SHEIKH ALIYESOMA SUDANI ABATIZWA NA KURUDI KWA WAISLAMU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น •

  • @omargargaar5611
    @omargargaar5611 วันที่ผ่านมา +1

    Allah akuhifadhi sheikh wg Mwaipopo

  • @musarashid7873
    @musarashid7873 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ustadh mwaipopo endelea na kazi ya allah

  • @YumaIbrahim
    @YumaIbrahim ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Masha Allah shukran ya sheikh

  • @ShedrackKisumbe
    @ShedrackKisumbe 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Safi karibu ukristo hongera sn

  • @jabiromary3276
    @jabiromary3276 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    hiyo back ground ni nzuri sana sheikh Mwaipopo enedelea kuituia hyio

  • @AwamuAmry-jq9fq
    @AwamuAmry-jq9fq วันที่ผ่านมา +1

    Mungu akujalue Mwaipopo

  • @mohamedS-yd9wh
    @mohamedS-yd9wh 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sheikh Mwaipopo, wewe shika hapohapo uliposhika, na ndiyo njia iliyonyooka. Muombe Allah azidi kukuhifadhi akuongezee elimu, hekma na busara. Wanakupinga wanaokukejeri ipo siku watauona ukweli na wasipoufuata hakipungui kitu katika Uislam.

  • @georgeobiero2444
    @georgeobiero2444 วันที่ผ่านมา +2

    Shehe kidogo it's always good to set your records straight and clearly in the right order of events. You have a problem with Timothy and now you are bringing in Paul.This makes one to think that you have ulterior motives. The clips about Hassan that you have posted happened happened at different times.Paul a former muslim converted into Christianity after some time he reverted to Islam and later became a Christian. Paul in other clips which are available on youtube explained clearly the circumstances that led him to revert to Islam and back to Christianity.So posting clips ambazo zimepitwa na wakati siyo uadilifu hata kidogo.

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tivvii imaanni walionnywa ❤

  • @innocentndikumana8928
    @innocentndikumana8928 วันที่ผ่านมา +1

    Uwislam nuru ❤❤❤❤❤

  • @AmanElieza-ly8qo
    @AmanElieza-ly8qo วันที่ผ่านมา +1

    Imekuuma sana hujashirikishwaa ungemletaa ww usiwashirikishee af ww tofouti na kupiga mdomo ili uuze mafuta kipi unafanya kwa ajil ya uislam onyesha mfano ili waislam wakuigee c unasema wenzako wakat ww piaa ni kama wao hela zako kwa ajili yako af unataka waislam watoe kwa ajil ya dini

  • @hassanshadhly3481
    @hassanshadhly3481 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu Jamaa NI kweli alikuwa muislamu akawa mkeisto akawa muislamu sasa karudi tena kwenye ukristo.kasema Mwenyewe NI pesa ndio kivutio sio Imani

  • @thekingdragon8358
    @thekingdragon8358 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    huyu paul ni mnafiki aliritadi akarudi uislamu akaritadi tena sahii ni miristo alidai hakupewa alicho aidiwa ila na fikiri walirudi wakamlipa fresh akarudia ukirsto Mungu ndio muongozi atuongoze sote tuijue haki na atuondolee unafki Amin

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mwaipopo kijana mpaka sasa yuko ndani ya YESU KRISTO hata Sasa

  • @azlaantwalib347
    @azlaantwalib347 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Allah amuangamize huyu mnafiq(msomaji wa ndacha) kama atakuwa hatotubu kwa Allah kikweli

  • @chazgunda5823
    @chazgunda5823 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    KAZI YA MORISON NI KUWASEMA WENZIE LINI UTAANZA KUFUNDISHA UISLAM WATU WAELIMIKE
    mwaka 20 huu tunaesabu hata kiarabu ujui KAZI kuradi wenzio tu

  • @dannyosolo2752
    @dannyosolo2752 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mwaipopo u have posted clips za Paulo Hassan za kitambo sana😂😂😂...Zimepitwa na wakati

  • @willymwaipaja6783
    @willymwaipaja6783 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ukimkataa Yesu Nuru ya ulimwengu utazingirwa na giza, na ukizingirwa utajiona uko vizuri maana ni hukumu itikayo kwa Mungu baada ya kumkataa alie kufa kwa ajili yako. Unachofanya na kunena ni ishara ya kuwa kwenye gereza la kiroho.

