ALBASTINI _ Episode 1

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
  • #kpnazebuu #kp #zebuu #kpwaaquino

ความคิดเห็น • 1.3K

  • @Christopher-xj5fz
    @Christopher-xj5fz หลายเดือนก่อน +173

    Big up brother kp wa aquino,kwa ujio wa tamthiliya nyingne ,naamin itakuwa poa sana ,kama unamkubal kp weka like hapa tumsupport kijana mwenzet

  • @EudreySteven
    @EudreySteven หลายเดือนก่อน +148

    wanaoamin kua kisai ndo muhusika wa kutekwa kwa kp like zenu

    • @YoungBillionaire-v9k
      @YoungBillionaire-v9k หลายเดือนก่อน

      W😂😂😂watu mlivyo muwenga kisai kwenye pran b ndo mnaendereza na uku wakati hii ni ep ya kwanza😂

    • @allymwashambwa5920
      @allymwashambwa5920 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂ni yeye kabisa

    • @merrybarinaba8490
      @merrybarinaba8490 หลายเดือนก่อน

      Aswaaa atakua kisai hayo ndo Mambo yake toka kwenye last card had plan b na hii atakua mhusika tu

    • @Thinker-the-one09
      @Thinker-the-one09 หลายเดือนก่อน

      kausika sheisheiiii

    • @FaudhiaNgoya-k3i
      @FaudhiaNgoya-k3i 29 วันที่ผ่านมา

      Kisai ndo kamteka Kp,,wanaoamin tujuane

  • @RaphaelDeuc-uk1jg
    @RaphaelDeuc-uk1jg หลายเดือนก่อน +72

    Tulioanza salama mwaka mpya sema amina na Mungu akuongoze katka series yetu ya mwaka mpya

  • @j.claudeniyonkuru3989
    @j.claudeniyonkuru3989 หลายเดือนก่อน +42

    Munguwangu naombea Keita ana roho nzuri kiasi ivyo mungu wangu nisipo kuwa mbali nae naweza nikumupa soda kbx so Bujumbura Burundi team tenu tuko pamoja n'a nyie

  • @IanPaul-j4m
    @IanPaul-j4m หลายเดือนก่อน +48

    Wow jamani vizurii sana unabalaa kp naombeni like zangu

  • @MagrethBernard-p2n
    @MagrethBernard-p2n หลายเดือนก่อน +162

    Wanaofurahia Aquino family kuendelea kukua gonga like🎉🎉🎉❤

  • @MwanalimaMwalimu-c4m
    @MwanalimaMwalimu-c4m หลายเดือนก่อน +56

    Niko hapa from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦🇸🇦❤❤❤nawatakia mwaka mpya wa kheri InshaAllah wakwanza leo

    • @aminajuma8915
      @aminajuma8915 หลายเดือนก่อน +3

      Same mwakA MPYA🎉🎉🎉🎉🎉 KUTOKA KENYA MOMBASA🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️

    • @MwanalimaMwalimu-c4m
      @MwanalimaMwalimu-c4m หลายเดือนก่อน

      @aminajuma8915 🩷🩷🩷

    • @EstherLonzi
      @EstherLonzi หลายเดือนก่อน +2

      Nawatakia mwaka mpya nkiwa hapa Kenya

    • @MwanalimaMwalimu-c4m
      @MwanalimaMwalimu-c4m หลายเดือนก่อน

      @@aminajuma8915 Amiin

    • @MwanalimaMwalimu-c4m
      @MwanalimaMwalimu-c4m หลายเดือนก่อน

      @@EstherLonzi Amiin

  • @happynessdaudi1597
    @happynessdaudi1597 หลายเดือนก่อน +366

    Wangpi wanaangalia saiv wakiwa kitandani😂

  • @anjerinaaanjerinaa
    @anjerinaaanjerinaa หลายเดือนก่อน +12

    Wote ambao mukokweny hii move mung awatie nguv nawapend❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @JalanBuali-me9xv
    @JalanBuali-me9xv หลายเดือนก่อน +66

    Rakini kp kunashida moja kwahii muvi punguzeni kelele zamziki basi uwe mala chache maana tunaoskilizia kwenye hedifone nishida sawa wapendwa washezaji wahii muvi ❤❤❤

