Serikali ikiamua ina uwezo mkubwa sana wa kupunguza matumizi ya viongozi na nchi ikasonga hata sisi wadogo tunapotoa kodi tunafurahia kosi zetu kuwa zinafanya mambo maendeleo na sio kutnisha maisha ya wachache. Sijajua ule mpango wa serikali walisema wataacha kununua v8 na badala yake viongozi wanaotaka kutembea na hizo V8 wakopenshwe zikatwe kweny mishahara yao, hili wazo lilifia wap
Mwinyi Baba ni rais simpo hakuna mfanowe... Alichukua misingi mingi ya usimpo wa Nyerere. Hata utawala wake kulikuwa hakuna mashangingi. Hayo yalianza 2000 wakati wa Mkapa!
Ignatus inaonekana ungekuwa wewe hata hiyo ndege ungesema utafutiwe usafiri nzuri zaidi kuliko ndege kama upo. Ukisema too risk unamaana gani? Kama Rais unauhakika na unacho kifanya wasi wasi utatoka wapi?
raisi anapanda bot na abilia wengine yani poa kabisa alafu msani anakwambia nataka ndege nilinde heshima yangu wasani bwana😂😂chukueni mifano kwa ao mama zetu sio mbwembwe za kisani
Mwenyenzi Mungu Mtakatifu akubariki sana Mh Raisi wetu na Mama yetu mpendwa Tunakupenda sana
Allah Kareem akupe Afya yaa Rabbi. Hongera Rais wetu.
Maaashaallah
الله يحفظك ويبارك فيك يااااااا امنا الكريمة
Mama rais wetu mungu amlinde yupo poa sana mama yetu mpaka rahaaa
⚘Mama Samia, I wish you and all on board a safe, pleasant and joyful journey. May God be with you all.💕💖
Hii ndiyo maana ya Rais wa watu ,safi sana mh Rais
Mwenyezi Mungu Aendelee kukupa Umri mrefu Mama Tunakupenda sana
nimependa hii jamani, all the best Mama President!!
Serikali ikiamua ina uwezo mkubwa sana wa kupunguza matumizi ya viongozi na nchi ikasonga hata sisi wadogo tunapotoa kodi tunafurahia kosi zetu kuwa zinafanya mambo maendeleo na sio kutnisha maisha ya wachache. Sijajua ule mpango wa serikali walisema wataacha kununua v8 na badala yake viongozi wanaotaka kutembea na hizo V8 wakopenshwe zikatwe kweny mishahara yao, hili wazo lilifia wap
Uko Smart Mno Nakpenda Bure Rais Wang
Mama kanikosha safi sana mungu aendelee kukupa afya njema
Mama Samia hongera sana
She is so nice to her citizen
Hongera Mama Samia Kwa kuwaonesha Watanganyika Kama wewe Ni Mzanzibari! Na unaipenda Zenj yako na Utamaduni wako!
Mmeanza usenge wenu Sasa hv hua mnajiona nyie wadaraja la juu sana ubaguzi kwenu ni thawabu sio? Wafilipino wakubwa
@@mosimba467 hahahahahahahah nimefurai bure mo
@@mosimba467 yani hata makabila yao hawayajui alaf wanawabagua wa bara yani hayana akili haya mazwazwa
Safe Journey Mama!!!!!
✌️Leo Nimekoment nimependa hii✌️
Inaonyesha kabisa watanzania Wamekubaliana na TOZO..maana si Kwa furaha hiyo
Ndio tumekubaliana na tozo Ndio maana tunampenda mama yetu
@@harunashemsa1459 ooh kumbe..basi sawa...
Hongera sana
Asante Mh,Linunuliwe basi/mabasi ya kisasa kupunguza utitiri wa MV 8 uwapo ziara za kikazi nchini
Mungu awe Kiongozi wetu na Neema zake ziwepo ...
Sijui maraisi wengine ila Rais Mwinyi ( Baba) alipokua madarakan amepanda sana hizo boats za kwenda na kurudi Znz.
Mwinyi Baba ni rais simpo hakuna mfanowe... Alichukua misingi mingi ya usimpo wa Nyerere. Hata utawala wake kulikuwa hakuna mashangingi. Hayo yalianza 2000 wakati wa Mkapa!
Let's say MASHAA ALLAH to my President
Nampenda Sana huyu Mama. Na Raisi wangu
Mama safar njema
Save Travel
Safar njema mama
Mmmmmh
Safi sana umeupiga Mwingi mno Mheshimiwa
Anazingua huyo bibi kazi kuleta sanaa tu
We koma wew mbwa
@@emmanuelathur3084 acha ushamba nikome kwani nimekutongoza mm?
