Osborns Praise
Osborns Praise
  • 16
  • 259 474
Tabasamu | Osborns Praise
The official video of “Tabasamu” by Osborns Praise.
Connect with Osborns Praise:
Instagram: osbornspraise
TH-cam: / @osbornpraise
TH-cam: / @pastortonykapola
TABASAMU
Inua sauti Yako ipaze,
Dunia yoye ili wajue,
Usoni mwako weka tabasamu,
Ili wajue wewe unapendwa.
Kama unapendwa,
Kama unapendwa.
Kama unapendwa,
Kama unapendwa.
Kama unapendwa,
Kama unapendwa.
Kama unapendwa,
Unapendwa we, we we. Tabasamu we, we
Unapendwa we, we we. Tabasamu we, we
Unapendwa we, we we. Tabasamu we, we
Unapendwa we, we we. Tabasamu we, we
Ni raha ilioje,
Kujua unapendwa,
Kujua unapendwa,
Unapendwa na Mungu
Kama unapendwa,
Kama unapendwa.
Kama unapendwa,
Kama unapendwa.
Kama unapendwa,
Kama unapendwa.
Kama unapendwa,
Unapendwa we, we we. Tabasamu we, we
Unapendwa we, we we. Tabasamu we, we
Unapendwa we, we we. Tabasamu we, we
Unapendwa we, we we. Tabasamu we, we
Inuka,
Inuka Tena
Maana Nuru Yako imeangaza Tena,
Angaza Tena
Kama unapendwa,
Kama unapendwa.
Kama unapendwa,
Kama unapendwa.
Kama unapendwa,
Kama unapendwa.
Kama unapendwa,
Unapendwa we, we we. Tabasamu we, we
Unapendwa we, we we. Tabasamu we, we
Unapendwa we, we we. Tabasamu we, we
Unapendwa we, we we. Tabasamu we, we
มุมมอง: 24 096

วีดีโอ

Nimezisikia Habari Zako | Osborns Praise
มุมมอง 57K28 วันที่ผ่านมา
The official video of "Nimezisikia Habari Zako" by Osborns Praise. Connect with Osborns Praise: Instagram: osbornspraise TH-cam: / @osbornpraise TH-cam: / @pastortonykapola Aaah aah eeh Yesu eeh Nimezisikia Habari zako nataka nione kwa Macho Aah aaah eeeh Yesu eeh nimesikia wewe wainua nataka nione kwa Macho Bwana nimesikia habari zako Zanishangaza nami leo Bwana nimekuja nataka n...
Mwamba Ni Yesu | Osborns Praise
มุมมอง 91Kหลายเดือนก่อน
The official video of "Mwamba Ni Yesu" by Osborns Praise. Connect with Osborns Praise: Instagram: osbornspraise TH-cam: / @osbornpraise TH-cam: / @pastortonykapola MWAMBA NI YESU Mwamba ni Yesu mwamba Mwamba ni Yesu mwamba Njia zake ni za kweli mwamba Halleluyah yoyo (Mwamba ni Yesu mwamba) Akisema Ndiyo hakuna wa kupinga Halleluyah yoyo (Mwamba ni Yesu mwamba) Akili zake hazichun...
I'm Amazed | Osborns Praise
มุมมอง 51Kหลายเดือนก่อน
The official video of "I'm Amazed" by Osborns Praise. Connect with Osborns Praise: Instagram: osbornspraise TH-cam: youtube.com/@OsbornsPraise/videos TH-cam: youtube.com/@pastortonykapola Lyrics: Jesus am amazed, Lord am amazed Chineke nna, am amazed Am amazed, am amazed And with all my heart I wanna say Thank you, thank you Thank you, Jesus thank you Thank you Lord ooh oh, thank ...
Yeshua | Deeper Medley | Osborns Praise
มุมมอง 6K3 หลายเดือนก่อน
Yeshua | Deeper Medley | Osborns Praise
Yesu Rafiki Mwema | Osborns Praise
มุมมอง 4K4 หลายเดือนก่อน
Yesu Rafiki Mwema | Osborns Praise
Yahweh Sabaoth | Deeper Experience Worship Medley | Osborns Praise
มุมมอง 6K4 หลายเดือนก่อน
Yahweh Sabaoth | Deeper Experience Worship Medley | Osborns Praise

ความคิดเห็น

  • @elizabethmabula6044
    @elizabethmabula6044 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Waaaaaoh Waaaaaoh Waaaaaoh! MUNGU awabariki sana