    • @FwziaLoin
      @FwziaLoin หลายเดือนก่อน +2

      😂𝘱𝘶𝘯𝘨𝘶𝘻𝘢 𝘴𝘢𝘶𝘵𝘪 𝘺𝘢 𝘴𝘪𝘮𝘶 yako

    • @FwziaLoin
      @FwziaLoin หลายเดือนก่อน +2

      😅😅𝘱𝘶𝘯𝘨𝘶𝘻𝘢 𝘴𝘢𝘶𝘵𝘪 𝘺𝘢 𝘴𝘪𝘮𝘶 yako

    • @FaridaHamis-e4y
      @FaridaHamis-e4y หลายเดือนก่อน +1

      Wazo zuri sana

    • @HalimaMwalimu-o9n
      @HalimaMwalimu-o9n หลายเดือนก่อน +2

      Mnaesema apunguze sauti ina maana atakua anapunguza na kuongeza mpka movie itakapoisha mana mziki Una sauti kuliko waongeaji Hili inabidi walitatue Tu

    • @daudimkami3055
      @daudimkami3055 หลายเดือนก่อน

      Hujui chochote wee kaa kmya

  • @BADRIYAOMAR-e8c
    @BADRIYAOMAR-e8c หลายเดือนก่อน +26

    Jamani kp Hana kazi mbovu mpeni mauwa yakee🎉🎉

    • @Marim-sj7oi
      @Marim-sj7oi หลายเดือนก่อน

      🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @gogoloveofficial5666
    @gogoloveofficial5666 หลายเดือนก่อน +17

    Tuliwamiss sana.love from GOGO LOVE OFFICIAL TO BURUNDI 🇧🇮

  • @ZainabRamadhani-s3u
    @ZainabRamadhani-s3u หลายเดือนก่อน +7

    Move nzur sana hongera kp ujawahi feli👏

  • @Fah-pz8of
    @Fah-pz8of หลายเดือนก่อน +8

    Wow kwa movie hii ninzuri sana kipande cha 1 kimenoga vipande vinavyofuata vitakuwa moto ni albastini epsd 2 tunasubilia ahsante

  • @PrinceImmar
    @PrinceImmar หลายเดือนก่อน +16

    Angarau kp umebadirixha sura hongera

  • @MaikoMaikowiliamkagine
    @MaikoMaikowiliamkagine หลายเดือนก่อน +25

    By kp leo nimekua wakwanza naomba likes zanguuu jamahuu kila siku nakosaaa naomba hata 01

  • @AllanNzai
    @AllanNzai หลายเดือนก่อน +3

    Tunaanza mwaka na filam nzuri. Wangapi wanaipenda gonga like apo chin

  • @sheillahLinsey
    @sheillahLinsey หลายเดือนก่อน +8

    Ila Sanaa dah,yaan zebu ana vumilia kumuona kp na Nora waki shikana,tobaa

    • @Janetzablon254
      @Janetzablon254 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Ana rohoo

  • @patrickkahangwa6666
    @patrickkahangwa6666 หลายเดือนก่อน +18

    Mm najuwaa kisaiii ashavurugaa mamabow huko 😂😂😂😂

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki หลายเดือนก่อน +7

    Mambo mazuri hayatzki haraka asante sana Kp kwakutuleteya move mpya🎉🎉🎉🎉🎉

  • @DonMooFILMES_Express
    @DonMooFILMES_Express หลายเดือนก่อน +38

    Huyu mdada aliemsaidia KP ni msanii mpya ambae amekuja vizuri sana, anakipaji na ushawishi ktk uigizaji wake. 🤝

    • @liliy-u3n
      @liliy-u3n หลายเดือนก่อน +1

      Kweli ❤

    • @DonMooFILMES_Express
      @DonMooFILMES_Express หลายเดือนก่อน +3

      @liliy-u3n tukopamoja 🤝

    • @JamesComplexnumber
      @JamesComplexnumber หลายเดือนก่อน +3

      Ana macho mazuri sana

    • @DonMooFILMES_Express
      @DonMooFILMES_Express หลายเดือนก่อน +1

      @JamesComplexnumber ohooo 😁 hapo kwenye macho mimi simo 🙆‍♂️.... sijasema mimi jamani

