kachara ~ Apigwae ndio Aongezwae

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024
  • tafadhali usisahau kusubscribe channel hii ili uwe wa kwanza kupata video mpya

ความคิดเห็น • 56

  • @khalidkhan8389
    @khalidkhan8389 5 ปีที่แล้ว +5

    Nimeiona chanel yako kachara media tayari #nishasubscribe

    • @kacharamedia
      @kacharamedia  5 ปีที่แล้ว +1

      Shukrani sana 🙏
      Naomba uwe balozi kwa wengine, kazi mpya zipo nyingi kaeni tayari kuzipokea na kuniunga mkono

    • @saidikichapo1262
      @saidikichapo1262 5 ปีที่แล้ว +2

      @@kacharamedia uko vizuri sana kakeee big up kwako

  • @NoufalSalim-yb4ob
    @NoufalSalim-yb4ob 11 หลายเดือนก่อน

    Kachara unatufelisha maana new film hatuzioni ,au hata vile vipande vipande pyaa hatuvipati,

  • @salummbaruok9408
    @salummbaruok9408 5 ปีที่แล้ว +6

    Hv ndo inavyotakiwa, lkn sisi twafanya kinyume chake

  • @nassorkhamis8186
    @nassorkhamis8186 5 ปีที่แล้ว +4

    Kweli kabisa hapa mi ndipo ninapomkubali kachara anaozungumzia masuala ya jamii yetu ambayo tunayaona kama si makosa#hongera kake kachara

  • @aliiddi6668
    @aliiddi6668 5 ปีที่แล้ว +3

    Heee Kachara weeeh! Rafikiye Dargube, wan'vunja mbavu zangu mieee kwa kicheko.

  • @مريمسالم-ب2ج
    @مريمسالم-ب2ج 5 ปีที่แล้ว +2

    Ujumbe upo sawa lakn kwel ss hatufanyi hivo na kama hwepewa chai bas ukiondoka msibani wenda msema pembezoni

  • @salmaalkyumi2270
    @salmaalkyumi2270 5 ปีที่แล้ว +6

    Mafunzo mazur😂

  • @salimalriyami7779
    @salimalriyami7779 5 ปีที่แล้ว +2

    Mzee kachara mbna hatuoni michezo mipyaa 😍🔥🔥😍🔥😍😍😍😍

  • @wambaamwambaje1272
    @wambaamwambaje1272 5 ปีที่แล้ว +7

    Yaan hii ndio sharia itakavo lkn watu tunafanya zigzagaa

    • @OmanOman-ph4ng
      @OmanOman-ph4ng 5 ปีที่แล้ว +1

      Safi mafund mm mwenzio wa wete nipo omani lakini nikuona kama niko wete bopwe asanteni zidisheni juhudi tupo pamoja

    • @najmamuss2806
      @najmamuss2806 5 ปีที่แล้ว +1

      @@OmanOman-ph4ng upoo Oman seem gan my

  • @tamussaonlinetv47
    @tamussaonlinetv47 5 ปีที่แล้ว +3

    First comment napendaa sanaaa

  • @masoudyrashidy9041
    @masoudyrashidy9041 4 ปีที่แล้ว +1

    Ami kachara ni kweli maneno yako uyasemayo leo lazima tuoneane huruma

  • @salimsalum8095
    @salimsalum8095 5 ปีที่แล้ว +2

    jina liko sawa ila Logo aifanyie Kazi zaidi

  • @adilhabib8988
    @adilhabib8988 3 หลายเดือนก่อน

    Hakika pole aikai kidondan

  • @sieamkhan9799
    @sieamkhan9799 5 ปีที่แล้ว +1

    Seponaa Haha safisana kachara ujumbe umefika maana yamezidi haya

  • @zuhuramohd6195
    @zuhuramohd6195 5 ปีที่แล้ว +1

    Nc one , ami kachara , bora ulivowatoroka maana imekua shida , #wapemba wenzangu .

  • @allysleiman2480
    @allysleiman2480 3 ปีที่แล้ว

    Hahahahahaha

  • @hajiharoub8125
    @hajiharoub8125 5 ปีที่แล้ว +2

    Uhakikaaaaa

  • @sadakhamis1261
    @sadakhamis1261 5 ปีที่แล้ว +2

    Kachara uko sahihi

  • @aliarkam1413
    @aliarkam1413 5 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante sana kachara Hilo fundisho kubwa kwetu

  • @zanzibarupdates6648
    @zanzibarupdates6648 5 ปีที่แล้ว +2

    Ugwao ndio unamiwaooo

  • @mbarakrashid9818
    @mbarakrashid9818 5 ปีที่แล้ว +2

    Safi sannaaa!!

