Kuna vitu vingine haina hata haja ya kujibu ni kuwapuuza tu watu wa aina hii, labda serikali ni ya chadema sasa ndio wameshika dola na sio CCM ndio maana ameweza kupata kazi serikalini. Na hata akiwepo mahakama kuu je hakimu ni yeye tu au? Hivi kura za ndio zikiwa 99 hiyo moja itafanya kazi? Tujaribu kuchukulia vitu positive sana kuliko negativity@@letthedeadburythedead2148
@letthedeadburythedead2148 Je, wote wasemao wanampenda fulani au kiongozi fulani huko kwenu CCM, mathalani... msemapo nampenda Samia Majaliwa , Makonda, Chongolo.....au yeyote yule...hawa wote huwa mna uhakika wanawapendeni pia?Huko si ndo kuna uchawa zaidi? Duuuh! Swali gani hilo ewe ndugu yangu wa CCM? Hivi, CCM mko kudhibiti hata hisia za watu? "What a country and a shame!"
Umepata tunu hiyo ya kuwa wakili wa serikali Tena mahaka kuu nenda ukatende haki kwa Kila mmoja na c vinginevyo epuka roho ya rushwa Kwan rushes ni adui mkubwa wa haki MUNGU akuongeze katikat kazi Yako hongera sana na kutakia utekelezaji mwema wa majukum Yako barikiwa
Hiyo inayojengwa ni madhabahu ambayo huyo maskini anatakiwa aingie hapo amwimbe Mungu amwondolee umaskini Hivyo huyo anayesema kanisa linachangiwa milioni 800 wakati nje ya ukuta wa kanisa kuna maskini. Maskini watakuwepo wala huwezi kuwamaliza. Ila umaskini unaondoka kama ukimlilia Mungu aliyehai
Hi nchi bwana makanisa yana changiwa milion 800 akati nje ya ukuta wa kanisa kuna masikini wana lala njaa wengine skukuu wame shindwa nunua mchele elfb4😢
Shame on you. Familia ya Mbowe ni bilionea toka awali. Wana majumba mpaka Uingereza wanakula Kodi za paundi. Ni vile wanajishusha Sana. Hao ndiyo wachagga mkiambiwa ni mabilionea basi mkae kimya. Magu mwenyewe pale alileta fitina kwa wachagga mpaka anaozea kaburini lakini wachagga hawakutetereka. Taifa la Mungu hilo kama Israel ukiligusa umekwisha. Sema jingine.
@@binseif2216 Makasiriko ya nini Ndugu anayehangaika na mlo wa siku ni wewe na familia yako huko Kaskazini watu tunakula faida Lol tafta pesa usikurupukie comment isiyokuhusu jombaa
Mbowe amesumbuliwa Sana na serikali akaamua kusomesha mtoto wake awe wakili tena wa mahakama ya juu kabisa salute kwa mbowe
Kama anasumbuliwa na serikali hio kazi ya mahakama kuu ya serikali kaipataje?
@@letthedeadburythedead2148 kwahyo hajasumbuliwa na serikali sio? vila hadi waishe hii tz tushakufa wote
@@elirehemaringo188sema alisumbuliwa n magu siyo serikali😅😅😅
Kuna vitu vingine haina hata haja ya kujibu ni kuwapuuza tu watu wa aina hii, labda serikali ni ya chadema sasa ndio wameshika dola na sio CCM ndio maana ameweza kupata kazi serikalini. Na hata akiwepo mahakama kuu je hakimu ni yeye tu au? Hivi kura za ndio zikiwa 99 hiyo moja itafanya kazi? Tujaribu kuchukulia vitu positive sana kuliko negativity@@letthedeadburythedead2148
Hongereni sana James Mbowe na huyo mdogo wako Mhe kwa kuwa Wakili na kuajiriwa Mahakama Kuu ya Tanzania. Ukoo wa Mbowe nawapenda wote Mbarikiwe sana
Je wanakupenda na wewe?
@@letthedeadburythedead2148😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nilijua tu lazima udis
@letthedeadburythedead2148 Je, wote wasemao wanampenda fulani au kiongozi fulani huko kwenu CCM, mathalani... msemapo nampenda Samia Majaliwa , Makonda, Chongolo.....au yeyote yule...hawa wote huwa mna uhakika wanawapendeni pia?Huko si ndo kuna uchawa zaidi? Duuuh!
Swali gani hilo ewe ndugu yangu wa CCM? Hivi, CCM mko kudhibiti hata hisia za watu? "What a country and a shame!"
Hongera James Mbowe kwa kuzungumza vyema sana!
Hongera sana dada na Mdogo wetu nicoel kwa sio tu kuwa wakili Ila Wewe ni mpambanaji
Umepata tunu hiyo ya kuwa wakili wa serikali Tena mahaka kuu nenda ukatende haki kwa Kila mmoja na c vinginevyo epuka roho ya rushwa Kwan rushes ni adui mkubwa wa haki MUNGU akuongeze katikat kazi Yako hongera sana na kutakia utekelezaji mwema wa majukum Yako barikiwa
Kama unaamini Halima bado Ni chadema gonga like hapa.
Hongera sana Mbowe Lissu na Lema ni wasaliti watz Mimi ninamuamini Mbowe na siyo hao wahuni In God I trust🎉
Nimependa unyenyekevu wako 🙏🙏🙏
Kwenye majukwaa wakina Mdee sio wabunge lkn behind the scenes yupo karibu na mwenyekiti, kweli siasa za bongo Nyosso
Siasa siyo vita.Siasa ni maono,kutofautiana ktk fikra,mtazamo na mawazo kwa lengo moja tu la kujenga Taifa.