    • @thekingdragon8358
      @thekingdragon8358 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Huyo yesu munaemtaja je munamfata kweli ama kujifanya maana katika bibilia yesu aliswali alitawadha n akafundisha wanafunzi wake yesu katika biblia kazikwa na sanda nyie mnazikwa na sanduku na suti sasa mi huwa najiuliza maswali sipati jibu ukirsto uko ajez

  • @justinhabonimana3890
    @justinhabonimana3890 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mualikeni na Ndacha

  • @Tupena-ov7xq
    @Tupena-ov7xq วันที่ผ่านมา +1

    Mbona hujasema huyo kijana karudi tena kwenye ukristo. Unaficha kutoa habari za kweli, huyu kijana ataingia live akuumbue uongo wako

  • @hassangalgallo8496
    @hassangalgallo8496 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ata Mimi nilikuwa mwiislamu lakini sasa ni mkristo tangu 2019

    • @thekingdragon8358
      @thekingdragon8358 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      sahii wakata viuno nakujichokesha bureee pasipo malipo munjaifurahisha nafsi zenu ila mungu aridhiki na mnayoyafanya ukisto uko kando na hata huyo yesu mnaemtaja mnamsingizia mambo mengi afu mnamuacha mungu

    • @RastaSuma
      @RastaSuma 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Anayeujua hasa uislam hawezi kurudi kwenye ukafiri,

    • @ShuaibuMsofe
      @ShuaibuMsofe 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Utajuta siku moja huku muda ukiwa umeisha nakusikitikia ndugu

  • @AmanElieza-ly8qo
    @AmanElieza-ly8qo วันที่ผ่านมา +1

    Hapo umekoseaa nkupe klip yake akiwa kanisani mwaka Jana hyo ni ya miaka 4 nyuma

  • @MOHAMMEDMOSHE-sy3qi
    @MOHAMMEDMOSHE-sy3qi วันที่ผ่านมา +2

    NI KWELI MWAIPOPO TUAMBIANE UKWELI JAPO INAUMA, ILI TUWEZE KUZINDUKA NA KUBADILIKA (UKWELI NI UCHUNGU, LAKINI NI BORA KWA WENYE MAZINGATIO)

    • @GillyElias
      @GillyElias 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kama mwaipopo kaiacha dini ya ukristo mbona tena kawa kama popo utaachaje kitu alafu unaikumbukakumbuka?

  • @YumaIbrahim
    @YumaIbrahim 45 นาทีที่ผ่านมา

    Sheikh usiache endelea

  • @WakalaWabukala-f1l
    @WakalaWabukala-f1l วันที่ผ่านมา +2

    Mwaipopo unatafuta pesa ndomaana unaweka namba tukuchangie

    • @AmanElieza-ly8qo
      @AmanElieza-ly8qo วันที่ผ่านมา

      Ni kwel kaka njaa mbaya sanaa

    • @mkilwaabdul9230
      @mkilwaabdul9230 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      nyie hamjui mulitendalo ila iko siku mutajua ipi mbivu ipi mbichi.

    • @prochesernest5439
      @prochesernest5439 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@WakalaWabukala-f1l wake wengi wanampelekea kuwa muongo amejiingiza kwenye dini ya majini anajuta atatokaje

    • @musarashid7873
      @musarashid7873 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Sasa kuchangia nayo ni njaa ? Acheni kuwa na mawazo mgando si bora uchangie ktk dini pesa kdg kuliko kwenda kumpa mchepuko upate starehe ya muda mfupi ,toa support ktk mambo ya dini tena hajaweka kiwango

  • @charlesmapunda-g5l
    @charlesmapunda-g5l 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mwaipopo kaweka hii mada ili tu apate views apate pesa sio kama hamjui huyu mtu

  • @hassanmpemba5747
    @hassanmpemba5747 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Asalam alaikum sheikh mwaipopo baadhi ya wacongomani wengi ni wachezea dini sheikh mwaipopo hawajielewi

  • @prochesernest5439
    @prochesernest5439 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mwaipopo Giza limekuzi ngila Rudi kwenye Nuru ya Yesu kristo allah sio mwokozi ndiomaana unaabgaika na uongo unakusumbua

    • @ShuaibuMsofe
      @ShuaibuMsofe 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Giza liko kwako ndugu punde utajuta

  • @Izikiel55
    @Izikiel55 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂huyu shehk wenu anaamin anachoongea kuwa ni kweliiii au anadanganya jwaajiri allah😂😂😂😂😂😂😂

  • @innocentndikumana8928
    @innocentndikumana8928 วันที่ผ่านมา +1

    uyo msomaji wa ndacha anajuwa wislam nidini yahaki iko uko kwenye giza kumutumiya kucafuwa wislam iraajipatiye pesa maskini 😂😂😂😂

    • @AmanElieza-ly8qo
      @AmanElieza-ly8qo วันที่ผ่านมา

      Sasa mwaipopo anaufanyiaa nn uislam Zaid ya kupiga mdomo ili aunze mafutaaa

  • @SamoraTabaga
    @SamoraTabaga 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Sasa Kat ya crip ya kwanza na yapili ipi ya zamani, ndomana nakuonaga mchawi tu mwaipopo mwoongo kweli Kama baba yako shetani, we nimjinga tu mwaipopo kwenye mwisilam aache maovu wakati wewe mwenyewe unamshilikisha MUNGU kwa uganga.