    • @RachelNgalya
      @RachelNgalya หลายเดือนก่อน

      ​@@JamesComplexnumberushaanza kumtamani ww😂😂😂😂

  • @franklinelusava047
    @franklinelusava047 หลายเดือนก่อน +9

    Wow! Am greatful of u KP. Tumeanza mwaka vizuri.... !! Tulikua tumekumiss Sana, na ulijua.
    God bless..... Frank from Nairobi

  • @halimakizulwa4624
    @halimakizulwa4624 หลายเดือนก่อน +17

    Hongeren kw kaz nzur Allah awalinde wotee mlouon mwak 2025

  • @EmmanuelduseigneurEmmanuelduse
    @EmmanuelduseigneurEmmanuelduse หลายเดือนก่อน +4

    Félicitations vraiment Kisai je te suit dépuis le Congo RDC 🇨🇩 Kinshasa

  • @OmanOman-y7z
    @OmanOman-y7z หลายเดือนก่อน +9

    KP plz tunaomba mutupungizie mziki 😢 hongeleni Sana movi nzur sanaa ❤❤🎉🎉🎉

  • @Vanessa-xr4qn
    @Vanessa-xr4qn หลายเดือนก่อน +9

    Kp haujawahi kuwa nakazi mbovu nawakubari mnooo WW na timu yako❤❤❤

  • @RauShaib
    @RauShaib หลายเดือนก่อน +7

    Kp kazi mzuri sana upewe mauwa yako

  • @Samiyabahatinanti
    @Samiyabahatinanti หลายเดือนก่อน +10

    Kp nanifanya niceke kumdonowa uyu mdada amejitoleya kumsaidiya nakwaho awana uwezo🎉🎉🎉

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 หลายเดือนก่อน

      Atamsaidia labda kumlipia ada.wazazi jamni lipen madeni yenu wenyewe msitupe mzigo😂😂😂

  • @allymwashambwa5920
    @allymwashambwa5920 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu awabariki sana timu nzima kwa kazi nzuri yenye mafunzo makubwa kwa jamii yetu ya kitanzania

  • @MbirizeRukumuza
    @MbirizeRukumuza หลายเดือนก่อน +2

    Kutoka kambini Malawi i like it

  • @AbdullahisaBongole
    @AbdullahisaBongole หลายเดือนก่อน +4

    Asante sana kwa kutuletea movie nzuri hongeren sana mwenyezi mungu awazidishie kilalaheri

  • @YohanaThobias-n1q
    @YohanaThobias-n1q 24 วันที่ผ่านมา +2

    Tuwe wawazi2 hii ngoma kali bongo na nje.❤😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ThomasKibutwa
    @ThomasKibutwa หลายเดือนก่อน +16

    Mkuu wa upelelezi, nasema kisai kahusika kwa 100%, Nawakubali sana team.

  • @NyongesaKelvin
    @NyongesaKelvin หลายเดือนก่อน +11

    Wali kp utakuja kunimaliza sai niko na okoa jazi 2002 nadaiwa ju ya movie zako ni haatari sana❤❤❤❤❤ naipenda sana kazi zako bro

  • @shukranntiyankundiye
    @shukranntiyankundiye หลายเดือนก่อน +6

    Burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮 to saudia🇸🇦🇸🇦🇸🇦 team kp&zebuu love you somuch