  • @denisawuor-wr9rg
    @denisawuor-wr9rg 2 วันที่ผ่านมา

    Glory be to God

  • @katieabraham2013
    @katieabraham2013 2 วันที่ผ่านมา

    i cant get enough of this song,,,praise mmeweza, mmeweza, mmeweza tena na 2025 bado YESU NI MWAMBA

  • @AgreyMWinuka
    @AgreyMWinuka 3 วันที่ผ่านมา

    Utamu wayesu upo Hulu achen nyie mungu awa barikiiii san🎉❤😂❤❤❤

  • @vumiliambogela8413
    @vumiliambogela8413 3 วันที่ผ่านมา

    MWAMBA ni YESU

  • @happinessmauricelillai7119
    @happinessmauricelillai7119 3 วันที่ผ่านมา

    THIS IS A WOW🎉🎉🎉 glory be to JESUS #TABASAMU

  • @MagrethIsack-v3c
    @MagrethIsack-v3c 3 วันที่ผ่านมา

    Am blessed through this song 🙏🏾💕 thanks you GOD for the Osborn's

  • @mercymundu
    @mercymundu 3 วันที่ผ่านมา

    Yesu nashangaa pendo ya namna hii❤❤❤❤

  • @KumekaAtirio
    @KumekaAtirio 4 วันที่ผ่านมา

    Praise the lord with smile😃😃😃😃😃

  • @Dolphinebosibori-um7gi
    @Dolphinebosibori-um7gi 4 วันที่ผ่านมา

    Hallelujah the Osborn people now doing a good job continue sporting our choir Mach love from Kenya 💕🫂the year of smelling rahaa Sana ndani ya yesu 💃💃🌟

  • @isabelavictor9964
    @isabelavictor9964 5 วันที่ผ่านมา

    Hallelujah 💃 💃 💃 💃 💃 💃 💃 💃 💃 💃 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @isabelavictor9964
    @isabelavictor9964 5 วันที่ผ่านมา

    Hallelujah 💃 💃 🕺 🕺 💃 💃 💃 ❤❤❤❤

  • @pallangyodaniel8918
    @pallangyodaniel8918 6 วันที่ผ่านมา

    Vibe la PT mpaka nataka kuruka juu kabisaaaaa acheni utani YESU ni mzuri sana ukimjua 🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤❤❤❤❤

  • @pallangyodaniel8918
    @pallangyodaniel8918 6 วันที่ผ่านมา

    Watu wataijia NURU ya kuangaza kwako nao watasimulia yaliyo matendo makuu ya MUNGU wa MBINGUNI 🎉❤

  • @dorahgideon3259
    @dorahgideon3259 6 วันที่ผ่านมา

    🔥🔥

  • @angelmringo8582
    @angelmringo8582 7 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤

  • @JudithKimario-jk6hw
    @JudithKimario-jk6hw 7 วันที่ผ่านมา

    Tunaombaa mtuwekee nyimbo kwenye audiomack

  • @AbrahamMasika1
    @AbrahamMasika1 7 วันที่ผ่านมา

    th-cam.com/video/AGrs0qNFkCg/w-d-xo.htmlsi=H3WYW5k2uknbd5NK

  • @CarolyneAniceth
    @CarolyneAniceth 7 วันที่ผ่านมา

    Huu wimbo hauko audiomack😢

    • @primrosepaul5255
      @primrosepaul5255 7 วันที่ผ่านมา

      Imagine 😢 ata m nlkua naitafta huko

  • @JacquelineMariki
    @JacquelineMariki 8 วันที่ผ่านมา

    🎉🎉🎉🎉🎉

  • @dunstanalbanokifunta6723
    @dunstanalbanokifunta6723 8 วันที่ผ่านมา

    we listen, we dont judge...... if you know you know 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @douglasmardai1932
    @douglasmardai1932 8 วันที่ผ่านมา

    😊

  • @GodblessPancras
    @GodblessPancras 8 วันที่ผ่านมา

    Bro Kelvin be blessed wimbo ume lead vizuri🔥🔥

  • @JamesPiano-x1h
    @JamesPiano-x1h 8 วันที่ผ่านมา

    Max drummer uko vyemaaaaa. Tutafutane nduguu yanguu

  • @bryanmadale1076
    @bryanmadale1076 8 วันที่ผ่านมา

    Bonge la dude asee😊😊😊

  • @EstherWilson-y7y
    @EstherWilson-y7y 8 วันที่ผ่านมา

    It can't pass a day sijasikiliza this song.... jmn the way niko blessed with this song, my kamoyo knows....... i just feel like crying, knowing that God loves me, somuch...... weka tabasamuuuuuuuu😂😂😂😂😂, ili wajue wewe unapendwaaaaa... LEMME CONFUSE THEM WITH MY SMILE, LAUGHTER AND SHINING MOMENTS ✨️ 😄.

