Hakika kwaya hii mungu awabariki zaidi ya mnavyonibariki kupitia huu winbo mungu azidi kuwainua zaidi ya mnavyonipa hamasa ya kuendelea kumtukuza mungu mbarikiwe mno ❤❤nawapenda pia mungu anawapenda zaidi yangu mie🥰🥰🙏🙏🙏
amen, ꨄ︎ pretty said i have cried with ts pretty song i have screamed with ts pretty song i have yelled with ts pretty song. i have stomach problems ts eats me. ts cuts me. ts swallows me i am young but still growing i pray ts song helps a broken and lost soul like me ‚that's really hurting a lot whoever reads ts please pray for me in your pretty prayers , ꨄ︎ i pray to heal inside.
What a nice song filled with the power of the Holy Spirit. You must have prayed and sought the face of God before you released this song. May God keep showering his grace on you.
Been soo waiting for your next song, Jesus name is above all names, am blessed of you😢😢 May the whole world know that there is a greater name, and this is because we will bow unto it, Rom.10.21 - But concerning Israel he says, "All day long I have held out my hands to a disobedient and obstinate people." Be blessed, from 🇰🇪 🇰🇪
😢😢❤que la grace du seigneur notre dieu Jésus surabonde dans tt votre vies ministériel au nom de Jésus christ que vs le chanter. Je vs aime bien cher serviteurs
Nimebarikiwa, Mungu awainue katika viwango vyajuu zaidi,🙏 Endeleeni kuwa wanyenyekevu tuu!!! Mungu akiwakubali hakuna wakupinga huduma yenu itapaa zaidi..
Hakika wimbo mzuri na pia mtamu Neema ya Mungu izidi kuwa juu yenu . Kazi ni nzuri
Amen
neema ya nungu
neema ya Mungu
Huyu mtoto anaitwa Happy apewe ulinzi.
Mungu awabariki sana wimbo mzur sana umenibariki mno sichoki kuusikiliza msalimieni aliasolo wa kwanza
Ila Sisi twalitaja Jina Yesu. Mungu awabariki sana. Awainue viwango vya juu zaidi.
Mnanibariki kwa kweli nawapenda.
Mungu awatunze daima❤
Haleluya jina YESU LIMEPITA MAJINA YOTE
Ma B Mungu aendelee kukuinua
Jina YESU LIMEPITA majina yote, UZIMA WETU JINA HILI, AMEN AMEN AND AMEN
Hii ndo maana halisi ya wimbo wa kutoka ufalme wa Mungu Alie hai
Huu wimbo hua unanibariki sana Mungu awabariki
Hakika kwaya hii mungu awabariki zaidi ya mnavyonibariki kupitia huu winbo mungu azidi kuwainua zaidi ya mnavyonipa hamasa ya kuendelea kumtukuza mungu mbarikiwe mno ❤❤nawapenda pia mungu anawapenda zaidi yangu mie🥰🥰🙏🙏🙏
Wimbo umenibariki sana jaman ..unaupako sana ...hongereni sana Martha na calvini mbaruku
ahsante dada
Wimbo mzuri sana
Huyu mtoto anasauti nzuri sana Mungu azidi kumtakasa na kumpa neema
Wow calvin from bumaco insurance ..i didn't see martha ... but wimbo mzurii sana umenibariki mnoo🙌🙌🙌🙌🙏🙏
ahsante dr petronila blessed
Amen Amen Amen!!!! BWANA aendelee kuwainua zaidi na zaidi 🙏🙏🙏
Wimbo mzuri sana na mnaimba vizuri sana ila leader ajitahidi kuvaa uhalisia katik kuimbisha kuendana na maudhui ya wimbo
Amen .. limefika dada
amen, ꨄ︎ pretty said i have cried with ts pretty song i have screamed with ts pretty song i have yelled with ts pretty song. i have stomach problems ts eats me. ts cuts me. ts swallows me i am young but still growing i pray ts song helps a broken and lost soul like me ‚that's really hurting a lot whoever reads ts please pray for me in your pretty prayers , ꨄ︎ i pray to heal inside.
Hakika jina Yesu limepita majija yote mbarkiwe
Limepita majina yotee.....🙌🙌🙌🙏🙏
Mdogo wangu Bernadetha Godwin, Mungu akubariki sana kwa solo yenye punch na tonal variation ya viwango vya juu. Wote pia mbarikiwe
limepita majina yote.Jina la yesu.neema iwatoshe watu wa mungu
shwaaa! there we Gooooooooo!
Amen🙏dada unasauti nzuri Mungu akupe neema nyingi
Hallelujah 💥
Fahari yetu jina la Yesu
Ahsante Mungu kwa baraka hii njema majira haya. Hakika Jina Yesu limepita majina yote.
Mungu awainue juuu zaidi❤❤❤❤
Waoooo!nimefurahi kuisikia sauti ya Bernadetha...Mbarikiwe saaana
Hakika tunabarikiwa,, Mungu azidi kuwainua katika utume wenuuu,,,
Song imetulia sana, pia nimefurahi nimemwona rafiki angu Moleli tulisoma wote advanc hongera na karbu Tabora
Amen. Mbarikiwe sana siku zote kwa huduma hii nzuri. Nimebarikiwa sana na wimbo huu. Kazi nzuri sana...