  • @ThereziaApendeki
    @ThereziaApendeki 27 วันที่ผ่านมา +2

    Kazi kubwa hii ongereni saana jaman 🎉🎉

  • @متعةالمشاهدة-خ2ظ
    @متعةالمشاهدة-خ2ظ หลายเดือนก่อน +12

    Sjui m niwangap😂leo from Oman 🇴🇲 naomben like ata 5 to 🎉🎉🎉

  • @JohnMtani-f8g
    @JohnMtani-f8g หลายเดือนก่อน +6

    Mnajita san mungu awabaliki san kwa kazi mnayo ifanya

  • @OzentaShombe
    @OzentaShombe หลายเดือนก่อน +17

    Wanaofrahia kumuon anuuu kma mim gonga like

    • @MonicaMkombwe
      @MonicaMkombwe หลายเดือนก่อน

      Siyo kumuona tu mpaka kumpenda nampenda

    • @bakaribilali27
      @bakaribilali27 หลายเดือนก่อน

      Yan anuu kaja kuongeza nguvu kaz ya kund

    • @MonicaMkombwe
      @MonicaMkombwe หลายเดือนก่อน

      @@bakaribilali27 tena anajua

  • @SomjiKuyiga-e6d
    @SomjiKuyiga-e6d หลายเดือนก่อน +11

    Hamjawah kuharbu yn nimecomment mapema KABLA hta dakika Moja ya movie sijamaliza

  • @titusmwange4988
    @titusmwange4988 หลายเดือนก่อน +6

    Kazi safi Nora napenda vile mnafanya Kwa pamoja na kp

  • @SadockJoel
    @SadockJoel หลายเดือนก่อน +5

    Tunatalajia iwe kazi nzuri na tutaipenda sana

  • @MalindiKenga
    @MalindiKenga หลายเดือนก่อน +6

    Kutoka kenya nakubali kazi zèñu

  • @DamarisCharo
    @DamarisCharo หลายเดือนก่อน +5

    Kusai kazeeka haraka Sana Nani akaona hilo

  • @BessyMukami-n7k
    @BessyMukami-n7k หลายเดือนก่อน +3

    Wee kisai ww maybe n ww umefanya hio plan much Love guys 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @HalimaNdagula
    @HalimaNdagula 29 วันที่ผ่านมา +1

    Onger kp we ni noma xana nakukubali ❤❤❤

  • @ChristopherSharanda-qy2ol
    @ChristopherSharanda-qy2ol หลายเดือนก่อน +4

    Congratulations 👏 kwa location mpya na actors wapya big up kutoka kenya

  • @ndayiragijejeanclaude-rh1zl
    @ndayiragijejeanclaude-rh1zl หลายเดือนก่อน +22

    Naomba kama Sisi warundi mutujuze vizuli maana ya hii title ya mouvie.tunawapenda sana

    • @NeemaLisu
      @NeemaLisu หลายเดือนก่อน +3

      😂😂 kwa kweli watuambie maana yake nn

    • @SelinaDorcas
      @SelinaDorcas หลายเดือนก่อน

      Mm imenichanganya

    • @aishaomar2287
      @aishaomar2287 หลายเดือนก่อน +1

      Nina imani tutaielewa baadae kama vile WAMANGUSHI

    • @Baba_ZEBUU
      @Baba_ZEBUU หลายเดือนก่อน +2

      Ni mchezo wa kalata

    • @StumyRashid
      @StumyRashid หลายเดือนก่อน

      Ni aina ya mchezo wa karata.. kama ilivyo last card na mengineyo

  • @halimashaban3858
    @halimashaban3858 หลายเดือนก่อน +8

    anaejua maan ya ALBASTINI anijuze ina maan gani

    • @ibraahmbalapi-w2f
      @ibraahmbalapi-w2f หลายเดือนก่อน +1

      MCHEZO WA KALATA

    • @MaryNzuki-m1l
      @MaryNzuki-m1l หลายเดือนก่อน

      Forty six😅😅😅

    • @marymnandi9924
      @marymnandi9924 หลายเดือนก่อน

      Albastin:Ni Mchezo Wa Karata Ambapo Karata InayotawalA Ndiyo Huongoza Mchezo

  • @MunahHassan-v1y
    @MunahHassan-v1y หลายเดือนก่อน +15

    Kutoka USA nawakubali sana tm kp nawafatilia sana nawapenda sanaa
    TANZANIA OYEEEE❤❤

    • @Baba_ZEBUU
      @Baba_ZEBUU หลายเดือนก่อน +1

      @@MunahHassan-v1y Asante kwa kutu support

    • @MunahHassan-v1y
      @MunahHassan-v1y หลายเดือนก่อน +1

      ​@@Baba_ZEBUU thanks dady❤

    • @Baba_ZEBUU
      @Baba_ZEBUU หลายเดือนก่อน

      @@MunahHassan-v1y welcome

    • @DavidMgoryo
      @DavidMgoryo หลายเดือนก่อน

      USA hahaaaaaa

    • @TwinklePretty-s3h
      @TwinklePretty-s3h หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 Arushaa hukoo

