Mummy I like thank you for this film. My friends say nizuri sana However,they can’t understand the language it would have been nice if you put subtitles. Thanks
Kila iitwapo leo natamani kuiona hii move kwani inafundisha Sana hasa ukiwa namabinti mungu akubaliki tuendelee kuziona move zako kwani nazikubali sana
Wow 2024 still watching this movie 😍😍
Anaye angalia 2020 yan nimelia ,inafundisha sie mabint tunao penda vijana wenye mal hata hatusikiliz wazaz
Aki mungu atusaidie tu
Boni
Boni maitege
I have searched for this movie since I watch it in standard 7 until now in university I have found it 10 years down the line so interesting story
Nimeumia huu wimbo n fundisho kwa mabint jifunzeni jaman
Kweli watu wanatoka mbali huyu ndie Bahati Bukuku 🙏🙏🙏
🤣🤣🤣🤣
Yaani hili ni funzo tosha inatupasa tuwasikilize wazazi wetu kwa kauli zao''Asante kwa movie nzuri sana
Kweli kabisa
Kwer asiee funzwa na wazaza hufuzwa na ulimwengu
Kabsa
Movie nzuri 2020, Jennifer Mugendi unaigizaga vizuri sana tena movies zako ni zamafundisho, tunahitaji movies zako mpya za 2020
Asie na akili shauriake,,,, mafunzo tele asante dada Mgendi
Hongeren Kwa mafundisho mazur 2023 naitazama
Mumeze Yesu ,Ahishi ndani mwako
Sasa hivi bahati kaiva sijui ni kujichubua au kukua au pesa Mungu anajua
Hii movie siku yangu ya kwanza ku watch nililia yangu yote nice song na iwe funzo kwa wale awapendi VCT.
Be blessed sis mugendi kipaji kutoka Kwa mungu
Bahati bukuku alikuwa katika ubora wake👌👌
Ukiwa una igiza na bahati bukuku ukovirurisana
Ukifunga ndoa Na asiyeamini wokofu wako uko hadarini.
Bahati bukuku mavazi yke mazri tokea kitambo ❤❤
Move nzuri sana inatufundisha sana mabinti tuwe makini kwakweli..huu wimbo wa mwisho wa move ni mzuri saaaana sichoki kuiskiliza adi Sasa 2020.
Tatizo ningejua uja mwisho WA yote, asante da jenipha kwa fundisho
Hamjamis miliyenu
Ameeen barikiwa sana
Watumishi wa Mungu, ongera sana
Thanks for movie advice God bless you
Nakupenda sana Dada ang
Nzur pole Dada jeniphar
Jennifer mil unanifurahisha sans!
Tujihadhari aki...mungu atuongoze aki🙏
Still watching 2023 hii ni funzo kwa Vijaya
Très magnifique pour l'éducation
No one is talking about the beauty.
Daa inafundishaaaa❤❤
Asante jaman kwa funzo
Mummy I like thank you for this film. My friends say nizuri sana However,they can’t understand the language it would have been nice if you put subtitles. Thanks
Dunia kweli kuna mambo jamani!!!!duh!dhambi ni hatarii tuyaacheee
Wangapi wanakumbuka kipindi Cha poma joto tuajuane prse
Dah nzur pole Dada jeni
imenijenga sana, mungu awabariki waigisaji.
Pia mm imenigusa walae 🙏🙏
Bahat Bukuku enz hiz alikuwa mwembamba saiz kawa bonge hatar shikamoo pesa,,,,,,,Jenifer Mgendi nae alikuwa bado nae saiz duuuuuu ni noma kwer mko vzur
Banae shikamoo pesa
Hadi rahaaa
Mpo vizuli sana mungu awabaliki ninyi nyote nimejifunza sana Asante
Asanteh da Jen kwa ujumbe huu nimejifunza na wadada wt tujifunze hii jmn
Nakuhitajiya tukutane Mbinguni Amena
Nimejifunza kusikiliza wazaz
Asante dada kwa yako filamu nzuri jameni imenifunza mengi
Good! mafunzo nayo,thanks to all actors.
Ni onyo nzuri
nimesoma asante
Hili n funzo kubwa sana,thanks sana kip moving
Upo vizuri sana dada yangu mungu akusinamie 🙏
Uko vizuri
Wengi yanawakuta haya🤔kwa kutokuelewa!! Ujana bhana!!!
Hapo Bukuku uliweza kweli .
Kila iitwapo leo natamani kuiona hii move kwani inafundisha Sana hasa ukiwa namabinti mungu akubaliki tuendelee kuziona move zako kwani nazikubali sana
Nzuri Sana
Daah muda sana nc
Maajabu Dati amepinga magoti
Nice job dada
Bien
Asante kwa ujumbe wako mama
Iko vizur inasomo kubwa sana hii film hongeren sana Mungu awabaliki
Haya maisha ubarikiwe sana jeni
Iko bomba sanaaa
Nimeji funza jamani
dah inafundishaa
Amen
Usidanganye roho
AsiesikiaLa mku
Huvujika guu
Asante Mafunzo haya yanafunza Mimi 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭kbx nasikiya nilie
Duuh nimeipenda sana 2022
Mungu iweeh pamoja nasii 🙏🙏😭😭
Mafunzo mema kwa vichana .
Imenikusha mbali miaka hio,na leo nasema vijana waleo ndio maisha yaliopo.
Fundisho zuri sana be bless 🙏🙏🙏
Sijuii kwanini pia mm nalia 😭😭😭😭 point taken
Hongera sana
Aksante maman
Hatari hiyo
Such a wonderful lesson Kwa wadada
Hongeren Sana mungu awabariki kazi nzuri amina
Asantii kwa funzo mbaririwa sana waimbaji
Nice
Daa sina neno Bali nimefulai
ATI Asante Sana kwa fundisho. 👏
Nimesha jifunza
Kwali nimejifuza mengi sana honger san my sister ❤️🥰🙏
Tawaliwa na Yesu
Vyakiduniya vinakutawala, na kuhakikisha vya uwongo eti...
Dada Jenifer barikiwa sana mpendwa
Inafundisha
Mubarikiwe kwa funzo lenu zuri
pole
Kweli hiyo. Nimependa nzur xana
Inafundisha hii jmn
Aki Jennifer nafuta kipindi zako tu aisha poa inaisha na shida kwanza ile ulikatwa mkono nilikurumia sana
It's very good
Pole sanaa
Polegadas mpenz
Hilo nifunzo
Ety ili shela ndo linakufaa si umeshakubuu we we meupe wanavaa wenye bikra Una bikra we we😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kwa nini munaeka nyimbo kwa movie washamba huuuu mgendi akonasauti mbaya
Ww toka na Roho yako mbaya atukutaakii ukuu
Unaweza kuimba ww usikosoe watoto wa mfalme ndugu
I love the song and it encourages
Acha kukosoa wew ...
stupid ww
Nice and educative piece
25 Dec 2020..merry Christmas
2021 bado nachek nakubali muuunoo
Nakupenda saana
Nakupend San dad Jen zul Nan wimbo unaujumbe mzito San kwetu mabint
Uganda xxx
Jeni badilisha japo wigi