ZUMARIDI ASIMULIA MAISHA YA GEREZANI "DUNIA IMENIFAHAMU, MWENYE KANSA KAPONA, SINA VITA NA SERIKALI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ต.ค. 2024
  • Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani
    BONYEZA LINK 👉👉 chat.whatsapp....
    Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
    Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
    Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5

ความคิดเห็น • 55

  • @donathamwangobe2776
    @donathamwangobe2776 ปีที่แล้ว +1

    Mungu gani tena zumaridi unamshukuru

  • @josephusimbanilo9500
    @josephusimbanilo9500 ปีที่แล้ว +5

    Hivi Eatv kwann msitoe hiyo nembo hapo katkati😕🙌

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 ปีที่แล้ว +1

    mungu anamshukuru Mungu nyie hii dunia haiishi vituko na sura yake mpya mikono ya zamani

    • @mzalendowaasili1727
      @mzalendowaasili1727 ปีที่แล้ว

      Hahahahah ndo hapo sasa, ndo tujue huyu mtu anaigiza au anamatatizo ya akili

  • @fnfaithnyaundi111
    @fnfaithnyaundi111 ปีที่แล้ว +1

    Its only God in heaven who understands her doctrine of being a woman leader and calling her self king,Let God continue to fight for U Mama Zumeridi I personally I love you ,your a blessing to you congregation mungu akuzidishie,Even the way you talk I see nothing wrong your a very appreciative woman of God

  • @milley7185
    @milley7185 ปีที่แล้ว +1

    Hamna neno ana miungu tuuu na yesu hayukooooo yuko Sawa kujiita munguu

  • @nurdinmfamau3493
    @nurdinmfamau3493 ปีที่แล้ว +3

    Leo Mungu Anaomba Dhamana Dunia Inawajinga Wengi Mnooooo.

  • @joharimapunda7678
    @joharimapunda7678 ปีที่แล้ว

    Amesema anamshukuru Mungu

  • @jtheophil5499
    @jtheophil5499 ปีที่แล้ว +1

    Nimemuonea huruma maskini abadirishe style aliyokuwa anaitumia lkn aendelee kueneza injili.Haya mimi langu jicho.

  • @DonMooSTUDIO_Express
    @DonMooSTUDIO_Express ปีที่แล้ว +1

    Inatakiwa ukaungane na GODEVE utaeleweka vizuri.
    Mama KANUMBA alikuongelea Zumalidi katafute video utaelewa wewe upo kiimani au wapi!?

  • @khadijauledi3293
    @khadijauledi3293 ปีที่แล้ว +1

    ALAFU HUYU SIALIKUA ANAJIITA MUNGU, SASA MBONA LEO ANAMSHUKURU MUNGU

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 ปีที่แล้ว

    Jamani mikono ya huyu mungu na uso wake mbona ni rangi mbili tofauti?

  • @matumokimatumoki6424
    @matumokimatumoki6424 ปีที่แล้ว +2

    Sasa hvi utamskia chadema wanamtaka ndio kazi yao...🤣🤣

  • @davidsemvua5336
    @davidsemvua5336 ปีที่แล้ว +6

    Ww dada ni tapeli sana acha kuchezea mungu shetani mkubwa

    • @adkajisi4536
      @adkajisi4536 ปีที่แล้ว

      Wanayumba

    • @happycarloss6726
      @happycarloss6726 ปีที่แล้ว

      Jifunze kuwa Serikali iko kazini haijalishi Imani gani unahubiri lakini kama unapotosha jamii kaa chukua hilo kama funzo.

    • @happycarloss6726
      @happycarloss6726 ปีที่แล้ว

      Eh sema Mtumishi wa Mungu sio Mungu

    • @neronapoleon6054
      @neronapoleon6054 ปีที่แล้ว

      Una wivu

    • @jeniphachristian8351
      @jeniphachristian8351 ปีที่แล้ว

      We kinakuuma nini?

  • @ashakufakunoga4904
    @ashakufakunoga4904 ปีที่แล้ว +1

    Endelea tu kuongea ongea na media ushauri yako ... kwa ushauri tu ungeachana nahizi media

  • @geraldmwangira.4978
    @geraldmwangira.4978 ปีที่แล้ว

    Ila ulipinga msosi vizur coz hujakonda.

