TUNDU LISSU ATANGAZA RASMI KUGOMBEA URAIS 2025, ASEMA RAIS SAMIA SIO MGUMU KAMA MAGUFULI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 12

  • @EstherJerald-tc6ct
    @EstherJerald-tc6ct 25 วันที่ผ่านมา +1

    CCM Mitano tenaaaaaaaa
    Hatuna chama kingine labda CUF

  • @MeryMkumbo-e2z
    @MeryMkumbo-e2z 28 วันที่ผ่านมา

    Saw baba nimeelewa

  • @davidngogo4011
    @davidngogo4011 2 หลายเดือนก่อน +1

    Lisu amejibu vizuri Sana ukimsikiliza kwa umakinj hajakataa wala hajakubali tuhuma za msigwa. Ofisi ya Katibu ijibu tuhuma kwa vielelezo.

  • @marthamasue4009
    @marthamasue4009 2 หลายเดือนก่อน

    Uuuuwiiii! Ni ngumu japo mimi sio mkereketwa

  • @mangobase
    @mangobase 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tundulisu were baki kupiga Debe uraisi ni kiatu kikubwa kwako.😂

  • @peterjosephat6685
    @peterjosephat6685 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kiukweli lissu mtetezi wawatu anafaa kuwa rais anauwezo mkubwa sana anamsimamo wa kutetea haki naamini akichaguliwa atafanya mabadiliko makubwa sana tanganyika na tanzania kwa ujumla

  • @songeza
    @songeza 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tundu Lissu hawezi Urais hata apate ruzuku tu ndio anaoutaka yeseme kweli chada sio Ile CCM hakuna mpinzani hivi alimuuwa nani? Unashida ndio inayokupeleka mdomo wako sio kauli njema unazotoa hata ukamshawishi mtu akupgie kura sahau lissu

  • @salehjuma9354
    @salehjuma9354 2 หลายเดือนก่อน

    Mh Lissu ww ni mtu sahihi kwa mstakabari wa tarifa letu

  • @Gaynor1234
    @Gaynor1234 11 วันที่ผ่านมา

    Unaposema Lissu ni mzee hawezi gombea, kwani Magufuli alikuwa kijana?

  • @QwakuHangu
    @QwakuHangu 18 วันที่ผ่านมา

    Halafu huyu Mzee anajiona akili kumbe mpumbavu alafu anajiona atakujakuawa rais wa Tanzania nakwambieni hatakuwa rais mpaka kufa

  • @djfaraji
    @djfaraji 2 หลายเดือนก่อน

    Tundulisi mimi nakupenda.ila kwasasa waachie vijana wagombee wewe tulia

  • @babengarutta44
    @babengarutta44 2 หลายเดือนก่อน

    Hee