Mtumishi Mungu akusidishie baraka n siku nyingi uendee kutufungua katika ulimwengu wa rohoni na nataka kutuma zadaka yangu kubariki kazi y Mungu Kwa kutufikishia huu ujumbe wa kutisha Mungu akulinde n familia yako
Yaani hii semina ni Mungu alikuwa anaongea na mimi live na ujumbe umekuja kwangu kwa wakati sahihi sana kwangu. Mungu azidi kukutumia mtumishi wa Mungu
Amen mtumishi ubarikiwe sana ila nina maswali mengi nikipata fursa siku moja mungu akipenda tuongee nitasema mengi juu staki ikuwe online..ila mtanitafuta kwa maana hupatikani kwa urahisi niko kenya ,,swali la kwanza kama Bishop ni mshirikina na amefungua makanisa mbali mbali kila sehemu wachungaji wa hizo makanisa wanaweza adhirika ,, kama niliolewa mke wa pili kabla sijaokoka na nimezaa huko hadi naishi huko but sai nimeokoka sasa nitafanyaje,,ukiota kama mnatoka shule kabla hao wanafunzi wakaenda mbele yako na kuanza kuchoma vitu fulani na mmoja akakususulia then ukakimbia bodaa ikakuja kukuokoa but ukapata umefika kidogo wale wakafika tena wakachoma vitu na wengine wanalia na sauti za bunadamu inamaanisha nini

Halleliyah....lazima tutafunguka Mchungaji jameni njoo Kenya🇰🇪
Mungu akubaliki
Ubariwe sana mtumishi wa Mungu tumeyajua mengi kupitia wewe nimefunguliwa
Nashukuru sana Kwa kunifungua akili kuhusu mafuta ya upako naomba mungu anisamehe nliwai kumnunulia mama angu,,,, karibu iringa
Amen san nimefunza leo
mtumishi unanibariki sana kwa ibada yako
Asante sana mtumishiNimejifunza Mambo mengi
Amen mtumishi wa bwana kwa kunitowa katika mateso ya kichawi.
We mtumishi Mungu akutie nguvu uwataje
Sema ukweli mtumishi wa Mungu tumechoka kulishwa matango mwitu nafatilia sana krip zako mbalimbali nahisi naanza kubadilika kwa mafundisho yako
Ubarikiwe sana, Mtumishi wa Mungu
Amen Amen Amen 🙏 🙌 UBARIKIWE sanaa mch wangu Amiel kwa semina hii MUNGU awe nawe siku zote
Yaani hii semina ni Mungu alikuwa anaongea na mimi live na ujumbe umekuja kwangu kwa wakati sahihi sana kwangu. Mungu azidi kukutumia mtumishi wa Mungu
Amen Amen
Ameni ameni muchungaji wa mungu mungu Ako na wewe na mungu akulinde
Ameen ubarikiwe mtumishi kwa mafundisho yamenitoa mahali ubarikiwe sana
Amina amina mungu akubariki sana katekela
Ubarikiwe sana mtumishi sitachoka na sitaki kuchoka kusikiliza mafundisho yako na ushuhuda wako Yesu akubariki sana.
Ameni, Asante bwana kwa kuniponya Mimi wema wako ni mkuu sana sana
Ameeen Amen ninaenda kwa Uwezo wangu. Hallelujah hallelujah
Ubarikiwe sana mtumishi wamungu mungu amekutow mbali kabis ukimwamini mungu atakuudumiy sawasaw n'a imani yako
Amen mungu akubariki sana..
Ameeena pasta Mungu azindi kukupa maisha marefu kweli
Amina mtumishi endelea kutujulisha mambo hayo ya sirini maana watu wamevulugwa na hali mbaya ya maisha na magonjwa
Hallelujah Mungu ni mwema siku zote
Mungu akutunze.
Mungu azidi kukulinda
Asante yesu kwa kuniunganisha na mtumishi wako katekela
Hakika mungu ni mwema Nazidi kuitambua Iliyo kweli ya MUNGU promover TV mbarikiwe Sana na Mungu Kwakuendelea kurusha hewan Injil ya Kristo YESU
Amen Asante kweli kabisa
Asante Mungu kwa Mch Amiel tunajuwa mengi
Mtu mzima hatishiwi nyau,injili ya kweli lazima ihubiriwe,walio na Yesu bendera chuma mlingoti chuma
Nimepokeya kitu katika semina hiyi. Mungu azidi kukutumiya milele.
Uko vizuri mtumishi ubalikiwe Kwa ujumbe mzuri wA Neno la Mungu,
Amina mtumishi mpakwa mafuta na mungu
Amen mtumishi ubarikiwe sana ila nina maswali mengi nikipata fursa siku moja mungu akipenda tuongee nitasema mengi juu staki ikuwe online..ila mtanitafuta kwa maana hupatikani kwa urahisi niko kenya ,,swali la kwanza kama Bishop ni mshirikina na amefungua makanisa mbali mbali kila sehemu wachungaji wa hizo makanisa wanaweza adhirika ,, kama niliolewa mke wa pili kabla sijaokoka na nimezaa huko hadi naishi huko but sai nimeokoka sasa nitafanyaje,,ukiota kama mnatoka shule kabla hao wanafunzi wakaenda mbele yako na kuanza kuchoma vitu fulani na mmoja akakususulia then ukakimbia bodaa ikakuja kukuokoa but ukapata umefika kidogo wale wakafika tena wakachoma vitu na wengine wanalia na sauti za bunadamu inamaanisha nini
Ameeeeeeen Hallelujah
Nimepokea mafanyikio yangu mtumishi wa MUNGU asate kweli alikutuma juu tuwe tena
Mimi ni Mfalm kwaufalm wa Mbingu
Amen
Upo wapi jumapil ya 28 - 5-23 nije nkusikilize.
Mungo yup mwema hakika
Hakika wewe ni mtumishi Umetumwa na Mungu Kabisa
JAMANI,BINAFS NASHUKURU MUNGU KUTUINULIA MTUMISHI KATEKELA.SILALI BILA KUSIKILIZA SHUHUDA ZA MTUMISHI.MUNGU AKUPE UZIMA TELE.
Ukweli kawaida unauma
Mnenaji Bonke nami ni shahidi maana nilibarikiwa kupaya wwt kutokana na mkutano wa bonke jsngwani.
Nampenda Yesu aliyenifilia msalabani. Nampenda Yesu jamani
Baba katekela sema watu tupone
Amen amen amen
Amen
Amen