  • @SaumuNasenya
    @SaumuNasenya หลายเดือนก่อน +3

    ❤❤❤❤❤ congratulations 👏👏 kaka good job

  • @MariamOdima
    @MariamOdima หลายเดือนก่อน +1

    Nzuri sana tena inapendeza sana kaka wasalamie wengine kp wa Aquino much 💖 you 🎉

  • @salmasalam3268
    @salmasalam3268 หลายเดือนก่อน +8

    Asantee kp nilsubir sana move mpya 🎉❤

  • @ShijaMalagi
    @ShijaMalagi 14 วันที่ผ่านมา +1

    Tuko pamoja sana
    🎉🎉😊😊😊😊😊😊

  • @NevinSah
    @NevinSah หลายเดือนก่อน +10

    Kaka kazi nzuri tena sana nafurahia vipindi vyako sana nevin from 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @BIZWANET
    @BIZWANET หลายเดือนก่อน +14

    Kp ukiendelea hivi bro utakuja kuwa zaidi ya kanumba una creativity sana mwanangu 💪💪😍😍

  • @abigailmispary6078
    @abigailmispary6078 หลายเดือนก่อน +4

    Hyo dada marasta mgeni huyo anajua sana nmempenda

  • @jonathanmuthama
    @jonathanmuthama 28 วันที่ผ่านมา +1

    Kp kazi nzuri kabxa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉wenye mnamkubali kp gonga like❤❤❤❤❤❤

  • @happyDarmaIgiraneza
    @happyDarmaIgiraneza หลายเดือนก่อน +9

    Hapa sasa nita nafulahi sana kwel kuona munatupa tena movi zako

  • @FatmaMusaifa
    @FatmaMusaifa หลายเดือนก่อน +5

    Kisia mungu anakuona unamfanyia ubaya hadi mdogo wako unafanya hadi kp kawa chizi jaman

  • @MarryBayyo-pf5rn
    @MarryBayyo-pf5rn หลายเดือนก่อน +3

    KP WA Aquino hongereni Sana ndgu zangu ❤❤🎉🎉

  • @JulienBaguma-y2s
    @JulienBaguma-y2s หลายเดือนก่อน +7

    Leo nimejitahidi kufika wa mwisho wapi mauwa ya kp❤❤❤💙💙💝 Kama unamkubali weka like apa👍👍

  • @MomadeMudimoz70-cs2ud
    @MomadeMudimoz70-cs2ud หลายเดือนก่อน +4

    Kazi Mzuri Sana 🙏🙏🙏🙏💖💖💖💖💖💖💖💖👍👍👍👍🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @SarriveSedrick
    @SarriveSedrick หลายเดือนก่อน +1

    Wahoo my brother kp,kapenda kazi zako sana brother ujawahi kuniangusha💪💪💪💪💪

  • @AgnesKapama
    @AgnesKapama หลายเดือนก่อน +7

    Video nzuri sana 🎉❤😮😂

  • @Khalfan_Daddy24
    @Khalfan_Daddy24 หลายเดือนก่อน +1

    Sema kp una big tallent 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @SubiraMussa-f3y
    @SubiraMussa-f3y หลายเดือนก่อน +4

    Movi ipo fresh ila kwel kak kp pungz makelel yaan umetya sauti kubwa snaaa zinaumiza maskiooo❤❤❤❤❤niushaur

  • @anitakerubo9429
    @anitakerubo9429 25 วันที่ผ่านมา

    Kazi nzuri sana kp 🎉🎉🎉❤❤

  • @YvetteIrakoze-b2o
    @YvetteIrakoze-b2o หลายเดือนก่อน +6

    Mbona 'nimeanza kuwa na presha mapema nitafika kl😢😢kp wang😢

  • @Elinapoul-o3o
    @Elinapoul-o3o หลายเดือนก่อน +6

    Kazi nzuri kaka saluti kwako❤❤❤❤❤

  • @finegatwiri2597
    @finegatwiri2597 หลายเดือนก่อน +5

    Movie smart sana jitaindini 😊❤❤❤❤

  • @HalidiAlmasi-y1q
    @HalidiAlmasi-y1q หลายเดือนก่อน +7

    Noma anatoka sheila anaingia Sheila mwingine

  • @NdikumanaJeanClaude-j2y
    @NdikumanaJeanClaude-j2y หลายเดือนก่อน +21

    Wakwanza🎉

    • @SadickTumain
      @SadickTumain หลายเดือนก่อน

      kaka pongezi zuli😊

  • @PingaBombwe
    @PingaBombwe หลายเดือนก่อน +2

    Kazi nzuri sana Kp ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉 alafu ndefu yaani tunaifaidi uraha tupu❤

