Mapishi ya Nyanya Chungu za Nazi | African eggplant in coconut milk recipe

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @husnaarajab1505
    @husnaarajab1505 ปีที่แล้ว

    Mashaallah ni nzri mnoooooooo nazpenda sna mungu abariki kazi za mikono yako aunt asnte sna Kwa ujuzi wako mzri shukran

  • @habibaabdallah5403
    @habibaabdallah5403 5 ปีที่แล้ว

    Shukria kwakutufunza mapishi mungu akubarik

  • @wardanna8289
    @wardanna8289 5 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah hasbiyallah nyanya hizo na samaki umuweke humo humo wa kukaanga heee

    • @ShunasKitchen
      @ShunasKitchen  5 ปีที่แล้ว

      Zinazidi kunoga. Shukran dear

  • @salamasalama3955
    @salamasalama3955 5 ปีที่แล้ว +6

    Mashaallah hii kitu naugal 😋

  • @Beauty-zc9nq
    @Beauty-zc9nq 4 ปีที่แล้ว

    Naomba upishi wa VILILI . asante

  • @fatmasaid5864
    @fatmasaid5864 5 ปีที่แล้ว +1

    Nazipenda sana kwa wali mweupe wow

  • @diascookout8270
    @diascookout8270 5 ปีที่แล้ว

    Jamaniii Eeeeh Napenda Saana iyoo Mapishi

  • @hazelbrown4712
    @hazelbrown4712 5 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah me nataka tu huo mtuzi rigi rigi rojo rojo ungeongeza Na Papa M'bichi ama Samaki😋😋😋😋 Mombasa tunaita TUNGUJA... ila mimi sizipendi jamaniiiiiiii🙄🙄

    • @jaytee2021
      @jaytee2021 5 หลายเดือนก่อน

      Tunguja Tamu wewe acha uoga..

  • @zennaabdullatwif7718
    @zennaabdullatwif7718 5 ปีที่แล้ว +1

    Maa shaa Allah yummy

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 5 ปีที่แล้ว

    Yuuummmy ..shukrani.

  • @rahmaayoub8131
    @rahmaayoub8131 5 ปีที่แล้ว +1

    Wow ,naipika Leo hii

  • @Nemogates
    @Nemogates 4 ปีที่แล้ว

    Nimependa sana😋.....lazima nijaribu ila nadhani nitachanganya na bamia kwani mi si mpenzi sana wa nyanya chungu. Asante

  • @mwanambokahauliers1295
    @mwanambokahauliers1295 5 ปีที่แล้ว +1

    Na wali wa nazi mambo ni 🔥🔥🔥🔥

  • @safiaothman1098
    @safiaothman1098 3 ปีที่แล้ว

    Maa Shaa Allah

  • @storyofmylife1550
    @storyofmylife1550 5 ปีที่แล้ว +2

    Yummy.......

  • @MapishiNaZuu
    @MapishiNaZuu 5 ปีที่แล้ว

    Safi sana hapa njaa tu sasa

  • @safiyasaid1291
    @safiyasaid1291 5 ปีที่แล้ว

    MashaAllah...nitajarib hii inshaAllah mna mm napika kawaida tu

  • @tumaomar8999
    @tumaomar8999 2 ปีที่แล้ว

    SHUKRAN

  • @kairuannewambui8456
    @kairuannewambui8456 5 ปีที่แล้ว

    Thanks i gonna try and share..❤

  • @nadiasuleiman2272
    @nadiasuleiman2272 ปีที่แล้ว

    Yummy 🤲🥰

  • @mwanaishambili241
    @mwanaishambili241 5 ปีที่แล้ว

    Walyekum mssalam mashaallah shukran da 😘

  • @kulsoomkulsoom8897
    @kulsoomkulsoom8897 5 ปีที่แล้ว +1

    Ma shaa Allah

  • @muniragambere2680
    @muniragambere2680 5 ปีที่แล้ว +1

    Wow

  • @joycembago5934
    @joycembago5934 5 ปีที่แล้ว +5

    Habari! Nimependa pichi lako🙏 ni nzuri la kwangu...nyanya chungu au wengine wanaita ng'ongwe nakata mara 2 nachemsha kidogo naandaa nyanya vitunguu karoti na hoho na karanga ya kusaga..... naweka sufuria jikoni na mafuta kidogo sana ya kukaanga hivyo viungo sababu karanga zinamafuta harafu naweka karanga kutengeneza uji mzito mwishoni naweka nyanya chungu tayari kwa kuliwa unaweza kula kwa kitu chochote upendacho kama sosi

