIKIPATA NAFAS NAKUJA NAANZA KUIGIZA KAKA 🎉
KIUKWELI sizan kama kunakazi utatoa af ikapendwa kuliko hii na ukiacha kutoa muendelezo wa hii stor utatukosea tunaopenda hii story na kiufupi itabidi namm niishie hapa kukufatilia mpaka utakapotoa muendelezo wahii story maana ile ya UMASKINI nayo umeikatisha,sio sawa😮
Baba kalobo sawa unapenda kuridhisha watu wako ktk kulalamika binaadam tuko ivo wewe mtunzi unajuwa makusudiyo ya unachoandaa sisi tunakusaport Baba karobo
Baba joan hajapenda kumaliza huu mchezo,mashabiki tuwe na utu wa kukosoa na kurekebisha mtu kihekma...watu wamemuita majina,ooh ni mvivu mara aende akalime "SIVYEMA"
Please endelea na hii tamthilia ni nzuri ajabu baba karobo ,mimi natoka kenya, please, please endelea na hii movie ina mafunzo na wala sio kenya tu duniani nzima
Kuna coment zengine baba kalobo sio zakukufanya usiendeleze move yako unasoma.inaacha tu tilia manani wanao kupongeza hiyo ndio ss binadamu tulivyo tunavinja moyo nasikutia moyo😢
Baba Joani ingekuwa bora ukaendelea na hii movie hadi tamati kwa kuwa binadamu ndivyo tulivyo huwezi kuleta movie hadi watu wote wanogewe. Lakini kama umeamua kuacha haina shida leta nyingine mpya
kwa maana hiyo mafunzo yenu na ujumbe haujatimia na haujafika ipasavyo , mlipaswa kuishia part 1 au kuongeza angalau vipande kadhaa ambavyo havichelewi hata kidogo. Ili mtuoneshe uhusika wa mchungaji na sababu yake kurudi na pia hatimaye toba ya kweli ya Bsba Karobo na Majibu ya MUNGU juu ya Baba Karobo, na pia hatima ya Zujat kuwa kichaa na mwisho jini kumvaa Zujaty. Na pia mtuoneshe Malipo ya wema ya Sabrah kwa kumtunza Baba Karobo, kma ilivyokuwa kwa Zuujat n.k.... Na pia hatima mbaya au nzuri ya Mr. Rahasa na Pia Mama Karobo feki wa mwanzo yuko wapi na amelipwa nini kwa ubaya alioufanya. Sins haja ya kukufundisha we ni mjuzi zaidi ukisoma ujunbe huu utajua umekosea na utahakikisha kupoteza audience . Kaa tafakari chukua hatua sahihi
HII NI YA MWISHO NAWALETEA KAZI NYENGINE AMBAYO ITAKUA MPYA MAANA WENGI WENU NIKAMA HAMJAPENDA MIMI KURUDIA HII,MNISAMEHE SANA WATU WANGU KAA TAYARI KWA MOVIE MPYA
POA KAMA VIPI LETE SEASON 3😂
Haijakaa vibaya mbona Iko poa tuu
Mbona ivo iko sawa tu jamani hii nikali sana yamapambano
KAKA NDO MIE NAE OMBA NAFAS KWAKO KAKA NIPO KAHAMA KAKA NAITWA BENJAMINY ILA HUKU KAHAMA NIMSANII PIA WA ASILI KO NILIKUA NAOMBA KWAKO KAMA NIKIPATA NAFAS NAKUJA NAANZA KUIGIZA KAKA 🎉
Kaka
KIUKWELI sizan kama kunakazi utatoa af ikapendwa kuliko hii na ukiacha kutoa muendelezo wa hii stor utatukosea tunaopenda hii story na kiufupi itabidi namm niishie hapa kukufatilia mpaka utakapotoa muendelezo wahii story maana ile ya UMASKINI nayo umeikatisha,sio sawa😮
Babajoan tunaomba uendereye ya baba kalobo ju ina mafunzomengi usiiiiace ❤❤❤❤❤❤❤ fron burundi
Baba kalobo sawa unapenda kuridhisha watu wako ktk kulalamika binaadam tuko ivo wewe mtunzi unajuwa makusudiyo ya unachoandaa sisi tunakusaport Baba karobo
Nikweli, angeimaliza wala hangejali maneno ya watu...binadamu haturidhiki kwa lolote
Mbna nzuri hivi baba karobo uiache n mziri sna❤❤❤
Jamn mm nampenda omar vby 😂😂😂man anajifany mtumzim ety niliahidian nae nitamuoa😂😂
Baba joan hajapenda kumaliza huu mchezo,mashabiki tuwe na utu wa kukosoa na kurekebisha mtu kihekma...watu wamemuita majina,ooh ni mvivu mara aende akalime "SIVYEMA"
Umetunyima muendelezo baba kalobo ungeimaliza kama ulivopanga ingekuwa sawa 😢😢😢naamini haikuwa matakwa yako kuimaliza hapo sijapenda
Hii movie n tamu leta watu wako wote watu wawaje wivu😢😢😅😅😅😮😮
Congratulations 🎉🎉🎉 baba joan❤❤ hope utaleta kali kuliko hii twende kazi.
