Haki ya mungu mtu una pata uja uzito mume ana ukataa uja uzito peke yako una twengwa hata na jamii sababu uja uzito alafu uzae mtoto umulee kwa tabuu nyingi mwisho wa siku mtoto ana shikwa na tamaa za dunia ana kua walaniwe watoto wote wenye kuwa wazazi kwa tamaa zao wenyewe
Eeeh Mungu tujaaalie tupate watoto walio wema na wenye kumjua Mungu maana dah hii dunia imetawaliwa Sana na shetan yaan uzazi wako mwenyewe unakuja kukudhuru inauma sana
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭yani mamako miezi tisa unamfanyia hivyoo yani babako amekubrain wash kabisaa yani unakuwa narohoo mbaya jamani chini yajua mama ndokilakitu wewe unamfanyia mzazi hivyoo wakati mm natamani kumwitaa mama lkn haitikii😭😭😭😭😭
Asante kk Davistar Mata,, Mimi ni mfatiliaji wako mzuri wa vipindi vyako. Hakun post ambayo siiangalii...asante kwa yote Mungu akutie nguvu usikate tamaa. Kama ningekuwa na uwezekano...tukuchangie safari zako...ili tufaidike daima na shuhuda zako. Mungu awe nawe
Mi namtafuta mganga ambae anatafu kazi za ndani (house Boy au house girl ) mki mpata mwambieni apambane maisha ni safari ivyo asife moyo ipo siku atapata 😉 bado nimelala niki amka ntama itafut sehem ya 2😆
Nimechukizwa Sana jinsi wazazi ama mzazi anamshawishi na kumwingiza mtoto kwa mambo mabaya hadi anawacha masomo na masomi ndio naingia wa maisha...makosa...254
Wachawi mna dhambi nyie za kuwatesa watu kiuchawi..Mama aliekuzaa kbs unamlimisha usiku mama huyo kateseka leba kwa maumivu makali akutoe ww ukiwa hai😢😢😢😢😢
Uchawi ni roho ikimvaa mtu ufahamu wa Kimungu unafungwa kwa hiyo mtu huyo anategwa na uruma anafanya lolote ili awafuraishe wachawi wenzake. Mimi kwa mchawi siwezi kushangaa maana hata mama anasahau uchungu alopitia anamtesa mwanawe sembuse mtoto kumtesa mama.
Napenda sana vipi vyako Sema umalizii seem mzuli ndio unakatisha
Gai mungu simama na watoto wetu tutete na ututenge na hawa wachawi,enyi wajawi melanie milele
Dah!🤔 kwakweli mamama mnatuonea sana.
😪 Laiti mgelijua tunavopata tabu ktk kulea mimba zenu🤔msingetufanyia mnayotufanyia😪 Tumuombe Allah atupe watoto wema ishallah.
Nakwambia 😭😭😭Mungu atulinde napia awaweke mbali watoto wetu katika mambo kama haya
Amiin
mwana nassor sio wote, ila na huyu mtoto anajutia maamuzi, ila asante kwa ujumbe wako, na ameen kwa dua yako asante sana.
@@hebronsdaughter1661 🤗🤗
Haki ya mungu mtu una pata uja uzito mume ana ukataa uja uzito peke yako una twengwa hata na jamii sababu uja uzito alafu uzae mtoto umulee kwa tabuu nyingi mwisho wa siku mtoto ana shikwa na tamaa za dunia ana kua walaniwe watoto wote wenye kuwa wazazi kwa tamaa zao wenyewe
Eeeh Mungu tujaaalie tupate watoto walio wema na wenye kumjua Mungu maana dah hii dunia imetawaliwa Sana na shetan yaan uzazi wako mwenyewe unakuja kukudhuru inauma sana
Nakuona
Pole sana ayo yotenimaisha
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭yani mamako miezi tisa unamfanyia hivyoo yani babako amekubrain wash kabisaa yani unakuwa narohoo mbaya jamani chini yajua mama ndokilakitu wewe unamfanyia mzazi hivyoo wakati mm natamani kumwitaa mama lkn haitikii😭😭😭😭😭
Tumtegemee Mungu na tuwajengee watoto wetu misingi imara ya Kimungu.
Amen
Uyo Mzee kigagula loh Mungu atuepushe
Asante bro nakufuatilia sana na nazidi kujifunza kupitia hii kaz yako
Nakwambia twapata mafunzo kweli
Yn Story zako Zinafundisha Na kufundisha Ww Kaka Nazipenda
Asante kk Davistar Mata,,
Mimi ni mfatiliaji wako mzuri wa vipindi vyako. Hakun post ambayo siiangalii...asante kwa yote Mungu akutie nguvu usikate tamaa.
Kama ningekuwa na uwezekano...tukuchangie safari zako...ili tufaidike daima na shuhuda zako.
Mungu awe nawe
Da maswali ya kijinga mengi mno
Tunawazaa watoto alafu watoto haohao wanaturoga,mhh jamani Mungu tunusuru na vizazi vyetu.