  • @mzeerajab9154
    @mzeerajab9154 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Mbona kuna clip nyingine unasema waislamu si wajinga na hapa unawataja ni wajinga,si unajigonga?Vipi?

    • @YassirMapoch
      @YassirMapoch 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mjinga ni mtu asiyejua kusoma au uwelewa wa jambo mfano dini, hivyo sio waislam wote ni wanauwelewa wa dini tukufu ya uislam hivyo hao huitwa wajinga wa dini yao cause hawaitambui.

    • @mzeerajab9154
      @mzeerajab9154 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @YassirMapoch hio ndio shidaya kufanya mjumlisho yaani generalization.Hakusema baadhi ya....Mwenyewe akiisoma comment yangu landa atajua tatizo lake.

    • @feizalmas
      @feizalmas 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Huyo mtu aloenda kwenye ukiristo sababu ni njaa na yeye aliweka wazi Kwa nini mnapingana na ukweli.

  • @JoshuaRafael-r2h
    @JoshuaRafael-r2h 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mwaipopo ww utakuja kurudi kwa YESU nadhani uliingia kwenye ujinga huo ukiwa hujui

  • @USACAUDIOVISUALMATERIALS
    @USACAUDIOVISUALMATERIALS 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    HUYU PAULO HAJARUDI KWENYE UISLAMU. BADO ANAKULA PESA YA WAKRISTO HADI LEO.

  • @NahseebulChibudee
    @NahseebulChibudee 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Alisoma nin huko sudan

  • @fredyunga2138
    @fredyunga2138 วันที่ผ่านมา +2

    Ismail hajawahi kurudi ktk uislamu. Acha uongo kichwa box wewe.

    • @feizalmas
      @feizalmas 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Inaonyesha wazi hujui unachokisema. Muulize ndacha atakwambia

    • @fredyunga2138
      @fredyunga2138 32 นาทีที่ผ่านมา

      @feizalmas mnachanganya ismail na Paulo

  • @Rashid-vm1fk
    @Rashid-vm1fk 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Acha kutafuta views kwa uongo, soma kwanza Ujue dini wewe unalingania dini usiyo ijua pole sana Mwaipopo YESU KRISTO anakupenda Rudi bado nafasi ipo

  • @SaidMgeni
    @SaidMgeni 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu Ni murtad mpaka Sasa alislim Kisha akarudi Kwa ukiristo

  • @YohanaMsekefu
    @YohanaMsekefu วันที่ผ่านมา +2

    Wemzee hunaakili kabisa kilipu hiyo niya miaka kalibu miwili vipi wewe

    • @fatmafatu1128
      @fatmafatu1128 วันที่ผ่านมา +1

      Kama hana akili mbona umfatilie kwenye channel yake inamanisha wewe mwenyewe huna akili kwanini usiefatilie kwa kina mwamposa matapeli

    • @AmanElieza-ly8qo
      @AmanElieza-ly8qo วันที่ผ่านมา

      Hajuiii kitu huwaga anachukuaga vipande nyuma mbele

    • @AmanElieza-ly8qo
      @AmanElieza-ly8qo วันที่ผ่านมา

      ​@@fatmafatu1128tuliza asira

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      UYO kijana anaitwa PAUL HASSAN iyo clip akirudi ktk uislam ilirushwa MIAKA 5 nyuma na channel ya akasha daawah ya kenya haikujaa sana akarudi ktk ukristo na iyo video akielezea mashaka yake ya Quran imerushwa miezi 3 nyuma walipokuja KWENYE debate kati ya ndacha na SHAFII SASA mwaipopo anapiga vise versa ​@@fatmafatu1128

    • @Anonymous-w9v-i1p
      @Anonymous-w9v-i1p 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@fatmafatu1128 Tunamfatilia ili tukosoe upuuzi wake. Wewe ungejuaje kuwa sheikh wako ni juha bila sisi kukwambia?😂

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 วันที่ผ่านมา +1

    Sasa Maamuma Mwaipopo unaweka vipolo unaishiwa vya kusema hiyo clip ya huyo kijana ni ya miaka minne iliyopita

    • @ZayyanaBamuni
      @ZayyanaBamuni วันที่ผ่านมา +1

      Ata iwe miaka 10 aweke tu aoneshe watu vitimbi vyenu wakristo

    • @AmanElieza-ly8qo
      @AmanElieza-ly8qo วันที่ผ่านมา

      Mwaipopo janja janjaa Sanaa za kuuza mafutaa huoni ameumiaa sana kuletwa doctor zakri na hajaambiwaa