  • @lindambilinyi6253
    @lindambilinyi6253 ปีที่แล้ว +1

    Ulishakuwa mweusi naona usharud kwenye cream kwa kas🤣🤣🤣🤣

  • @lovesallu5292
    @lovesallu5292 ปีที่แล้ว

    Sijajua ameaoka Saivi? Amejua ye si ye Mungu 🤣😂leo anamtaja Yesu sio kwa nguvu zake🤣😂😂😁

  • @westchugagang5323
    @westchugagang5323 ปีที่แล้ว +1

    Naomba namba za zumarid inaonyesha ana upwiru umemkaba koo miezi yote hiyo

  • @deustuntufye8621
    @deustuntufye8621 ปีที่แล้ว +2

    Toen nembo hiyo katkat weka hata pemben

  • @ayubumsigwa542
    @ayubumsigwa542 ปีที่แล้ว

    Mtumishi gani mwrnye kucha ndefu hv?

  • @mercypeter162
    @mercypeter162 ปีที่แล้ว +1

    Sasa hivi ni mtumishi wa MUNGU zumalidi Na sio MUNGU Ahahahaaa

  • @matumokimatumoki6424
    @matumokimatumoki6424 ปีที่แล้ว +1

    Kwann waumini wako wapo kama Mazombi ww acha utapeli...

  • @enikosanga6974
    @enikosanga6974 ปีที่แล้ว

    Eeeh endelea na hio rangi yako wakunyooshe Tena na ubadilike

  • @nyerere1259
    @nyerere1259 ปีที่แล้ว

    Bado ww ni mungu?

    • @lovesallu5292
      @lovesallu5292 ปีที่แล้ว

      Aweeee huoni Saivi anamtaja Yesu 🤣😂😊amejiona

  • @fikiriseleman3460
    @fikiriseleman3460 ปีที่แล้ว +4

    Ameongea vizuri, inawezekana hatumuelew vile namna anavyowasilisha hoja zake

    • @prosperjuma905
      @prosperjuma905 ปีที่แล้ว

      Huyo kanyooka baada ya kutoka jela. Hakuwa hivyo huyo.

    • @gloryduuma5473
      @gloryduuma5473 ปีที่แล้ว

      Eeh makubwa umemuelewa?!

    • @ashurajengela3926
      @ashurajengela3926 ปีที่แล้ว

      Duh ameanza kupata mazombi mapya mapema 😂😂

    • @maggynaftaly6774
      @maggynaftaly6774 ปีที่แล้ว

      Mungu mwenyewe ndie ajuae. Hakika sisi hatujui kuwa ni Mtumishi wa Mungu ama laah

  • @tinamahega9848
    @tinamahega9848 ปีที่แล้ว

    Mmmhh hii lafudhi jamani hata kama ni msukuma

  • @mbegumwikwabe1583
    @mbegumwikwabe1583 ปีที่แล้ว

    Mungu gani anawekwa gerezani yaani wewe ipo siku utajuta

    • @jeniphachristian8351
      @jeniphachristian8351 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂 unaongea nini sasa!? Walioko gerezan sio wa Mungu?

    • @dianajames2451
      @dianajames2451 ปีที่แล้ว

      @@jeniphachristian8351 huyu yy si anajiita Mungu chini ya just🤣🤣 tutamchapa viboko

    • @AhmedAli-gh1lm
      @AhmedAli-gh1lm ปีที่แล้ว

      Yesu si alikuwa Mungu, mbona alisulubiwa msalabani. Mungu kwa imani ya Kikristo, anaweza kuwekwa gerezani, kuteswa na hata kuuwawa. Rejea Biblia kuhusu maisha ya Mungu Yesu.

  • @ayubumsigwa542
    @ayubumsigwa542 ปีที่แล้ว

    Mbona anakuja ndefu

  • @khadijauledi3293
    @khadijauledi3293 ปีที่แล้ว

    KAMA GEREZA LA WANAWAKE NI DOGO NA KUKAA NI KWAKUBEBANA NA KUBANANA , VIPI WAKATI MWANAMKE YUPO KATIKA HEDHI YAKE ANAKUA NA HALI GANI JAMAN

    • @Mhuri-oq8iq
      @Mhuri-oq8iq ปีที่แล้ว

      Mnabebana utachagua tu nani akae juu au chini

  • @davidsemvua5336
    @davidsemvua5336 ปีที่แล้ว

    Ww mwizi taka huna lolote