Kumbe hawa sometimes ni kuwapiga mabanzi tuu ndio akil ziwakae😂😂😂😂... maana asingepata ile kerebu siku ile bado wazimu wake ungeendelea kuwepo.... kata kerebu matata mpaka akili ikarejea mwakeee😅😅😅
Kiukweli watoto wasiokua na adabu wapo wengi, Mungu atuepushe lkn iwapo litatokea kwangu,siokweli mtoto wangu aitawale nyumba yangu mpaka mimi mwenyewe nimuogope,,,ataozea jela na hilo iwapo haitakua jibu tosha hata kuuawa kunamuhusu kabla hajaniua mimi.
SEMA nini Wapopo wanaupiga mwingi ❤❤❤,am happy to See MS King of Nollywood,Ruth Kadiri,Unayetafsiri umefanya Kaz nzur
Uyo mwanaume anaitwa nani
Ee mola bariki kila mmoja anaye soma comment hii ❤❤
Amen
Ameena
Amen
Magumu hapo
Eeh Mungu bariki kila mmoja ❤❤
Huyu ndo anatafsiri vizuri nmependaa😂😂😂😂😂😂
Mwanamke pekee aweza kubadilisha mwanaume
Kumbe hawa sometimes ni kuwapiga mabanzi tuu ndio akil ziwakae😂😂😂😂... maana asingepata ile kerebu siku ile bado wazimu wake ungeendelea kuwepo.... kata kerebu matata mpaka akili ikarejea mwakeee😅😅😅
Kweli maisha ni safari ndefu hongera kwa hadithi yako mungu akubariki
wale wa jumba la mwijaku tujuane kwa like tafathali
😅😅😅😅😅
😂😂😂😂😂
Hahahahahaha
@@reginasedekia-nc2tg1qq
😂😂😂😂😂😂
Hahaha nimekipenda kichapo
EE nzur San
Sana
Jamani hiyo salam😢😢😢 hatakama ndo mama wa kambo, lakini nimependa kelbu hadi heshima
Kaka nampendaga huyu bac tu Mungu akuweke
Hapa mmi nakubali kbsa kijana kafanya kazi nzuri
Hii flam Iko poa❤❤ nimepanda
Aki hii movie imefanya boss akaniambia kesho nisikuje kazi.. Niende niwatch mamovie kwanza.. But ni tamu. Heri nifutwe lakini niwatch hizi movie pana.
Chapa uko vizuri. nimependa
unatafsiri vizuri kweli mwamba
Kiukweli watoto wasiokua na adabu wapo wengi, Mungu atuepushe lkn iwapo litatokea kwangu,siokweli mtoto wangu aitawale nyumba yangu mpaka mimi mwenyewe nimuogope,,,ataozea jela na hilo iwapo haitakua jibu tosha hata kuuawa kunamuhusu kabla hajaniua mimi.
Ahhhhh kudadadeki nimechek san
jumba mwijaku la billion 1 😂😂😂😂
Mtangazaji unaubunifu mkubwa et basata msifungie😂😂😂
Mara jumba la mwijaku😂😂😂🔥🔥🔥🔥
Umeona 😂😂
Safi sana mwana dada, sinema nzuri ❤❤😂😂
Mi nimependa kichapo alichotembezewa bos mtoto😂😂
😂😂😂mpak akili imemkaa sawa
😂Yani mm kanifulahisha
Ni kwa nn upede kuonelewa mwenzio kwa bila hatia
😂😂😂😂
😂😂😂😂
❤❤❤wow nzuri sana kweli
Kabisa bana weee😂😂😂❤
NAOMBA JINA LA MOVIE HII TAFADHALI ❤
Inaitwa "Fond of you" by Ruth kadiri
Salute kwako story nzuri sana
Keee ilo kofiii 😂😂😂 lazma cm itoke atakama sijaiba😂😂
@@AnnahKikot 😂😂😂
Whaooooo ninzuri sana
Jamani naombeni kujua je wadau wa ankojei mupo umu ndani ya muvi hivi? kama mupo likezenu na na hili tujuwane
Matajili kitu kikipotea anaedaiwa kua mwizi ni mfanyakazi 😢😢
Dah filamu nzuri sanaaa nimeipenda 😊
jumba la mwijakuu😂😂😂
Nimeipenda mno jamani story tamu❤❤❤❤
Nimeipenda hy mov inamafundisho
Kweli mpanda ngazi hushika.nileteeni nyengine jamani movie yenu ninzuru sn
Kaka hiiyo kali sana❤❤
Umetafsiri vizuri bro hongera sana jina la muvi
Kichapo kimenifanya nicheke kwa sauti🤣
Wana vyo pigana na ijoy tu😂😂😂
Wewe jamaa nimecheka kisengeeee😂😂😂😂😂 eti jumba la mwijaku
Hongera San bint nimeipenda bure kweli nzur San kazi kuna mda inabidi kupambanie heshim yako
Wow! Very exciting story.
