Nimeolewa ndoa km hii mashaallah nashukuru mpk leo niko kwenye ndoa huwa ndoa zenye baraka sna ila huwa na mitihan kiasi ila unatakiwa kuwa mstahamilivu ndo kinga ya ndoa hudumu daima hpa hakuna magoma malaika wema wameshuka wote kwenye ndoa yako
Mimi ni muchristo ila namempenda sana huyu baba alie fundisha ndoa sijui ndo shehe nimemuelewa sana kweli anafundisha vizuli sana maneno hayo wakiyazingatia ndoa yao itadumu milele hongereni sana
Mashallaah, Allah barik inn sha Allah, hizi ndio ndoa zinazo takikana sio lazima maparapanda n magoma kwajuu, mungu awajazie khery upendo n vizazi vyema inn sha Allah.
Hongera sana dada mm binafsi nimekupenda umeuepuka ulimwengu wa zinaa pia usihofu wala ucjal kuusu kusemwa kuwa mke wa pil ndoa inaandikwa na mungu wala c mwanadamu chamsing heshimianeni na mume wako inshaalla mtadumu kwa uwezo wake allah
Naomb niwe mka mwanao tutaendana sana Mimi na wewe mashaallah mama mkwe wangu mtarajiwa mmefata kuoa or kuangalia mpira jmn ila mam mkwe kumbe mwanamke wamana kabisa umependeza kuliko unavyovaaga vichupi vyako vilee alafu mchukua video unazingua unagandisha sehemu mmoja tu
Yani vigelegele mpaka nimeamua kupiga mwenyewe huku 🤣🤣 mana naona wanasakiziana. Haya vigele gele teleeeee kutoka Norway 🇳🇴 mmependeza, na mwenyezi Mungu awajaalie Amani, furaha na maisha marefu yenye afya tele. 👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
Mashallah umebadilika sana... you are so beautiful darleen... yani umelelewa vyema... kweli maisha ya mziki yatabaki kua mziki na maisha yako halisi ni halisi tu....Allah awape maelewano na maisha mazuri ya ndoa..awape kila hitaji la mioyo yenu amin
Masha Allah tabaarakah llah Nakupenda sana sanaa da darleen 🇰🇪Allah akismamia katka kila jambo lako ndoa yako idumu milele mpk kesho akhera nfufuliwe na mumeo
Kila lakheri; kuwa mke wa pili siyo tatizo bora upenda naeshima tuuuu Maman. Na mimi maman yangu anaitwa Hawa. 😘😘😘😘. Na upate mtoto wapili InshaaAllah. 💖
Bora ulivoolewa kimya kimya mana kunawatu wangekujia michuchu njenjeee..kutia mkoc ndowa..mizali ndowa imepita uzuri...akijuwa Mungu nawalii wako imetpshaa
Mwenye kusubiri upata l kheri mollah awasaidie hidumu daima. Wenye awana hela ndio wanaogharamika harusi ila wenye hela hawashuhuliki. Nimeipenda harusi yenu.
Hii ndio ndoa sasa maana haina mambo mengi mngesema mjipange mngemwaga radhi hapo...Allah awafanyie wepes kwenye ndoa yenu awape watoto wema insha Allah
Hongera Sana my ndoa ilikiwa yafasta lkn umependeza mnoo Da Queen 👑💖❤️💝🍷
Nimeolewa ndoa km hii mashaallah nashukuru mpk leo niko kwenye ndoa huwa ndoa zenye baraka sna ila huwa na mitihan kiasi ila unatakiwa kuwa mstahamilivu ndo kinga ya ndoa hudumu daima hpa hakuna magoma malaika wema wameshuka wote kwenye ndoa yako
Hii ndio harus ya kiislam inavotakiwa iwe👰👌 simple but beautiful kila la kheri😘
Sana
Sheikh nimependa mawahiza yako Mansha Allah hongera sana Dada tunawatakiya heri kumbe una Mtoto muzuri😍😍
Maasha Allah mama harussi umependeza Harussi zingine zina Rahaa umenawiri Na Muziki uwache
Mashaallah kapendeza Sana kanawiri
Masha Allah hio sherehe yako japo ni Siri Lakini kwa Allah ni jambo zuri. Hongera dada Queen
Hongera sana,kidini sisi waisilamu tunaambiwa ficheni mahari tangazieni ndoa.
