RAMANI ZA NYUMBA ZA KISASA | 0679253640
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 26 ส.ค. 2024
- Ramani za nyumba za kisasa vyumba vinne.
Whatsapp: wa.me/255679253640
Call: 0679253640
Unaweza kuungana nasi kwa hiari katika group letu kupitia link hii ili kupata updates za ramani zetu.
chat.whatsapp....
Masharara
Am inspired to you Dr Good ideas and Vision. Hongereni sana Mungu aendelee kuwa bariki
Aamiin aamiin
This color combinations soo nice and beautiful well blended colors
Naitaji hii laman
Karibu sana tuwasiliane wa.me/255679253640
Gharama ya NYUMBA hii Bei gani Kwa kujenga
Nimependa sana gharama zake sh ngapi za ujenzi hadi finishing?
mngekuwa mnaonesha hivyo but mnaweka na floor plan ili mtu aelewe zaidi kuliko hiyo camera inazungushwa huku mara kule hata kupata mpangilio mzima inakuwa tabu ila ukiweka floor plan bila vipimo na hiyo video kama wanavyofanya wengine italeta maana zaidi
Ahsante sana
Nimeipenda plan designs hii kabisa nimependa kujuwa plan hii ipo kwenye kiwanja ca meter ngapi pls nijulisheni sababu ninahitaji kujenga mwezi WA 7 mwaka huyu na garama ya nyumba hiyi ni bei gani
20x20 kiwanja kinatosha
Tuwasiliane kupitia whatsapp wa.me/255679253640
Hii nyumba kali sana
Mashaallah tabarak rahman
Duuuh,,, nyumba ik0 full
Lamani yake naipataje jamani
@@suzanajohn2224 tuwasiliane wa.me/255679253640 au 0679253640
Hi Gharama zake ni pesa ngapi
Safi
Je unaweza kumfundisha mtu akiitaji
Naitaji kujenga bukoba je unaweza nipanga apa nijue pesa ngapi mwanzo andi mwisho
Sawa tuwasiliane kupitia wa.me/255679253640
Congratulations
Thank you
nikitaka kukutafuta kuulizia hii nyumba naiuliziaje maana nyingine zinakuwa zimepewa design number
Tuwasiliane kupitia wa.me/255679253640
Tuchoree na ramani za mskiti
Tuwasiliane wa.me/255679253640
Wow!
🤝
Hii ipo vzr bdo raman yke
Karibu sana.
Tunaweza kuwasiliana kupitia wa.me/255679253640
@@RamaniTZ2:04
mambo vp unapatikana wap kaka nilikua nahitaji hii raman
Tuwasiliane kupitia wa.me/255679253640
Kaka ake mbona bafu sioni😮
Bafu humo humo kwenye toilet ipo
Wow kaz nzuri Sana kaka
Ahsante sana mkuu
Ina vyumba vingapi
Vinne
Inagalimu shingap natofali ngap
Tunaweza kuwasiliana kupitia wa.me/255679253640