Mbarikiwe sana uyu Dada ushuuda wake alisema doctor alimpa mwezi tu kuishi na leo Yesu ameondoa kifo yupo Hai heti sauti nzuri hivyo shetani alitaka kuzika haaa devil is a big lies .
Huu wimbo unanibariki sana... Dada huyu aliimba alipokuja kwenye Night of Miracles Arusha.. since then the song has been on my head, I am glad mmeimba tena. Mbarikiwe sana wana wa MUNGU. NAWAPENDA❤❤
i cant get enough of this song,,,praise mmeweza, mmeweza, mmeweza tena na 2025 bado YESU NI MWAMBA
Kama ni osborn kweli kweli likes zijae hapaaaa 👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾
Mbarikiwe sana uyu Dada ushuuda wake alisema doctor alimpa mwezi tu kuishi na leo Yesu ameondoa kifo yupo Hai heti sauti nzuri hivyo shetani alitaka kuzika haaa devil is a big lies .
What's her name I want watch her testimony
Yesu anaweza mtumishi kwake hakuna kisichowezekana
@@roselinealice8869 NEEMA
Over the world
My dia ilikuwa ndani ya ibada at sikumbuki title ya hiyo ibada@@roselinealice8869
Waliyo kuja kuangalia baada ya PT kusema haya tujuane kwa like
Huyu mdada ananibariki saana anavyo imba God bless you 🙏 madam
She is anointed 🔥🔥🫡🫡
@Peaceman it's true blood
Monyewe kuna namna bana
Mee too
Surely❤
Huyu sister sauti yake is so powerful
Nabarikiwa sana akiimba
Wenye tumetoka kwenye mkesha na kujumulisha hapa like
KAMA UMEUPENDA HUU WIMBO TheOsbon Team LIKE HAPA ILI UBARIKIWE LEO.🙏🙏🙏
Kama uko uwanjani like hapa
Huu wimbo unanibariki sana... Dada huyu aliimba alipokuja kwenye Night of Miracles Arusha.. since then the song has been on my head, I am glad mmeimba tena. Mbarikiwe sana wana wa MUNGU. NAWAPENDA❤❤
Waaaaaoh Waaaaaoh Waaaaaoh! MUNGU awabariki sana
This lady has invested a lot in the kingdom and knowing God more and more.
Big up such a blessing.
Let your desires be fulliled🎉🎉
Kama unajuua una channgamoto lkn unaamini mwamba ni yesu sema Ammmmeen
Amen
Wachaaa🔥Nyimbo ya sifa ya kuamkia asubuhi
Ameeen
Hakika
@@richardsmollel2556 hawezi kutuacha huyu YESU yeye ni Mwamba imara
Thomas safari... good song be blessed...nabarikiwa
Tuliotoka kidogo kwenye live ya SALVATION NIGHT na kuja kusikiliza nyimbo halafu TUkarudi tena ibadani...TUJUANEEEEE
HALAFU ASUBUHII TUNAAMKA NAYO
Kama unamini mwamba ni Yesu embu weka like yako hapa🕊️🕊️🔥🔥 Osborn's praise
Wimbo bora wa Taifa wakuingia popote gonga like zetu apa💪
This gurrrrllll bhana,her voice is so powerful🎉🎉🎉🎉🎉. Yesu ni mwambaa❤❤
Warriors of God❤🔥🙏🏽 What a song, watoto wote wa mkuyuni gonga like hapa.....Mkuyuni to the World🎉
am so proud to be part of this family ♥️ hakika Mwamba ni Yesu 🙌
😊
Haijalishi jana yetu ilikuwaje ila mwamba Yesu is rewriting our story 🎉
Lazima tufike viewers 1m before January ❤❤❤
December's Anthem 🎉🎉🎉🎶🎶🎶🎶
Miziki inalia mnoo🎹🎹🎹🎺🎺🎸🎸🎤🎧🎼
The melody at it's natural frequency 🎤🎤🎤
Sijui hii ni mara ya ngapi im listening to this🙌🏾it is a powerful declaration
Mbarikiwe wajoli wa Bwana
Hakika mwamba ni Yesu, anaweza yote
Dada unasauti nzuri San🔥
Neema na Peter combo yenu mkiimba pamoja am sure hata shetani huwa anaogopa 😍😍😍 mzidi kutunzwa na Bwana chini ya mwamba wake
Tunaipokea tukiwa uwanjani 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Sauti na sound zimetulia Verry Powerfull😊
Kaka yangu peter mshana Mungu akuonue zaidi mbarikiwe wote osborns
Hongera sana Neema hakika wewe ni baraka
Kazi safiiiiiiii👏👏👏👏
The Osborn's 🔥🔥
Mpo vizur 🎉
Halellujah! hakika mwamba ni Yesu tu❤❤. Sweet Jesus we love you🎉🎉
Siku haiwezi kuisha bila kusikiliza hii nyimbo 🥰🥰🥰🥰❤️❤️❤️❤️
Glory to God.... Powerful song
Acheni tu Yesu abaki kuwa mwamba 🙌..Kwa Yesu raha 🤗🤗❤
Jamani nataka niwe naudhuria kwa pastor Tony ni wapi anakua anahubiri jamn msaada
Millenium tower ..makumbusho floor ya kwanza ...jumapili kuanzia saa 7 mchana..alhamis saa kumi jion.karibu❤
@@RahabuLudegehawa ni waimbaji kwa kanisa lake?
