Vimbwanga vya Bernard Morrison akitambulishwa klabuni KenGold
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ก.พ. 2025
- #MakarashaDay: Tazama ‘vimbwanga’ vya Bernard Morrison baada ya kutambulishwa ndani ya dimba la Sokoine jijini Mbeya ikiwa ni ingizo jipya kwenye kikosi cha KenGold.
Wchezaji wengine waliotambulishwa ni pamoja na Morrison ni Kelvin Yondani na Obrey Chirwa.
#MakarashaDay #KenGold #HashukiMtu #AzamSports1HD
Mm nawaombea msishuke daraja nawapenda mno ❤️❤️❤️❤️❤️❤️🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Waooooooh!!! Very fantastic! 😍 I LOVE CAN GOLD I LOVE MBEYA ✨💫💫🙌📖🙌🎉🎉😘💋💋❤❤❤❤💞💪🙏🙏🙏🙏🙏🙏 by Steve Tanga mbeya kwetu 🙏
Kama unaamini hivi vinavyofanywa na Ken Gold ni vituko like hapa😂😂😂😂
Jamani Kengold msituangushe wana Mbeya tunawategemea 🎉🎉
Msemo wa kocha wa yanga kwamba ligi aina ushindani sasa umezaa matunda...Boss KenGold kavunja kibubu 😀!
NBC imevamiwa😂😂😂BM3 katuwa bongo😂🙌🏿
Mchezeji kafika leo na leo leo kapewa ukeptaini Raha sana 🎉🎉❤
🎉 kelvin nakubali sana, jina la mdogo wangu nakupenda pia napenda kazi yako mungu akutangulie
From #EconomicallyGrowthMusicians Congratulations Guys Kazi nzuriii sana hii Ikawe Kheri Kwenu Wakuu🎉🎉🎉🎉 Enjoy Muziki Mzuri kutoka EGM
Jamaaaniiiiii,,,haya inatosha tusianze ujinga asa ivi
Kusema ukweli Morisson anaujua mpira kwa level aliyoenda mabeki watateseka sana. Big up Bernard Morrison.
Duh Yondani tena😅😅😅😅😅😅 Alafu Mkija kufungwa Muanze Kusema Timu kubwa Zinanunua Mechi
Morrison anajijua chizi anawaambia inatosha asije anza ujinga saiv yani anajijua anaweza kuhariku kabla ya game
😂😂bm3 noma sana narud ken gold 😂😂
Mimi jamani nafutahi tu Aubrey Chirwa 😘😘😘🫂
Mko vizuri ndo tunaanza ligi sasa
Hapo kocha angekuwa mourinho weeeeeeeee ubingwa caf champions league mapema
Kumbe bongo kuna timu ya kwenda kulia uzee alaf nashangaa mie sijaitwa nikal uzee wang poa😢😢
Nyie kusanyen wazee kama mabarozi wa tasafu kisha tutaonana mwisho wa msima msije sema hatujawaambia😂😂😂
Jamani mbona wote wazeee 🤣🤣🤣
Tunasajili wazeee mtuachie ken gold yetu 😂😂😂😂😊
Hii timu Boss kalewa 😂😂😂
Hahahahahaha😂😂😂😂😂😂😂
Tunafanya kweli wanagu wambea ❤❤
Wapambane sasa tuko mikoani tunaambiwa tumelala wakati si ndo Mkoa wa vipaji vingi tofauti tofauti %
0:10
Amaa kweli ukistaajabu ya musa utayaona ya ken gold ndo hayo sas
😅😅..Their very funny this pipos
Wao wanasajili kwa lengo la kunusulu timu isishuke na ndio maana wamewapa mikataba ya muda mfupi, then msimu ujao ndio wasuke kikosi upya
😂😂😂 mbona timu ya wazee
kweli tajiri kaamua....izo jezi kama kanzu za mashahidi wa yehova
Pole mzee mashahidi wa Yehova hawajawahi kuvaa kanzu ktk historia yao
Ila tuache utani hiki kikosi ni noma kitakua na ushindani wallah nawaambia🙏🙏🙏🙏
😂😂😂😂😂usianze ujinga kumbe anajijua kua ni mjinga
Kutoka mozambiqui mimi ni mashabiki wa simba timu inawachezaji wazur pambana itafika mbali kikubwa kujituma
Morrisson hajawah kuwa serious😂
ONGERA SANA KEN GOLD
duu tulimmis sana captain kelvin patrick yondan coton juice
2025..Tutayaona Maajabu Meng Sana..Yaan Wachezaji Wa Wili..Cjuw Watatu..Unawatambulisha Utazani Kama Unaenda Kuanza Msimu..😂😂
Kama Morrison anachechemea vile😂😂
Ila hii club😅😅😅 tuwe wapole kila mtu atachanganyikiwa kwa wakt wake
😂😂😂benard dahh
Kashakula bange mwanang BM3 bhn😂🙌🏿
Jamaniiiiii msianze ujinga Sasa ivi
Bm3🎉🎉🎉
Naona Morrison alisajiliwa Simba na Yanga
Kumbe ligi ndio imeanza kwa Ken Gold😹😹😹
Lazima Mrudi Mlipotoka Nyie!!