    • @ShunasKitchen
      @ShunasKitchen  5 ปีที่แล้ว

      Shukran kwa kushare nasi recipe yako

  • @shammoha5297
    @shammoha5297 5 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah. Tamuu sanaa 😋. Namezea tu mate!😄
    Shukran 👌🏼💐

  • @yellooh
    @yellooh 5 ปีที่แล้ว +1

    Very inviting

  • @iluvfood12
    @iluvfood12 5 ปีที่แล้ว +2

    Thank you for putting the ingredients and the measurements in the description box in English

  • @a.856
    @a.856 5 ปีที่แล้ว +2

    Wow yummy😋👌🙏

  • @munaosomar2355
    @munaosomar2355 5 ปีที่แล้ว +2

    mm namenya nyanya chungu natia bizari vitunguumaji na thom natwanga pamoja naweka chumvi natui jepesi napika mpaka tui likauke kisha natia tui zito likiwa shata2 tayari kula ns wali au ugali. vilevile km hupendi bizar authom sio lazima kuweka.unaweza kupika pamojs na nguru mkavu utajiramba

  • @tedymartin6194
    @tedymartin6194 5 ปีที่แล้ว +3

    Nzuri hapo uweke na dagaa

  • @alikhamis4055
    @alikhamis4055 5 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah

  • @nassorhamad8556
    @nassorhamad8556 5 ปีที่แล้ว

    Mashallah habibty

  • @mary.matullu8279
    @mary.matullu8279 5 ปีที่แล้ว

    Wow nice

  • @anitasunny7356
    @anitasunny7356 3 ปีที่แล้ว

    Where can I buy in Toronto canada

  • @Wardaskitchen1
    @Wardaskitchen1 5 ปีที่แล้ว

    Mashallah yummy 😋😋😋😋😋

  • @sharifakhamis2461
    @sharifakhamis2461 5 ปีที่แล้ว

    Masha Allah

  • @salumabdulla5857
    @salumabdulla5857 5 ปีที่แล้ว

    asnt dada shunas kwa matam tam ila nakukumbusha upishi wang nlokuaomba

  • @joannassary2255
    @joannassary2255 5 ปีที่แล้ว +3

    Tunaomba mapishi ya Dagaa

  • @elizabethwoga5140
    @elizabethwoga5140 5 ปีที่แล้ว +1

    Yummy 🤪

  • @rayadadi4453
    @rayadadi4453 4 ปีที่แล้ว

    Me nilipoenda market nikaulizia simba mbili nikapewa curry powder nimembiw ndio hiy hiy

  • @mozasuliman3959
    @mozasuliman3959 5 ปีที่แล้ว +3

    Yummy

  • @nussmam2009
    @nussmam2009 5 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah nzur

  • @salimafakhi9425
    @salimafakhi9425 5 ปีที่แล้ว +1

    Shukran.

  • @Musicascatolicas259
    @Musicascatolicas259 5 ปีที่แล้ว

    MaashaAllah. Ila mimi huwa simenyi je zinafaa?

