Hi. Asante kwa recipe safi na tamu sana🙏 Mimi sina ovan lakini ntajaribu kutengeneza na mkaa Vila napikaga keki. Thank you so much for tips you are the best. Nta share na rafiki zangu pia. Happy new year
Thank you. I really enjoy your videos. It would be great to see the type of ingredients you use - the flour, yeast, butter etc. Because some brands are better than others.
Nimejaribu hizi jana zimetoka nzuri na laini sana na ni mara yangu kwanza..be blessed Shuna
Maa Shaa Allah Habibty Wangu...Shukran...Yaani Napenda Jinsi Unavyofundisha Wallahi Mtu Hapati Taabu Anakuelewa Hongera..
Ummy Haji: please unaweza kutuonyesha upishi huu kwenye jiko la makaa?
We hujaelewa.wengi hawajui kutofautisha Kidude cha like na cha ku dis like ,wanabonyeza tu
maashallah niliwahi pika pishi lako lilikuwa tamu nilipenda.
Mashallah wallah nnaenjoy na nina jifunza mengi kupitia channel yako...Allah akubarki
Ma sha Allah....zinavutia..Allah akuzidishie dada,akupe ujuzi zaidi uzidi kutuelimisha
Ameen asante sana
@@ShunasKitchen u r most wlcm dear
Wow.... So delicious! Nimependa huu mkate.
Asante sana my dear wallah nakupenda sana napenda voice yako na unavofundisha
Ma Shaa Allahu
Uko msafiii
Mashaallah nzuri sana
Nimejaribu kuupika huu mkate wa nyama ni mtamu sana tena sana asante kwa pishi zuri
Nzur sana
MashaAllah my dear , Jazakallah kheir , Ramadhan kareem
Ma shaa Allah.Allah akuzidishie na ujuzi wako wa mapishi.ur the best.
Ameen asante
Ngoja nijaribu leo asante pia kwa kutupa maujuzi
Mmmmwaaahh km ningeambiwa kupezawadi bas ningekuomba nifunge ndoa na ww ili nifaidii ichi ktu...napenda sna
Mashaa Allah ntajaribu in shaa Allah
Nimeipenda auntie
Hongera mamy
Sauti nyororoo ♡♡♡ MASHALLAH
thanx for the recepy... iftar ya leo
Mashallah unafundisha vizuri
Hi. Asante kwa recipe safi na tamu sana🙏 Mimi sina ovan lakini ntajaribu kutengeneza na mkaa Vila napikaga keki. Thank you so much for tips you are the best. Nta share na rafiki zangu pia. Happy new year
Mashallah nitajaribu inshallah 🙏 ❤️
Kazi mzuri unayoifanya hapa..
Thank you for the recipe☺
Mashaalah,unaelezea vizuri sana,ndicho kitakua kitafunwa changu leo
Asant sana wajna wangu unanikoshaaaa mpk natakata I love you so much my dear 😘😘😘😘
Maasha Allah zimetokea sawa nazijaribu saa hii,shukraan habibty Allah continue to Bless the work of your hand🤲🏽
Ameen shukran
mm mbn zimekuwa ngumu
Thank you. I really enjoy your videos. It would be great to see the type of ingredients you use - the flour, yeast, butter etc. Because some brands are better than others.
Mashallah najifunz meng kuux wew
Mashallah mashallah habibty yummy Allah bless your work😋🙏👍❤️
Very nice to
Allah akubarik taqabal allah swaleh alamal
Mashallah yanavutia nitajaribu ya kuku mm Inshaallah shukran habibty
Masha Allah nzuri soft nd yummy
Thank you
U r among my best chef
Nice n simple recipe, hii ata beginner unafauru. Thanks dadaa
Nimependa sana
Naomba mungu nipo kujaribu hapa
Mashallah kiukweli Allah akutunze akubariki sana uzidi kitupatia ujuzi ❤❤❤❤❤❤
Ameen asante
Alhamdulillah,nmependa sana hii. Aise ukiwa na mke anapika hivi burdan sana
Nimeipenda Masha Allah
Mwaka huu lazima tunenepe japo tunafunga shukrani dada😘😘😍
Dashuna got love from me😍hukosei mashallah
Mungu akubariki sana dada kwa kutudumishia ndoa 😁
MashaAllah zinavutia
Mashaallah dadaake leo nimepika yani nzuri 😋tramu wallah
Mashkura
MashaAllah shukran sana my dear 👌
Maashallah.