Nimegunduwa wa🇹🇿mnawivu sn vraiment.hampendagi mwenzenu apate kheri.mbon dali nimzuri saaaan.alaf ayo mauno wanasema ivi wanajuwa nikitugani shem kakupendeya? Emu mim niseme.mwanaum anaongez mapnz pal mnapo kuw kitandan 👌.mungu akulinde na wale wasoipend ndoa yako.wengi wao wanaona donge.🇧🇮🇧🇮🇸🇦🇸🇦
Mimi ni muchristo ila namempenda sana huyu baba alie fundisha ndoa sijui ndo shehe nimemuelewa sana kweli anafundisha vizuli sana maneno hayo wakiyazingatia ndoa yao itadumu milele hongereni sana
Mimi Pia nimemuelewa mmno nafikiri wengi tutajifunza kupitia mawaitha aliyotoa shehe KWA mchristu KWA Muislam
Aline Olivia muchirsto ndo nn ?
@@lilianyona7728 😂😂😂😂
Mashallaah, Allah barik inn sha Allah, hizi ndio ndoa zinazo takikana sio lazima maparapanda n magoma kwajuu, mungu awajazie khery upendo n vizazi vyema inn sha Allah.
lilian yona I meant that I’m a Christian u understand now?
Hongera sana dada mm binafsi nimekupenda umeuepuka ulimwengu wa zinaa pia usihofu wala ucjal kuusu kusemwa kuwa mke wa pil ndoa inaandikwa na mungu wala c mwanadamu chamsing heshimianeni na mume wako inshaalla mtadumu kwa uwezo wake allah
Faydha Iddi Ni kweli kikubw anakujali ipasavyo anakuheshim mengine achan nayo
Dada uyooo ameolewa mashallah mungu ailinde ndoa yako mpnz..I just like yo son..he is so amaizing..ALLAH BARIQ
Ndoa za kiislamu raha sana fasta fasta hazina mbwembwe
Yaani 😀
HONGERA Queen D & Isihaka, Mola awatunzie ndoa yenu In Shaa Allah. Much love from🇰🇪😍
Naomb niwe mka mwanao tutaendana sana Mimi na wewe mashaallah mama mkwe wangu mtarajiwa mmefata kuoa or kuangalia mpira jmn ila mam mkwe kumbe mwanamke wamana kabisa umependeza kuliko unavyovaaga vichupi vyako vilee alafu mchukua video unazingua unagandisha sehemu mmoja tu
Yani vigelegele mpaka nimeamua kupiga mwenyewe huku 🤣🤣 mana naona wanasakiziana. Haya vigele gele teleeeee kutoka Norway 🇳🇴 mmependeza, na mwenyezi Mungu awajaalie Amani, furaha na maisha marefu yenye afya tele. 👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
I jus love u Queenie..bureee yaani. U deserve my love n respect as a fellow woman...mob love from kenya...
Jamani nimependa mawaida mashaAllah mungu awajaalie maskizano lnshaAllah
Allah akukinge na hasadi za ulimwengu akuongeze hekma uwe mke mwema kwa mumeo Aamin'
Mashaallah mngu atu dumishe kwenye uislam dakika tano tuu ndoa ili kuepuke zinaa
Amiiin yarab
Shehe kunywa soda nitakuja kulipa umenikoshaa hatarii ......hongera sana Dada
Simple weddings are always the best. Iwe ya kheir Inshaallah
Shekh uko vizuri sana mawaidha mazuri sana
Mashallah umebadilika sana... you are so beautiful darleen... yani umelelewa vyema... kweli maisha ya mziki yatabaki kua mziki na maisha yako halisi ni halisi tu....Allah awape maelewano na maisha mazuri ya ndoa..awape kila hitaji la mioyo yenu amin
Umependeza binti. Mungu akurinde katika ndoa yako na mdum miaka ming
Congratulations Hawa queen❤️🙏🏽Manshaa Allah Mungu asimamie ndowa yako kheli
Mashaallah allah akufungulie kila lenye heri huwenda kwa heri alhamdulillah limepita ishaallah
Waoh darleen mashaAllah Allah awaongoze nikkah yako nzuri sana i love😘😘😘😘
Hongera sana mungu akujalie ndoa ya amani na maelewano mumeo awe mwenye huruma na mapenzi tele
Mzee umefundisha vizuri sana . Asante
Masha Allah. Mwnahawa ALLAH akusimamie kwenye ndoa yako. Love u #DARLEEN
Amiin
Masha Allah tabaarakah llah Nakupenda sana sanaa da darleen 🇰🇪Allah akismamia katka kila jambo lako ndoa yako idumu milele mpk kesho akhera nfufuliwe na mumeo
Hongera san #QeenD Mwenyezi Mungu akuongoze na akurahisishie kwenye ndoa yako inshaallah
Hongera sana Mwanahawa kwa kufunga ndoa Mungu aibariki ndoa yenu iweze kudumu .Ukatulie umsikilize mume wako.