Kwani hujapendaa
Hii Kali ya mwaka 😂😂😂😂
Leo lao ni team ibaki ligi kuu
OBREY CHOLWAAA 😮😮😮
tanzania kwa komedi
KUPATWA KWA NBC SASA HUYU WAKILI AKIJA KUWASHITAKI KEN GOLD TIMU ITAFILISIKA
wazee fc😂😂😂
Kwl simba imeanzisha kitu kizuli yn timu zote tz wameiga
😂😂😂😂 hata sijui nacheka nini mimi😅
BM3 😂😂😂🙌🏽🙌🏽 et jaman
Ndo wavae Jez kubwaaaa
KAMEENDA KULA PESA ZA MADINI
HAKUNA MCHEZAJI HAPA
Amna uyo fundi bn
Ben ni kipaji boy labda km hujui mpira
😂😂😂😂 laaahaullaaah chirwa hata kukimbia hawezi
Tanzania Hadi lahaa Yani maajabu ni yakutosha
jamaniii😂😂😂
😂😂😂hizo jenz😅
Bosi kweli ameamua ,hii timu haitashuka daraja tena
Wale vijana wameshindwa kuiokoa timu Bora waje Hawa wazee na Imani hawatashuka daraja.
Old is gold msidharau ngoja tuone
Msianze ujinga bado mapema sana
Vituko wanaweza shuka wakileta masiala wapambane wanambeya tuna waamini.
😂😂😂 benadi kashakua msanii uyo
Ila ken gold angalieni sana maana naona wengi katika utambulisho ni vibonge
Hivi ni vituko uswahilini...
Uswahilini Kuna VITUKO😅😂😂
Utambulisho wa wachezaji katikati ya msimu tena wachezaji wenye umri zaidi ya miaka 40' vituko vinaendelea😮😅😊
Aaah😁😁😁😁😁😁
😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮Haaàaaaaaa
Yondani miaka 50😂😂😂
Roho mbaya itakuuwa mzee!! 😂😂 Kwa levo ya kengold hayo n mafanikio makubwa kw soka la Tanzania
😂😂 tulia wewe
Ila izo jezi hazina kipimo hadi morson kapiga fundo
Sijaona hapo mchezaji zaid ya Morrison lakin pamoja na hayo mjiandae tu kushuka daraja
Obrey chorwa chirwa😊
Hii timu tuiombee aisee kwa😂hao wazee wao ngoja tuone 😂😂😂
Ety morson jamani😂😂😂😂
Luis miquissone yuko wapi
Morison kichwa kibovu😂😂😂
Hii ni maaajabu 😳
Hii timu au baraza la wazee 😂
😂😂😂😂 hawa jamaa ligi kwao ndo imeanza siyo?
Km matahaira hawa jmn
Hili ndio kikosi cha maveterani au tungojee kikingine 😅😅
😂😂😂😂jamani
Morrison anakitambii😅
Hapo kumejaa mashabiki wa team mbili tu
mmeleta show flani Nzuri kama Yanga Day ya 2020
Boss kaamua timu ishuke daraja
Kwakwel
Kahuniii huyu ndio muhuni sasa morison kwel unajua kuishi bongoo piga pesaa
Kwaiyo leo ni ken gold day sio?
jaman mbona vituko uswahilin
Daah hii ni balaa😂😂😂 yani gari lishaenda na maji afu unatafta kulivuta wakati hata halionekani
Ss uhuu utambulish niwalin😊
Mmejipambania sana
Mmeshindwa kujaza ata kiwanja
Nyie mnaokota mizoga tu
Morrison ana kitambi🤣🤣
ukisema cha nn wezako wanasema kinafaa 😂😂😂😂
Hao wote ni wazee wa migomo.
Obrey chorwa chirwaa😂😂😂😂
Jamaaaaaaaani 😅
Hahaaaà
Yaani wazee tupu daaaa
Hivi ni vituko 😂😂😂😂 jmn
Bongo kwenye mpira ni shamba la bibi yani wachezaji wapo hapo mtoto anazaliwa mpaka anakua ,wamekosa wachezaji au
😂😂😂😂😂😂😂 kazi ipo
Kwani msimu ndio unaanza au?!