Good I dear mom. Love you🥰🥰🥰
Superb!💪🇹🇿👍
HONGERA MH RAIS! NI VIZURI KUONJA VIPI WANANCHI WAKO WANAPATA HUDUMA ZA VYOMBO VYA USAFIRI. SIKU NYENGINE APANDE VYOMBO VYA KWENDA PEMBA ! AONE PIA.
It's Zanzibar ipround my country and mama samia
Dr.Hussen nae aende Pemba kwa Mapinduz aone Changamoto Na Raha ya kusafir kwa Meli ziendazo Pemba
Nimeendelea kumpemda sana Mama huyu amenivutia sana, na hii nimetamani na Mimi nikienda huko nikae hapo alipokaa
Watanzania ndugu zangu ilikua hakuna rais dunia mzima kama magufuli lkn mama pia ako sawa mshikilieni vizuri musimpoteze watanzania hoyeeeee
Masks za nini jamani munatembea hata kupumua vizuri hamuwezi
Saf sana naanza kumponda raisi huyu
Hujaeleweka
kwangu mimi naona ni too risky kwa raisi kusafiri kwa boat..
👁️
Abiria waliosafiri na Mama nadhani walikuwa over excited. Ni bahati ambayo na Mimi ningetamani niipate.
Anajizugisha lakin hakuna kitu hapo
Acha hashuwo usipoteze maskini muda wawo panda ndege Usha panda meli iweje ?
Mama kama mama kwenye ubora wake
Ignatus inaonekana ungekuwa wewe hata hiyo ndege ungesema utafutiwe usafiri nzuri zaidi kuliko ndege kama upo. Ukisema too risk unamaana gani? Kama Rais unauhakika na unacho kifanya wasi wasi utatoka wapi?
Wakusifie wanao kusifia
Na awalipie nauli sio anawaangalia Kama nyanya mbichi
Kwani vp kawalipia nauli au anahimiza tozo tu
Haha mimi sikuelewi sijui wezangu
Kwan apo ulipo na chato nauli bei gan
Ww una roho mbaya mbwa we
@@zulfasuleimn4436 umeolewa lkn au ndo shankupe la kitaa
Jpm.alikaa na watu yeye kakaa peke yake ndo kitu gan
Kweli hasidi hakosi sababu
Aniseti
KARIBU TENA NYUMBANI BI SHANGAZI
Maigizo hayoooo! Labda kuna filam tena anacheza
Ww ni mkund@#$&&
Acha ufala
@@allysalehal-jaber4822 akiri zako zimefikia hapo sikulaum
@@hassanhd6480 akiri zako zimefikia hapo endelea na matusi
@@josephmahando493 wewe unaishi KIBIRIGI au? Hakuna neno " AKIRI "
Tazama Misuko Mipya ya Kijanja ya Nywele, Bofya hapa chini
th-cam.com/video/1w6Wq5yY43U/w-d-xo.html
Mtu na kwao....... asili haimtupi mtu
Angekaa huku zenj tuu tz hatumtak kabisa
TZ ndio wapi kwani?!
Hiyo Z inawakilisha wapi?
Yaani hilo jina la TANGANYIKA hulijui hata useme TZ!!!
Wacha ubaguzi umepitwa na wakati huyu ni rais wa Tanzania mama hongera
Kwani TZ ya babako?
usiwaaminishe watu kua hatumpendi
Hao ni ndugu zake mbona uku hapand dalala 🤣
Hahahahaaa!! Duniani watu mna roho ngumu nyie, kwa kua Wazanzibar ndugu zake, haya iko siku atafanya kwa nyie marafiki zetu
Acha Ubaguzi Tanzania ni Yetu Sote
Mwajuma...... hapandi Daladala kwa sababu ileee harufu inayotoka abiria akiinua Mkono........we acha tu 🤔🤔🤔🤔🤔
@ABAI CHANNEL tuko pamoja
Yeye apande tu tunamngoja 2025
Wewe útafanya nini pambana
Hana mpango wa kugombea kwa hivyo anaitumia chance yake sasa
Atagombea na hamna uwezo wa kumfanya chochote kile
@@maryamalli9090 Atagombea tu na atarudi kumaliza ngwe ya pili ilobakia
@@hasnuumakame9219 hagombei tena huyu Kwanza umri umeshakwenda keshakua mtumzima tena apumzike tena
Jamani nifanyeje niwezi kupanga boti naogopa sana usafiri wa majini
Nitafute siku moja twende wote
Kwanini unadhani unaogopa
Wa mashetani je huogopi
Edna tutaenda wote Zanzibar kama uko tayari
@@yusuphsalum1486 mzee unamjua ? Kauliza afanyaje ili atoe uoga we wasistizia mwende ka yuko tayari mtu hata humjui duu
raisi anapanda bot na abilia wengine yani poa kabisa alafu msani anakwambia nataka ndege nilinde heshima yangu wasani bwana😂😂chukueni mifano kwa ao mama zetu sio mbwembwe za kisani