  • @EstherKibale
    @EstherKibale 8 วันที่ผ่านมา

    Ameeen barikiwa sana

  • @MamieMariki
    @MamieMariki 8 วันที่ผ่านมา

    🙌🏻🙏🏻

  • @brendahchristian8389
    @brendahchristian8389 8 วันที่ผ่านมา

    Hii nyimbo 🙌🏻🙌🏻 Roho mtakatifu kachukua nafasi nimejikuta nimezama rohoni nikiwa ofisini 🙏🏻

  • @brendahchristian8389
    @brendahchristian8389 8 วันที่ผ่านมา

    Yesu nashangaaaa 🙌🏻🙏🏻 Jesus Thank You 🙏🏻

  • @brendahchristian8389
    @brendahchristian8389 8 วันที่ผ่านมา

    This Song ❤

  • @juliusjulius9805
    @juliusjulius9805 9 วันที่ผ่านมา

    🙌💯💯

  • @monicamwasindila9970
    @monicamwasindila9970 9 วันที่ผ่านมา

    Napendwa na ninatabasamu.

  • @calvinlondo9804
    @calvinlondo9804 9 วันที่ผ่านมา

    Amen amen 🙏

  • @marthakitinusa9696
    @marthakitinusa9696 9 วันที่ผ่านมา

    Tumeanza kuendelea Tz kwa upande wa majukwaa

  • @tasianaMuganyizi
    @tasianaMuganyizi 9 วันที่ผ่านมา

  • @jennymugisha
    @jennymugisha 9 วันที่ผ่านมา

    ❤❤💯🙌🙌

  • @dannysabu1
    @dannysabu1 9 วันที่ผ่านมา

    My brother Ebenezer 🎸 🙌 Good bless you guys

  • @lunkombejuliet
    @lunkombejuliet 9 วันที่ผ่านมา

    This song blesses me🎉❤

  • @edinamtaula6553
    @edinamtaula6553 9 วันที่ผ่านมา

    Hii nyimbo haichoshi yaan inasound good mpk raha 🥰🥰💃💃💃

  • @mlimatvchannel4896
    @mlimatvchannel4896 9 วันที่ผ่านมา

    eti hii ndio team ya pastor tony kapola eeh?

    • @OsbornsPraise
      @OsbornsPraise 9 วันที่ผ่านมา

      @@mlimatvchannel4896 Ni praise team chini ya huduma ya Pastor Tony

  • @stellachotta483
    @stellachotta483 9 วันที่ผ่านมา

    Napendwa na Baba ❤❤💃💃💃💃

  • @reallysammy6075
    @reallysammy6075 9 วันที่ผ่านมา

    Wimbo mzuri wekeni platform zote

  • @BijouxNahimana
    @BijouxNahimana 9 วันที่ผ่านมา

    Napendwa na BABA mimi 💃💃💃

  • @annamayengela7100
    @annamayengela7100 9 วันที่ผ่านมา

    Wimbo nimeusikiliza ni mzur ila tunajisifu sisi wanadamu kuliko Mungu wa mbinguni

  • @adellaOsborn
    @adellaOsborn 9 วันที่ผ่านมา

    🔥🔥

  • @ndojes711
    @ndojes711 9 วันที่ผ่านมา

    Uongozi mbaya THAT LADY HAPO KAJINOMA KINOMA HYO DANCE ❤❤❤

  • @emmanuelmdaile155
    @emmanuelmdaile155 9 วันที่ผ่านมา

    Unapendwa na Baba ❤😊🎉

  • @SMEDIA298
    @SMEDIA298 9 วันที่ผ่านมา

    Good song but kurukua na lazima gani mabinti kuvaa hivyo mlivyo vaa

  • @SARAHSAINYEYE
    @SARAHSAINYEYE 9 วันที่ผ่านมา

    Siwez kuacha kutabasamu😊 This song is soul lifting Our GOD really loves us