Nilikua nimewamiss sana...lete vitu tunavisuburia sana...🎉🎉🎉🎉
Kazi nzuri sana ba karobo na team nzima nawapenda sana kutoka kenya❤❤😊
Continue please watching from Dubai, Kenyan
Bora uiendeleze ila hapo kwa Mungu ambariki jini hapana kwa kweli
Endelea kutoa hihii,kuna kitu cha kujifunza kwa ajili ya manufaa ya jamii yetu
Pia mm napenda hii
Pia mm naona hivo
Ongera sana ww binti unae msaidia baba caroboo
Ata jini nawe mungu akubariki😂😂😂
Mbon atujaielewa baba kalobo
Wasiyo ipenda baba karobo kazi wanayo 😊😊😊😊
Nzuri mnoo 💕🙏🙏🏾🙏
Kazi zurri ❤❤
Ongereni sana wapenz kwazi yen zuri sana mubarikiwe wote ❤❤❤❤❤❤
kazi nzurii🎉🎉🎉
Ni nzuri sana Baba yangu Kipofu
Baba kalobo endelea na hii movie ina mafunzo mazuri ❤❤
Please endelea na hii tamthilia ni nzuri ajabu baba karobo ,mimi natoka kenya, please, please endelea na hii movie ina mafunzo na wala sio kenya tu duniani nzima
Ss imeisha aje aiiish sijapendezwa na kuisha kwa hrka hivi naomba mwendelezo wake plz nko Kenya.
We baba kipofu usiache kupost mbn n nzurii tu
Yeah Iko na funzo ieendelee tu
Binadamu wabaya! Wamemvunja moyo kweli
Bishow wakwanza
Mna shida nyieee kila siku move mpya afu hazifiki mwisho
Baba kalobo binadam wakilalamika huku wanaangalia endelea tu
Wa kumi leo 🎉🎉🎉
Atujapendezwa ww Kurudia Upofu😢😢
Hikazi mbona nzuri tunaomba iendeleze
Kazi nzuri baba karobo❤
Hapa Baba karobo kafeli bn😅
Mtowe mwendelezo jaman ❤🎉🎉🎉🎉
Baba karobo Mungu aku shindanie uwone kwanza ingine itafuata nyuma
Ntusubhile kandimbele bhileke bhigende bhindi bhiloza😂😂 sijui nimepatia hilo jina
Nikweli baba jean leta kitu kipya hii story himeshafika mwisho na kufatilia nikiwa hapa UJERENANI 🇩🇪
Hapan baba Joan ungeimalizia hii movie nakuomba
Ati Mr. Jacob ama umuite.....😂😂😂😂
Tunapenda muendeleshe iyi movie jamani musiachiye kati kati.