Nimependa ginsi huyu sheikh alivyovundisha ndoa manshAllah 😍😍na ikawe kheri
Hongera sana
Harusi safi,mzee Abdul kukaa juu vp
Nimependa maneno ya huyu mzee wallah
Honger sister kwakupata stara mungu akujaalie kila hitaji LA moyo wako,,, mungu akubariki
Kila lakheri; kuwa mke wa pili siyo tatizo bora upenda naeshima tuuuu Maman. Na mimi maman yangu anaitwa Hawa. 😘😘😘😘. Na upate mtoto wapili InshaaAllah. 💖
Mzee Abdul MashaAllah am happy to see you love from Kenya 🙏🙏🙏
Ma Sha Allah BarakAllah..., Congratulations Queen Darling 💓
Daaa nimependa ndoa yaivi inadumu sanaaa allah awatakugulie Inshaallah kher ukewa mke mwema na mama bora mashallah mungu nijalie namie nipate mume
Mmhhhh kweli zainab?
@@simbarajabu4157 kweli
Aamin
Allah anijaalie na mie InshaAllah
Zenab Abdullah amin
Nimeipenda harusienu Allah awadumishei ndowa yenu
Bwanaharusi mpole mungu awawezeshe na ndowa yenyu
MashaAllah Allah awape masikilizano kwenye ndoa yenu Amiiiiiin😍😍😍
Huyu sheikh anaitwa nani jaman nimpenda sana hongera sana queen darling
Hiyo ndoa itadumu sana.mungu mbariki dareen
Mashallah Allahu barik kwa kukamilisha nusu ya dini dadangu
Asanteni sana maharusi na sisi tumejifunza mengi!! Wallah nimetamani kufunga ndoa!!! Mwezi Mungu nijaalie na Mimi nifunge ndoa Insha Allah
Aaaamin
Allah atakujaalia umpate mwenye kheri na ww na mapenzi na ww insha'Allah aaamin yaarabb aamin
ongera Bibieee,MUNGU akusaidie kwakila jambo.ila mwenzangu uwe makini saaana kwasababu ww nimke Wa 2,kingine uwemakini kwasababu ujuwi mumewako anakujakwako kwa ajili yanini.pls pls mupende muheshimu,nanduguzake wote uwapende nauwaheshimu.raha yaujumba upendwe na familia kwanza afu mumewako.afu marafiki nyuma.nausiwe namarafiki ndugu.
Mansha'Allah ujumbe mzuri ❤
Nimependa mafundisho
Hongera sana dada mungu hakupe uvimlivu 🙏😍
Just a simple wedding but really 😍😍😍😍😍💏💏💏💏💏mungu akutangulie dadangu
Daaahhh mungu kakubariki sana kaichelewesha lkn imekufkia...big up my c**
MashaAllah MashaAllah MashaAllah thabaariq Allah
Shekh anamawaidha mazuri mashaalah
Unapendeza kuwa bint wa Kiislam haswa, acha mavazi ya uchi ALLAH AKUPE kheri na faraja katika ndoa yako. MAASHAALLAH mumeo anaonekana mstaarabu
Masha Allah nakuombea kila La heri katika maisha yako Ya ndoa
Wow!!corgatulaction my sister D for your marriage 👰 God bless you so much 🙏I love you 😘
Ukitaka kumuoa mwanamke oa kwa moja, ukitaka kumi na moja humpati
Muslim weddings are soo cute😍😍😘
Nakupenda sana mwanahawa
Kwakweli ndoa ni heshima jamani ukiambiwa huyu binti leo anajisitiri anajifunila kichwa kwa heshima huwezi amini InshaAllah iwekheri kwako QWEEN
Allahuma Ameen❤️
MUNGU AKU TANGULIE. Hongera sana. Mwenzangu kaza roho tu ndo dini inasema hivyo Mme kakuolea ndo zidi kuboreaha usisuse
Maashaallah, mawaidha nimeyaelewa zaidi yasana , shekhe anaitwanani jamani naomba kujuzwa….