  • @ashlihathecute-em1zz
    @ashlihathecute-em1zz 6 หลายเดือนก่อน

    Simba mbili ndio curry powder

  • @aishakhalidiaishakhalidi721
    @aishakhalidiaishakhalidi721 5 ปีที่แล้ว +1

    Yaan nikiona video zko napenda ile salaam yko....asalaam alykum yaan una kasauti katamu

  • @hamidaomar430
    @hamidaomar430 5 ปีที่แล้ว

    Nakuja na ugali wangu

  • @mrsbattashy123battashy7
    @mrsbattashy123battashy7 5 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe zinakaangwa hizo? Mie najuwa zinachemshwa tu nakuziunga

    • @ShunasKitchen
      @ShunasKitchen  5 ปีที่แล้ว

      Unaweza kuzikaanga, au kuzichemsha au kuzipika moja kwa moja na tui la kwanza then la pili

    • @mrsbattashy123battashy7
      @mrsbattashy123battashy7 5 ปีที่แล้ว

      @@ShunasKitchen yah hivi ndo nnavojuwa unachemshia tui😊

    • @mrsbattashy123battashy7
      @mrsbattashy123battashy7 5 ปีที่แล้ว

      @@ShunasKitchen shukraan kwa kunijibu

  • @hora8707
    @hora8707 5 ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥

  • @sumeyabakabshabakabsha8050
    @sumeyabakabshabakabsha8050 5 ปีที่แล้ว

    Hilo jina nyanya chungu how does it taste? Uchungu ama ni jina tuu imepewa?

    • @shamsahaji6202
      @shamsahaji6202 5 ปีที่แล้ว

      Yes zinataste uchungu hasa ..but zipo nyengine zinakua hazina uchungu

  • @Beauty-zc9nq
    @Beauty-zc9nq 4 ปีที่แล้ว

    Sijaona thomu ? Taste ndo ile ile ama

  • @zainababbas4242
    @zainababbas4242 5 ปีที่แล้ว

    Mashaallah

  • @salmasaidi2875
    @salmasaidi2875 5 ปีที่แล้ว +1

    Mashaa Allah ila mafuta

  • @imanmohamed7632
    @imanmohamed7632 4 ปีที่แล้ว

    Nyanya chungu ni egg plant?

  • @jarsjam8894
    @jarsjam8894 5 ปีที่แล้ว

    Unanitamanisha

  • @wardanna8289
    @wardanna8289 5 ปีที่แล้ว

    Da shuna keki ya tende pls😣

    • @ShunasKitchen
      @ShunasKitchen  5 ปีที่แล้ว

      In shaa Allah dear

    • @dionajohn2534
      @dionajohn2534 5 ปีที่แล้ว

      Pishi la dagaa please

    • @wardanna8289
      @wardanna8289 5 ปีที่แล้ว

      @@dionajohn2534 wa kukaanga au?na dagaa gan?

  • @faizasaid8262
    @faizasaid8262 5 ปีที่แล้ว

    Umenitamanisha pakuzipata sipajui😠

    • @nussmam2009
      @nussmam2009 5 ปีที่แล้ว

      Hata mm Faiza udenda umenitoka pakuzipata pia sipajui km umezipata utanambia habibty

    • @faizasaid8262
      @faizasaid8262 5 ปีที่แล้ว

      Nuss Mam sizipati my

    • @nussmam2009
      @nussmam2009 5 ปีที่แล้ว

      @@faizasaid8262 ok shukrani ukizioata in shallah, nifahamishe habibty

    • @nussmam2009
      @nussmam2009 5 ปีที่แล้ว

      @@faizasaid8262 nam nikiziona nitakwambia honey

    • @ummunaaleicester4337
      @ummunaaleicester4337 5 ปีที่แล้ว

      @@nussmam2009 upo wapi kwani

  • @ashamohd4461
    @ashamohd4461 3 ปีที่แล้ว

    Mashaallah

  • @faizasaid8262
    @faizasaid8262 5 ปีที่แล้ว

    Mashallah

  • @getrudenyamvula3511
    @getrudenyamvula3511 5 ปีที่แล้ว

    yummy

  • @jeffmauzo5483
    @jeffmauzo5483 5 ปีที่แล้ว

    Mashallah

  • @imanmohamed7632
    @imanmohamed7632 4 ปีที่แล้ว

    MashaAllah

  • @imanmohamed7632
    @imanmohamed7632 4 ปีที่แล้ว

    MashaAllah