NCHI NZURI YAMETA META

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2017

ความคิดเห็น • 38

  • @gloriakawago6223
    @gloriakawago6223 3 หลายเดือนก่อน

    Hongeren sana watu wa Mbeya kwa Neema kubwa ambayo Mungu ameiachilia juu yenu, endeleen kumtumikia Mungu ili tuzid kuuona Utukufu wake

  • @MARYNAGUJustin
    @MARYNAGUJustin 16 วันที่ผ่านมา

    😢😂😂 mungu awa bariki waimbaji namuenzi mdogo wangu alie kufa ghafla na ajali

  • @denismwalukunga8686
    @denismwalukunga8686 6 ปีที่แล้ว +2

    Tuendelee kumtazama nyoka was Shaba na kunyenyekea na kuliishi neno LA mungu naami tutafika na tutaketi mkono was kuume wa mungu

  • @enekiafweni6069
    @enekiafweni6069 6 ปีที่แล้ว +3

    mmeimba vzr sn ..kwenye uhalisia wa wimbo unavyotaka

  • @julianajulius4556
    @julianajulius4556 2 ปีที่แล้ว

    So mbalii karibu

  • @danstanpanga8490
    @danstanpanga8490 4 ปีที่แล้ว +1

    Naye Yesu hutuongoza tukafike na sisi hukooo.!

  • @enockluvanda7317
    @enockluvanda7317 6 ปีที่แล้ว +2

    Mungu ametupa midomo ili tuimbe sifa zake hakikaa kulee tutawaonaa wengi wapendwa na yesu bwana tutashirikiano nao na itakuwaaa ni furahaa teleeee daaaaaa jamaani asante sana kwa uimbajiii wenu sifa na utukufu ni zake bwana aliewapa krama ya uimbaji

    • @msafirimoses1719
      @msafirimoses1719 4 ปีที่แล้ว

      asanteni kwanyimbo nzuri

    • @lizahlucas9668
      @lizahlucas9668 3 ปีที่แล้ว +1

      Tusipomwimbia atainua mawe yapate kumwimbia

  • @abelmwampashi1904
    @abelmwampashi1904 6 ปีที่แล้ว

    amina wapendwa nilifurahi sana nilipowaona live tunduma mwaka Jana mkiwa mnauza CD zenu nilikuwa mmojawapo niliyenunua mpo vizuri

  • @sebonikegobi6244
    @sebonikegobi6244 ปีที่แล้ว

    Hakika Mungu awabariki sana mmeutendea haki wimbo huu

  • @judicamukuta1307
    @judicamukuta1307 6 ปีที่แล้ว

    Wimbo unanibarik sana. Mbarikiwe

  • @fridayjohnmwaipaja7131
    @fridayjohnmwaipaja7131 6 ปีที่แล้ว +3

    Tutashinda na zaidi ya kushinda kwake yeye atutiaye nguvu

  • @dennischeyo1302
    @dennischeyo1302 5 ปีที่แล้ว +1

    Naiona kawetere na bonde la usangu

  • @josephkaiza1771
    @josephkaiza1771 6 ปีที่แล้ว

    yapendeza mtumishi WA Mungu bakikiwa sana

  • @user-ii1dh4vu1b
    @user-ii1dh4vu1b 3 ปีที่แล้ว

    Mungu awatie nguvu muendee kumtumikia

  • @elizafuraha6428
    @elizafuraha6428 2 ปีที่แล้ว

    Very good nice song

  • @LisamamaLisaMama
    @LisamamaLisaMama 6 ปีที่แล้ว +1

    Amina

  • @godwinmpazi1560
    @godwinmpazi1560 3 ปีที่แล้ว

    Excellent

  • @benny924
    @benny924 6 ปีที่แล้ว +3

    Ameen mungu aendelee kuwafungulia milango..... Nisha subscribe

  • @mariammwambungu3174
    @mariammwambungu3174 6 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @jacksonmbwille1123
    @jacksonmbwille1123 5 ปีที่แล้ว

    Ever good,bless you all

  • @tullyibrahim8098
    @tullyibrahim8098 6 ปีที่แล้ว

    hakika ni karibu

  • @catherinebufikiri4155
    @catherinebufikiri4155 2 ปีที่แล้ว

    Ameeeeni

  • @hekimaiteleke1512
    @hekimaiteleke1512 6 ปีที่แล้ว +1

    aminaaaaaaa sana

  • @edinachaula4908
    @edinachaula4908 4 ปีที่แล้ว

    amina sana

  • @juliasmwampashi1915
    @juliasmwampashi1915 3 ปีที่แล้ว

    Ni ushindi tu

  • @fatiamaige806
    @fatiamaige806 2 ปีที่แล้ว

    💞💞💞💞

  • @ignasbukombe8175
    @ignasbukombe8175 5 ปีที่แล้ว

    💕💕

  • @faridajohn2504
    @faridajohn2504 3 ปีที่แล้ว

    ppp

  • @josephnjella4919
    @josephnjella4919 5 ปีที่แล้ว

    Amina