MashaAllaah wa Alhamdulillaah ndoaa zuri kabisa haina manbo mengi imepata Baraka na Neema za Allaah pia Allaah awadumishe duniani fil khahera
Mashallah dareen wangu😘😘😘😘
Queen Darleen kwa kweli umeniluza mdogo wangu mungu mkubwa akupe mapenzi na mumeo Inshallah mpk muzikane ammyn yarab
Masha Allah
Hongera sana . Allah akujaalie kizazi chema habibty.💞
Barakallahu laka wabaarak alayka wajamaa bainahuma fil khayr😍❤🙏
Ma sha Allah Sabeha mpole mwenyewe hana makuu, uwe star uwe mtu wa kawaida atakusikiliza hitaji lako watakaje..
Shekhe hakubakisha mweny akili ataelewa ,msela ataokota chupa...maneno y hekim Masha Allah
Hongera sis Sabiha kwakumpendezesha my dear Queen
Maa Shaa Allah, Pendeza sana, Hongera kwenu.
Real simple wedding ...amazing ......not complicated.... Kher na barak tele katik ndoa yako
Masha Allah Tabaraka Rahman 😘😘😘😘😍♥️❤️
Bora ulivoolewa kimya kimya mana kunawatu wangekujia michuchu njenjeee..kutia mkoc ndowa..mizali ndowa imepita uzuri...akijuwa Mungu nawalii wako imetpshaa
Best wedding ever for celeb simple n great
Ongera sana kwako Queen Darren dada yake simba madame Isaka❤❤❤❤
Congrats swry, much luv darlin
kumbe una mtoto mkubwa ivyo mashaallah😍😍😍
MashaAllah MashaAllah mabrouq mabrouq very beautiful. Allah awajalie maskilizano n mapenzi baina yenyu InshaAllah.
Mungu akufanyie wepesi
MashaaAllah Allah awajalie ndoa ya kher na baraka 🙏💚💚💚💚
Mashallah mashallah mungu akupe uvumilivu katika ndoa yako
Mwenye kusubiri upata l kheri mollah awasaidie hidumu daima. Wenye awana hela ndio wanaogharamika harusi ila wenye hela hawashuhuliki. Nimeipenda harusi yenu.
Kweli kabisa
Masha Allah kilalakheir mpende mumeo
Mashaallah Harusi ilikuwa Nzuri mnoo una mtoto mkubwa masha Allah
Hongera queen ....straight love from kenya
Napenda lifestyle yko❤️
Hii ndio ndoa sasa maana haina mambo mengi mngesema mjipange mngemwaga radhi hapo...Allah awafanyie wepes kwenye ndoa yenu awape watoto wema insha Allah
Mashaallah hongera ddaa iwe ya kudumu ndoa wenu
sster nakupenda sana . alaf mrembo kuliku kuli kwa mziki mavazi ulikua wayavyaa kaa na mumeo wacha mziki plz.sster
Aache kazi inayomueka mjini are yu mental fit ???or!!!!
Congratulations queen
I wish you all the best darling
Enjoy it is your time
Do not listen to people...Make prayer your weapon
Mabrooq Alf Mabrooq Dada,Kila la Kheri ln Shaa Allah, Sheikh nimependa Wasia au Mawaidha Yako.
Mashallah Allah awaperizki zaidi naiwekher ndoyenu nakupenda San queen
Mashallah ndoa tu simple nakutakia kila la kheri katika ndoa yenu
Mashallh Tabarak Rahmaan. Good luck queen. Umeshika milango ya Dini.
Mashallah allahu barik😘 Allah akusimamie kwny ndoa yako muishi kwa amani na upendo daima 💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞
Mashallah alhamdullah Allah akupe ndoa ya heri na akupe subra na usisikilize maneno ya watu Mume mtamu babu ee
Duh yani Mwanahawa harusi yako imekuwa fasta yani siamini, Wengineo wamevishwa pete, Zaozea mikoni, Watachina, Nakupenda Hawa
hongera sana ,, ikawe ndoa ya kheri inshallah
Mungu akubarikiii sana kwenye ndoa yako dadangu
Isihakha Ni Isihakha kweli Mashaallah Mwanahawa Abdul