Samahan ustadh faki mm ilkua nahitaji qaswida ya othman y a haruss ioaomwa n ww Kama skosei iyo qaswida unaenda na jina la mashallahh harusi mashallahh Kaka othman ameowa
Mitihani ni lazima Subiri kama mitume na ue na yakini na Allah ili kupata khei kama walivyo pata mitume na waja wema walipo subri walifungukiwa na kheri zika washukia
nimegundua kitu fakky kiupande wako na hafidh wewe unabadilika sana kwenye mahadhi na ubunifu yaan mtu kama hajaangaliya vizur hawezi kutofautisha sauti ila hafidh nimegundua ana sauti moja ila upo vizuri kwenye kusoma ila nikiambiwa nitie kura basi kura yangu ni wewe
Allahmdullilah, Hii qaswida inanipa moyo Sana, hasa nyakat hi Ya mtihan😢
Faki kasida nzuriii mashallah ila punguza dundo
Mashallah a good qaswida Allah wazidishie
Asantee nakubali sana iyokazi
Swadakta
Samahan ustadh faki mm ilkua nahitaji qaswida ya othman y a haruss ioaomwa n ww Kama skosei iyo qaswida unaenda na jina la mashallahh harusi mashallahh Kaka othman ameowa
Ninayo hio
Nzri hii kaswidah mashaallah
Mitihani ni lazima
Subiri kama mitume na ue na yakini na Allah ili kupata khei kama walivyo pata mitume na waja wema walipo subri walifungukiwa na kheri zika washukia
Nice one
Mashallah 🥰🥰🥰🥰🥰
Tuliokuwa uarabun mungu atupe subra tupate kunufaika
Hongera
Asnt kiongozi tp pamj na allah attfnyiy wepes sot katka utfutaji w rizk
Mashaallah Mashaallah qaswida nzur pia ujumbe mzur
Mashaa Allah
Nipo mfereji wa wima duka lavioo vya magar naisikiliza sana aqaz
Hii nzur
Ipo poa Sana
Mashaallh
Mashaallah
Name of this song please.
Ostadh nawezaj kupat kanzu hapo dukani kwako
Maaashallah
Nataka qaswida ya ramadhann mwezi ulo mwema na nurumbili
Tunataka vitu vya kanz na kofia
Fakki Nina Shida na ww nataka kaswida mmoja ila mm sipo Tanzania
Nipo oman itakuaje
Inawezekana
Sasa Nita kupata Je
Liko wapi hilo duka ????
Amani kwa Mabata Zanzibar
@@GVIDEOPRODUCTIONCHANAL natamani nikutane na wewe fakky mbarouk nimetolezewa kukupenda sana upo sawa ndugu una uwezo mkubwa mimi naitwa sayar
nimegundua kitu fakky kiupande wako na hafidh wewe unabadilika sana kwenye mahadhi na ubunifu yaan mtu kama hajaangaliya vizur hawezi kutofautisha sauti ila hafidh nimegundua ana sauti moja ila upo vizuri kwenye kusoma ila nikiambiwa nitie kura basi kura yangu ni wewe
Mashaallah
Mashaallah ww ni nouma sana
Mashaallah
Mashaalla
Mashaallaah