Mwanga Wa Akili (Intelligence) Dr.Elie V.D Waminian.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • Mzazi ni mtemgeneza Urithi. Hivyo hutakiwi kumpenda mtoto zaidi ya wewe unavyojipenda. Ili umpende mtoto ni lazima wewe ujipende.
    Kama mzazi unakipato jitahidi kadri uwezavyo kuwapeleka watoto shuleni. Elimu ni Urithi wa kudumu.Ubarikiwe na Bwana.
    #DrElie #Mwangawaakili #Chomoza2019

ความคิดเห็น • 32

  • @T-Fellow
    @T-Fellow 9 หลายเดือนก่อน

    Dah, nimependa hii na Mungu wa Mbinguni azidi kukubariki

  • @saimonalfred2469
    @saimonalfred2469 5 ปีที่แล้ว +5

    Kwaupendo wa dhati kutoka kwangu kuja team chomoza mungu awabariki sana.....ombi langu Dr Elie akimaliza somo hili naomba azungumzie kuhusu kifo ili watu wapate elimu pia.....maana usipoelewa kifo kama sehemu ya maisha
    hutaishi vyema ktk maisha....iwe ni sehemu ya ukweli wa maisha....ahsante msalimie dr elie tunampenda sana mungu ampe maisha marefu!!

  • @patrickndayishimiye41
    @patrickndayishimiye41 5 ปีที่แล้ว +3

    Mimi ni Erick toka Burundi nimejifunza sana na nimechukua atua mpya kwa ali mengi mno,kama itawezekana Doctor atufundishe vizuri biblia kwa sababu wanao itafsiri leo njo ao wanao leta vuru kwa watu,asanteni.

  • @barick
    @barick 5 ปีที่แล้ว +3

    Nampenda dk.elly ananifanya naenda ktk viwango vya juu kwasab akiongea baadhi hua natenda.
    # asanten clouds tv nawapenda sana.

  • @pasteurvianney8491
    @pasteurvianney8491 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu azidishiye maisha matefu Docter Elie na comoza

  • @peterpaschaljuma2382
    @peterpaschaljuma2382 4 ปีที่แล้ว

    MUNGU akubark Dr Elie akupe maisha marefu uzudi kutuelimisha

  • @faidaruzamuka2218
    @faidaruzamuka2218 2 ปีที่แล้ว

    YES

  • @remigiuschilumba4685
    @remigiuschilumba4685 5 ปีที่แล้ว +2

    Sina neno la kusema ni mwanga wa akili

  • @faidaruzamuka2218
    @faidaruzamuka2218 2 ปีที่แล้ว

    Ndiyo

  • @liobajoseph8255
    @liobajoseph8255 5 ปีที่แล้ว +1

    Asante Sana Dr Ellie kwa masomo mazuri ya maisha, Be blessed

  • @chrispinemallya2420
    @chrispinemallya2420 5 ปีที่แล้ว

    Asanteni sana kwa somo hili.. Mungu awabariki.

  • @jamesmrema9311
    @jamesmrema9311 5 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki sana

  • @queenyahaya3147
    @queenyahaya3147 5 ปีที่แล้ว

    Amina twakupenda daima

  • @winnyshayo8812
    @winnyshayo8812 5 ปีที่แล้ว +3

    Be blessed CHOMOZA.

  • @erickrugabela7747
    @erickrugabela7747 10 หลายเดือนก่อน

    Hivi doctor ulisomaga masomo gani

  • @fabiansemba1679
    @fabiansemba1679 5 ปีที่แล้ว

    team chomoza....salamu kwa Dr,kaka yangu sasali na uncle Jimmy... nawapenda daima....bila kumsahau G mwanahapa.

    • @innocentshirima6715
      @innocentshirima6715 5 ปีที่แล้ว +1

      Hongera sana kwa kipindi kizur v kaka sam cd zinapatikana

    • @iddajoseph3676
      @iddajoseph3676 5 ปีที่แล้ว

      najifunza sana kwa mafundisho ya Dr. Elly mbarikiwe sana team chomoza Sam na Jimmy

  • @kambonanzogela243
    @kambonanzogela243 5 ปีที่แล้ว

    Hongera .Mnaeleweka vizuri

  • @selfaakinyi512
    @selfaakinyi512 5 ปีที่แล้ว

    Thanks so much Dr Elie nimejifunza pakubwa sana. Be blessed.

  • @stevenmwaisunga5090
    @stevenmwaisunga5090 4 ปีที่แล้ว

    Asante.

  • @phanuelpaul3785
    @phanuelpaul3785 5 ปีที่แล้ว

    stress is sleep and awake circle aisee umenifungua akili

  • @phanuelpaul3785
    @phanuelpaul3785 5 ปีที่แล้ว

    thanks alot be blessed Dr. elly

  • @raymondprosper7790
    @raymondprosper7790 5 ปีที่แล้ว +1

    Alafu chomoza mnatuangua mara wiki hii mpo mara wiki ijayo hampo hatuwaelewi sasa ...!!!!!

  • @kingsulemani7251
    @kingsulemani7251 5 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisa

  • @emmanuelmayombo6188
    @emmanuelmayombo6188 5 ปีที่แล้ว +1

    Hakika Dr anaweza hasa nipo nanyi

  • @omaryshafii50
    @omaryshafii50 5 ปีที่แล้ว

    Respect

  • @dr.tumainiandrea6957
    @dr.tumainiandrea6957 5 ปีที่แล้ว +2

    Ninawapata vilivyo kutoka hapa India
    Naomba tuwasiliane, ili niwasilishe shuhuda ninazozipata kutoka kwenye masomo haya. Pamoja na maoni asante
    Dr. Tumaini +91 8696950206 (WhatsApp) #KaziNaAjira

  • @derickmtono2527
    @derickmtono2527 5 ปีที่แล้ว

    Mbona star times mmejiondoa?

    • @barick
      @barick 5 ปีที่แล้ว

      Kamuulize Anko magu

    • @mwajumalucas8653
      @mwajumalucas8653 5 ปีที่แล้ว

      Kipind kizur sana asante