CHARSE MKENYA MVUVI ALIEPOTEA NDANI YA ZIWA VICTORIA/NILIZUNGUKWA NA VIUMBE VISIVYO NA MACHO

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 30

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle ปีที่แล้ว +1

    Ushauri wangu mrudie mungu utakuwa mtu mkubwa sana

  • @msaysha5886
    @msaysha5886 ปีที่แล้ว +1

    Mi napenda story kama hizi aisee Davistar kunyamaza story ina kuwa ina noga kweli ❤

  • @Waziri77
    @Waziri77 ปีที่แล้ว +1

    mkenya huyu kweli? kiswahili chake

    • @lorraineatieno6544
      @lorraineatieno6544 ปีที่แล้ว

      Sio mkenya ni mtanzania alikuja Kenya Kehancha.

  • @bakari-si1pw
    @bakari-si1pw ปีที่แล้ว +3

    Karibu sana Ka Mkubwa

  • @nelsonpatricioestanislaus7144
    @nelsonpatricioestanislaus7144 ปีที่แล้ว

    Hii imenhenda.

  • @dianangethe7839
    @dianangethe7839 ปีที่แล้ว +2

    Wakenya oyeeeee

  • @denisnsokolo7098
    @denisnsokolo7098 ปีที่แล้ว +2

    Hii ime kaaje ,yaan kwa week unalipwa 3k sasa baadaa ya miezi mitatu ulipwe 90k za Kenya?

  • @kotadapotar5094
    @kotadapotar5094 ปีที่แล้ว +1

    Polisi na mkuu wa kituo Apo walipompiga mwanamchi mpaka kumuua Unaijua namba ya (OSD au OSS???😭😭😭🇹🇿)nataka nimpigie simu mkuu wa police dar es salaam 🙆‍♂️😭

  • @gracemkanta738
    @gracemkanta738 ปีที่แล้ว +1

    Wa kwanza leo💃💃💃

  • @elizabethasajile9380
    @elizabethasajile9380 ปีที่แล้ว +1

    Hatimae tumewafikiamo nawakenya bu!

  • @LEO-uq6el
    @LEO-uq6el ปีที่แล้ว

    Mwamba nimemkubali kakimbia na pingu duuu

  • @shepherd1x84
    @shepherd1x84 ปีที่แล้ว +2

    Ni Charles ama Charse😅

  • @kotadapotar5094
    @kotadapotar5094 ปีที่แล้ว

    Mauaji kutoka selekarini na selekari hipo 😭😭😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇬🇷🇬🇷🇬🇷⛴⛴⛴⚓⚓⚓

  • @bluebutterfly254
    @bluebutterfly254 ปีที่แล้ว +1

    tupe namba ya huyo mtaalam hata sisi tufaidike shida zetu

    • @lorraineatieno6544
      @lorraineatieno6544 ปีที่แล้ว

      Mumwamini Mungu wabongo jamani...muwachane na mambo ya uchawi na utaalam.

  • @stevenrichard189
    @stevenrichard189 ปีที่แล้ว +2

    Leo nimewahi kufika kwenye meza ya masteri.

  • @mildredakinyi9855
    @mildredakinyi9855 ปีที่แล้ว +1

    Huyu ni msimlizi mzuri sana. Huko kama wamayo

  • @josephnderu8033
    @josephnderu8033 ปีที่แล้ว

    3ksh *3000tsh =90000

  • @geofreymulei5695
    @geofreymulei5695 ปีที่แล้ว

    We Rudisha sinya

  • @kotadapotar5094
    @kotadapotar5094 ปีที่แล้ว

    HII MAMBO YA WAZAZI KUWACHAGULIA WAKE AU KUWALAZIMISHA MKE WA KUOA TANZANIA YATAKWISHA RINI???TATIZO SUGU KUBWA SANA 🏃‍♂️🙆‍♂️🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇬🇷🇬🇷🇬🇷

  • @ashasaid9056
    @ashasaid9056 ปีที่แล้ว

    Ndugu yke sinyaaa

  • @kotadapotar5094
    @kotadapotar5094 ปีที่แล้ว

    Hukiendelea na hii story Usipende sana kutaja majina ya watu wewe toa hii story bila kupwenti jina la mtu Alafu kilikua kitua cha polisi gani na mkoa gani walifanya mauaji ya kikatili wakati selekari ya Tanzania hipo kutuo gani hicho ?????Utupe mustabari wake muedelezo 😭🙆‍♂️🇹🇿🇹🇿🇬🇷🇬🇷👍👍

    • @mildredakinyi9855
      @mildredakinyi9855 ปีที่แล้ว

      Unauliza naswali mengi sana. Ya kwako I wapee??????(

  • @tahirnephessalum3678
    @tahirnephessalum3678 ปีที่แล้ว

    Tupe Muendelezo wa hii Story

  • @kotadapotar5094
    @kotadapotar5094 ปีที่แล้ว

    Hulikua Akuna Aja ya kumtaja jina lake huyo lafiki yako Usalama wa Taifa 🙆‍♂️🇹🇿🇹🇿🇬🇷🇬🇷⚓⛴

  • @kotadapotar5094
    @kotadapotar5094 ปีที่แล้ว

    Nipe dieter ya hiyo bar na kituo cha polisi na mkoa gani 😭🙆‍♂️🇹🇿

  • @annkim2690
    @annkim2690 ปีที่แล้ว

    Jamani kijana wawatu vile mzuri sasa wanamuonea kabisaMungu amsaidie