  • @DecmondNergeKind-v6i
    @DecmondNergeKind-v6i หลายเดือนก่อน +6

    ❤❤❤❤team kp🇹🇿 nawakilisha Kanda ya ziwa

  • @LUCYKHALAI
    @LUCYKHALAI หลายเดือนก่อน +2

    Kp hongera kazi nzuri sasa🎉🎉🎉🎉🎉❤❤

  • @DernolLeonard
    @DernolLeonard หลายเดือนก่อน +9

    Stoli ipo good mna balaaa

  • @monicashija2664
    @monicashija2664 หลายเดือนก่อน +1

    Jamn iko poa sana hii yan kp na Zebuu family tunawapenda mpaka tumewatungia wimbo❤

    • @TumainMarco
      @TumainMarco หลายเดือนก่อน

      Kisai kunyoa kawa mbaaaaaaaaya

    • @monicashija2664
      @monicashija2664 หลายเดือนก่อน

      @@TumainMarco 😂😂😂 kweli tena

  • @BarakaMgaya-yw2gi
    @BarakaMgaya-yw2gi หลายเดือนก่อน +5

    Maaajabuu😂😂😂

  • @JeanMuganza-f5q
    @JeanMuganza-f5q 29 วันที่ผ่านมา +1

    Wa kwanza kutoka drc 🇨🇩🇨🇩

  • @AimerenceZawadi-r5l
    @AimerenceZawadi-r5l หลายเดือนก่อน +11

    Jamanii❤❤❤❤

  • @DonMooFILMES_Express
    @DonMooFILMES_Express หลายเดือนก่อน +51

    😂 Nawasiwasi aliyetengeneza matukio ni KISAI 😂😂 Maana huyo jamaa hanaga adabu kabisa 😂

    • @SuzieCossy-yn1hr
      @SuzieCossy-yn1hr หลายเดือนก่อน

      Kabisa Yan hanaga dogo 😢

    • @DonMooFILMES_Express
      @DonMooFILMES_Express หลายเดือนก่อน +1

      @SuzieCossy-yn1hr 😁 nimeshagundua ni yeye imepofika mwisho 😁

    • @Alphonsine-zc8cp
      @Alphonsine-zc8cp หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂 inaweza kuwa kweli

    • @DonMooFILMES_Express
      @DonMooFILMES_Express หลายเดือนก่อน +1

      @Alphonsine-zc8cp ukiiangalia mpaka mwisho jibu utalipata 😁😁😁 Kisai na majambazi wake Opiche na yule mwingine 😁😁😁

    • @ManfeitaShahbani
      @ManfeitaShahbani หลายเดือนก่อน +1

      Na uckute ni wivu wa mapenz

  • @SAUMUHAMISI-l3z
    @SAUMUHAMISI-l3z หลายเดือนก่อน +34

    Hamjambo jamaniii,,,,,,,niwazo tu ndugu tukio hatari kama hilo,,usiwanie kumshika mtu ama majerui Kwa mikono yako mikavu,,,Kwa maana ikifikia kukaguliwa n polisi zinaangaliwa alama za finger print zilizoshika mwili Huo au mtu,,,n kama anamajeraha basi unajiepusha n vitu kama ugonjwa,,,asanteni 😊😊😊😊😊

  • @FaridaHamis-e4y
    @FaridaHamis-e4y หลายเดือนก่อน +2

    Dah umetulete watu tofauti. Ngoja tuone uigizaji wao

  • @madymag6926
    @madymag6926 หลายเดือนก่อน +7

    Wow kazi nzuri sana kp❤❤❤❤

  • @WssWss-w3p
    @WssWss-w3p หลายเดือนก่อน

    Good job guys am watching from saudi Arabia 🇸🇦 🇸🇦 🇸🇦 🎉🎉

  • @WistoniSiliveri
    @WistoniSiliveri หลายเดือนก่อน +5

    Ceta sasa umekuwa star🎉😂😂😂

  • @BethshebaNgendabanka
    @BethshebaNgendabanka หลายเดือนก่อน +6

    Tunawapenda,tunakusupport ,tunafurahia movie zenu.walio ondoka usiwafikilie Mungu ana njia nyingi kukuvusha❤❤🎉🎉

  • @geoffreynyongesa3583
    @geoffreynyongesa3583 หลายเดือนก่อน +5

    Heri ya mwaka mpya 2025 kutoka ka ma fans wenu , Nakuru, Kenya.