Na hiki kikundi ni kutoka nchi gani?
yesu ni mwamba
Yesu Mwamba Kweli Kweli may God bless you all
A NEW DRIP ✨️
MUNGU awabariki watumishi kwa kumwimbia MUNGU wa mbinguni na kumtukuza❤🙏
How are these guys so demure in this song. I have danced my bones out, and they are just swinging. Ama ni mimi nimepeta revelation tofauti😅
😂 pls send your video we see the breaking bones🎉
Hakika..The rock of ages!atakua mwamba kwangu in every situations.📌
Iye iye iye iyelelelellele iye YESU ANAWEZA
What a magnificent praise to JESUS be blessed osborns❤
The Osborn family ❤️💃🙏
Mwimbo wa mwezi mzima huu🔥🔥🙌🏾
Nitajificha chini ya mwamba 🙏🙌
Wanaume wamevaa vzuri sana
MWAMBA NI YESU🙌🙌🙌💃💃
Yeye ni Mwamba na zaidi ya yeye hapana Mwamba
We are waiting 😅
Neeeeeeeeeemaaaaa🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥
Nyimbo nzur mno imeniamsha asubuhi hii
Dada ako na sauti safi sana
I was waiting for this one🔥🔥🔥🔥
Yesu n mwamba💃🎊
Good music❤for sure God is taking you far
Tutasifu mpaka mbingu ziseme🎵🙌🙌
Yesu awabariki sana! This is my year song
Mwamba ni Yesu Mwamba
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉Yani mnajua tena mnajua tena congarts ney wang
Nabarikiwa kabla nianze kazi,, Yesu ni mwamba mbarikiwe osborns ❤❤❤❤
Waiting🎉🎉
Napokea nikiwa madhabauni🔥
Jesus is the rock
❤
I'm here from salvation night 💃❤ I love the soong❤
🙌🙌🙌 MWAMBA NI YESU
My people ❤❤
Ila Neema🙌🏻🙌🏻🙌🏻❤️Glory to God🙌🏻
Amen daa mungu azidi kukuinulia huduma iliyo ndani yako 🙏🙏🙏
Nimebarikiwa sana🙏❤️
Audiomark hatupati wimbo
Vijana Mbarikiwe mnoo ujumbee ni mzuriii🙏
Drummer 🙋♂️🙋♂️🙋♂️🙌🙌🙌
osborns praise ❤️
Uuuuwiiii kwakweli nachojua mwamba ni yesiuu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
from Nyeri
Hakika yesu ni mwamba hajawai kuniacha
Tunasubiriii 🎉🎉🎉❤
The long wait jamani
Mwamba ni Yesu🔥🔥🔥
Mbalikiwe zaidi
Wimbo mizuri sana
Amen... looking good and smart
🔥🔥🔥🔥 MWAMBA NI YESU 🙌
Hili goma hili ni 🔥 🔥 🔥
❤❤❤❤🎉🎉🎉
Tunaomba uwekwe boomplay pia
Yesu ni Mwamba
Ooooooh wouuuuw nawapenda sanaaaa
🔥🔥Yesu anaweza
Yesu anaweza 💃🤍🥳
Indeed Jesus is the rock of my salvation ❤
Amen barikiwa sana wimbo unabariki
Tupoooo❤
Navyosubiri kwa hamuu❤❤
Amazing 🎉
🙏🙏🙏❤