KAZI nzuri braza🤝👏
Wazazi hakumfundisha adabu kijana
Nimechekaaa kama chizi simba kawa swala😂😂
Nilipenda jinsi aligongwa busu hadi maji ya machine ikaruka😂
Nawapendaa sanaaa
ico kicapu nimecheka hadi natoa machozi 😅😂😅😂😅😂😂😂😂😂
😂😂unyama umetembea nimecheka yangu yote😂😂😂
Hayo ndio mambo yangu nakaa na kitu moyoni vikinitibuka utajuta hadi jina la utotoni unasahau na maji utaita mma haha patam hapo
Jumba la mwijaku😂😂😂😂😂😂
Safi Sana pongezi kwa kazimzuri
Movie nzuri❤
Safi sana hii umeichapa haswa
Tupe nyengine kali
Kweli kichapo ninafundisha sana jama katulia
Umetisha kaka
best story imenigusa ❤
Umetisha tumeflai apo kwenye pili pili nitakwenda kujaribu😂😂
Nimecheka 😅😅sana hapo kwa bilimbili😅😅😅 but imekuwa tamu sana😅
Tamu hii❤ 🎉 muendeleo
Nimeipenda xan hyo
Nampenda mourice sam na Ruth kadiri bure❤
Movie Kali sana ❤
nakubali saan kaka
Asiefunzwa na mamae hufunzwa na ulimwengu😂😂😂😂
❤❤❤
Hi ni nzuri sana
Jmn m nimenogewa paka bc Yan nilikuwa naumwa nimehix kupona Kwa furaha hz
Hii ni moto kali kama kisu🥰🥰🥰
Kaka unaweza
Haina part 2 jameni ni nzuri sana
Kwahiyo kile kipigo ndo kilishtua mtindi wa akili😅😅
😂😂😂😂😂 atari sana
Nimependa sana hiyi movie
Nimeipenda mno ,
Wahoo very intressant ❤
Nzuri nimeipenda inafundisha sana
Nikweli watoto ambao awajalelewa na maadili wanashida
Unapigwa busu had unatetemeka sijui huyu dada.alikaa muda mrefu sanaaa
Weeee jamaaa unajua sana mpaka unakera
The first
Maurice Sam, & Ruth kadir, good script
Naomba nyengine nimeipenda SN Yani moto❤❤❤
Nimeipenda sana
Mshikaj ana zarau sana
Kuna wakati inabidi upoganie heshima yako bwana 😂😂😂
😂😂😂😂😂😂nimecheeeeka😂😂😂😂😂
Goma sio poa yani tume ikubali good sana
Waooh kazi poa
Ila maheleni kwenye masikio hawa washkj movie hata iwe ya din hvyo tu
Ila we kaka unaenda kupat zambii unamutesa san dad😂😂😂😂😂
Wow I love it
What a lovely and educative movie
😂😂😂kichapo tu nimecheka
Nime Enjoy balaa 😂😂😂 ❤
Mmmmmmh wewe mkali. Filamu ni mzuri sana
Chapa Lapa 🎉🎉🎉
Basata wasiingilie kabisaaa😂😂😂
Jina movie jamaaaaan
Ipo vizur❤❤❤❤❤
Hizi kazi muachieni nkoooonkaa E7bits nyie wengine mnaboa tu hamjui hata kutafsiri
Kwani umelazimishwa kuangalia na wew kakojoe ulale
Una roho mbaya km mchawi
Hahahaha zee la mipinduko😂😂😂😂😂
Umetumwa umfatilie siungeenda kwawanaojua hebu tuachie sisi tunaoheshimu kazi za watu fyuuu
Acha uongo wew
😂😂😂😂😂 hahaha hahaha hahaha mwijaku wa bongo
Mashaallah very well
Bien j'aime là suite