  • @Aggy-w6o
    @Aggy-w6o หลายเดือนก่อน

    Uyo msanii mpya mdada Big up anajuwa sio poa

  • @WistoniSiliveri
    @WistoniSiliveri หลายเดือนก่อน +11

    Hapo ndipo mlipo feli kp kuwa chiz😮😮😮sjapenda jamani🤷‍♂️🤷‍♂️🤷‍♂️🤷‍♂️🤷‍♂️

    • @BintiMweluhanga
      @BintiMweluhanga หลายเดือนก่อน

      Ukumbukee t move ndy inaanza siyo final

    • @NamikBBoy
      @NamikBBoy หลายเดือนก่อน

      Hapo kweli...bora kisai angekua chizi..na roho yake mbaya

    • @RachelNgalya
      @RachelNgalya หลายเดือนก่อน +1

      @@NamikBBoy 🤣🤣🤣Et kisai angekuwa chizi

    • @mr.khamisiomarykhamisi1337
      @mr.khamisiomarykhamisi1337 หลายเดือนก่อน

      Wamezingua asee huu mchezo ushaanza kuboa kabsa

    • @mr.khamisiomarykhamisi1337
      @mr.khamisiomarykhamisi1337 หลายเดือนก่อน

      ​@@NamikBBoyhhhhhh kisai anazingua

  • @SugunanaKidsTv-m3z
    @SugunanaKidsTv-m3z หลายเดือนก่อน +1

    Watching from Kenya 🇰🇪 🇰🇪

  • @SakinaHassani-xm7ti
    @SakinaHassani-xm7ti หลายเดือนก่อน +5

    Uyu kisai uyu ndio kafanya mchongo kp atekwe

  • @judithokingo27
    @judithokingo27 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana kp na zebuu family

  • @waswatv3073
    @waswatv3073 หลายเดือนก่อน +6

    Twende nalo Bro KP huku kwetu Kenya 🇰🇪 tunasema back to back....am locked in like never before...Happy new year to the Crew🤝

  • @sterbabypaizony4649
    @sterbabypaizony4649 51 นาทีที่ผ่านมา

    Kp , zebu,miss sheishe Nora mnanikosha kwenye kazi zenu ❤❤❤❤ kwenye plan B 🔥🔥🔥👏👏👏

  • @FahimuFarao
    @FahimuFarao หลายเดือนก่อน +3

    Mmh Kwa haraka haraka hili nalo lipo nyuma ya kisai na baba ake🎉🎉🎉ila ngoja tuone #ALBASTINI nayo inasemaje.....

    • @Baba_ZEBUU
      @Baba_ZEBUU หลายเดือนก่อน

      @@FahimuFarao duh
      Yamekuwa hayo tena?? 🤣🤣🤣🤣

    • @FahimuFarao
      @FahimuFarao หลายเดือนก่อน

      @Baba_ZEBUU 😆😆😆atutaki mwacheni Kp bhn 🤣🤣

    • @Baba_ZEBUU
      @Baba_ZEBUU หลายเดือนก่อน

      @@FahimuFarao mnanionea tu
      🤣🤣🤣🤣🤣

    • @FahimuFarao
      @FahimuFarao หลายเดือนก่อน +1

      @Baba_ZEBUU ngoja tuone kama siyo wewe muhusika mkuu🤣🤣🤣una hatari mzeee

  • @KagegaAbdlah
    @KagegaAbdlah หลายเดือนก่อน +1

    Dah we kisai mtu mbaya sana sema team kp wote ❤

  • @AniveaDeo
    @AniveaDeo หลายเดือนก่อน +3

    Mmmmmmmmmmmmmmmh movie tamu

  • @RozaliaStanslausRaphael-zw7zj
    @RozaliaStanslausRaphael-zw7zj หลายเดือนก่อน +2

    Kazi nzuri sana Kp na Zebuu❤❤❤❤❤