@@chrismtitu799 kwahiyo siasa inaruhusu double standards?
No one who is perfect is world.Ar u remember Yuda mkasirioth ambay alikuwa miongon wa wanafunz 12 wa Jesus Christ??
Wale wabunge wa Chadema viti maalumu waliofukuzwa Uanachama Chadema walipeleka kesi mahakamani na walishinda. Kwa hiyo ni wanachadema halali kabisa
Huyu kijana kafata Nyayo za Babake kabisaa anaongea kwa kujiamini na yuko makini kwenye kujibu maswali na kuelezea mambo🎉🎉🎉
Uko vzr sana ndg.
Well dane
Sound is Distorted....What Lavaliers are you using?
Barikiwa sana
Sauti ya Chairman kabisa
Weldone
Wakili sio Mheshimiwa😢😢
ebu tuambie mueshimiwa ni nani sasa
James akili kubwa
Hiyo inayojengwa ni madhabahu ambayo huyo maskini anatakiwa aingie hapo amwimbe Mungu amwondolee umaskini
Hivyo huyo anayesema kanisa linachangiwa milioni 800 wakati nje ya ukuta wa kanisa kuna maskini.
Maskini watakuwepo wala huwezi kuwamaliza. Ila umaskini unaondoka kama ukimlilia Mungu aliyehai
Kumbukeni watu kibaoo wamekufaa kwajili ya hii chadema kumbe ni kt kimoja na ccm 😂
sasa nyie andamaneni mkidai katiba mpya wakati iliyopo imemfikisha Mwenyekiti wenu hapo😂
Hapo mbowe,anahamia ccm Niko paleeeeee.
Kwan nani aliekuambia mbowe sio ccm?
Bonge la nyumba
acheni.majungu.kila mtu.apambane na hali.yake
Binafsi siwapendi kovid hata kuwaona sas wameiba Kodi ya watanzania miaka yote hiyo eti saa hizi kinajipendekeza kwa mbowe
sauti ya mzee freeman
Hi nchi bwana makanisa yana changiwa milion 800 akati nje ya ukuta wa kanisa kuna masikini wana lala njaa wengine skukuu wame shindwa nunua mchele elfb4😢
Haitatokea hata siku moja watu wa kulala njaa wakakosekana dunia hii ndg yangu
Life no balance
Una jicho la tatu wewe
Apeleke taarifa ili achangiwe
Kila kitu kwa wakati wake na nafasi yake hapa ni.ujenzi wa church
Najivunia chadema yangu
Kwani kuna shida gani! Mbona iliwahi kuhamia Chato?
Ili iweje?
Jambo la maana hlo kabisa ushind uko
Palepale
Wachaga hawamuachag mtu salama
namsikia mboe kabisa
Wakili tayari bado vurugu
Unajuw man ya wakili wa makam kuu
Mtasubili sana
Ma chadema ya napigwa yanateseka siku yauchaguzi hao wanaowatetea wanaenda ughaibuni,angalieni kwanza hilo jengo balaa
Watu wanapesa jmn
tafuta mdogo wangu zipo utazipata kikubwa weka Mungu mbele nyenyekea utakwezwa
Nyinyi wanacjama wa chadema hangalieni kiongozi went hanavyoishi vizuri make mkujua mnapoteza wakati went chadema ni ya wachaga😢
Ulitaka aisha kama wewe unavyoishi? Acha makasiriko kale mihogo yako ulale
Hivi we mbulula unasemaje,eti tuangalie mjengo wa mbowe.utajiri wa mbowe ulimkuta kabla hajazaliwa.wee kaa unawaza mjengo .
Kwani amejenga kwa fedha za chama, acha wivu nenda kafanye kazi ujenge ya kwako.
Shame on you. Familia ya Mbowe ni bilionea toka awali. Wana majumba mpaka Uingereza wanakula Kodi za paundi. Ni vile wanajishusha Sana. Hao ndiyo wachagga mkiambiwa ni mabilionea basi mkae kimya. Magu mwenyewe pale alileta fitina kwa wachagga mpaka anaozea kaburini lakini wachagga hawakutetereka. Taifa la Mungu hilo kama Israel ukiligusa umekwisha. Sema jingine.
Huyu ndiyo mrisi wa mwenyekiti akuna ubishi kama utaki hama chadema
Mbowe mwanao kuwa wakili sisi tufanyeje? Au ana umuhimu upi kwa media kututangazia? Oooopppsssss
Kwan aliwait wandish
@@gustavompemba1781 sasa walimpigaje picha ? Ww nawe sijui unauliza swali au jibu
Acha wivu
Nenda kasome acha wivu
Unateseka ukiwa wapi😂😂
Wakili kashapatikana kilichobaki ni chama pinzanj kishinde kiti Cha uraisi Ikulu ihamishiwe Moshi au Arusha
Kumekuchaaaa😂😂
@@simasima8084 Hio haipingiki ngoja siku wajichanganye Chama pinzanj kishinde kiti Cha Uraisi ndio utaamin
Kaeni mpige domo wakat kina mboe wapo kimaslahi kwanza hilo jumba tu balaa wakat ww unahangaikia mlo wa siku
@@binseif2216 Makasiriko ya nini Ndugu anayehangaika na mlo wa siku ni wewe na familia yako huko Kaskazini watu tunakula faida Lol tafta pesa usikurupukie comment isiyokuhusu jombaa
@@jrsaid4270 Nyie mkishika nchi mtajiweka makabila yenu ya uchagani kila sekta wasukuma,na makabila mengnie watabaguliwa sana nyie wabaguzi