Unafikiri nani alaumiwe kati ya wazazi wa mwanamke waliotaja orodha ndefu ya vitu katika mahari na mjomba wa mwanaume ambae aliandaa mazingira ya tamaa kwa wazazi hao? Toa maoni yako
Wazaz wanataja mahari bila ushaur wa mtoto ndio sabb ndoa nyingi hufeli. Talak zimekithiri kwa sababu mke ameolewa bila kuridhika kwa sabb y pesa na masafa ya mbali. Ndio kigezo cha kumpa mume mtoto wa kike. Wazee waelewe wakikosea kumtafutia mwana wao mume au mke mwema mwenye tabia njema na dini basi wamemuangamiza mtoto wao.
Kweli kabisa wababa punguzeni tamaa ili watoto wapate kuolewa....ila mkizidisha tamaa watoto watazalia majumbani watoto wasio julikana baba nadhani mmeelewa na mme patata funzu kupitia hii kidokezo cha movie
MAA SHAA ALLAH ujumbe mzuri sana na kazi imefana.
MashaaAllah ujumbe mzuri
Maashaallah ujumbe mzuri mno kilichobaki ni kwa wazee tu kuutekeleza.
Jaman kidundo ni handsome
Wazaz wanataja mahari bila ushaur wa mtoto ndio sabb ndoa nyingi hufeli. Talak zimekithiri kwa sababu mke ameolewa bila kuridhika kwa sabb y pesa na masafa ya mbali. Ndio kigezo cha kumpa mume mtoto wa kike. Wazee waelewe wakikosea kumtafutia mwana wao mume au mke mwema mwenye tabia njema na dini basi wamemuangamiza mtoto wao.
Hayo mahari cio makubwa .Mimi niko tayari kutozwa mahari hayo .jee wapo wachumbe wengine.
Big up NEW STAR
HHahHahahhaaaa et uctake nichooa roho
😂😂👍Sna Ujumbe Mzur Aisee!
Naaam tukapakane koya.
😍😍
Hahahaa. Ndwele na mapema
Qatar Huawei
Kidundo hongera Sana
😂😂😂😂 kidundo unavitukoooo
Kidundo 🔥🔥 unajua
Ujumbe nimeipenda sna
Kdundo big sana salma ponono kunaukata n likumis sana kdungo 💓
ndio tabia yakujisifu mukenda kuposa. mumejizamisha wenyewe .na ndio mengi siku hizi mtu atajisifia hapo kumbe hana jambo.
❤️❤️❤️❤️😍 from zwn
Kwl kbc mahari yapungue tupte kuoa
Iko sawa
Mahar namba 3
Nakukubali kidundo
Asnten .
Ujumbe nzr
Daaah mahAr
Hahahahaaa pigeni kazi nmecheka sana
Qatar + huawei,
Hongereni New Star record-Pemba
Vip
Hahahahahahahaha
safi sanaaa
😍😍😍
hahahaha jamani mutaniuwa kuwa vituko venu
Yunaduka 3
Kidundo nakukubali wewe ni jahazi la elimu kioo cha jamii
Hhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
Kweli kabisa wababa punguzeni tamaa ili watoto wapate kuolewa....ila mkizidisha tamaa watoto watazalia majumbani watoto wasio julikana baba nadhani mmeelewa na mme patata funzu kupitia hii kidokezo cha movie
Kidundo wanichekesha mungu azidi kukuwaongoza
Kweli kabisa..
😃😃 kweli kabisa
Ujumbe mzuri hata mimi niliwahi kushuhudia hiii
Kidundo
Tamaa munaifanyannoo
ujumbe uwo
naam wazee tamaa waache
#wazee tamaa hawaaa🤣🤣🤣...
Bamkwe tawiree
😂😂😂👏🏼👏🏼👏🏼❤️❤️
Kidundo nakumis mpk ntaka lia mbn kimya kirefu ww tupe mambo tuburdishe rohooo🤸♀️🤸♀️🤸♀️
Kimefu kimewaponza
😀😀😀
Wazee wasiwafanye watoto mitaji
, 😂😅😂🤣😅🤣😂😅 eti haya kuntaka ntoto yule isiwe sababu ya kutaka kuniwa eti nimecheka bure
Ndio kwanza mwaka moja
Usitake nikenzua guuu😁😁😁
😄😄😄😄
Wataka jitia ndwele na mapema
Kwali hiyi wazawi wetu munafeli
Mjomba ww ndie mama
kuona watuona ila hawatusikii .😃😃
Big up
Safi sana
Jitahidini kutoa vedio kama hizi
Wataka jitia ndwele namapema
Haahahaaaha kidundo
Usitake nikwezuwa guu
Hhhhh
Fadha upo sahihi sn
Hii accent ina ladha ya kipekee kabisa
Heko sana New Star Record
🤣🤣🤣🤣🤣
tunahitaji muendelezo
😂😂😂😂😂😂
Ami Ali kombo khaaa upo wingwi sikuhizi
Walosikia Pana kimefu twende soote
Kimefu kipoo 🤣🤣🤣🤣🤣 hyo lugha wachache ndo tunaifahamuu
Kabisa
Ndio
Tukapakane koya🤣🤣 asate kidundo
hahaha pana kimefu
Yuwaishi Qatar😂😂😂😂yuwafnya kazi Huawei😆😆😆😆😆😆
Asanten ujumbe umefkaaaaa
Pana kimefu
Mkataa ya Mussa
Mamb
Mafunzo mazuri
Mamb
Kidundo nikija marahii lazima nikuone ishallah