Mutusubire Biteke bigende ibindibiroza.endelea mr jacobu
Uludiwe bwana kazi nzuli jamani
Mutakuwa kigeugeu endeleya na iyi
Iyo story iko vzuri inge endelea
Hujanitendea haki baba karobo, mbona imeisha ukiwa kipofuu ssa inamana Mungu kagoma kusamehe au😮aiiiih bwana sijapenda😢
Ienderee jaman nzurii
Hilo jina la baba karobo hata nikiwa nimeshiba siwezi kuliita daaaah😅😅😅😅😅😅
😂😂😂😂
Maliza kwanza hiii baba joani
Kuna coment zengine baba kalobo sio zakukufanya usiendeleze move yako unasoma.inaacha tu tilia manani wanao kupongeza hiyo ndio ss binadamu tulivyo tunavinja moyo nasikutia moyo😢
malizia moja uone zuu apone ndo iwe final
Ongera sana team baba karobo💞💞
Baba Joani ingekuwa bora ukaendelea na hii movie hadi tamati kwa kuwa binadamu ndivyo tulivyo huwezi kuleta movie hadi watu wote wanogewe. Lakini kama umeamua kuacha haina shida leta nyingine mpya
Ukweli please 🙏
Sasa baba kalobo imeisha ujapona aijaeleweka bolo ile ya kwanza ilieleweka hii atujaielewa mwishoni
Iendelezee usiiachee
Kazi tamu
Ila ukiwasikiliza sana watu nao utaumiza kichwa bule kazi ni nzuli tu jmn😢
Ntunsubire kandi,bireke bigende ibindi bizoza
Mnaendelea mbona iko vizuri hivi
Mbona umemaliza movie ukiwa kipofu ungemalizia kaa unaona ndiyo tulidhike but anyway ni Sawa Tu.
Endelea kutuletea hii movie baba Joan
Husikate tamaa kaka endelea tu
Kazi nzuri ❤
Baba yetu karudi kipofu😮
We baba karobo usiwache kutoa movie wengi tunaipenda saana tafadhali
Nimefika mapema nataka mnipe 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Endelea na hii movie tafadhali.
Nice one Mr Jakob❤
😂😂eti moyo unaswetasweta
Safi sana kaka
Kaka ndo mie amabae naomba nafas kwako ya kuigiza kaka nipo kahama naitwa Benjaminy pia huku nimsanii wa asili
Hii mumeboil, sasa final ya baba karobo akiwa kibofu bado huku akisaidiwa na majini tena sijapenda.
Endelea2 baba joan
Yani ilivyo isha mwanzo iliisha vizuri hii ya saivi hamna kitu,hatujui hatima ya zujat wala baba karobo😂 hapa mmechemka
Hajapenda kuimaliza pia ila mashabiki wana tabu! Imebidi afate watakavyo
Ninaipenda sana ii movie jamani iendelee
Unataka kutukosea zaidi mashabiki wako
Jamani final tena
Sasa kama ulitaka iishe huyo mchungaj angekuombea akakwacha ukiwa mzima si tuliipenda ungeendelea nayo tu
Kazi nzuri
Eeeiiii baba karobo jamani umeweka finally na ujapona bado pia zuu ajapona mrudi kuwa pamoja why
No ungeendeleza uone Kwanza ndio nyingine
Mbona ukarudi kipofu na tuliacha ulikua umeona 😅
Tunapenda sana muenderereye kutupa hiyo
Final tena
kwa maana hiyo mafunzo yenu na ujumbe haujatimia na haujafika ipasavyo , mlipaswa kuishia part 1 au kuongeza angalau vipande kadhaa ambavyo havichelewi hata kidogo. Ili mtuoneshe uhusika wa mchungaji na sababu yake kurudi na pia hatimaye toba ya kweli ya Bsba Karobo na Majibu ya MUNGU juu ya Baba Karobo, na pia hatima ya Zujat kuwa kichaa na mwisho jini kumvaa Zujaty. Na pia mtuoneshe Malipo ya wema ya Sabrah kwa kumtunza Baba Karobo, kma ilivyokuwa kwa Zuujat n.k.... Na pia hatima mbaya au nzuri ya Mr. Rahasa na Pia Mama Karobo feki wa mwanzo yuko wapi na amelipwa nini kwa ubaya alioufanya. Sins haja ya kukufundisha we ni mjuzi zaidi ukisoma ujunbe huu utajua umekosea na utahakikisha kupoteza audience . Kaa tafakari chukua hatua sahihi
Ilo jina ushalikomaliaga utafikil hat linamvuto wowote et cjui ntusubile milenda imeoza yaan silipendi ilo jina hujui tu
Mr rahasa badirisha t.shert
Jamani fanyeni episode nyengine ww urudi kuona na zujaty apone ndo iwe final
Amazing ❤❤
Mbona iko vzur tu endelea tu bab karobo
Ila baba karobo una jina gumu 😂😂😂
Good job
Eti fina nyii vipi jameni
Endeleza hii
Tujapenda ata kidogo
Wakwanza jamani nipe likes hata 10❤❤❤❤
mema imelipwa na mungu weye saidiya tuh
Iendelee hihii 🙏🙏