Jamani Felix Mwenda ananifanya nipende sana simulizi, sasa tabu inakuja pale kuna wanawake ambao sauti zao hazifai kabisa wanaharibu simulizi tunashindwa kusikiliza naomba huyu mwamba wa sauti Felix Mwenda apewe nafasi ya kuzirudia kusimulia ili tufurahie simulizi hizo, ambazo kutokana na sauti mbovu hatukusikiliza, TAFADHALI FELIX MWENDA ZIRUDIWE kuzisimulia, una sauti nzuri sanasana kipaji unacho* Ushauri naomba simulizi iwe na utulivu twasikiliza usiku, ondoeni hako kamziki ni kero, kwani kanakazi gani? Zaidi ya maudhi tu😩😫👂🙆🙆
His sauti niyakusisimua ajabu wapi likes za mr felix mwenda
Jamani Kuna watu wanapend simulizi mpk sijaona hii najuwa iko nzuri sn Asante sn simulizi mix
Sauti ya mtu mzima Felix mwenda aaaiii nakupenda bure 💪😍😍
Naenjoy san nikisikiliza simuliz ikiwa imesimuliza na Felix mwenda love you
Felix ur talent ❤️🙏sauti MashAllah 😍
Sauti yako Félix ndo inaboresha simulizi mix [inasisimua hatari ]❤️🔥❤️🔥❤️🔥
Hii sauti jamani 😚😚🥰🥰
Nimeifuraiya hii simulizi mwenda naipenda sauti yako😍😍
Oyoooooo nimekuwa wa nne sasa🤟🤗👏👏
Jamani Felix Mwenda ananifanya nipende sana simulizi, sasa tabu inakuja pale kuna wanawake ambao sauti zao hazifai kabisa wanaharibu simulizi tunashindwa kusikiliza naomba huyu mwamba wa sauti Felix Mwenda apewe nafasi ya kuzirudia kusimulia ili tufurahie simulizi hizo, ambazo kutokana na sauti mbovu hatukusikiliza, TAFADHALI FELIX MWENDA ZIRUDIWE kuzisimulia, una sauti nzuri sanasana kipaji unacho* Ushauri naomba simulizi iwe na utulivu twasikiliza usiku, ondoeni hako kamziki ni kero, kwani kanakazi gani? Zaidi ya maudhi tu😩😫👂🙆🙆
Unamakasiliko kwl mbona wanasauti nzr tu ten tamu ww kama huzipendi kuna wengine tunazifurahia izo sauti
Sauti yako bro ❤
Jamani kila Mtu ana karama yake ndugu zangu lakini hata sauti ni karama big up Kaka Felix👏🏾👏🏾💪
❤️❤️ felix mwenda
Mbona hii sauti kama ya Felix Mwenda jamani mbona ukutuaga ulikuwa kwa Mfalme I believe that. You have been missed!!!!!
Sindio yeye au wapo wawili wanafanana sauti
Sauti nzuli
Asnte sana bro🎉🎉
Asante sana
Wawooo movie la kihindi
🔥🔥🔥juu ya 🔥🔥🔥
Asate sana simlizi mix fellix mweda Mbalikiwe sana
🤝🤝
Hivi humu kuna kushika namba sikujua. Mimi na enjoy simulizi tu😂😂😂😂
Eeeeh ukiwa wakwanza unatuita na pia ukiskiza unatwambia nn nimejiri huko ndani na pia kutuskiza machungu ss tulio chelewa
@@anastasiawanja7958 interesting👏🏾
❤❤🎉
Usipotee sana jamani
❤
Aaah jamani kitambo sijakusikia nimemiss sauti hii kwa kweli
Waoh nimewahi Leo nmekuwa wa tatu
Hatare ❤️❤️❤️❤️felix
❤️❤️❤️👌
Mwenda wetu😍😍😍😘
Hata mm na penda sana kuliko chochote
😂😂😂kipofu anavituko
Ndo nimefika pia nami
Ndo naanza kuisikiliza na hisi ali sio kipofu
Tusonge nayo
Ql
❤️❤️ felix mwenda
Hellow guyz
Nipo jamani kitu hasa kumoyo saut sasa ww felix
❤❤❤❤❤