Davistar kijana wako hp mtu mwenye utu wangu respect 👊
Mi namtafuta mganga ambae anatafu kazi za ndani (house Boy au house girl ) mki mpata mwambieni apambane maisha ni safari ivyo asife moyo ipo siku atapata 😉 bado nimelala niki amka ntama itafut sehem ya 2😆
Pole sana kk, ila kwa nn mchawi asijifanyie na kujitajirisha kuliko kufanya maovu na kuumiza watu
Habari! Dahh muendelezo ukujee
Ubarikiwe Dm kwa story nzuri zinatufundisha na cc
Tuwekee part two Leo jamani kama na wewe uck unapata tabu kulala unaona maruweruwe km mimi gonga like yako hapa
Yani shetani ako kazini,Mungu awaepushe watoto wetu na mambo kama haya 🙏🙏🙏🙏
🤗🤗
Nimechukizwa Sana jinsi wazazi ama mzazi anamshawishi na kumwingiza mtoto kwa mambo mabaya hadi anawacha masomo na masomi ndio naingia wa maisha...makosa...254
Yaonekana huo mgogoro wa baba namama nikama baba aliambia mama ashike tunguli awemchawi huyo mama alikataa ndowakaachana
Yani mtoto wako mwenyewe ndie anakua adui yako atakaekumaliza na kukutoa roho dah maisha yanaenda kasi sana
Innalilah wainailah lajiun
Nimewahi no 3
Mungu awalaan wachawi eote😥
Tusikilize Mpaka Mwisho Wenda Baba Yake Ndo Tatizo La Yeye Kuuwa Mama Yake Mwisho Wa Majibu Yaja Tunamuamini Uyu Jamaa
sawa
😪😪😪😭😭😭pepo jema hutoka kwa mama😭😭😭
Thanks Mr Davista for your efforts I like this program so much z👍
Ajabu 😮TZ
✌️🙏
Safi Sana
Alafu sio zeni, Ni then tafadhali Sana msnichoshe
Wachawi mna dhambi nyie za kuwatesa watu kiuchawi..Mama aliekuzaa kbs unamlimisha usiku mama huyo kateseka leba kwa maumivu makali akutoe ww ukiwa hai😢😢😢😢😢
Kwa kweli inauma sana 😭😭😭😭
@@hebronsdaughter1661 kuna mama mmoja alisema kama unauwezo wa kujuwa mbeleni huyu mtoto atakuuwa..unambana tu afe wakati wa kujifungua😂😂😂😂
weacha tu best
Xio kosa lke kosa la baba yke ndo ukiwa n uwezo wakumuuwa nikummaliza
@@mwashumcubwa1928 sawaa.lakini si unasikiaga mikasa kila siku wamama wanavyotolewa misukule?
Da uchawi siyo mzuri mpaka mama😭😭😭
Uchawi ni roho ikimvaa mtu ufahamu wa Kimungu unafungwa kwa hiyo mtu huyo anategwa na uruma anafanya lolote ili awafuraishe wachawi wenzake. Mimi kwa mchawi siwezi kushangaa maana hata mama anasahau uchungu alopitia anamtesa mwanawe sembuse mtoto kumtesa mama.
W kilometers 7 unazijua vzr sio zakutembea ivyo kirahis
Mhh na usiku huu inatishaaa Sana AAA sijui Kam ntalala leo
Dah kama mtu unajua mimba ulioibeba inakuja kukupa Toto kama hili bora watu tungetoa mimba sana
Dav umetuacha wampenda mitory Ushrikina weka pemben😂😂
Hivi davista huotag ndogo za ajabu ajabu maana duh unaukutana na mistor yakila dzaini!!!
Hiyo time ilikua mbaya sana ilikuwa usiku wa manane
Pamoja Davista
Mmh mama mama mama
Hongera sn Mzee baba
Lushoto,nyumban kabisa home sweety jmn,marekan ndogo ya tz ,mazingira mazuri kabisa ,wazungu wanakuja kutalii tu
Hatar sanaaaaa
Kumbe ukisikiliza hizi mikasa usiku moyo unaenda mbio kwa uwoga
😅😅😅😅😅
🤣🤣🤣🤣
Davista mata vaa barakoa,otherwise kazi nzuri.
😂😂😂😂😂😂tzn wanasema hakuna coronaaa
Shetani na kazi zake mbaya 😏 anawekea watu wa Mungu roho yake chafu halafu wanatesa watu bila hata huruma 🤔
Uchawi laana kubwa saana wachawi wote wakuda wa moyo
Wa mwisho ila pamoja sana
Wa 51
Ukishakuwa mchawi huruma inayeyuka kama siagi kwenye kikaango unakuwa full mnyama
Jameni wazazi tusali bilakukoma mbona mnatumaliza?
Davista yule mtoto ambae aliachwa stage akoaje
Pamoja Mr Fact🤝
Tuko pamoja Mr Facts
🤔🤔🤔
We acha tu
Mbona sielew yule wajina veepee kamaliza au
Shughuli kweli duniani
Jamani Leo 12 lini nitakuwa wa kwanza 😩😩😩😭😭
Usiweke Sim chini😂😂
Jitahidi dada😂😂😂
Duh😂😂😂😂
Km 7? Mbona palefu sana!
Ndo maana nasema hakuna mchawi aliyeendelea wote hamna kitu kajampa nani
Dah wanaume mna roho ngumu Sana kisa tamaa ya kupata mali pumbafu
Ata mimi 4
Leo nimewahi jmn
Nimo nimo
16
Daah Leo nimekuwa wa6 simchezo
MTT hatar
𝘪𝘯𝘢𝘴𝘪𝘬𝘪𝘵𝘪𝘴𝘩𝘢💔😐
mtangazaji makini.
Mnaokua wa kwanza leo mbona mmechelewa
Tunaendelea na Dav wetu
wah👣👣👣
Makubwa na wazee nao wamo
Tanga hyo wazee wa kitonga
Brain washed
Tanga hyo wazee wa kitonga