  • @heyumi2340
    @heyumi2340 3 ปีที่แล้ว

    kwelikabisa kukiwa na misiba ni shida mty kafiwa wakifika 2kuna nn kuna wagen ipo shilingi gapi tununue maharange na mchele kaaa mmeenda kula au 🤣🤣🤣🤣💃

  • @wambaamwambaje1272
    @wambaamwambaje1272 5 ปีที่แล้ว +2

    Ujumbe umetufikia na tuufanyie kazi

  • @swalehayoub4816
    @swalehayoub4816 5 ปีที่แล้ว +1

    Mafunda nakukumbuka sana, nilikuja Pemba kipindi cha Ramadhani lkn sijabahatika kukuona, mm mdogo wake Yussuf niko Dar!!!

  • @abdul-hamidaly7314
    @abdul-hamidaly7314 5 ปีที่แล้ว +2

    Kweli lakin

  • @yahyasaid5841
    @yahyasaid5841 5 ปีที่แล้ว +1

    Ami kachara ssa iv kazi nsafi sana ami....

  • @fiishurkellya.6605
    @fiishurkellya.6605 5 ปีที่แล้ว +1

    Haha. Ujumbe umefika

  • @lilchidytv3394
    @lilchidytv3394 5 ปีที่แล้ว +1

    Nice sana

  • @ramadhanilugoma8077
    @ramadhanilugoma8077 5 ปีที่แล้ว

    Huo ni ujumbe wa kweli hakuuna hasa ktk dini mtu kupata mcba wa kufiwa halafu watu wakakusanyika cku kadhaa na kutegemea huduma kwa mfiwa, kilichopo ni kumpa faraja na kusaidia ktk kipindi cha mcba amba hakizid cku 3 kisheria ya dini ya uisilamu

  • @abdulwahidmsellem1998
    @abdulwahidmsellem1998 5 ปีที่แล้ว +3

    😂😂😂👏👍kweli Pole haiingi kidondani

  • @hasnuuomar8080
    @hasnuuomar8080 5 ปีที่แล้ว +1

    Nice one

  • @AyishaOman-cw4xs
    @AyishaOman-cw4xs 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂

  • @faduladula7414
    @faduladula7414 5 ปีที่แล้ว

    Hilo kweli wengine huomba pafiliwe wapate kula

  • @faizasaid8262
    @faizasaid8262 5 ปีที่แล้ว +1

    Haha

  • @AbdullaAbdulla-pw5nd
    @AbdullaAbdulla-pw5nd 4 ปีที่แล้ว

    Asante kachara Asante unaweza

  • @salumseif2781
    @salumseif2781 3 ปีที่แล้ว +1

    2:20

  • @ahmadseif7241
    @ahmadseif7241 5 ปีที่แล้ว +1

    Asante kachara, upo sahihi

  • @mwalimuzuber8024
    @mwalimuzuber8024 4 ปีที่แล้ว

    Pole haingii kidondani 🤣🤣

  • @aboubakarynassor7965
    @aboubakarynassor7965 4 ปีที่แล้ว

    Pôle haingiii kidondan

  • @m-barukhamad2734
    @m-barukhamad2734 5 ปีที่แล้ว

    Ujumbe umefika

  • @saydbarakismailiya1515
    @saydbarakismailiya1515 5 ปีที่แล้ว +1

    Safi kachara

  • @sieamkhan9799
    @sieamkhan9799 5 ปีที่แล้ว +2

    Watakao kunywa kahawa sawa hewekunywa shaurizao 😁😁😂

  • @alisef3336
    @alisef3336 5 ปีที่แล้ว

    Kachara ww hodar uyo mmoja kanchukua kichamo

  • @goodboy-bp3gn
    @goodboy-bp3gn 5 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana

  • @salamakhamis7245
    @salamakhamis7245 5 ปีที่แล้ว +2

    nshazingilika kote nakutafuta

  • @eddimalon6051
    @eddimalon6051 4 ปีที่แล้ว

    Wambile Kachara

  • @imansaid8020
    @imansaid8020 5 ปีที่แล้ว +1

    nikweli kachara, yaani mtu kafiwa lakini, alishe watu, siku mbili Au tatu, mtihan wallah

  • @abdulrahimnassir2158
    @abdulrahimnassir2158 5 ปีที่แล้ว

    Ugwao ndo unamiwao:@

  • @abdulrahimnassir2158
    @abdulrahimnassir2158 5 ปีที่แล้ว

    Ugwao ndo unamiwao:@

  • @binsule7413
    @binsule7413 5 ปีที่แล้ว

    Kachara 😂😂😂😂😂😂

  • @makamemufadhil627
    @makamemufadhil627 5 ปีที่แล้ว +1

    Hahahahaaa

  • @makamemufadhil627
    @makamemufadhil627 5 ปีที่แล้ว +1

    Hahahahaaa