Mwanasheria Amvaa Mch. Msigwa Aitaka TAKUKURU ichunguze Tuhuma za Rushwa CHADEMA|Hawezi Kuwa Mbunge

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ต.ค. 2024
  • Mwanasheria Baraka Jeremia Kimata ambaye aliyewahi kuwa Diwani wa kata ya Kitwiru manispaa ya Iringa mkoani Iringa kupitia CHADEMA kabla hajajitoa kwenye chama hicho na kujiunga na CCM Mwaka 2017, ameitaka Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa Tanzania (TAKUKURU) ifanyie kazi na uchunguzi tuhuma zilizotolewa na Mch. Peter Msigwa zinazodai kuwa ndani ya CHADEMA kuna Rushwa na ubadhirifu wa fedha unaendelea jambo linalokwamisha baadhi ya mambo hasa uchaguzi kufanyika kinyume cha taratibu.
    Vile vile, Baraka amemshauri Mch. Msigwa afanye uamuzi wa kujiunga na CCM huku akisema kuwa Mch. Msigwa hawezi kupata nafasi ya kugombea ubunge jimbo la Iringa mjini kupitia CHADEMA kwasababu tayari ameishaanza kuwasema wale ambao ndo wangepitisha jina lake kwenye Kamati kuu ya Chama hicho.
    Subscribe (Focus Digito TV) ili usipitwe na Video mpya zinazotoka kila siku.
    Focus Digito TV inakupa Maudhui Mazuri yanayohusu Habari, Elimu, Mitindo ya maisha, Michezo na Burudani.
    Focus Digito TV is here to provide you with contents about News, Education, Lifestyles, Sports and Entertainments.
    #FocusDigitoTV
    ..................
    Tufuatilie Zaidi kupitia:
    INSTAGRAM, TIKTOK, FACEBOOK, TWITTER (X), THREADS NA GOOGLE WEBSITE YETU YA FOCUS DIGITO TV
    Focus Digito TV is one of the best info-edu-tainment Online Media conveying contents for the Public Interest.
    Asante kwa kuchagua kutufuatilia | Thanks for Subscribing
    We Love You | Tunakupenda
    Regards
    Team FocusDigitoTV

ความคิดเห็น • 30

  • @MusaOgwoko
    @MusaOgwoko 2 หลายเดือนก่อน

    Hawa ndio wanasheria wetu Tz

  • @kennycathles
    @kennycathles 3 หลายเดือนก่อน

    Bangaladesh !!!

  • @MugundaKamilo
    @MugundaKamilo 3 หลายเดือนก่อน +1

    CCM mpina Yuko wapi leo

  • @MachotaMachota-w6c
    @MachotaMachota-w6c 2 หลายเดือนก่อน

    Sinawakiri ngojaninyamaze jiongeze baba

  • @arnoldkessy5106
    @arnoldkessy5106 3 หลายเดือนก่อน

    Pumba tuu😊

  • @GeraldRamogi
    @GeraldRamogi 3 หลายเดือนก่อน

    Hakuna chama kinachoongoza kwa rushwa Kama huko ulipoamia ccm!!!! 😮😮

  • @godfreymushi6966
    @godfreymushi6966 3 หลายเดือนก่อน

    Umekula.maharage ya wapi.we mjinga

  • @kelvinsanula-in2km
    @kelvinsanula-in2km 2 หลายเดือนก่อน

    Kamuulize Mpina na Bashe ! Kwani Chadema ni chama cha Msigwa!?

  • @geraldtesha6512
    @geraldtesha6512 2 หลายเดือนก่อน

    Cnc 2017

  • @AllanLyombile
    @AllanLyombile 3 หลายเดือนก่อน

    Na huyu ni mwanasheria?

  • @EphraimMwaisumo
    @EphraimMwaisumo 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe sitakufahamu bye.

  • @arnoldkessy5106
    @arnoldkessy5106 3 หลายเดือนก่อน

    Hujielewi na uanasheria wako, kwani msigwa si kapewa rushwa na CCM? Sikiliza kauli ya Msukuma

  • @AlexMakala-s7k
    @AlexMakala-s7k 3 หลายเดือนก่อน

    Hacha huongo ccm ndo inaongoza Kwa lushwa SI mda mlefu msigwa mkeka utasoma

  • @helencyprian8745
    @helencyprian8745 3 หลายเดือนก่อน

    Hovyo

  • @selemanimlingi9853
    @selemanimlingi9853 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe acha kutapika elimu yako NI ndogo kuizungumzia chadema.

  • @GaradiGaradi-zq1wf
    @GaradiGaradi-zq1wf 3 หลายเดือนก่อน

    Wewe ni rofa kwani kosa liko wapi nenda mahakamani.

  • @joshuac.mashida1378
    @joshuac.mashida1378 2 หลายเดือนก่อน

    Wakuchuliwa hatua ccm maana wanaiba kula adi nchi mzima watu mnafikili niwajinga hawaoni mnakombilia uko mkaungane kuwaibia wananchi haki zao ulikosa haki inatafutwa kwa vyovyote kaka ata kwa matusi na kupigana kabisa niyi jifanyeni mnaenda kuunga juhudi kube mamluki kwa ni hatuwajui adui umpe kasiri ataiba mpaka sinki la toilet weee

  • @joycengoda6567
    @joycengoda6567 2 หลายเดือนก่อน

    Ubwa koko wewe😢😢

  • @FabriceChizere
    @FabriceChizere 2 หลายเดือนก่อน

    Huna akili

  • @bahatisanga8890
    @bahatisanga8890 3 หลายเดือนก่อน

    Sifuri,ziro,Bure kabisa yaani O

  • @MonayLai
    @MonayLai 3 หลายเดือนก่อน

    ni kweli takukuru wachunguze na kumhoji msukuma altaja pesa zilikotoka.

  • @zebedayokatamaduni9676
    @zebedayokatamaduni9676 3 หลายเดือนก่อน

    Kumbe na wewe ni utoporoo😂.

  • @zebedayokatamaduni9676
    @zebedayokatamaduni9676 3 หลายเดือนก่อน

    Unaongea Utoporoo.
    Chadema ina damu.
    Unafiki mtupu.

  • @IssaAlly-lp4uf
    @IssaAlly-lp4uf 2 หลายเดือนก่อน

    Huna lolote

  • @ajuayenyambo9875
    @ajuayenyambo9875 3 หลายเดือนก่อน

    Pumbavu tu wewe

  • @shukraningetta2809
    @shukraningetta2809 2 หลายเดือนก่อน

    Ujinga wako tu huo

  • @FabriceChizere
    @FabriceChizere 2 หลายเดือนก่อน

    Huna akili

  • @FabriceChizere
    @FabriceChizere 2 หลายเดือนก่อน

    Huna akili,