    • @AmanElieza-ly8qo
      @AmanElieza-ly8qo วันที่ผ่านมา

      ​@@ZayyanaBamuni huyo mwaipopo ni msanii tuu Kwan kipi yeye anaufanyiaa uislamu zaid ya mdomo atoee yeye Mal Zake kwa ajili ya dini ndo aseme waislam wengine

    • @ZayyanaBamuni
      @ZayyanaBamuni 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@AmanElieza-ly8qo Hio kazi ya kuhubiri wewe unaiona ndogo,yeye anacho cha kujitetea mbele ya Mlmungu katika kuutangaza uislamu

    • @Desireyakubu
      @Desireyakubu 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mimi hata arudi katika uislamu siwezi muamini tena

  • @MathayoCharles-z2u
    @MathayoCharles-z2u 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Uyo Paulo hasan tangu abatizwe ajawai kurud kurud tena katika uislam ameokoka ataki tena majin yenu

  • @iddiamiri-e4m
    @iddiamiri-e4m 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wajua sheikh hawa watu akisha kula yule mkubwa wa meza hata akili zina vurugika na huyu hata ukimuangalia tu uso wake utapata picha fulani

  • @pascalvirgilio7208
    @pascalvirgilio7208 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kanisa gani ilikuwa una hudumu? Mbn usemi

  • @SamoraTabaga
    @SamoraTabaga 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ujinga nakula viingilio tu vyawatu, mwaipopo bibilia tu ndio kitabu Cha MUNGU alie hai, koroani niushetani ndo maana majini hungana na wewe kuabudu Allah wako huyo, shetani amuabudu tena MUNGU, hakuna Kristo anaechukia mwisilam Ila tumewaachia kuchinja inasema tunachuki sisi tunawaombea tu ilimmuludie YESU kristo.

    • @jamalAlly-p2y
      @jamalAlly-p2y 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mungu haijui biblia acha uongo mungu kitabu chake ni injiil na tawraat na zabuur hivi ndivyo vitabu vyake hio biblia kamtafute alieiunda kwanza kisha umuangalie je alitumwa na mungu? Na aliamua kufanya hivyo ili iweje ikiwa vitabu vilikwisha timia? Haya ndo unayotakiwa kuzingatia nasio kutukana kama mlevi vile

  • @SamoraTabaga
    @SamoraTabaga 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    We nimjinga tu mwaipopo kwenye mwisilam aache maovu wakati wewe mwenyewe unamshilikisha MUNGU kwa uganga.

  • @Desireyakubu
    @Desireyakubu 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sasa Sheikh Mwaipopo hata ungeitwa ungeingea na Sheikh Naik luga gani?

    • @Anonymous-w9v-i1p
      @Anonymous-w9v-i1p 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Agriculture yenyewe tu kutamka hawezi anasema "Agaliculture"😂. Elimu ya dunia zero na ya dini zero...sjui angeongea nn jamaa bogus.

  • @SaimonKivamba
    @SaimonKivamba 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ww Mwaipopo unamatatizo sana,yaani ni mropokaji sana,kuwa na utulivu sana kwenye kitu kinachoitwa dini,ustafute kiki Kwa Waislamu mambumbu ,ambao Kila kitu kwao ndio!huyu jamaa alirithad kweli ,akaja akasilimu tena,akaja akalirithad tena ,Kwa hiyo huyu jamaa Kwa Sasa ni Mkristo Msabato kwelikweli,kuwa mtulivu Mwaipopo,ustafute kiki Kwa Waislamu ili update sadaka

    • @feizalmas
      @feizalmas 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Msumari umekuingia ndomana unapiga kelele. huyo mtuu njaa yake ipo kichwani.

    • @feizalmas
      @feizalmas 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wakiristo hamjitambui ndomana mnaibiwa.

  • @ExcitedChefHat-ef5jt
    @ExcitedChefHat-ef5jt วันที่ผ่านมา +1

    Wakristo hawana Dini ni
    Njaa ndio inawasumbua lazma wapindishe ndimi zao wapate kula na kulala😂😂😂.
    Yeremia 8:8 “Mwasemaje, Sisi tuna akili, na torati ya Bwana tunayo pamoja nasi? Lakini, tazama, kalamu yenye uongo ya waandishi imeifanya kuwa uongo.
    Wapi neno Bibilia au Bible?

  • @SaidMgeni
    @SaidMgeni 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu Ni murtad mpaka Sasa alislim Kisha akarudi Kwa ukiristo

  • @SaidMgeni
    @SaidMgeni 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu Ni murtad mpaka Sasa alislim Kisha akarudi Kwa ukiristo