Utukufu kwa MUNGU .. Barikiwa ndugu yetu
Hongeren sana wapendwa
Wow 😮🔥🔥
Mnaimba vizuri but mjitahidi kubeba uhalisia wa wimbo hasa wanaosolo
Hii nyimbo ingekuwa na uhalisia tunavowaangalia ingekuwa bomba Sanaa 💪💪
Dada aliyeanzisha wimbo ni mrembo sana, amenivutia
Hongereni sana kwaya ya vijana kumtukuza Mungu mwenye ufahari wote, na azidi kuwabariki
Uplifting song may God bless you all
Nabarikiwa sana nikisikiliza wimbo. Kina la Yesu litukuzwe mile na mile yote. God bless you all always.
Jina la ya Yesu litukuzwe milele na milele yote. Ignore spelling mistake.
Wow! Hongereni sana . Kweli Jina Yesu ni fahari yetu. Limepita majina yote. Mzidi kubarikiwa
Tunashukuru tunarudisha sifa na utukufu kwa MUNGU
Limepita majina yote JINA LA YESU 💞💞💞💞❤️❤️
Watching this from Denmark 🇩🇰.
Tunalitaja jina Yesu
Mungu atusaidie kujitakasa ili tunapotaja jina la Yesu lidhirishe mamlaka yake duniani na mbinguni
Kabisa ndugu
Jina ni fahari yetu na ushindi wetu pia uzima wetu
Mmebarikiwa sana❤
Amen Amen
Nafurah sana nikiwaona vijana wenzangu wanamwimbia YESU . MUNGU awabarik sana kwa wimbo mzuri na wenye ujumbe mkubwaaaa❤❤
Awesome song ❤❤❤
The leader should wear the emotional of the song
I'm very blessed by this song. Keep on praising the name of Jesus the name above all names. Bethlehem Choir be blessed!
Amen Amen
Hakika limepita majina yote ❤❤❤
Hallelujah jina la YESU limepita majina yote. Nawaskiza kutoka Kenya, Nairobi. Mungu awabariki sana!
Jina moja Jina hilo la Yesu🙌🙌....a wonderful song this is from 🇰🇪
limepita maina yote ......we bow down just to worship that name JESUS
Amen Amen
Nawapenda
No other name than Jesus name, Mungu aendelee kuwatumia, Bernadetha keep it up my young sister ubarikiwe ♥️🔥.
Amen Amen
Mungu awabariki sana kwahiyi kazi nzuri
Amen Amen
Jina jesu such a powerful song❤
Asantee Yesu jina lakoo limepitaa majinaaa Yoteee
Powerful,tumelibeba jina la Yesu 😊😊😊
Jina Yesu ni kuu sana🙏🙏🙏
Jina Yesu limepita majina yote, Nice song, Keep going up Bethlehem Choir
Amen Amen Amen 🙏
Mubarikiwe
Mungu awabariki sana sichoki kusikiliza huu wimbo hakika unanibariki sana wimbo unaugusa moyo hakika Mungu azid kuwainua watumishi wake❤
Mungu azidi kuwainua juu zaidi na zaidi!!
Amen zaidi JINA LAKE LIINULIWE ZAIDI
Only God 🙏🙏....be blessed wapendwa❤❤.....#mo love to ue
Naomba CD
Nimeupend huu wimbo ❤❤
Jina yesu hakika limepta majina yote🙏🙏🔥🔥
Jina la yesu
Nakubali
Sabungo
Hakika , jina Yesu ni uzima wetu;
Asante Kwa wimbo mnzur sanaaaa 🙏🙏🙏🙏🙏
🔥🔥👏hongera Sanaa wimbo ni 🔥🔥🔥good performance💯
Amina....Uzima wangu....Jina ni Yesu
What a nice song filled with the power of the Holy Spirit. You must have prayed and sought the face of God before you released this song. May God keep showering his grace on you.
Sauti tamu,bila struggle🎉🎉
Hongereni wadogo zangu wimbo mzuri mbarikiwe
Mungu akutunzee
Magreth James : Unaweza kufanya, unaweza kutenda
MUNGU AWABARIKI SANA\
Been soo waiting for your next song, Jesus name is above all names, am blessed of you😢😢
May the whole world know that there is a greater name, and this is because we will bow unto it,
Rom.10.21 - But concerning Israel he says, "All day long I have held out my hands to a disobedient and obstinate people."
Be blessed, from 🇰🇪 🇰🇪
Amen Amen be blessed
🔥 🔥 🔥🙌🙌🙌
Hongereni sana
Asante Sana ... Pia ubarikiwe kwa support yako kwetu
😢😢❤que la grace du seigneur notre dieu Jésus surabonde dans tt votre vies ministériel au nom de Jésus christ que vs le chanter. Je vs aime bien cher serviteurs
This is powerful Mungu awainue sana
Amen Amen
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kwa hakika tumwlibeba❤❤❤
Nomelibeba jina hilo❤❤
i love tanzanian our god bless you!
Asante Bwana Yesu kwa jina lako 🙏
The song is a revelational one🔥
oh wow! what a song❣️❣️❣️💯
🙌🙌🙏🙏
Congratulations sabugo and your team May Our Almighty God take you and your choir to the highest levels👌
Be blessed good song for real
Amen Amen
❤🎉
Ameen
🙌
Amina 🙏
🙏🙏
Amen 🙏
Ameeeeen 🙌🙌
Nimebarikiwa, Mungu awainue katika viwango vyajuu zaidi,🙏 Endeleeni kuwa wanyenyekevu tuu!!! Mungu akiwakubali hakuna wakupinga huduma yenu itapaa zaidi..
Mungu wa mbinguni mfalme wa wafalme aendeleee kuwainua 🙏
❤❤❤