Mashaallah tabaraka nimejaribu na yametoka WoW ❤❤ Tnx for ur rcp Shuna's Kitchen 😘
Asante sana Shuna, Mungu akubariki,
MashaAllah vyakula vyangu vingi natizama chanel yako shuna Allah akubarik
Nimependa mnoo, aisee tamu haswa
Ma sha Allah
Thank you for your lovely videos Shuna 🤗 You have such a pleasant voice. May God continue to bless you!
Ameen thank you dear :)
nzuri hii asante dada ntajaribu
Mashallah 😍thanks habibt
Mashaallah wow ni zury insha'Allah ntazijaribu Allah akupe kila la khery amen ♥
Ameen shukran habibty
Nimependa ntaipika,Asante saana
Nimependa
You are the best Shuna.
Shukran sana.. its looks yummy I'm gonna try this soon.
Shukran habibty nimeyapenda nitajaribu inshaallah😋😍😍👏
Masha allah
Ma Shaa Allah habbty
Safi sana dd tunapata mafunxisho bora allah akupe afya njema
Ameen asante sana
mamy👏👏👏👏❤mashallah ntajaribu hii
Maashallah
Mashaa allah
Hii nilijaribu tamu sana shukran
nicee
asante kwa kutupikia hii buns
Masha Allah shukran
MashaAllah zinavutia sana
Asante sana
MashaAllah 😍
Nc receip
Mapishi yako mazuri ma sha Allah. Kitabu chako chapatikana wapi Kenya?
I love your cooking girl
Good job i like watching your videos
Well done chef
Wow manshaallah nc
Kisha Kuna Mijitu Mengine Umeumbwa Tu Na Roho Ya Choyo Na Hawatafanikiwa Kweli Unalikuta Jitu Linadislike Hii Video Looh..
Burns Nuri vipi vitumbua via ndizi
Binadam atuko sawa
Shukran dada tutajaribu
sijawahi kufeli toka nione recipe yako ya mabanzi laini.....najikuta mwamba sahv
Shukran dada,,, Allah akubariki
Asante sana
Shukran habibty unajitahid sana Mungu akupe afya
Afwan dear..ameen. asante sana
Mashallah 😘
Msshaallah 😍😘 ntajarib. Allah akupe afya njema uzid kutufunz❤❤❤
Ameen asante sana
Asallaam alykum. Nimepika mikate leo ni mitamu San. Baarak Allaah feek ukhty🌸
Mashallah nakupenda sana na vile nnavokupenda jana nimekuota wewe na aroman Zanzibar mumekuja kwang tukainjoy mashallah am from Dubai😘
MashaAllah habibty, kweli unatupenda 😘 asante sana sana 🙂
@@ShunasKitchen u are welcome😍😍😍habibty
nitajaribu leo in shaa Allah
Mashaallah nice, ni lazima nieke yai na maziwa?
It's nice
Shukrany Alla akubariki zaidi
Ameen
MashaAllah dia kama kuna video ambayo mm hukimbilia kwa youtube kuangalia recipe basi ni yako thumbs up
Asante sana😘
@@ShunasKitchen sometimes husema i wish i could see da one behind the camera uko wapi sis
Mimi napeda recipe zako Sana rahisi sana
You're such a legend🙏
Mm kesho inshaallah nitajaribu
Nice mashallah
Asante sana
Shukriya nimazuri mashallh
Perfect
Its look soo yummy thanks alot
Asante shuna's kitchen
Shukran habibty Allah akubariki
U always best shuna💖
#Sufuria la lilopikia nyama nimelielewa (appreciate )👌
Mashallah ,shukran hbpt
I love u shuna